HUKUMU YA KUSOMA MAULID UNGANA NA SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • #OthmanMaalim #Zvponlinetv #Zanzibar

Комментарии • 143

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 Год назад

    Mashaallah mashaallah Sheikh Othaman mungu akujazi kheri akupe umri twawili Mungu Wape ukweli wajuwe. Takbr ❤

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 года назад +8

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allahumma Swalli Wasalimu Ala Habibina Muhammad Swalallahu Alayhi Wassalaam

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 года назад +4

    MASHAALLAH JAZZAKALLAH kheir tuko pamoja wazanzibar Allah atufanyie wepesi duniani na AKHERA Bega kwa bega mpaka Firdaus

  • @khamistv922
    @khamistv922 3 года назад +4

    Mashallah shekh othman malim, wallahi nikefrahi sana kwa kuwaelimisha wasioyajua maulid ya mtume wetu Muhammad s.a.w,

  • @honsaidibinsharifsharifsai8027
    @honsaidibinsharifsharifsai8027 3 года назад +3

    Marshallah sheikh uthman mungu akulinde much love from UGANDA

  • @omarmohd2514
    @omarmohd2514 3 года назад +9

    I love you so much my dear Sheikh Othaman Maalim

  • @sammoses7479
    @sammoses7479 Год назад

    Masha Allah Masha Allah, Allah ummaswalli washable mallee s.a.w

  • @binyamin8009
    @binyamin8009 3 года назад

    Nice nice Nice aswaliwe bwana mtume Muhammad s.a.w

  • @mussakhamis4205
    @mussakhamis4205 2 года назад

    mashallah sh othman mwenyez mungu akubariq

  • @mustafaismail5622
    @mustafaismail5622 Год назад

    Mashaallwa Allwa akupe afya njema uzidi kutupa chakula cha napsi

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan1776 3 года назад +3

    Masha allah masha allah masha allah barraka allahu feek yaarabi

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 3 года назад +4

    MaashaaAllah. Allah bless you brother

  • @abasiyassyatakiwawaigeemfa8236
    @abasiyassyatakiwawaigeemfa8236 3 года назад +1

    Maashallah swalluu alaa Muhammad Allah akuzidishie umri wenye aafiya

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 года назад +3

    Shukrni sna sheikh tuko pamja kutoka Kenya 🇰🇪

  • @ruwaidashaaban7267
    @ruwaidashaaban7267 3 года назад +2

    Mashaallah tabarakallah

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn 3 года назад +2

    Mashallah wasio elewa hawatoelewa shukran maalim kutupa mafunzo mazuri

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 года назад +5

    Mashallahu shehe Othman Maalim 😭💔💔🥰

  • @shariffhabshy6770
    @shariffhabshy6770 3 года назад

    Mwenyeezi Mngu akuhifadhi sh.Uthaman bin Maalim kwetu maulid yamesihi sana kwa hivyo musio penda tuacheni pls sisi sio wendawazimu.

  • @djshibii3071
    @djshibii3071 3 года назад +3

    MA SHA ALLAH (LEGEND)

  • @asaduzamanalmaxmud7671
    @asaduzamanalmaxmud7671 3 года назад +3

    Masha allah shukran

  • @mohamudmohammed2659
    @mohamudmohammed2659 2 года назад

    Allah akuhifadhi

  • @modybabazjr8760
    @modybabazjr8760 3 года назад +3

    hayazuiliki moyoni mahaba yake AMINII

  • @mahamoudumwamba322
    @mahamoudumwamba322 2 года назад

    Maashaallah tabaarakallaah

  • @saidihamisikilingo982
    @saidihamisikilingo982 3 года назад +1

    Swadaqa sheikh u'thman ma'lim.

  • @nassormkindi2107
    @nassormkindi2107 3 года назад +2

    Allahumma swali wa salmalee

  • @timarusia8637
    @timarusia8637 3 года назад +2

    mashaAllah sheikh otmani bora uambie maana wana vichwa vigumu wenzetu

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 3 года назад +2

    Mola atuhifadhi. Mola atuzidishie mahabba ya Allah na mtumme wake

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 3 года назад +2

    Allahumma swalli wasalim wabarik Alayhi

  • @abuuirtifaahaamid3310
    @abuuirtifaahaamid3310 3 года назад +3

    Maashaallah

  • @s.m.jawadida8868
    @s.m.jawadida8868 2 года назад +1

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @khamisikingazi2958
    @khamisikingazi2958 3 года назад +2

    Masha allah sheikh nakupenda xn kwaajili ya allah

  • @feisal6592
    @feisal6592 Год назад

    Swalawahualawasalim taslima ishallah

  • @omarmohd2514
    @omarmohd2514 3 года назад +3

    Mashaallaah

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 года назад

    mashaAllah

  • @kwekwehamisi3183
    @kwekwehamisi3183 3 года назад +1

    Ma sha Allah hata mmi nimefurahi sana

  • @issamohd1362
    @issamohd1362 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @mosule9262
    @mosule9262 3 года назад +2

    Subhana llah sijaskia anatoa hadith ya mtume kasema tumsherehekee maulid.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 года назад +1

      Acha jazba

    • @vipenziwaallah5814
      @vipenziwaallah5814 3 года назад

      @@zvpOnlineTv sio jazba mueleweshe kwa uzuri wapi imeelekezwa? Maulid Maana sio haramu kwa sababu ni siku ipo, ila maadhimisho ndio je ni sawa yafanyike na kufanywa alama ya dini? Mtume akiwepo hakuelekeza na hata wale khurafaa'raashidiin hawakuelekeza. Lakini sasa batili ndio imo ndani ya maulidi, watu wamesahau Uislamu na wameshikamana na mambo ambayo hayauinui Uislamu. Tuache nifaq, haya ni miongoni mwa mambo ya kutulumbaza Sana na kutufanya tuwe kwenye comfort zone tukiachana na fikra pevu juu ya Uislamu. Kumuadhimisha Mtume ilhali hatumfuati!

    • @shariffhabshy6770
      @shariffhabshy6770 3 года назад

      Wala hutasikia sababu hutaki kusikia basi lnsha Allah hutosikia.

    • @shariffhabshy6770
      @shariffhabshy6770 3 года назад

      Umetajiwa mpaka mwanachuoni ibn Temia amekubali bado hujaona dalili.

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 2 года назад

      Huyu juha huyu huwez kuwa walii bila ya kumpnd rasul mtt Wa bachu ni ww

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 3 года назад +1

    Maa Shaa Allwah,

  • @jamiiwellnesshospital8041
    @jamiiwellnesshospital8041 Год назад

    HAYAZUILIKIMOYONI MAHABA YAKE NABIYA

  • @salmakundi2717
    @salmakundi2717 3 года назад +3

    MashaaAllah

  • @habibtybilat1525
    @habibtybilat1525 3 года назад

    Salam aaleykum warahmatuAllah wabarakatuh, sasa kwa wale wanaokata cake kwaajili ya Mtume Muhammad s.a.w inafaa?

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Год назад +1

    Watu sio wanakataa kusheherekea ila ni namma Gani watu usheherekea

  • @MrAmissi
    @MrAmissi 3 года назад +3

    Naam tumekusikiya sheikh wetu swali linakuja hao wote ambao umetaja walikuwa wakisherekeya jinsi wanavyo fanya leo ao waliandika maisha ya Mtume swallalahu alayhi wa salam kama somo watu wamuige na wajifunze unataka kusema kuwa wenye walosema kila bida ni upotovu hawakutunga vitabu vya maisha ya Mtume swallalahu alayhi wa salam ao kumsifu? Na kama maswahaba walimsifu je walitenga siku malumu kama mnavyofanya ? Je nini madayi ya maulidi kwenu ? Je Sunna hakuna zakumfata kama kweli mnapenda pasina kumzuliya ? Kitu cha uzushi utakiona tu kwa sababu kila Sheikh wa bid'a atakuja na dalili zake unashindwa kuelewa hawa watu je Coran na Sunna ipo wapi ao fahamu za waliyotanguliya . Tunamuomba Allah awasame piya atusame na sisi kwa maulidi si katika dini njoo maana utamuona kila moja anafanya jinsi anavyo penda yeye ni kila mwaka panakuja dalili mpya njoo cakushangaza

    • @yaziduhamisi4096
      @yaziduhamisi4096 2 года назад +1

      Hujui maana yake kaa kimya

    • @rashidsuleiman9253
      @rashidsuleiman9253 Год назад +1

      Kwanza jifunze ujue angalau kuandika ndio uje kwenye mijadala kama hii

  • @PascalMwita-bv8kr
    @PascalMwita-bv8kr 2 месяца назад

    Hayabwana masufi

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 года назад +1

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 2 года назад

    Ndio mukate viuno kwenye ujinga wenu

    • @saidrakwe8727
      @saidrakwe8727 Год назад

      Ulimu muhimu jamaa yangu,elimu pana,nyinyi mkikariri hadithi tano,mnahisi mushavunja ungo,,suala,,,kiakili eti ukampige mwanazuoni aliyesoma zaidi na mwenye elimu na lugha yakiarabu aliyebobea kwa fani kubwa zaidi-eti wewe ukawe bora wakati hata kurasa moja hujasoma 😂😂😂 mhhh

  • @shariffhabshy6770
    @shariffhabshy6770 3 года назад

    Angalieni raha na furaha nyoyo na nyuso wacheni uhasidi munao pinga.

  • @mohamedkudura8114
    @mohamedkudura8114 3 года назад +1

    Bidaaa hiyo

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 года назад +1

      Wewe Mwenyewe BID'A

    • @mohammedjumakhamis8151
      @mohammedjumakhamis8151 3 года назад

      @@zvpOnlineTv unatetea keki ya kilo 100😂

    • @shariffhabshy6770
      @shariffhabshy6770 3 года назад

      @@mohammedjumakhamis8151 bidaa njema

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      Nyinyi mawahabi endeleeni kuimba bidaa sisi tunasonga mbele na maulidi yetu

  • @josephmbigiri8209
    @josephmbigiri8209 2 года назад

    Shida watu hawataki kumswalia mtim

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 3 года назад +2

    Watu wabidaa

  • @harerimanahassan3200
    @harerimanahassan3200 3 года назад +1

    Watu wa bida'ah ni mtihani kweli

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 года назад +1

    Kwa hiyo Masahaba walitunga kitabu cha maulid kwa ajili ya Tabiiin au du hata kama sijasoma hapo siwezi kuelewa ki hivyo lete hadith kuwa masahaba nao walifanya othuman maalim kwenye dini hakuna ubabaishaji

    • @saidmaulid7668
      @saidmaulid7668 3 года назад

      Kama huelewi huelewi katu.

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 года назад +1

      @@saidmaulid7668 leteni hadith kuwa sahaba walifanya hayo vinginevyo hamna kitu hapo

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 10 месяцев назад

    Acha kupotosha wa2 ww

  • @hamzamuhyidinabuhaji1458
    @hamzamuhyidinabuhaji1458 3 года назад +2

    Zote hizo aya amezisoma hazihusiyani nakupiga ngoma ndani ya nyuma allah kwani maswahaba hawajaelewa hivo

    • @omarkhamis4804
      @omarkhamis4804 3 года назад +1

      Kwani ni lazima MASWAHABA wafanye jambo ndio na ww ufanye

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 3 года назад

      @@omarkhamis4804 kweli kabisa

    • @hamzamuhyidinabuhaji1458
      @hamzamuhyidinabuhaji1458 3 года назад +1

      @@omarkhamis4804 allah atufahamishe diini ndugu yangu

    • @doreensimon993
      @doreensimon993 3 года назад

      Ndini ni amesema ALLAH :amesema mtume na maswahaba wao walifanyiaje kazi kauli za ALLAH na mtume

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 3 года назад

      Hivi nyie ndugu zangu mnaopinga maulid hamuoni haya?(aibu). Waliokata keki wamefanya MAKOSA MAKUBWA SANA Wameyafanya hayo kwa ajili ya matamanio ya nafsi zao.kwa kutokua na Elimu Lkn maulidi yataendelea mpaka kiama

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 3 года назад

    Mm nauliza maulidi haramu au sio haramu maana ukingaliya huyu anayesema maswahaba hawa kusoma na sheirkheir wanatoa maullamaa waliopita walitunda na jambo jema lina juzu ktk uisilamu sasa tufuate wapi tuna hitaji majibu swahihi

    • @doreensimon993
      @doreensimon993 3 года назад

      Assalaam alaykum . Anasema ALLAH . hawatokuwa radhi mayahudi na mnasara mpaka mfuate mila zao manasara 25:12 kuzaliwa issa

    • @doreensimon993
      @doreensimon993 3 года назад +1

      Wapi maswahaba kila mfunguo sita walifanya maulid dalili uko wapiiii

    • @doreensimon993
      @doreensimon993 3 года назад +1

      Na kauli ya mwanachuoni yeyote hupimwa kwa qur,an na sunna kama alivyosema abuu haniifa اذا قلت قولا یخالف کتاب الله و خبر الرسول صلا الله علیه و سلم فاترکوا قولی

    • @shariffhabshy6770
      @shariffhabshy6770 3 года назад

      @@doreensimon993 nawapi imekatwaza

  • @abdallahmustaf1202
    @abdallahmustaf1202 3 года назад

    أين الدليل على ما تقول

  • @leonardmbonea4117
    @leonardmbonea4117 3 года назад

    ibun al jauzi ? kizibo wewe

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 3 года назад

    Maulid jee ni sunna?

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 года назад +1

      Ndio

    • @akthammuhammad7844
      @akthammuhammad7844 3 года назад

      Tena kubwa sana

    • @mohammedjumakhamis8151
      @mohammedjumakhamis8151 3 года назад

      @Mohamed Ahmed hebu jaribu kumtafuta mtu akutafsirie maneno ya icho kitabu Cha maulidi ndo utaona balaa lililomo utapata jibu

    • @saidrakwe8727
      @saidrakwe8727 Год назад

      Jamaa inaonekana una kichwa kigumu sana 😂

    • @saidrakwe8727
      @saidrakwe8727 Год назад

      Wengine husema kwenye kitabu cha mauli eti mna shirki 😂😂😂😂😂….kiakili haikubaliki

  • @mhuzimadodo8998
    @mhuzimadodo8998 3 года назад

    Nifahamike tunatakiwa tufuate manhaj salafii si kikundi cha salaff swali wap wema waliotangulia wamesoma maulid na Mtume amesema bora zama zama zangu halafu ,halafu ........haya yamekuja kutoka wapi

    • @akthammuhammad7844
      @akthammuhammad7844 3 года назад

      Hizo hadith pia zimekusanywa baadae sana hiyo karne

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 года назад +1

      wapi Mtume Rehma na amani ziwe juu yake au swahaba zake walifata manhaj salafiy?

    • @mohamedmasud4037
      @mohamedmasud4037 3 года назад +1

      Yamekuja mtume yuko hai alipo pigiwa dufu na kupokewa na hakupinga lingekua jambo baya siku ile alipo pokewa twala albadru aleyna ingekua haifai baada ya lile tukio angepinga mtume kama lile jambo lingekua lakimunkari ila hakuna mahali tusome maulidi wala hakuna mahali katika Quran wala hadithi kuwa hakuna kusoma maulidi kwa hivo ndugu yangu ww husomi hukulazimishwa na anae soma usimtukane afuwan

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 3 года назад +1

      @@rayisadesigns2646 nashangaa sana hata Mimi, Kila mtu anavutia manhaj na madh hebu yake badala ya uislamu!!!!pamoja na mikanganyiko yote hii, tumuombe Allah sw waislamu tuwe wenye kufuzu Hadi mwisho, tutumie lugha ya hekma kukosoana na kuelekezana. Kama huyu sheikh huwa simsikii akipiga raddi, au kumjibu mtu, yeyé anafanya tu mawaidha yake!!! Wasomi watusiadie maamuma sio kutuchanganya Kwa hoja Za kupingana Kwa kauli Za kutiana motoni!!

    • @fatmamohammad623
      @fatmamohammad623 3 года назад +1

      SWADAKTA

  • @leonardmbonea4117
    @leonardmbonea4117 3 года назад +1

    mche mola wako wewe unayeitwa shekh

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 года назад +1

      Acha utahira

    • @abuurahma5211
      @abuurahma5211 3 года назад

      Leonard na uislamu wap na wap

    • @abuurahma5211
      @abuurahma5211 3 года назад

      @@zvpOnlineTv nani ss aache utahira

    • @leonardmbonea4117
      @leonardmbonea4117 3 года назад

      we unaona itakuwa wapi na wapi

    • @mohamedmasud4037
      @mohamedmasud4037 3 года назад

      Usimtukane sheikh na ww huna elimu ya kumkosoa sheikh osman kwa hivo uwe na hishima kwa mashekh

  • @abdullmajuto8100
    @abdullmajuto8100 3 года назад +2

    Mashallah

  • @binyamin8009
    @binyamin8009 3 года назад

    Mashaalah Mashaalah Mashaalah

  • @komoraali3940
    @komoraali3940 3 года назад +1

    MashaAllah