RAIS SAMIA AMTAJA JOB NDUGAI kwenye UZINDUZI WA IKULU - "NAJUA YUPO HAPO KATIKA MCHANGANYIKO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 61

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 Год назад +4

    Hongereni Sana Mmeliheshimisha Taifa letu

  • @isackakyoo6446
    @isackakyoo6446 Год назад +5

    HONGERA RAIS WA TANZANIA, Hongera Tanzania, Hongera Watanzania kwa mafanikio haya.

  • @JustineMwarabu
    @JustineMwarabu Год назад

    Ongela sana rais wetu mungu akulinde sana mim nakuaminia mama akuna Kama mama

  • @sureking7488
    @sureking7488 Год назад +7

    Yupo huku amekaa kwenye meza moja na haji manara

  • @sitambuisunga1865
    @sitambuisunga1865 Год назад

    Habari za leo

  • @abdulrisassy2488
    @abdulrisassy2488 Год назад

    Atakuwa kule back bencher😁

  • @zuzusubstation
    @zuzusubstation Год назад +1

    Kaka yetu mzee wa "Atake Asitake Tutamuongezea tu" Najua yuko hapo kwenye mchanganyiko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TwalibuMsharaba-xh5xz
    @TwalibuMsharaba-xh5xz Год назад +3

    Tutakukumba daima baba yetu hakika pengo lako alitozibika daima bd unaishi ktk nyoo zetu😢😢😢😢😢

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      WEWE MKUMBUKE HUYO MAGU ALIE JENGA KWAO CHATO SISI TUTAWAKUMBUKA KIKWETE NA MAMA SAMIA KWA KUJENGA CHAMWINO KWA BABA WA TAIFA JULIUS NYERERE

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 Год назад

      @@salimmalaka256 alieasisi huo UJENZI ni nani?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      @@salymkitumbika8644 ALIE TIA MKAZO NI WA IKULU KUJENGWA NA NYUMBA ZA MAJENGO ZA MAWAZIRI HAPO CHAMWINO NI KIKWETE NA ALIE AMRISHA KUJENGWA NI MAMA SAMIA

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      @@salymkitumbika8644 MAGU ALITAKA KUUWA HISTORIA YA CHAMWINO NA BABA WA TAIFA JULIUS NYERERE NDIO MAANA KAJENGA KWAO CHATO ILI AJULIKANE YEYE MILELE

  • @shanelndimbo4138
    @shanelndimbo4138 Год назад +2

    Safi

  • @mwanakijijini6604
    @mwanakijijini6604 Год назад +1

    Much love mama

  • @DomyMahai
    @DomyMahai Год назад

    Duuu❤❤

  • @feiz3180
    @feiz3180 Год назад +2

    Ikulu sio mali ya chama bali ni mali ya watz wote. Kosa limefanyika kuto waalika wakuu wa vyama pinzani. BIG blunder. Poleni CCM hamujaiva kisiasa.

  • @hashimshaban4675
    @hashimshaban4675 Год назад +1

    Kwahyo Ndugai kutajwa ni habari?

  • @sajadyusufu5150
    @sajadyusufu5150 Год назад +3

    Najua Yupo katika mchanganyiko hahahaha

  • @YalhaFoundationTanzania-mh6pt
    @YalhaFoundationTanzania-mh6pt Год назад +5

    Ndugai ndio nani

    • @Worldunite
      @Worldunite Год назад +1

      Aliyekuwa spika wa bunge

    • @prettymasha2430
      @prettymasha2430 Год назад +1

      Mlinzi wa geti nyumban kwenu 😅😅

    • @Worldunite
      @Worldunite Год назад +3

      @@prettymasha2430 mpeni haki yake hata km alikosea lkn sio kumdhihaki hivyo aisee

  • @respiciusjoseph2293
    @respiciusjoseph2293 Год назад

    JPM for life...

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 Год назад +1

    Mbona makamu wa raisi wa kwanza hajatajwa.Kwani makamu raisi wa pili wa Zanzibar àna kazi gani? Kwa Nini kuwe na makamu wawili nchi Moja?

    • @omarmatata-dc3mv
      @omarmatata-dc3mv Год назад

      Zenj wana serekal ya mseto yani mix government kwaiyo yule ni waupinzan baadh ya nchi wanafnya hiv mixer

  • @PoshoKazumari-hs6fh
    @PoshoKazumari-hs6fh Год назад

    Nyimbo za bongo

  • @bamurwakana7277
    @bamurwakana7277 Год назад

    Ndugai hoyeee

  • @AshaHillal
    @AshaHillal Год назад +1

    Mh mmejua kuchambana yote mjuzi ni Allah nakwake tutarejea

    • @duvaboy
      @duvaboy Год назад

      😂😂😂haluu

  • @khamisthomastambi7262
    @khamisthomastambi7262 Год назад

    😊.k

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 Год назад +2

    Waandishi wa habari bwana😂

    • @duvaboy
      @duvaboy Год назад +1

      😂😂😂😂

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 Год назад

    Mpaka USA imemkataa World DP, sisi ni nani hata tumkubali? Kati ya watanzania wasomi na hao waarabu wasomi, nani zaidi? Je, sio sisi.? Tuna uhakika gani kama majirani wetu hawatatukimbia na kwenda Mombasa? Je, tuna na usalama wa majirani zetu ambao vita vya wao kwa wao ni mateso kwa wanawake na watoto- kama havitaongezeka? Yahu na atuhukumu sisi wananchi wa Tanzania na serikali yetu. Haki inaya yeye muumba wetu.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Год назад

    mchanganyiko una maanisha nini ?

    • @duvaboy
      @duvaboy Год назад

      hayupo katika wageni rasmi bali kaenda kama .....

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 Год назад +1

    NDUGAI???WA NINI ??MUACHENI MZEE WA" ATAKE ASITAKE"

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Год назад +4

    Mnafiki mkubwa

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Год назад +1

    Nchi hii uchawa utakuja kuuwa! Hivi hizo nyimbo zinaashiria ukweli?

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm Год назад

      Nilifikiri nyimbo Za raisi raisi zimekwisha. Bado tupo mbali sana.

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz Год назад

    ruclips.net/video/_3GnLUSGZWA/видео.html
    Ulikuwa ngumu sana lakini...

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 Год назад

    Du

  • @eleonorabokewarioba4420
    @eleonorabokewarioba4420 Год назад

    Wanawaza kuongeza majengo kwa ajili ya starehe zao wakati kuna wananchi wanalala kwenye nyumba za nyasi hata mlango hakuna, upuuzi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад

      KWANI MAGU ALIPOCHUKUWA KILE KIJIJI CHA WAFUGA NG'OMBE PALE CHATO NA KUGEUZA MJI KABISA ULIKUWA WA WALE WENYE NYUMBA ZA MILANGO YA NYASI??? AU ZA NANI???

    • @SilvesterRaphael-xb6it
      @SilvesterRaphael-xb6it Год назад

      ​@@salimmalaka256 usimulinganishe jpm na vitu vya hovyohovyo

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 Год назад +2

      Hata wakiacha sio kwamba njaa itaondoka njaa na maisha duni huondoka kwa kujituma kufanya kazi yoyote ike isitovunja sheria mladi ulete mkate nyumbani

    • @ngalamenoherbal6955
      @ngalamenoherbal6955 Год назад

      ​@@SilvesterRaphael-xb6it mbinafsi yule acha kumtajataja unatukumbusha maumivu makubwa, kwani yule si ndo waliwajibu wananchi kuwa watie gris wakat wanalalamika hali ngumu vyuma vimekaza na anajisifu anasema na bado hizo ni mvua za rasharasha tu mvua kamili bado sijui alitaka tuweje Bora M/mungu alivotuondolea ghasia ile

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      @@SilvesterRaphael-xb6it MTU WA HOVYO YEYE NA USHAMBA WAKE KWENDA KUJENGA KIJIJI CHAKE CHATO KWA KUTAKA SIFA KWA NGUVU NA SIO KWA FAIDA YA NCHI MAGU MPUMBAVU SANA

  • @shanelndimbo4138
    @shanelndimbo4138 Год назад +2

    Safi