HATIMAYE NDACHA KUSILIMU, AWEKA UKWELI WOTE HADHARANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 80

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s Месяц назад +1

    Fantastic!!!!

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 месяца назад +10

    Wakristo hamna mchungaji hapo leo unakataa Mariamu siyo mama wa yesu hajabu kubwa sana hata wakristo wenzake wanashaa na kumshangaa Ndacha haibu kubwa kwake

    • @danielhalimenshi4649
      @danielhalimenshi4649 2 месяца назад

      Mie simshangai kabsa maana Mariam si Mama ake yesu ila ni njia aliyopitia kuja Dunian maana Yesu alikuwepo hata kabla ya Mariam

    • @evansotieno9692
      @evansotieno9692 2 месяца назад

      MAMA YANGU SIO MAMA

    • @JohnNicolaus
      @JohnNicolaus Месяц назад

      @@evansotieno9692 Safi kabisa hawa Waislam hawaelewi chochote wanahangaika kuchekeshana tu ostadhi katoa jibu ambalo sio sahhi

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 3 месяца назад +5

    Allahu Akbar

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 2 месяца назад +7

    Wewe ndacha unacheza na wasomi wa Kiislamu utaibika

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 3 месяца назад +4

    Yaani huyi ni inna lillah wainailaih rajuun . Anaropoka hovyo.

  • @Afrobo-4
    @Afrobo-4 2 месяца назад +3

    I love you Islam❤❤❤❤❤❤❤

  • @rashidsaid8821
    @rashidsaid8821 3 месяца назад +7

    Ndacha hana sababu tena hoja zishaisha Allah ampe taufiq ya Shahada

  • @rashidsaid8821
    @rashidsaid8821 3 месяца назад +5

    Aamin

  • @SamuelAbio-m2c
    @SamuelAbio-m2c 2 месяца назад +1

    Lovu you Christians

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s Месяц назад +1

    Ndacha ana mkataa mama ake yes uyu vip tena

  • @hafifayusuph3781
    @hafifayusuph3781 2 дня назад

    Ndacha kishaanza kuchanganyikiwa,abadili tu dini awe muislam

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 месяца назад +2

    Mazinge ujifunze kwa vijana wa kenya

    • @farzanarashidrashid
      @farzanarashidrashid 2 месяца назад +1

      Wacha Uchonganishi Makuwewe Huyo Unaemtaja Ndio Muanzilishi Wahayo Mambo Yeye Nimwalimu Kwa Midahaloyote Chunga Manenoyako

  • @kaderbakshamin2345
    @kaderbakshamin2345 2 месяца назад +1

    Ndacha silimu tu usile matapishi yako ni ahadi uliyoitoa mwenyewe mukiambiwa wakristo hamukisomi kitabu chenu vizuri haya umeumbuka sasa timiza ahadi yako

  • @hafifayusuph3781
    @hafifayusuph3781 2 дня назад

    Ndacha hoiii hana hamu na masheikh,chezea wasomi wetu mashekh wewe

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 3 месяца назад +2

    Alhamdulillah, Ndacha amesilimu❤

  • @angle3600
    @angle3600 7 дней назад

    Ndacha amevaa kanzu

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 24 дня назад

    Hii kali ndacha kachemka

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 месяца назад +2

    na ile ibada yao
    wakrsto bikra maria mama ......

  • @IbrahimuMgeni-gz5vx
    @IbrahimuMgeni-gz5vx 2 месяца назад +2

    ALLAH mpe taufiq Ndacha asilimu kabla ya kurejea kwako kama ulivyotia taufiq kwa maswahaba wa mtume
    swallaLLAAHU alayhi wasallam

  • @MohamedAhmada-ie7ke
    @MohamedAhmada-ie7ke 2 месяца назад +1

    😂😂wale timu ndacha leo watapita 2 kama hawaoni

  • @dulividuli5237
    @dulividuli5237 Месяц назад

    Et Yesu hjazaliwa na Mariamu😂😂😂ndacha kashaanz kuchanganyikiwa wakristo amkeni😂😂

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 2 месяца назад +1

    Huyu chizi aaaaah

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 2 месяца назад

    Kweli nyiye ma Kristo hamfahamu

    • @rwabu
      @rwabu 2 месяца назад

      Kwa nyie ma silamu munafahamu!!!

  • @HustMan-jo4ch
    @HustMan-jo4ch 2 месяца назад

    Ndacha ww silimu yaishe wacha kuzingazinga

  • @rashidsaid8821
    @rashidsaid8821 3 месяца назад +2

    Aami

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 3 месяца назад +1

    Ndacha kwisha habari yake takhbir.

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 2 месяца назад +2

    😂😂😂 𝒘𝒂𝒌𝒓𝒊𝒔𝒕𝒐 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒆𝒂𝒔𝒕𝒂𝒇𝒓𝒊𝒄𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊 𝒏𝒅𝒂𝒄𝒉𝒂 𝒔𝒂𝒔𝒂 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒖𝒊𝒔𝒊𝒍𝒂𝒎 𝒏𝒂 𝒏𝒚𝒊𝒏𝒚𝒊 𝒘𝒂𝒇𝒖𝒂𝒔𝒊 𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒏𝒅𝒐 𝒎𝒖𝒆𝒏𝒅𝒆

  • @isihakaabdul1134
    @isihakaabdul1134 3 месяца назад +1

    Ndacha kwisha habari yake ubishi tu ndo umebaki

  • @rehemawanjala-bu5oq
    @rehemawanjala-bu5oq 2 месяца назад

    Bibilia yao iko na contradiction nyingi sana lakini hawazioni nashukuru Mungu alinipa ufahamu na mapema na nikajua kuwa Islam ndio dini ya haki na ufunguo wa mbinguni ni shahada..Alhamdullillah

  • @evansotieno9692
    @evansotieno9692 2 месяца назад

    wapi yesu alimuita mariamu "MAMA YANGU"

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 2 месяца назад

    Ndacha wasikitisha

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 месяца назад

    Wakristo wanachanganywa na viongozi wao, angalia eti muhubiri anawadanganya Wakristo mchana kweupe kuwa Mariamu sio mama yake Yesu.

  • @JohnNicolaus
    @JohnNicolaus Месяц назад +1

    Hakuna mahali kwenye Biblia Yesu akimuita Mariam Mama yangu Ostadh kakurupuka kutoa jibu ambalo sio sahihi

    • @middle6wayanga
      @middle6wayanga Месяц назад

      Maria mtakatif mama wa mungu utuombee ss wakosefu 😂😂😂 mungu yupi huyu mamaake mariamu

    • @KahindiChris
      @KahindiChris Месяц назад

      Apo mkweli. Alisema mama SI mama yngu

  • @NassorroButcher-cu3pg
    @NassorroButcher-cu3pg 2 месяца назад

    Kama hajasilim hii anatakiwa aache uchungaji

  • @JohnNicolaus
    @JohnNicolaus Месяц назад

    Shehe kakosea hajamuskiliza ndacha kwa umakini ndacha amesema aonyeshwe andiko kwenye biblia Yesu akimuita Mariamu Mama yake sasa ostadh anakuja kutoa andiko Yesu akimuita Mariamu Mama sasa kuita mama haimanishi Mama yangu akina Mama wako wengi naye hajasema Mama yangu ndacha yupo sawa sema waislamu ni Comedian tu. Mfn. Ukiita mke na haujabainisha ni mke wa nani bado utakua haop sahihi Kama ni mke wako unaita mke wangu hapo utakuwa umeweka sawa Ndacha yupo sahihi

    • @middle6wayanga
      @middle6wayanga Месяц назад

      Akil huna amueke tumboni miez9 amzae kwa uchungu halafu asiwe mamaake asa ni nan mjombaake au shemej yake kwan nyny si ndo mnasemaga maria mtakatf mama wa mungu utuombee sisi wakosef asa hap po Maria mnamaanishaga ni mama wa nani wako ww au wa ndacha😂😂

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Месяц назад

      Huna akili ww zezeta at uite mke wa mtu mke😂😂😂wakristo akili zenu zimechanganyikan na mafuta ya tas😂😂😅

    • @JohnNicolaus
      @JohnNicolaus Месяц назад

      @@middle6wayanga Rudi kwenye swali la ndacha ndio utaelewa kwanni nakuambia Ostadh kakosea

    • @JohnNicolaus
      @JohnNicolaus Месяц назад

      @@dulividuli5237 Ndacha ameomba aoneshwe mahali ambapo Yesu anamuita Maria mama yangu sio Mama tu amesema mama yangu elewa swali ndipo ujibu swali au haujaenda shule kujifunza kuna swali la A B C D afu yanaletwa majibu yenye mkanganyiko wao wanataka jibu sahhi japo Yote yanaweza kuwa ni majibu lakini wao wanataka jibu kwasababu jibu sahihi lipo hapo kwenye orodha hiy kwahyo ukikurupuka kujibu inakula kwako

  • @KahindiChris
    @KahindiChris Месяц назад +1

    Uongo,,, wamalize kifungu vile imeandikwa. Kwa tafsiri ya English inasema woman. Sio mother. Waislam jaribuni kuwa waelewa basi

  • @ZuhuraAbdulrehman
    @ZuhuraAbdulrehman 2 месяца назад

    Ashakuwa.muislam.ndacha

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 2 месяца назад

    Wakrsto mmekwisha

    • @ZabronMagufwa
      @ZabronMagufwa Месяц назад

      MSicheze na muislam,anajua kuwa dini yake haina wokovu,anataka mfe nae

  • @SamuelAbio-m2c
    @SamuelAbio-m2c 2 месяца назад

    Hakuna mwalimu muislamu anayo fika elimu ya ndacha

    • @abuuhafswa
      @abuuhafswa 2 месяца назад

      inawezekana hamna ila kwa hapo ameshindwa

    • @JohnNicolaus
      @JohnNicolaus Месяц назад

      Hajashindwa sema Ostadh amejibu tofauti na swali

    • @JohnNicolaus
      @JohnNicolaus Месяц назад

      ​@@abuuhafswaNyie ni Comedian kwahyo hata hauskilizi hoja unafuata mkumbo tu

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Месяц назад

      Ndacha elimu katoa wàpi na aliongea yeye mwenyew kuwa hjasoma kaishia darasa la 7😂😂😂unaongea pumba tu hp

    • @maulidimuhani
      @maulidimuhani Месяц назад

      ilaa kumbuka Mwalimu WA NDACHA amesilimu, na nimuislamu, sijui kama unalijua Hilo?

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 2 месяца назад

    Ndacha atachoka

  • @melkizedck
    @melkizedck 2 месяца назад

    Hivi huyo ni NDACHA ninayemfaham au?

  • @ntakirutimanavicent-lj2tn
    @ntakirutimanavicent-lj2tn 2 месяца назад +5

    😂😂😂 Huwezi kua mukristo ukiwa nahakili wallah Tena nibola kuwa freemason kuliko ukristo kwasababu kwenye freemason utanufaika kidogo hapa Dunia ila ukristo utakosa Dunia na Janna nasema hivo kwasababu Mimi kama myaka 3 ukiludi nyuma nilikua mukristo kwahio naujua ni upofu

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 2 месяца назад +1

      Kuna siku umewahi kuwalingania frimasoni

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 2 месяца назад +2

      Ni kweli kabisa Allah akudumishe ktk dini ya hakki

    • @SolomoniRingia
      @SolomoniRingia 2 месяца назад

      Kipofu wewe omba YESU akufumbue machooo...

    • @MohdRash.
      @MohdRash. 2 месяца назад

      ​@@SolomoniRingiashida yenu wakristo hamukubal ukwel mana hata hio biblia yenu hamuikbal munafata matamanio yenu na fikra potofu za wachungaji

    • @BOAZIMPITANYE
      @BOAZIMPITANYE 2 месяца назад

      Hakuna ujinga mkubwa wa kuachana na Ukristo na kuwa mweslamu😂😂😂😂😂😂😂

  • @OLUNGAJOSHMAH
    @OLUNGAJOSHMAH 3 месяца назад

    Mwatumia Aaya hiyo kwa Bibilia
    Zenu..dza tafsiri za ZANZIBAR soma KJV kule tafsiri zote zatoka

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 месяца назад +1

      Muulizaji alitaka andiko kutoka kwenye biblia na alisema likitoka andiko kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo Yesu anamwita Maryam mama.

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 16 дней назад

      Ukiristo umejengwa kwa misingi ya urongo kwa hivyo munatapatapa hamujielewi hata kidogo

  • @kulemohamedmamo8035
    @kulemohamedmamo8035 2 месяца назад

    Stop misleading ndacha

  • @trutharchaeologist
    @trutharchaeologist 2 месяца назад

    DINI na Yesu Kristo ni vitu tofauti , Wayahudi na Waisraeli sio DINI mbali uzao wa damu wa Yakobo,
    Mwanzo wa Yesu sio hapa duniani, Mariamu ni njia tu ambayo Mungu alitumia kuleta Mwokozi wa ulimwengu hapa duniani, Jambo la muhimu la kuzugumzia ni kwanini Yesu akaja Duniani? mbona anaitwa Masihi na siyo Muhammad? Mbona Yupo mbinguni na atarudi tena na siyo Muhammad? Mbona hakuwa na Dhambi? Mbona anaitwa Neno na roho wa Mungu na sio Muhammad? Je , Allah ana Roho? Je Allah ni Baba wa Wayahudi na Waisraeli kwa Jumla? Kwa nini nyakati za Torati wayahudi walichinja wanyama na Damu ya hao wanyama kutumika ili wasamehewe dhambi kama Allah angesamehe tu bila kuhitaji sacrifices? Je, Allah ni Mungu 1 ama ni Mmoja, kwa nini hana Roho? Je Allah yupo kila mahali ama ni kiumbe tu moja vile Uislamu unafunza?
    Je Allah anasafiri kutoka sehemu moja ya mbingu na ardhi kwani yeye ni Mungu hayuko mkamilivu maana Mungu wa Waisraeli na Wayahudi kwa kuwa ni Roho yupo kila Mahali? Huyu Allah asiye na Roho anasaidia nani na tofauti yake na mawe ni nini maana hana Roho wake na pia hana Neno?