Amen, barikiwa sana mchungaji Kimaro kwa neno lenye nguvu,,,nimetiwa nguvu mpya..Mungu anifanye niweze kuzuia mauti katika familia yangu nami nikafunguliwe macho yangu kuona neema zake.
Mahubiri yako ya neo la Mungu yanatoka kinywani mwako huwq yananibariki sana natamani sana siku Moja nifike Katika madhabahu ya KKKKT-KIMARA NA KKKKT-KIJITONYAMA kusikia neno na kubarikiwa kwenu Wachungaji @Dr Eliona Kimaro na Mch Mastai mbarikiwe sana
An hio ndio haja ya mioyo yetu kwani Mungu ni mkuu mwenye kusifiwa sana na ukuu wake wala hautambulikani hvyo yatupasa kunynenyekea chini ya mikono ulio hodari ktk maisha yetu Barikiwa saana mpendwa .
Ninakuombea maisha marefu sana Mchungaji Kimaro. Ninabarikiwa kila nikisikia mahubiri yako yenye hekima, busara na neema nyingi. Bwana Mungu akupe viwango vya juu zaidi na zaidi. Amina
Mungu nakusihi unipe macho niweze kuona uponyaji katika maisha yangu kama Sipora alivyoona kisima jangwani katika jina la Yesu na kwa damu ya Yesu kristo..Ameeeni
Hakika Mch.Kimaro Umehubiri ukweli mtupu sita kubali watoto wangu na Tanzania kwa Africa nzima wakifa Mungu nisaidiye hii neema ya kuzuia mauti izidi kusimama ndani yangu
Sipora alizuia mauti, kwa kumtahiri mwanae Gershom Kwa jiwe! "A wonderful circumcision" ambayo haijawahi kutokea! Mchungaji, asante kutoa ujumbe mzuri na maalum, Dunia imekuelewa! Nami nakuombea baraka tele utujulishe kila siku!
Mchungaji Kimaro, Mungu akuinue zaidi! Leo Kwa mara nyingine, umehubiri ukweli halisi! Dunia imekusikia, nami nimebarikiwa sana! Amen!
Nimebarikiwa sana ! Sana ! Asante wachungaji
Amen, barikiwa sana mchungaji Kimaro kwa neno lenye nguvu,,,nimetiwa nguvu mpya..Mungu anifanye niweze kuzuia mauti katika familia yangu nami nikafunguliwe macho yangu kuona neema zake.
Mahubiri yako ya neo la Mungu yanatoka kinywani mwako huwq yananibariki sana natamani sana siku Moja nifike Katika madhabahu ya KKKKT-KIMARA NA KKKKT-KIJITONYAMA kusikia neno na kubarikiwa kwenu Wachungaji @Dr Eliona Kimaro na Mch Mastai mbarikiwe sana
Yaaan kama mimi vile ila ntaenda ili nikabalikiwe
An hio ndio haja ya mioyo yetu kwani Mungu ni mkuu mwenye kusifiwa sana na ukuu wake wala hautambulikani hvyo yatupasa kunynenyekea chini ya mikono ulio hodari ktk maisha yetu Barikiwa saana mpendwa .
Hii ni haja ya moyo wangu nami pia. Ila nna imani ipo siku
Nabarikiwa saaaana na mafundisho yako mchungaji. Mungu azidi kukuinua.
Hakika Mungu ni mkuu siku zote maishani mwangu🙏
Amina mtumishi wa mungu mungu akubariki sana nimekuelewa mwalimu.
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen Amen mchungaji nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu azidi kukuinua kutoka nguvu Hadi nguvu
Hallelujah glory be to God 🎉🇰🇪
Ninakuombea maisha marefu sana Mchungaji Kimaro. Ninabarikiwa kila nikisikia mahubiri yako yenye hekima, busara na neema nyingi. Bwana Mungu akupe viwango vya juu zaidi na zaidi. Amina
Hio ujumbe ni wangu mungu azidi kukupa nguvu na akulinde kabisa mchungaji amina
Mungu nifungue macho watoto wangu wakifa Bora kufanikiwa katika jina la Yesu amen
Ameni Ameni Ameni Ameni
Mungu nijalie jiwe la sikora
Sipora not Sikora
Amen.This is powerful
Asante mpakwa mafuta wa Bwana,, Yesu Kristo wa Nazareti azidi kuachilia maono ndani yako na kukuinua zaid
Amina. Tunaomba vibali vya uzao bora ndani ya Kanisa na dunia nzima Mwenyezi Mungu. Mchungaji Kimaro ubarikiwe sana
mchungaji kimaro mungu akupee maisha marefu maan mafundisho yako yananfnya niinuke katika maisha ya Sasa kwa kupitia discipline 🙏🙏🙏
Bless u lord amen ❤❤❤
Every day I watch you my spirit is renewed there is God in heaven
kwa kukusikiliza mahubiri yako baba nimepona roho ya mauti,nilikabiriwa na hiyo roho miaka mingi sana,ubarikiwe baba
Hallelujah
Mungu akubariki Baba
Ubarikiwe mchungaji.
Glory to God be with me every day my Lord
Tunakupenda
Amen. Powerful message.
Nazuia mauti katika familia yangu kwa jina la Yesu.
Mungu nakusihi unipe macho niweze kuona uponyaji katika maisha yangu kama Sipora alivyoona kisima jangwani katika jina la Yesu na kwa damu ya Yesu kristo..Ameeeni
Mungu akubariki Mchungaji kimaro kwa Mahubiri Mazuri Amen.
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu umenifundisha jambo jipya kama mwanamke.
Mungu akubariki sana Mch kwa neno lenye nguvu
Amina bb barikiwa sana
Mungu Nipe Neema nione kisima jangwani kama Sipora katika jina la Yesu
Baba ubarikiwe kwa mahubiri yako mazuri 🙏🙏🙏
Niweze kupata mamlaka kama Sipora katika jina la Yesu..Ameni,Ameni,Ameni 🎉
Amina. Baba
Mauti imezuiliwa kwa kizazi changu kwa jina la Yesu. Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
Amen Amen barikiwa mchungaji
Mungu akubariki sana Kwa maubiri yako
Mauti imezuiliwa katika uzao wangu ,kazi ya mikono yangu, ndoa ni ayotarajia katika jina LA yesu maana nabeba jiwe la zippora na Mimi pia
Nazuia mauti ktk familia yangu
Mchj kwa kweli Yesu unayemtumikia nampenda kila itwapo leo ktk mahubiri yako.Mungu nifungue macho%
Amen Mungu akubariki Mchungaji
Mauti imezuiliwa kwangu na familia yangu kuanzia saa hii katika jina la Yesu❤
Ameeeeen Ameeeeen
Amen 🙏
Ameeeen
Amen
Mungu ambariki huyu mchungaji
Ameen mauti haitawafikia wanangu kwa jina la yesu
Nimebarikiwa sanaaa
Hapo kwenye kulala kushindana na maiti nimecheka,ubarikiwe baba
Amen Amen Baba
Amen kweli neno la Mungu ni nyundo neno hili likawe mbegu kwangu
Ameeen🙏🙏🙏
Good.
Bwana nione kama ulivyomuona hajir nisione kijana akifa watendee vijana wangu uwezo wakufanyia kazi vipawa ulivyowabariki navyo toka tumboni mwangu Amen
🙌🙌🙌🌧️
Amen baba
Ameen
Ni maji ya chupa tu bwana atafungua kisima katika jina la Yesu amen
Amen mtumishi ubarikiwe sana umenena kweli naomba Neema hii ikawe juu yangu na familia yangu yote
Mchungaji Mungu akuongezee, hiyo neema, Mimi utaniuwatu sasa
Amen🙏🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Amina!!!🇹🇿🇺🇸🇹🇿
Hakika Mch.Kimaro Umehubiri ukweli mtupu sita kubali watoto wangu na Tanzania kwa Africa nzima wakifa Mungu nisaidiye hii neema ya kuzuia mauti izidi kusimama ndani yangu
Huyu mchungaji nampenda Sana mm amenibadilisha sna
Sipora alizuia mauti, kwa kumtahiri mwanae Gershom Kwa jiwe! "A wonderful circumcision" ambayo haijawahi kutokea! Mchungaji, asante kutoa ujumbe mzuri na maalum, Dunia imekuelewa! Nami nakuombea baraka tele utujulishe kila siku!
Mungu nipe neema nione kisima jangwani niweze kupata mamlaka kama zipora
Mungu nifungue macho yangu nione kisima jangwani
Ameni
NEEMA YA MWANAMKE YA KUZUIA MAUTI 🙏
Nilishindwa kuzuia mauti kwasababu nilinyimwa ruhusa na mpaka Leo inaniuma najilaumu kwann Tu nisingeenda .Mungu Tu anisaidie
Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏 mimi ni Ziporah
Amen. Mm ni sipora kwa jina la yesu.
MUNGU NIFUNGUWE MACHO YANGU NIONE KISIMA KWAAJILI YA UZAO WANGU
Amen 🙏
Barikiwa sana Baba mchungaji .Hakika hili neno la Leo limeingia rohoni
Kwenye tivii naomba kujua chaneli Gani kwenye king'amuzi Cha Azam naomba mniambie mwenye kujua
Mimi ni sipora
Maji ya chupa yapoisha,Yesu nifungue macho,Yesu nisione kijana akifa.
Nakupendaga Rev .Ila ilo kanisa lililokualika Leo halifai. Makanisa ya wanawake masuruali ??? Kwel??
😅😅
Hahahahahahaha
Amen barikiwa sana mtumishi Mungu.
Amen 🙏
🙌🙌🙌🌧️
Amen
Amen.
🙌🙌🙌🌧️
Amen 🙏🙏
Amen
Amen
Amina
Amina
Amen