Lugha ya Kiafrika kwa Ukombozi wa Muafrika

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 сен 2024
  • Mary Charwi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anafanya utafiti juu ya uhusiano kati ya lugha, nguvu na fikra za ukombozi katika muktadha wa Afrika, akiwa na lengo la kuchunguza sauti za Kiafrika katika kusaka ukombozi wa Muafrika na kubainisha juhudi zinazofanywa na baadhi ya viongozi wa Kiafrika katika kulinda na kujikomboa na ukoloni mamboleo. Kusudio la utafiti huo aliliwasilisha kwenye Kongamano la 36 la Kiswahili la Bayreuth (17-19 Mei, 2024).

Комментарии •