Asante kwa mafundisho mazuri. Vijana wanaooa au kuolewa wakaishi mbali. Kubaki mnapishana kwenye makorido hayo hayo haifai. Mkutane kujuliana hali tu ikiwezekana.
Shukran sana bi Sadaka.. umeelezea vuzuri sana rabia za mama wakwe na vipi wakwe zao wanatakiwa kujipanga kukaa nao vizuri. Umesaudia sana pande zote 2 kujitambua na kujielewa nafasu zao katika maisha.
Mimi hivyo hivyo nimejitenga nao Sina habari nao siwaulizi kitu na Wala sihangaiki kutaka kujua chao tunasalimia TU kulizana Hali ikimaliza kila mmoja na lake mwanzo nilijipendekeza mwisho nilichoka nilitaka niwe karibu na tuwe kitu kimmoja nilipoona hawataki nilichukua mamuzi haya sijipendekezi Wala sishughuliki na lao basi nimeishi vizuri
Nimependa sana anti sadaka hii ishu inasumbua sana kama ulivosema kila mtu na tabia yake mimi tena nimekuta mawifi ty tena wengi na kila mtu anamdomo lkn nimewewaza na siwezi kukaa bila ndugu wamme lkn niseme tyu acha tuendelee na upumbavu wakusema ndugu wamme wanatabia mbaya lkn na sisi tutajaitwa hivo kwa sababu tumezaa
My dear sio wakuwaendekeza wao huwa wanataka uwe dhaifu mjinga ili wakukalie na kukuonea akijifanya kivuruge wewe unakuwa mwenda wazimu kabisa tuone kama wataendelea kukusumbua
znz mama ndio muamuru wa nyumba kila kitu umwambie mama wa Mume hiyo nimeiona nyumba fulani yaani mama wa Mume ndio aamue uvae nini mle nini duuu nawaonea huruma
😃😃😃wangu fanya mema ila ni mzigo usiyo bebeka kwanza kila mtu ni kiongozi kwenye ile familia ni mtihani mtupu hakuna Cha mama Wala wifi wote wanaeza kuingia kwenye maisha yako😃lakini sijawahi kugombana nao nimejitahidi kujiweka na ujinga ili niwajue zaidi basi wanajikita wanakosea wao .😃😃 Lakin mie najiuza mbona kwetu pia tunaitwa wifi na mama yangu pia ana wake tunaishi poa tu na huwezi mtukana wifi yako unampenda kwa vyoyote alivyo mie nasema ni hulka zao tu na ubinafsi hakuna kingine
ILA NA MA BINTI WANAO OLEWA NAO WANAMAMBO, KUNA DADA NILISIKIA AKISEMA, NGOJA NIVUMILIE KWANZA ILI NIOLEWE NILISHA OLEWA TU, MAMA MKWE HUYU ATANITAMBUA😳, TULIKUWA SAFARI I NILIMWANGALIA HUYO DADA NIKAMWONEA HURUMA.
Hapo ni akili tu na saikolojia ukianza na hilo halitatusumbua na kuwasoma kwanza na ndipo uanze kudili na familia ya mume ukikurupuka utabaki kulaumu tu.
Naomba kuuliza bint ameolewa Na mtoto Wangu unafika unakuta mzingira machafu nje Na ndani, hapiki chakula Ni kununua chips ndio chakula , hawezi kufanya chochote Je mama mkwe akishauri hapo Ni kosa???
hapo pa mama mkwe kutaka kitenge, mwanaume alitakiwa kumwambia huyo mamake aongee na mkewe kama akikubali kumpa sawa. then amwite mkewe pembeniamweleweshe kwamba ampe hicho kitenge kuepuka vurugu
Kuna mwingine alifukuzwa. Baadae ya kufukuzwa bwana akaoa mwingine. Na yule mke wa kwanza akapata mume mwingine .Na mimba juu.baada ya miezi mitano 2.mume hakuna kitu mpaka leo. Mwanamke ana watoto 3 sasa.
Kwa mila za Zbar mtoto anapojifungua mimba ya 1 huwa anakwenda kukaa arobaini kwa mama yake mzazi . Mimba zinazofata atakaa kwake na mama yake atamfata huko.
Kuna zingine familia sio zakwenda kuolewa jamani mimi wakati nilibeba mimba nyumbani wameniziraga kwao na baba mtoto wangu nikaka kwao na baba mtoto wangu ningali nafikatu nikamuona mamake mdogo anakuja kanambia apakwetu hatutaki mwanamke mvivu wana mchoyo 😂badae nikakutana nawanawake wameolewa kwaiyo familia wakanambia gisi yakuishi nao yani unatakiwa kazizote zamwaiyo familia ufanye wewe uamka sa11 asubuhi ndo wanapenda nawakiwa nashuhuli wala msiba kazi zote wakwe ndo mnafanya nakwakweli walinipenda sana sikuwa mvivu wakazi basi mke wababa mtotowangu naskia nimvivu bala afu mchoyo ana achika kilasiku juya mama kwe anamtukana eti heri ninge olewa mimi😭😂😂😂
Jamani hawa wakwe na mawifi mungu anawaona
Asante kwa mafundisho mazuri. Vijana wanaooa au kuolewa wakaishi mbali. Kubaki mnapishana kwenye makorido hayo hayo haifai. Mkutane kujuliana hali tu ikiwezekana.
True teachings!nimepitia hayo ni kweli uongeayo aunt
Shukran sana bi Sadaka.. umeelezea vuzuri sana rabia za mama wakwe na vipi wakwe zao wanatakiwa kujipanga kukaa nao vizuri. Umesaudia sana pande zote 2 kujitambua na kujielewa nafasu zao katika maisha.
Asante kwa ushauri aunty sadaka n irene i used to feel sorry 4 my mum bt nime learn something God bless u
Unt unajua unajua unajua tena nawapenda sana mnatujenga sana ili tukielekea kwenye ndoa tuwe imara 🤲🤲🙏🤝💞💫
Ant sadaka una sauti nzuri sana
Mimi ndio niliwakwepa mama mkwe na mawifi maana nilijipendekeza mpaka ni kaona nijitenge nao siwezi umia kwa ujinga kabisa
Same as me kabisa
Mimi hivyo hivyo nimejitenga nao Sina habari nao siwaulizi kitu na Wala sihangaiki kutaka kujua chao tunasalimia TU kulizana Hali ikimaliza kila mmoja na lake mwanzo nilijipendekeza mwisho nilichoka nilitaka niwe karibu na tuwe kitu kimmoja nilipoona hawataki nilichukua mamuzi haya sijipendekezi Wala sishughuliki na lao basi nimeishi vizuri
Jaman same as me tatizo tunajenga mme ananiambia nyumba ikikamilika anamchukua mama na dadaake sinutakoma mimi
Mama nimekupenda asante kwa mafundisho
Nimependa sana anti sadaka hii ishu inasumbua sana kama ulivosema kila mtu na tabia yake mimi tena nimekuta mawifi ty tena wengi na kila mtu anamdomo lkn nimewewaza na siwezi kukaa bila ndugu wamme lkn niseme tyu acha tuendelee na upumbavu wakusema ndugu wamme wanatabia mbaya lkn na sisi tutajaitwa hivo kwa sababu tumezaa
Masha Allah ubarikiwe mnoo Aunt sadaka pamoja na waandaaji wa kipindi mana nimejifunza mengi kiukweli 😍❤️❤️
Kuishi na watu kunataka subra kubwa kwani hata sisi tayari ni mawifi au wakwe watarajiwa pia.....tuombe salama tu
Asante Aunt sadaka ubarikiwe maa ❤
Button button zimeshikiliwa kwa nguvu na Auntyyyyyyy... nimeelewa hapo kwenye ku loose battle , its soo trueeee Aunty...
MashaAllah tabarakaAllah auntysadaka karibu tena na tena mie binafsi nakukubali sana
Asante Mama Sadaka hii ni changamoto kubwa sana.
Untie she is the best I can listen to her advice all day long.,she is very wise..,I like her wisdom in her. Live long untie.
Point taken mama mkwe hujamchagua ila mume umemchagua so mama mkwe mchukue kama alivyo na muheshimu alivyo
Duuu kweli Ndoa tabu tupu hususan kipengele hiki mmmhh🙌
My mother in law she was a gem...,may she rest in peace.
But one sister in law was kivuruge but I still won. Thank God.
My dear sio wakuwaendekeza wao huwa wanataka uwe dhaifu mjinga ili wakukalie na kukuonea akijifanya kivuruge wewe unakuwa mwenda wazimu kabisa tuone kama wataendelea kukusumbua
Sisi wazanzibari tunamsemo "mume mwenye mamae huna mamlaka nae
Hapo inakuaje Sasa😅?
@@irenekamugisha iko hivi Irene kwamba mume mwenye mama Ake anamamlaka kubwa kwa mtoto wake kuliko mume ambae Hana mama
@@irenekamugisha glass za maji dada uwe waeka
znz mama ndio muamuru wa nyumba kila kitu umwambie mama wa Mume hiyo nimeiona nyumba fulani yaani mama wa Mume ndio aamue uvae nini mle nini duuu nawaonea huruma
@@samwa9496 nayaona
Ahsante sana Aunt Sadaka ntarudi kw mme wangu
Jaman sisi tuna mateso wanawake
Irene ananifurahisha na facial expression yake!!.
😃😃😃wangu fanya mema ila ni mzigo usiyo bebeka kwanza kila mtu ni kiongozi kwenye ile familia ni mtihani mtupu hakuna Cha mama Wala wifi wote wanaeza kuingia kwenye maisha yako😃lakini sijawahi kugombana nao nimejitahidi kujiweka na ujinga ili niwajue zaidi basi wanajikita wanakosea wao .😃😃 Lakin mie najiuza mbona kwetu pia tunaitwa wifi na mama yangu pia ana wake tunaishi poa tu na huwezi mtukana wifi yako unampenda kwa vyoyote alivyo mie nasema ni hulka zao tu na ubinafsi hakuna kingine
SNS mtunzeni huyu dada anajuaa aiseee kufanya interview nimempenda bure ✅️
❤😊😂 mh nimefixka
ILA NA MA BINTI WANAO OLEWA NAO WANAMAMBO, KUNA DADA NILISIKIA AKISEMA, NGOJA NIVUMILIE KWANZA ILI NIOLEWE NILISHA OLEWA TU, MAMA MKWE HUYU ATANITAMBUA😳, TULIKUWA SAFARI I NILIMWANGALIA HUYO DADA NIKAMWONEA HURUMA.
Mama imenigharimu sana hii,niko kwenye ndoa miaka kumi lkn mama nichuki moja kwamoja,naishi nae
I didn’t meet my mother in law RIP. But his aunt is devil 👿 for 10years she never stopped doing devil stuff
Huyu dada sadaka ni asali ya maisha
Mtihani huo mungu anisuru ishaalah mm hayo siyataki mama wake wakorofi mtihani mkubwa huo bora nimuwachiye tu huyo mama mke
Kweli aunt uko correct kabisa ila wadada wa Leo stamina hawana ya kupambania ndoa zao Kwa mama wakwe wenye maumivu
Ahsante Aunt sadaka niseme tu karbu tena mamy
😅jamani yani Mimi mama mkwe wangu yupo kwenye aina zote umbea ndo usiseme jmn
Naomba kuuliza kwahiyo wazazi wanyamaze wasishauri watoto???
Hapo ni akili tu na saikolojia ukianza na hilo halitatusumbua na kuwasoma kwanza na ndipo uanze kudili na familia ya mume ukikurupuka utabaki kulaumu tu.
Mungu tujalie wamama wema watakao tuelewa 🙏🙏🇰🇪❤️
Najisikiya nilie tu. ! Nasina pakunyamaziya mama mkwe wangu Mungu amsamee na aniombe msama ntamsame.
@@nyanziratatou5404 pop
Pp
PI’m
Pl
Naomba kuuliza bint ameolewa Na mtoto Wangu unafika unakuta mzingira machafu nje Na ndani, hapiki chakula Ni kununua chips ndio chakula , hawezi kufanya chochote Je mama mkwe akishauri hapo Ni kosa???
hapo pa mama mkwe kutaka kitenge, mwanaume alitakiwa kumwambia huyo mamake aongee na mkewe kama akikubali kumpa sawa. then amwite mkewe pembeniamweleweshe kwamba ampe hicho kitenge kuepuka vurugu
Yani akishakuwepo tu Aunty Sadaka hata kabla ya kusikiliza ninakua na hakika kuna mambo makubwa na ya msingi tunakwenda kuyapataaaa...
Kuna mwingine alifukuzwa. Baadae ya kufukuzwa bwana akaoa mwingine. Na yule mke wa kwanza akapata mume mwingine .Na mimba juu.baada ya miezi mitano 2.mume hakuna kitu mpaka leo. Mwanamke ana watoto 3 sasa.
Kazi kweli kweli.
Nimewaelewa
Mambo haya yana safari tofauti lkn kwa vijana wetu wa sasa ni mtihani zaid
Jamani hii kitu ni shida wallah tena hizo tabia zote mimi wangu anazo jamani zoteee mniombee 😭😭😭😭😭
Pole ila simama kama mke sio ushindane nae
@@zayumar2955 asante maa
🤣🤣🤣🤣ww
@@thequeenawifeofking8518 ❤️😘
Yaani,Mungu tusaidie ni shidaaaa!!Naomba nije kuwa mama mkwe bora kabisaa
Aunty Sadaka sio vijana wote wana akili hyo
Maneno matamu madada zangu 🙏🇹🇿🇬🇷
Kwa mila za Zbar mtoto anapojifungua mimba ya 1 huwa anakwenda kukaa arobaini kwa mama yake mzazi . Mimba zinazofata atakaa kwake na mama yake atamfata huko.
Kuna zingine familia sio zakwenda kuolewa jamani mimi wakati nilibeba mimba nyumbani wameniziraga kwao na baba mtoto wangu nikaka kwao na baba mtoto wangu ningali nafikatu nikamuona mamake mdogo anakuja kanambia apakwetu hatutaki mwanamke mvivu wana mchoyo 😂badae nikakutana nawanawake wameolewa kwaiyo familia wakanambia gisi yakuishi nao yani unatakiwa kazizote zamwaiyo familia ufanye wewe uamka sa11 asubuhi ndo wanapenda nawakiwa nashuhuli wala msiba kazi zote wakwe ndo mnafanya nakwakweli walinipenda sana sikuwa mvivu wakazi basi mke wababa mtotowangu naskia nimvivu bala afu mchoyo ana achika kilasiku juya mama kwe anamtukana eti heri ninge olewa mimi😭😂😂😂
SNS tafuta watu wa copyright waje waongee on deep about this isue of zunguka
Huji wa pilipil hapn ten yanafany maziw yanakuw mepesi
Mama mkwe mbeya😂🤣😂🤣😂🤣Sasa atakuwa mama mkwe M Arusha😜😜😜😜😜
Mama mkwe wa mbeya nilikutana nayo mimi wew sito sahau akinikataa kabla ya kuonana na mtoto nilinyanganywa niende kwetu yeye alee 😭😭😭😭
@@tanzaniaafrica7019 Pole mpenzi
Mama Ashura ni kivurunge 😀😀
@@tanzaniaafrica7019 pole mamy
Wanawake wa siku hizi ni viraza, Awajui kusoma hisia za mama mkwe.
Wao wameweka vichwani mwao kuwa mama mkwe ni wabaya.
#HonMichaelDeusdedityKessy
Bahati mbaya saaana wanaokusikiliza Ni wachache natamani hili somo lingefika mbaali maana Ni la muhimu
Nimesikiliza wote 7 ila sijajua perfect ni yupi kati ya hao 7?
Jamn waolewaji nao wanakujaga na maajabu