Mama Samia tatizo lako mpole sana. Kiongozi mara nyengine uwe mkatili. Ikiwezekana ufukuze hasa wanaoiba. Wakati wa Magufuli wengi walinyooka hao. Ila ww unawachekea sana.
Pole sana Mama Yetu Samia kwa yanayotikea kwa fedha za Halmashauri. Dawa ya tatizo hili ni kuchukua hatua thabiti. Hakuna jawabu jingine. Jambo jingine ni kueneza awamu hizo ya hela za Halmashauri zipelekwe kwenye vikundi vichache kwanza, chini ya usimamizi imara. Baada ya hapo ndipo hatua nyingine za kuongeza mikopo zichukuliwe iwapo mafanikio ya awali ni ya kuridhisha.
I am just laugh loud to hear leader without division, kwanini pesa kubwa kiasi hicho msiundi viwanda japo vitatu kwa mwaka kwa kila mkowa , ila kwa kugawa pesa kama njugu kwa masikini watazila kama njugu
Kwa wz huo mtawanyekea wazungu mpaka mwsho Wa dunia ,upumbavu Wa wafrika anafungwa aliye kamatwa na gongo au KUKU lakn wanaoiba mabliion huachwa huru,ndiyo afrika.viingoz wajinga tens mambumbumbu,
Tatizo lako mama wameshakusoma tangu siku ya 3 ulipoingia ikulu huchikui hatua utapigwa sanaa..
Mama Samia tatizo lako mpole sana. Kiongozi mara nyengine uwe mkatili. Ikiwezekana ufukuze hasa wanaoiba. Wakati wa Magufuli wengi walinyooka hao. Ila ww unawachekea sana.
Anatumua sna misemo 😰
Tatizo mama umpole sana COPY ATA KIDOGO KWA BABA 😭
Pole sana Mama Yetu Samia kwa yanayotikea kwa fedha za Halmashauri. Dawa ya tatizo hili ni kuchukua hatua thabiti. Hakuna jawabu jingine. Jambo jingine ni kueneza awamu hizo ya hela za Halmashauri zipelekwe kwenye vikundi vichache kwanza, chini ya usimamizi imara. Baada ya hapo ndipo hatua nyingine za kuongeza mikopo zichukuliwe iwapo mafanikio ya awali ni ya kuridhisha.
Asante mama
JPM alidhibiti akafanya ya maana haya KIGOGO umeshindwaje?
Washatuibia
Wafukuzwe tu hao. Kama alivokua akifanya magufuli
I am just laugh loud to hear leader without division, kwanini pesa kubwa kiasi hicho msiundi viwanda japo vitatu kwa mwaka kwa kila mkowa , ila kwa kugawa pesa kama njugu kwa masikini watazila kama njugu
Watanzania wananjaa pesa izi wanazitaji sana izi pesa za bure hata km mtu ana shida na pesa radhima akazichukue
Hana lolote huyu mama!!! Utwaambiaje wezi wakawakamate wezi wenzao? WE!
KUAGIZA TU, HAKUNA KUWAJIBISHA?
Weweee
Zitafutweeee hizoo
Kwa wz huo mtawanyekea wazungu mpaka mwsho Wa dunia ,upumbavu Wa wafrika anafungwa aliye kamatwa na gongo au KUKU lakn wanaoiba mabliion huachwa huru,ndiyo afrika.viingoz wajinga tens mambumbumbu,
Tazama jinsi kijana mzalendo anavyochapa kazi kumuunga mkono Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
ruclips.net/video/Z68nT5lOHpU/видео.html