Kwaiyo samia suruhu hassan, kama mliwarudisha nchini wapinzani waendelee kutekwa na kuuwawa? Mbona watu wa ccm hawatekwi? viko wapi vyombo vya ulinzinzi wa nchi? Dr ulimboka, roma, mo dewj, Ben saa 8,na wengne wengi wako wap wanaowateka na kuwauwa baadh yao? Vivah 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😢😢
Yaani hapa sijaelewa mama na mifano yake! Yanayopigiwa kelele na wananchi hayazungumzwi! Ila wako bize kuongelea Amani ya Nchi wakati wavunja amani ni wao wenyewe! Mungu tunaomba usimame na wenye haki, Ameni.
Acha siasa mama watu wanapigia kelele masuala ya kutekana na kwamba watu wanapiga tu kelele wewe kama raisi unadhamana ya kulinda raia sasa kama watu wana potea na kuuwawa na wewe raisi hutoi tamko unategemea nn?
Watu hawajaanza kupotea leo enzi za magu wamepotea wangapi.. mbona hamuongea na wala hamjawaza kuandamana. tatizo wabongo mlio wengi kinachowaumiza ni Chuki dhidi ya Waislam. Angetawala mkiristo hapo wala msingewaza kuandamana. Mama raisi fanya kazi achana na maneno ya wapumbavu
Amani haipo nchi inateseka vitu vimepanda bei,, pesa unanunua magoli wakati watanzania wengine hata kupata mia kwa shida je hi ndo tanzania au tanzania ya magoli mama ebu angalia😭😭😭
Kunaraha gani tz nchi inauturivu gan mauwaji kila sku msiwakandamize chadema wakanti wananch wanaumia na sio chadema pekeao watto wanauriwa kwa wakubwa hacheni mambo ya chama
USIWABEMBELEZE HAO MAGUFULI ALIWAHUA UNGO WAO NA UHCOCHEZE WAO HAO WAMEFANYA MIKAKATI WAMEWASHAWISHI MAASKOFU UCHWARA KUFANYA UDINI MSAJILI AFUTE CHAMA CHAO WANAFANYA UDINI
Unapenda sana aman mama yetu anajitahid kuwaonea huruma Lakin hawaelewi nabid washugulikiwe chadema hawapendi aman Kila raisanayeingia madalakan wanaleta ujinga Sasa inabid washugulikiwe kisawa sawa
Acha kutishia watu amani Inchi imetulia wapi wakati watu wanatekwa na kuuwawa??? Mbona Zanzibar hawatekwi??? Kwahiyo unataka waende uhamishon wasiseme mabaya mnayoyafanya?? Kwanini msishughulikie wanaoteka watu na kuwauwa? Au mnawauwa ninyi?? Maana mkiambiwa mnatumia nguvu kuwanyamazisha Hatunyamazi..mpka mtakapo tuuwa wote au mtakapo wataja wauwaji
Lakini kweli mapito tuliyopita ni magumu sana na yanakumbukwa pamoja na aliyetupitisha naye anakumbukwa. Kipimo ambacho mwanadam atampimia mwezeka na yeye atapimiwa hicho hicho
Alokwambia kuna machafuko n nan? Wee ustupande vichwan bana, aliyetuumba katuumba kwa usawa, syo muuwe watu afu mtutishe kwa bunduk ili tusseme, muda wa kuheshimiana ndo huu
Kwaiyo samia suruhu hassan, kama mliwarudisha nchini wapinzani waendelee kutekwa na kuuwawa? Mbona watu wa ccm hawatekwi? viko wapi vyombo vya ulinzinzi wa nchi? Dr ulimboka, roma, mo dewj, Ben saa 8,na wengne wengi wako wap wanaowateka na kuwauwa baadh yao? Vivah 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😢😢
Na unabana mandamo ndio shida
Yaani hapa sijaelewa mama na mifano yake!
Yanayopigiwa kelele na wananchi hayazungumzwi! Ila wako bize kuongelea Amani ya Nchi wakati wavunja amani ni wao wenyewe!
Mungu tunaomba usimame na wenye haki, Ameni.
Nyie ndio makhukutabu tunataka kuwashughulikia
@@mohammedal7864 Hakuna shida!Maana Mungu ndiye anaijua kesho yako na ya kila kiumbe!
Hebu jaribu kisha matokeo utayapata!
Vp mbona hajakujb text yako. Kaogopa 😂😂😂@@usembiphonedar5632
Ni vizuri kama sheria ya makhulukhutaabu zipo na tujuzwe ni zipi.
Mapito yepi utawala wako mama unamatukio sana, machafuko mauaji yamekithiri ubakaji utekaji puuuh
Tuko pamoja mama
Kwani we kibibi aliekuambia tunajiandaa na machafuko nani mbona Mnaukimbia ukweli sisi manadamano yetu ya amani t
Acha siasa mama watu wanapigia kelele masuala ya kutekana na kwamba watu wanapiga tu kelele wewe kama raisi unadhamana ya kulinda raia sasa kama watu wana potea na kuuwawa na wewe raisi hutoi tamko unategemea nn?
Munatekana wenyewe ili mupate sababu ya kuleta MAKHULUKUTABU
Uhai wa mtu ni bora
@@ramadhanimtetu3656kichaaaa ww ujielewi
Watu hawajaanza kupotea leo enzi za magu wamepotea wangapi.. mbona hamuongea na wala hamjawaza kuandamana. tatizo wabongo mlio wengi kinachowaumiza ni Chuki dhidi ya Waislam. Angetawala mkiristo hapo wala msingewaza kuandamana. Mama raisi fanya kazi achana na maneno ya wapumbavu
@@salehkhamis-ob8ln upinde
Ahsante sana mama yetu kipenzi
Mama nimeipenda iyo makhulukutabu
kwer mama yangu mungu akupe maisha marefu mollah akurinde na akupe kauri thabiti mama yangu
Amani haipo nchi inateseka vitu vimepanda bei,, pesa unanunua magoli wakati watanzania wengine hata kupata mia kwa shida je hi ndo tanzania au tanzania ya magoli mama ebu angalia😭😭😭
Walikimbia nchi umewasamee Wana leta nongwa
Makhuku taatabu
Tukumbuke tulikotoka 😢
Mama hao chadema wamezoea waendeshwe km magufuli enzi zke
Mh
Mh. Safi Sana hatutaki mavityu ya hovyo
Mmmmh!
Mimi sioni kiongozi yeyote mwema hata wao wakipewa inchi wataiba tuu kwahyo mama achana nao ww piga kazi
Kunaraha gani tz nchi inauturivu gan mauwaji kila sku msiwakandamize chadema wakanti wananch wanaumia na sio chadema pekeao watto wanauriwa kwa wakubwa hacheni mambo ya chama
Ex wangu pia ni makhulukutabu amezowea adhabu na shida
Huyo ndo Samia Suluhu Hasan hana mchezo kwenye swala la amani
USIWABEMBELEZE HAO MAGUFULI ALIWAHUA UNGO WAO NA UHCOCHEZE WAO HAO WAMEFANYA MIKAKATI WAMEWASHAWISHI MAASKOFU UCHWARA KUFANYA UDINI MSAJILI AFUTE CHAMA CHAO WANAFANYA UDINI
Pumbafu prezidada!!
Tupo pamoja sana mama mitano mingine unayo
Mmhh haya bana mengine tumuachie Mungu
Mitano Tena 👍🇹🇿🙏
Mmmmm
Nguvu hii itumike pia kwenye uhalifu bila shaka uhalifu ungetokomea
Mama washughulikie ipasavyo hao kina mbowe lengo lao nikuchafua Amani tuu bila kujali utulivu upo au haupo Hawana njema chadema
Unapenda sana aman mama yetu anajitahid kuwaonea huruma Lakin hawaelewi nabid washugulikiwe chadema hawapendi aman Kila raisanayeingia madalakan wanaleta ujinga Sasa inabid washugulikiwe kisawa sawa
Bado tuzidi kuwa wafungwa huru
Acha kutishia watu amani
Inchi imetulia wapi wakati watu wanatekwa na kuuwawa??? Mbona Zanzibar hawatekwi???
Kwahiyo unataka waende uhamishon wasiseme mabaya mnayoyafanya?? Kwanini msishughulikie wanaoteka watu na kuwauwa? Au mnawauwa ninyi?? Maana mkiambiwa mnatumia nguvu kuwanyamazisha
Hatunyamazi..mpka mtakapo tuuwa wote au mtakapo wataja wauwaji
Nchi imetulia je wakati watu wanauawa
Acha kumsema jpm, alikua kiongoz mzr xna
Hawana shukrani hata kidogo zimewajaa dharau na kebehi kwa kweli hawana nia njema na nchi yet.
Duuuh Hata waliokufa mmmh
Mama yetu sisitunakupenda haowachache wasikuumize
Achen kumsifia mtekaj mbwa nyie
Kumbe uku sio kwenu bora ulivyo jipambanua . Ndio maana unatuteka na kutuuwa
Huyu lissu atupwe jela
Mmmm jaman ningesema kitu sema mwanashelia wangu yupo ulaya
CHADEMA WAMEISHA LEO 😂😂😂😂😂WATAKIONA CHA MTEMA KUNI😂😂😂😂
Kwili kabisa
Hujui urifanyaro hiidunia haina mwenyewe mama weto.tutaurizwa mama tuyoyacha diniani
Wafikirie kuboresha barabara za vijijin viongozi achen kiki za kutukwepa akat wananchi vjjini tunateseka
Zungumzia matatizo ya wananchi wanaotekwa
Aliaaanzaa hivi hivi mwisho wa siku pyeeeee
Lakini kweli mapito tuliyopita ni magumu sana na yanakumbukwa pamoja na aliyetupitisha naye anakumbukwa. Kipimo ambacho mwanadam atampimia mwezeka na yeye atapimiwa hicho hicho
Ee Mora atujali Aman na upendo watu wanakufa wanatekwa ukatili Ila Mora ajuae maumivu ya moyo yawalio guswa
Alokwambia kuna machafuko n nan? Wee ustupande vichwan bana, aliyetuumba katuumba kwa usawa, syo muuwe watu afu mtutishe kwa bunduk ili tusseme, muda wa kuheshimiana ndo huu
Kama walikua nakosa ulitumia njia gani kuwaacha huru with wana kesi
Kuna watu katika dunia hii huwa hawakubali kutawaliwa na kanuni zake juu yao ni zile zile tu hata Mzee wa Upako Anthony Lusekelo analijua hilo.
Sheria za wapi usije ukafikiri kuwa utafanya kama aliyofanya magufuri kama kutokuandamana ni sheria futeni kwenye katiba
Makurukutabu chadema.
Makhuluku tabu
Asante mama piga kazi atakaetaka kutuvunjia amani vunja miguu akaendani mimi bado sijamaliza raha za tanzania anaeona raha hazitaki toboa macho
Ikitokea Kwa baba Ako utafurahi?
Endeleeeni kuwachekea hao muone kama nchi hii itafanya maerndeleo hamjui ajenda yao
❤❤❤❤
Hii Nchi kweli Ina wenda....,... Wengi sana
@@krispinkomba4606hakika
mama sauti usipo paza sautu ikiwa ya chini .aina mukwaluzo awo makulukutapu watazoweya
Nmekuelewa mh mpaka nmekuelewa ten
Mama wape wanayostahiki hao makhulukutabu❤❤
Uko vizuri mama wameshakuona wew umekua askofu sana nchi haindeshwi na mamlaka 2
Magu alikuwa sahihi wewe wachekee
Safi Mama nakupenda kwajili ya Allah wape kinacho stahili wamezidi
Wameota mikia hao wamesahau walikotoka
Mama YANGU rais wangu tatizo nawewe huruma imezidisana ndomaana wanafikisha kidole mpaka kwenye mboni ya macho yako wanjioshe mama wanyoosheee
Hata kama mm ndo ningekuwa Rais halafu hao wajinga wajipange kuleta vurugu ili ning'oke kwenye kiti yani lazima kingenuka ama zangu au zao.
Gombea utapata
Mama YANGU rais wangu tatizo nawewe huruma imezidisana ndomaana wanafikisha kidole mpaka kwenye mboni ya macho yako wanjioshe mama wanyoosheee
Ujuhii kitu wew watu wana uwawa kila siku. Achen ujinga ccm mbele kwambe uku mmekaliya msumari 😢