Mungu hana ubaguzi .nabii ayubu hakuwa israeli na mungu alimpa utume .kaka kumbuka mbora wao mbele ya mungu ni sikabira furani la hasha ni yule anaemcha mwenyezi mungu .pole sana kwa kupotoshà uma.nimeishi Zanzibar miaka 28 na isramu sijaona mawaidha kama yako.pole shekhe unahitaji kurudi zuoni.mwenyezi mungu akusamekhe makosa yako hayo.Amina
Anaongea hisia zake kwakutangulizia dini, yaani Allah atuhifadhi kwakweli Hawa masheghena maana, na watu wanaitikia AllahAkbar😢😢 anatakiwa azungumzie tabia na si kabira
Aah kwa nilivyomfahm shekhe amezungumza kwa ajili ya kuelimisha jamii wawe na tahathari wakati wa kuchagua wake na waume kwa maisha ya badae yup sahihi shekhe anatoa ukumbusho t.Allah s.w amesema kuwa ktk qur-an tukuf kuwa Ukumbusho unawafaa walio amini kwahy yeye amekumbusha t hy shekh.kwahy mtu kazi kwake kufuata ama kuacha kumfuata👏
Ktk Uislamu binti anaolewa kwa uzuri wake, nasaha yake, mali yake ila akiwa mcha Mungu inatosha. Sheikh amuogope Mwenyezi Mungu. Na hakuna mbora ktk Uislamu awe Mwarabu au mtumwa wa kihabeshi ila amchae Allah ( SW)
Ni kweli kabisa lakini leo hii unaoa kabira wanakula nyoka,panya,paka,mbwa,nyani au mamba na chatu vipi hii imekaaje kwako?kutafuta kabira la mke unayetakumuoa sidhani kama ni ubaguzi kwa watu wa makabira mengine!
nadhani huyu mtu si sheikh!!!! Hakuna yeyote katika Uislamu ambaye angefundisha watu kwamba kuna makabila ambayo yanaruhusiwa kuwa na ndoa, na makabila mengine hayafai kwa ndoa; huu ni ujinga . Makabila yote yanajulikana sana kwa kuwa na watu wema na watu wabaya: ni juu yako wewe ambaye unatafuta kuoa, kujifunza wagombea wa ndoa yako kwa uangalifu, ili ujue mke wako wa baadaye ana angalau sifa zote muhimu za Kiislamu. Lakini hakuna ukabila mbaya kwa ujumla wa kuchukuliwa kuwa huwezi kuolewa. Mcheni Mwenyezi Mungu kwa yale mnayoyasema kwa maamumiina kwa sababu ya elimu yao ndogo katika Uislamu
Binafsi sheikh huyu huwa simpendi kwa kuwa niliwahi kumsikia akishabikia ushirikina kwa uelewa wangu kwa kutetea kuogeshwa mikosi, na hiki anachosema huenda kakosea kufikisha tu. Ila mtume wetu kasema tuoane kwa nasaab ukiangalia hili ukiacha kutaja makabila kuna jinsi ya kutafakari hili, ni vyema kila mtu aoe kwao na kama sio basi oa muumini wa kweli nasi ucha Mungu na uislaamu wa majina na mazoea
Ndoa njema hutoka kwa Mwenyezi Mungu, kila kabila lafaa kwa ndoa. Mafarakano au maelewano ni swala la ninyi mliooana, ni mambo ya kibinadamu. Ndoa ya kweli ikiwa takatifu basi na ss tukiwa ovyo, hakuna ndoa. Tunazidiwa na tamaa wala c vitu avitajavyo huyo sijui shehe sijui maalimu.
Huyu kukosea sana tena sana “ me ni muislam ila huyu anafaaa kuchukuliwa hatuwa zaidi” anataka kupotesha Jamaa na kufanya wagombane na kuachana walio ndani ya ndoa” hana elimu hata kidogo mjinga haswa” kuongea utumbo kama huu”
Mtume swalla LLAAHU alayhi wasallam anasema :"likichegezwa jambo kwa asiekuwa mwenyenalo, basi mtegee MAHARIBIKO". Na haya ndio maharibiko yenyewe sasa!!
Kwa ALLAH Hakuna Kabila Acha kutia ubinafsi Kwa kuingia kwenue Dini Sasa wasielewe Kwa kuwa hawastahiki Au vipi Kabila zimekwtwa na Binaadam ila Kwa Mungu Kuna Binaadam na SI mdharamo Wala mchanga WW oama bakhili kalaga baho na ubozi wako
Kuna mambo hayakuoaswa kusikia ktk hadhira hii,khutuba ya maneno ya Allah isifanane na porojo za kidunia,sawa unapohutubia pia kuvuta usikivu kupo lkn shekh mengine su saw kuyasema ktk hadhira kama hiyo,samahani una Ilimu ya dini basi rekebisha namna ya maneno ya kusema ,zama ktk kitabu Cha Allah na hadithi za Mtume mtukufu
Mawaiza gani hio ya ubaguzi mke mwema ni mwenye hofu ya mungu na sio mwenye ujuzi wa kimapebzi ww shekhe una upwiru ulijuwaje makabila ya kujuwa mapenzi umezini sana ww
KWA KWELI INASIKITISHA KUSIKIA MTU MZIMA KAMA HUYU ANAKASHFU MAKABILA KIBAYA ZAIDI ANIJIITA SHEKH HAWA NDIO WANAO HARIBU SIFA YA DINI YETU NZURI YA UISLAM
Mbona muaduchanganyA bana, mimi itikadi yangu hakuna cha ukabila Mwenyezi mungu amesema waliowema , Sio wenye kabila tukufu, na isitoshe Mtume Muhammad s.w amesema tuhangalie dini sio kabila! Na wa Islam ni ndugu ukabila munaitoa wapi?
*Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.* hii ni aya ya kumi na tatu kutoka sura hujurati ya imezuia kutaja hivyo ubaya zaidi katika makabila zaidi ya kufahamiana . Tumefundishwa katika dini kitazama zaidi kooo na si ukabila
Nyerere alifanya kazi kubwa kuunganisha Taifa hili. Makabila yaliyokuwa na nguvu na Machifu kama Wasukuma na Wachaga akawapiga marifuku. Uchifu akaua! Leo mnaanza kuongea mambo ya hovyo!! Hamna mambo ya msingi kuongea, kama kupeleka watoto shule?!
Mungu hana ubaguzi .nabii ayubu hakuwa israeli na mungu alimpa utume .kaka kumbuka mbora wao mbele ya mungu ni sikabira furani la hasha ni yule anaemcha mwenyezi mungu .pole sana kwa kupotoshà uma.nimeishi Zanzibar miaka 28 na isramu sijaona mawaidha kama yako.pole shekhe unahitaji kurudi zuoni.mwenyezi mungu akusamekhe makosa yako hayo.Amina
Kweli kabisa
mungu akusaheme pole na huo ukabila wako
Kweli kabisa
Allah akuongoze Shekh huo no ubaguzi wa makabila na nikatika mambo ya jahiliya mbola mbele ya Allah na mchamungu sio kabila flank mche Allah shekh
Mche Allah sheikh unachupa mipaka huna ushahidi naunacho hongea
Nataka munyamwezi ao msuguma jameni
Kwa maneno haya, hakuna Sheikh hapo
Very foolish indeed
Kweli kabisa
Huo ni ubaguzi shekhe mke mwema ni aliye na hofu ya Mungu
Mh
Huyu nimpuuz kama wapuuz wengine hakuna analolijua ye anajiropokea2 subhana llah
Anaongea hisia zake kwakutangulizia dini, yaani Allah atuhifadhi kwakweli Hawa masheghena maana, na watu wanaitikia AllahAkbar😢😢 anatakiwa azungumzie tabia na si kabira
Mwanamke mzur niyule anae jua hof yaallllaaah
Kweli
Tabora Mji wangu Naupeda sana😂😂😂👏👏👏
Shekhe wangu we kasome uwerewe dini vizuri aumekosa kazi fundisha dini ya allah siokufitini
Allah s.w. ndio ajuaye❤❤❤
Naam
Aah kwa nilivyomfahm shekhe amezungumza kwa ajili ya kuelimisha jamii wawe na tahathari wakati wa kuchagua wake na waume kwa maisha ya badae yup sahihi shekhe anatoa ukumbusho t.Allah s.w amesema kuwa ktk qur-an tukuf kuwa Ukumbusho unawafaa walio amini kwahy yeye amekumbusha t hy shekh.kwahy mtu kazi kwake kufuata ama kuacha kumfuata👏
Asalam alaykum.Binafsi mimi sijaelewa somo hili shekhe unalolitoa.Japo pia mimi siyo mjinga sana katika uislamu wangu.
Mbora ni mchamungu❤
Sheikh mke mwema ni yule mwwnye kumtwii Allah swt n sio katka ukabila
Mimi ni mkristo lakini nadhani mtume alioa kabila tofauti ili kujenga ukaribu na kabila nyingi nakuondoa chuki za kikabila
Kweli kabisa! Na sheikh ameteleza maana mtume s.a.w. alisisitiza kuzingatia dini na tabia njema pekee.
kweli yako mtume amepinga mambo ya ukabila kabisa. sheikh kakosea
Hukun shekhe apo hao ndo wanatuharibia dini yetu tuonekn waislm tuna ubaguz kumb ni vimtu tu vidg vdg shekhe hkn apo
kiukweli ndugu upo sahihi
Ndio umesema kwel
Sana shekhe Tabora ndio haswaaaa😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤😅
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
Umichanganya sana katka Uislamu hakuna unayo sema katika Uislamu kuna sifa za mwanamke sio ukabila.
Kweli kabisa
Ktk Uislamu binti anaolewa kwa uzuri wake, nasaha yake, mali yake ila akiwa mcha Mungu inatosha. Sheikh amuogope Mwenyezi Mungu. Na hakuna mbora ktk Uislamu awe Mwarabu au mtumwa wa kihabeshi ila amchae Allah ( SW)
Kweli sheikh wangu
Changulanga❤❤❤ kwa wasukuma uongo hatuoii hivyo
Wanyaturu warangi wasambaa shehe wngu hap utanisamehe nawapenda sana hawa watu aisee
Kumbe wanyamwezi ni washirikina poleni sana Tubieni laa sivyo ALLAH ataporomosha matendo yenu mema
Unamatusi sana.Hufai kwa kweli
Yani wewe mungu akusamehe
Mithali 11:14
[14]Pasipo mashauri taifa huanguka;
Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu.
Sheikh mtume alipinga ukabila na kusema ni harfu mbaya
Ni kweli kabisa lakini leo hii unaoa kabira wanakula nyoka,panya,paka,mbwa,nyani au mamba na chatu vipi hii imekaaje kwako?kutafuta kabira la mke unayetakumuoa sidhani kama ni ubaguzi kwa watu wa makabira mengine!
Mh
ان الله لا ينظر الا اصاواركم واجسامكم ولكن ينظر في قلوبكم......@@zvpOnlineTv
Huyu nae katokea wapi???😮unaleta ukabila Dini gani hiyo ilisema kaowe Tabora,Tafuta mke Mwema Sio kabila halita kusaidia
@@RamadhaniLukambuzi❤❤
Uyu shekh namkubali sana
Weye kasome kwanza kwasababu bado hajajua nani shekh
Shekhe mimi nimekuelewa sana
Shee uko vizuri
nadhani huyu mtu si sheikh!!!! Hakuna yeyote katika Uislamu ambaye angefundisha watu kwamba kuna makabila ambayo yanaruhusiwa kuwa na ndoa, na makabila mengine hayafai kwa ndoa; huu ni ujinga .
Makabila yote yanajulikana sana kwa kuwa na watu wema na watu wabaya: ni juu yako wewe ambaye unatafuta kuoa, kujifunza wagombea wa ndoa yako kwa uangalifu, ili ujue mke wako wa baadaye ana angalau sifa zote muhimu za Kiislamu.
Lakini hakuna ukabila mbaya kwa ujumla wa kuchukuliwa kuwa huwezi kuolewa.
Mcheni Mwenyezi Mungu kwa yale mnayoyasema kwa maamumiina kwa sababu ya elimu yao ndogo katika Uislamu
Inasikitisha Sana Waislamu kupotezewa muda kama hivi, na kutofundishwa Dini Yao kiusahihi 😢
Tabora Tabora Tabora!, ondoeni hii AIBU!
Wachawi navunja na kuteketeza kwa jina la Yesu na la mtume Muhammad
Duh
Tumia jina Muhammad peke yake uone😅😅
@@juliusmsegu3347ushawahi kisikia tunaomba kwa jina la Mtume?ss huomba kwa jina la Mungu tu
we unazingua shee mm muislam ila kitabu kitukufu aakuna haya inayosema ishu izoo za ukabila acha kupotosha
Hotuba ya hovyo sijawahi kuona, ubaguzi, ukabila, ubinafsi wa kiwango cha fly over
Hamna Mungu hapo.
Tangu enzi na enzi yapo makabila ambayo Mungu aliwazuia watu wake kuoa au kuolewa nayo kwa sababu ya wana tabia za kuwatoa watu katika njia za Mungu
Binafsi sheikh huyu huwa simpendi kwa kuwa niliwahi kumsikia akishabikia ushirikina kwa uelewa wangu kwa kutetea kuogeshwa mikosi, na hiki anachosema huenda kakosea kufikisha tu. Ila mtume wetu kasema tuoane kwa nasaab ukiangalia hili ukiacha kutaja makabila kuna jinsi ya kutafakari hili, ni vyema kila mtu aoe kwao na kama sio basi oa muumini wa kweli nasi ucha Mungu na uislaamu wa majina na mazoea
Allahu akbsr
Pumbuvu unafundisha Nini ubaguzi tu
Duuuh subhanalah Allah akusamehe na atusamehe sote
Ndoa njema hutoka kwa Mwenyezi Mungu, kila kabila lafaa kwa ndoa. Mafarakano au maelewano ni swala la ninyi mliooana, ni mambo ya kibinadamu. Ndoa ya kweli ikiwa takatifu basi na ss tukiwa ovyo, hakuna ndoa. Tunazidiwa na tamaa wala c vitu avitajavyo huyo sijui shehe sijui maalimu.
Ah ngoja atufunze ili kila mtu kwa upande wake ajiangalie usimkosoe fikilia anachokisema usifanye ma'amuzi tu bila kuelewa
Kumbe wanazuoni ni wamalhayata duniya.
Huridhiki na kile Allah alichokujalia.
Mh
Sheikh mche mola
We si shekh ila we mpenda kula
Huyu kukosea sana tena sana “ me ni muislam ila huyu anafaaa kuchukuliwa hatuwa zaidi” anataka kupotesha Jamaa na kufanya wagombane na kuachana walio ndani ya ndoa” hana elimu hata kidogo mjinga haswa” kuongea utumbo kama huu”
Ukweli kabisa wewe ndomujinga sana wallah
Hamusimiu kweriii ndoahida sana sema wewe ukweli kabisa ✊✊✊
Kakosea sana
Aisee tunapoelekea sijui Allah ndo mjuzi zaidi
Yupo sahihi tangu zamani hata Mungu alizuia watu wake kuoa au kuolewa na baadhi ya makabila
Umechemka sanaa
Nakupa majib sheikh wangu kupitia quran….
Quran inasema inna khalaqnakum mindhakarin waumth wajaalnakum shuuba wakabaaila litaarafun inna akramakum inndallahy atkaakum..
YAAN MUNGU ANASEMA ENYI WATU NIMEKUUMBENI WANAUME NAWANAWAKE NANIKAJAALIA MATAIFA MBALIMBALI ILI MJUANE LAKINI MMBORA KWENU NIMSHAMUNGU…
Mtume Alipigavita ukabila nakujifakhrisha kwa kabila
Mtume swalla LLAAHU alayhi wasallam anasema :"likichegezwa jambo kwa asiekuwa mwenyenalo, basi mtegee MAHARIBIKO".
Na haya ndio maharibiko yenyewe sasa!!
Hajui hata kusoma matamshi ya quran
Mashallah allah akulinde uko wap tabor❤❤❤❤❤
Huyu shehe anafirwa mambo aya yametokea❤wapi kumamake pumbavu zako na matako yako pumbavu usianze watu wakutukane
We ndo kitobo mtume alilingania kwa matusi uliyekosa radhi ya mama ako hanithi mmoja wewe
Hakuna shekhe hapo
Msamehe bule,,, Njaa mbaya
Duh 😂😂😂😂
Kwa ALLAH Hakuna Kabila Acha kutia ubinafsi Kwa kuingia kwenue Dini Sasa wasielewe Kwa kuwa hawastahiki Au vipi Kabila zimekwtwa na Binaadam ila Kwa Mungu Kuna Binaadam na SI mdharamo Wala mchanga WW oama bakhili kalaga baho na ubozi wako
Kuna mambo hayakuoaswa kusikia ktk hadhira hii,khutuba ya maneno ya Allah isifanane na porojo za kidunia,sawa unapohutubia pia kuvuta usikivu kupo lkn shekh mengine su saw kuyasema ktk hadhira kama hiyo,samahani una Ilimu ya dini basi rekebisha namna ya maneno ya kusema ,zama ktk kitabu Cha Allah na hadithi za Mtume mtukufu
Mashallah umeongea ukweli kabisaaa Allah akulipe
Sheikh wangu upo sahihi kabisa kabisa wasio na Ilimu ya ndani hawatokuelewa Abadani
Mawaiza gani hio ya ubaguzi mke mwema ni mwenye hofu ya mungu na sio mwenye ujuzi wa kimapebzi ww shekhe una upwiru ulijuwaje makabila ya kujuwa mapenzi umezini sana ww
Huyu sio shekhe huyo ni muhuni kama wahuni wengine
Mnyaturu, mumakonde, mnyamwezi na munyanyema
Mungu amsamehe huyu mjinga
Huyu shekhe nae kapagawa tu hana cha maan kwaiyo hao waolewe na nan?
WACHA KUPOTOSHA HATUKUAMBIWA KABILA GANI TUSIOE TABIA ZA MTU NDOKILAKITU . NA SIO KABILA
Hufai kuitwa sheikh ndio uongoza nini
Hana akili chizi
Shekhee zaidy makuburi 😂😂😂😂 mboka repapric
Hamna sheykh hapa hyu hajui lolote na km anajua anitafute tuweke munakasha me na yy na me napatikana dar temeke tandika ma'ana anataka kupoteza umma
Kweli shee
Kweli
KWA KWELI INASIKITISHA KUSIKIA MTU MZIMA KAMA HUYU ANAKASHFU MAKABILA KIBAYA ZAIDI ANIJIITA SHEKH HAWA NDIO WANAO HARIBU SIFA YA DINI YETU NZURI YA UISLAM
Huna elimu wewe unaropoka tu
Kweli kabisa shehe Mungu akubariki.
Uislamu unaanza tena ku promote ukabila?
Tanzania hatutaki mambo ya ukabila tuacheni jamani hii tabia ya ukabila haifai haifai haifai
Duu weshee bhana noma
Mm nmuunga na wamwaz shekhe tafuta nyengine
Dah Qur'an yenyew Hujui unatamka kama mlevi Mshenzi
Sharru khiswari rijaali khairu khiswari nissaai
Huu ni ukabila sio vzr wote ni wanadamu
Sheilk zaid makubuli huyu anapenda sana mambo ukabila mnyamwezi huyu afu anavyojionaga anajua sasa
Mbona muaduchanganyA bana, mimi itikadi yangu hakuna cha ukabila Mwenyezi mungu amesema waliowema , Sio wenye kabila tukufu, na isitoshe Mtume Muhammad s.w amesema tuhangalie dini sio kabila! Na wa Islam ni ndugu ukabila munaitoa wapi?
Shekhe hili darasa unalotoa linafika mbali,watu wengi wanakusikiliza.Je,hiki unachokieleza unakitoa wapi katika uislamu?
Huyu ana ujahiliyah
Muacheni huo ndiyo uwelewa wake,hata umueleweche hatakuelewa😊
Sisi sote ni watanzania hatuna kabila sisi kabila letu ni watanzania tuu Hakuna jengine
*Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.* hii ni aya ya kumi na tatu kutoka sura hujurati ya imezuia kutaja hivyo ubaya zaidi katika makabila zaidi ya kufahamiana . Tumefundishwa katika dini kitazama zaidi kooo na si ukabila
Katumwa ili kuwashughulisha waislamu na kuwatoa ktk mstari ili mengine yapite kimya kimya
Huyi ana ujinga mkbwa SNA Mula amuongoze maaan hata anachokieleza haikielewki
Allah ameumba mataifa namakabira ili mpate kujuana
Hili jamaa tahira sana et ukiuliza ban Haashimu wako wapi unafukuzwa
TABIA NDIO ZINO MFANYA MTU USIFUNGE NDOA NAE NA SIO KABILA
Hana maarifa huyu,tabia ni ya mtu sio kabila
Nyerere alifanya kazi kubwa kuunganisha Taifa hili. Makabila yaliyokuwa na nguvu na Machifu kama Wasukuma na Wachaga akawapiga marifuku. Uchifu akaua! Leo mnaanza kuongea mambo ya hovyo!! Hamna mambo ya msingi kuongea, kama kupeleka watoto shule?!
haadhaa mumtinu!!kubaguwa kwa ujabila ni ni uvundo!!
maneno machafu hayo!!
sina la kusema ila Mwenyezi MUNGU ndiye mjuzi zaidi. ila kama kweli katika hayo makabila hakuna ata mmoja mwenye hofu ya MUNGU sawa
3:55 acha kupotosha watu shehe wawapi huyu 9:09 9:09
Hamna shekhe apo
Ana hekima ata
Mmmh, mungu hana ubaguz wa rangi wala kabila, ww ni mtumishi wa shetan unajiita shekhe
😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu jamaa ni mwehu sanaaa 😅😅😅😅 nafkiri atoka kuvuta bangi huyu 😂😂😂😂😂
Wanyamwezi oyeeee tupo vizur atujuwi kuachika sisi😂😂
ila ndio kasema hamfai kuolewa
We mbaguzi tabora si watu bora wote
Miyeyusho Tu,🤯
Mbwa huyu mhuni si sheikh
😅😅😅😅😅😅
Allahyakhalam
Tunaomba mafundisho mazuri tusiingize ukabira, mtume kishatwambia chagua wanawake mnaowapenda ila mbora zaidi ni alieshika dini
Mi nikashaona anaejiita Sheykh hana ndevu,hapo najua elimu hamna
Duuh waislam kwakulopoka bhana