MAMA ANAYELALA NJE MIAKA 11 AANGUA KILIO - MKASA WAKE WAMUHUZUNISHA BANANGA - AHAIDI KUFANYIA KAZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 месяцев назад

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @ttss7716
    @ttss7716 5 месяцев назад +2

    Mpaka nimelia maskini jamani watu wamekosa imani jamani 😢😢😢

  • @adelaidekalongora5417
    @adelaidekalongora5417 5 месяцев назад +1

    Pole sana mama mkwe wangu Mungu atakupambania utapa haki yako MAMA

  • @fudasiakishe15
    @fudasiakishe15 5 месяцев назад +3

    Ushauri wangu ni huu! Serikali imsaidie kupata kiwanja na jamii isaidie kumjengea nyumba. Hata akisaidiwa kurejea hapo hataishi kwa amani. Anaweza kusaidika kwa uwezo wa muumba wetu

  • @WardaShayo
    @WardaShayo 5 месяцев назад +3

    Pole dada mwachie mungu

  • @halimaabdi4829
    @halimaabdi4829 5 месяцев назад +3

    SubhanaAllah 😢

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 5 месяцев назад +2

    Kila mtihani unamakusudio yk mwenyezi mungu hatakusimamia

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 5 месяцев назад +1

    Huyo dada mtuy nipen mim mjinga san hii tz yetu mungu wangu

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 5 месяцев назад +3

    Mungu atakusaidiaa ndio mfalmea

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 5 месяцев назад +2

    Unakuta watu wanamlaumu makonda ambaye anasaidia wanyonge wameshindwa kumsaidia huyu mama ambaye analia kwa uchungu bananga msimamie huyu mama apate haki yake

  • @gracemsaki1561
    @gracemsaki1561 5 месяцев назад +1

    Naomba globo vip ike kesi ya yule dd Rosi wa zanzabar? Na sharifa? Mbona kimya

    • @gracemsaki1561
      @gracemsaki1561 5 месяцев назад

      Mbona kimya Rozi aliekatalia na mtt wa mzungu

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 5 месяцев назад +1

    Walahi nimelia kwa uchungu alonayo pole mama .serekali wamesikia

  • @JimmyStarter
    @JimmyStarter 5 месяцев назад +1

    Kiukweli sijui nchi hii dhuluma itaisha lini mimi ukinidhulumu nakuadhibu nadunia kote itakua gumzo inaumiza angalia mama wawatu anavolia

  • @safyaaltoqi205
    @safyaaltoqi205 8 дней назад

    Pole sana mama mungu a anakuona

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 месяцев назад +2

    Huyo wifi kwa nini asichukuliwe hatua kweli hii Inchi hii kwa sasa hatuna serikali kweli. Huyo wifi ananguvu kiasi gani mpaka kufanya hivyo?

  • @frolageorgebalole
    @frolageorgebalole 5 месяцев назад +1

    Kaziyamakonda hiyo chap 2

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад +1

    Subuhanallah😢

  • @SalimZahor-y1j
    @SalimZahor-y1j 5 месяцев назад +1

    Kwakweli ukipita hapo kwao wanatia huruma

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 5 месяцев назад +1

    Makonda kiongozi bora

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 5 месяцев назад +1

    Kuna watu wanateseka sanaa daaaa

  • @mangobase
    @mangobase 5 месяцев назад +1

    Sasa waislam mko wapi?

  • @EmanuelmassaweMassawe
    @EmanuelmassaweMassawe 5 месяцев назад +1

    Kunawatu wanapitia wakati mgumu sana dha😭😭

  • @rahma6189
    @rahma6189 5 месяцев назад +2

    Kwani serekali ikowapi

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 5 месяцев назад +1

    Bananga hapo umeongea kweli kabisa

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 5 месяцев назад +2

    Makonda effect

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 5 месяцев назад +1

    😢😢😢

  • @AwadAbedalla
    @AwadAbedalla 5 месяцев назад +1

    🇪🇸🤔👍❤❤❤🤲🤲🤲