HAMAS YAWAACHIA MATEKA WATATU, WACHAMBUZI WASEMA ISRAEL IMESHINDWA VITA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 35

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 14 часов назад +7

    Hamasi bado wanaguvu ,ogopa watu wanaopigania imani usiwalinganishe na wapiganaji wa mshahara

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 12 часов назад +2

    Aliyeapa kwamba hatazungumza na Hamas juu ya amani leo kafuata mashariki ya Hamas.....

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 17 часов назад +8

    Lakin pia jeshi linapo ingia vitani linakua namalengo israel walipo ingia gaza walikua na malengo makuu 3 kwanza kuwakomboa mateka 2 kuwamaliza hamas 3 hamas isitaawale tena gaza sasa kwenye haya malengo hakuna hata lengo moja ambalo isarel ameweza sana ameuwa raia na wanawake na wazee na kupiga mashule na hospital hiyo ndio maana ya kushindwa vita

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 15 часов назад +3

      Na ndio maana waphalestine wanafurahi kwasbb wameshinda vita.

    • @stanleyamlima2085
      @stanleyamlima2085 14 часов назад +1

      Kwanini wajifiche mashuleniii

    • @KhalidiBoaz
      @KhalidiBoaz 14 часов назад

      Hapa GAZA,HAPATAKUWA NA UTAWALA WA HAMAS,HUO NI USHINDI WA KWANZA WA ISRAEL,NGOJA TUSUBIRI MAJIBU YA MASWALI MENGINE

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 13 часов назад +1

      @@stanleyamlima2085 vita ni mbinu kaka hata mpira timu ikikufunga goli moja wanapakibasi dakika 90 zinamalizika na wanashinda

    • @MohamedOmari-y1t
      @MohamedOmari-y1t 10 часов назад

      Mateka aliokoa wangapi?​@@KhalidiBoaz

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 17 часов назад +7

    Wew uliskia lini palestina ama hamas wanataka vita visimame wakati hao mashoga wa israel ndio wanaotaka vita visimame hamas wao wanakuja na masharti yao kwamba ili tusimamishe vita lazima wazayuni waondoke kwenye maeneo ya palestina na wafungwa walioko israel waachie kinyume na hivyo ni mwendo wa chuma

  • @allymuhammad8956
    @allymuhammad8956 14 часов назад +4

    Duh hawa jamaa hatar yaani siku zote israil haijafanikiwa kuwakomboa na wamewarejesha wapo hai tena wazima wa afya hawa kiboko wa dunia

  • @KhalidiBoaz
    @KhalidiBoaz 14 часов назад +1

    Kuna wale wanaosema,eti ISRAEL IMESHINDWA VITA,MIMI KAMA MSOMI MKUBWA NASEMA 🇮🇱 ISRAEL AMESHINDA KWASABABU ZIFUATAZO,1.HAPATAKUWAPO NA UTAWALA WA HAMAS TENA GAZA,HATA HATA KAMA WATAKUWEPO BASI UTAKUWA NI KAMA UTAWALA WA PANYA MBELE YA PAKA,2.KWA SUALA LA MATEKA,HILO HALINA MASHIKO KWANI LENGO LA HAMAS 7OCT.2023,ILIKUWA SIO KUBADILISHA MATEKA BALI NI NIKUDAI UHURU WA PALESTINE.3.VIONGOZI WOTE WA JUU HAWAPO TENA,K.M.YAHAYA SINWARI,zMOHAMED DIEFF,ISMAIL HANIYE K.N
    SASA NASHANGAA KUONA ETI PALESTINE AMESHINDA VITA😂😂😂😂😂

    • @Rawdha-y8t
      @Rawdha-y8t 13 часов назад

      watatu kwa 100 huna akili kweli mshamba mmoja wewe

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 13 часов назад

      WE KIAZI MVIRINGO LINI UMESIKIA HAMASI IKA TETELEKA KIUONGOZI ,, NAFASI ZOTE ZIMEJAZWA...NYIE WAPIGANIA TUMBO MMESHINDA KILAKITU YANI ISRAEL NA MANDONGAAA IS BETTER NIMANDONGAAA

    • @KhalidiBoaz
      @KhalidiBoaz 12 часов назад

      @@daudimaniseli759 BISHA KWA HOJA NA SIO KUTUKANA,LETA HOJA MEZANI NAMI NITALETA ZANGU MEZANI THEN TUTAPIMA ZIPI ZENYE NGUVU

  • @JohnMwashalamila
    @JohnMwashalamila 17 часов назад

    Mbona hamax hawaish jmn

  • @Williamstozzo
    @Williamstozzo 15 часов назад +1

    Ulitegemea Al Jazeera waseme israel kashinda??
    Hamas wamechezewa mchezoo ,, netanyahu anataka mateka watokee na apunguze maandamanoo alafuu vitaa inaanza upyaa😢

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e 15 часов назад

      Akili yako imekaa kikafiri kafiri.

    • @MfiriNasawe
      @MfiriNasawe 14 часов назад +1

      ​@@fatumahamisi-m1esawa,hata akianzisha vita tena bado hatawe Hamasi sii wanajeshi wa mshahara,wangekua wa mshahara hamasi ingekuwa ishapotea zamani lakini hamasi haitakaa ipotee lambda mungu awapatanishe ugomvi uishe

    • @Rawdha-y8t
      @Rawdha-y8t 13 часов назад

      utadhan huyo netanyahu akikukuta atakuacha salama na ujue huko palesta wapo wakrso kibao so kama ni ukristo unakufanya uwe uoande wa wayahudi ujue myahudi hata haamini kua Yesu hupo wao wanaamin badoooo hata haja zaliwa

    • @IbrahimBinbenya
      @IbrahimBinbenya 11 часов назад

      Mwache afanye ndani ya wiki nyetanyanyahu ni maiti

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 17 часов назад +2

    Imeshindwa vip vita na mnalalamika raia wa palestina wanakufa waache mapigano

    • @AbdallahJuma-f8y
      @AbdallahJuma-f8y 16 часов назад

      Kwani dhumuni lao lakupigana vita la Israel lilikua Nini ?

    • @alihaji215
      @alihaji215 16 часов назад +1

      Kwani vita ni kupigana na majeshi au kupiga raia na ingekuwa ni hivyo basi dunia isingekuwepo,inaonaonesha hujuwi loloye we upo tuu.

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 16 часов назад

      Niaambu taifakubwa kama marekani na wazayuni kushindwa kuwa ondowa hammasi badlands yake wana waweka gerezani watoto😂😂😂😂😂 ukafiri kitu ovyo sana mtoto una mshikilia au kumuuwa kabisa kweli hilo nitaifa lamungu wakrito munao jipoga kifuwa mayahudi niwetu na mupo ktkt njia ya mungu jee hii nihaki nauliza maya hudu website unapo unga mkono uwovu nawewe umo ktk kundi mayahudi weusiwatoto wangapi wamekufa na wazee mutamjibu nn aliye waumba iki mm mumekosa jibu sahihi lakuni jibu moto una wasubiri

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 15 часов назад

      Na maeneo yao wanaporwa Kila sikuu

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 15 часов назад

      Mbumbumbu WEWE kuuwa Watu wasiojiweza WA mama na watoto sio kushinda vita ,, tambua vita ni malengo