NEW VIDEO NDIPO TUMEFIKIA NGONO MADHABAHUNI WAMBIENI WATU EV PASCHAL CASSIAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 142

  • @MtumishiMajaliwa-mm7gh
    @MtumishiMajaliwa-mm7gh 22 дня назад +21

    Ubarikiwe MTumishi wa Mungu aliye hai uwa napenda unavyo kuwajasiri kwa kushuudia kweli ya KRISTO Yesu

    • @GregoryMushi-q1y
      @GregoryMushi-q1y 21 день назад +2

      Amina Rev. songa mbele vipige vita mwendo utaumaliza

    • @hamadhamoud6206
      @hamadhamoud6206 2 дня назад

      Nakupongeza Mtumishi ni wewe tu nimepata kutoka kwako ukizungumzia ulimwengu. Hali tuelekeako ni mbaya na inakwenda kwa kasi kubwa Lakini wastahiki wanashughulikia kupambisha fitina na chuku. Nakuomba ongeza juhudi na usikatishwe muelekeowako uyasemayo ni kwa ajili ya kila mmoja wetu

  • @GLOIREILUNGA-eb5js
    @GLOIREILUNGA-eb5js 12 дней назад +2

    Ubarikiwe mwimbaji na kazi unazo ziendelee mbele kwa ajili ya kuonya nafsi ilizo potea

  • @Leonarnk3
    @Leonarnk3 22 дня назад +4

    Mungu mwenye huruma naomba utu samehe. 😢
    Mchungaji Mungu akutiye nguvu...

  • @VumiliaMichael-e2i
    @VumiliaMichael-e2i 21 день назад +3

    Unanibariki sana mtumishi wa Mungu KAZI yako ni kb sana hakika ww ni nuhu wa kizazi hiki umefanyika taa nyekudu kwetu kwani Mungu anakutumia kutufungua macho ya rohoni.

  • @MmMm-tt1wi
    @MmMm-tt1wi 17 дней назад +3

    Huu wimbo unanibariki sana Asante mtumishi wa Mungu kwa baraka zako Mungu akubariki sana🙏🙏🙏

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz 22 дня назад +1

    Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa ujumbe huu ni kweli kbsa watu siku hizi hawafuati njia ya mungu na mafundisho yenyewe ni yale ya bora nimefundisha wakati wa kwenda nyumbani ukifika twende hakuna neno zuri kbsa watu wamenyamaza hawawezi kutetea Imani zao

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 22 дня назад +2

    Nawupenda sana huyu wimbo maneno ya ujasiri Mungu turejeshe 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lilianjoseph1144
    @lilianjoseph1144 22 дня назад +7

    😢injili hii ukiipata kanisani kwako toa sadaka kwa ajili ya mchungaji wako asihame reli

  • @DotoS12
    @DotoS12 22 дня назад +2

    Safi sana ujmb mzr sana aiseee ubarikiwe sana imenibariki sana huu ujmb Mungu akuinue azidi kaka yng

  • @WisdomGenerator-rx8yh
    @WisdomGenerator-rx8yh 3 дня назад

    Man of God keep on pushing 🫸 ❤ nakupenda sana PAPA 🙏🏿 wtaching from kenya 🇰🇪 my lovely country ❤

  • @philisterrehema-yj4mu
    @philisterrehema-yj4mu 16 дней назад +4

    Hii nyimbo hua inanitoa machozi aki turekebishe matendo yetu siku ni za mwisho😢😢

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 22 дня назад +1

    Shujaa wa Kristo, Mungu akutie nguvu na akushike mkono milele. Wamenyamaza maana wanatafuta faida zao wenyewe, ni vipofu hawaoni na wala hawana hofu ya Mungu, wasiojali nafsi za wana Mungu.
    Wewe ni jasiri keep up, there's a reward not in vain.

  • @lusajolamsonmgala6184
    @lusajolamsonmgala6184 22 дня назад +3

    Abarikiwe sanA mtumishi Pascal

  • @rithakipeta5443
    @rithakipeta5443 2 дня назад

    Mungu akupe ulinzi na maisha marefu maana Mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana

  • @PaulMbavu-official
    @PaulMbavu-official 3 дня назад

    from kenya refugee camp,I love your message

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 22 дня назад +1

    Yesu yuarudi .Amen amen.huu ni ule wimboameuimba hapo nyumaw
    e wimbo ameweka picha .watumishi amken

  • @FanuelJoel
    @FanuelJoel 18 дней назад +1

    Hongera sana mtumishi kuukumbusha ulimwengu juu ya hili

  • @ToshaJosiah
    @ToshaJosiah 22 дня назад +3

    Ameen mtumishi barikiwa

  • @dennisoyoo8560
    @dennisoyoo8560 2 дня назад

    GOD bless you man of GOD long life 🙏.

  • @IreneBarukwatamu
    @IreneBarukwatamu 16 дней назад

    Ni kweli yajayo ni magumu hakuna awezaye kustahimili ghabu ya Mungu,kwa wakti huo pesa na ufahari wote hautasaidia kitu hapo Mungu hataitwa Mungu wa huruma bali Mungu wa ghadhabu na hasira nawaombea neema ya wokovu wote ambao hamjamwani Yesu kristo,Yesu tusaidie km watumishi wa Mungu wangeshikamana roho nyingi zingeokolewa.Ubarikiwe sana.

  • @jakelinmoraa1879
    @jakelinmoraa1879 21 день назад

    Amen and amen 🙏🏼 gracious 👌 🙏🏼 powerful 🔥 🙏🏼 God have mercy for all your children 🙏🏼 🔥🔥🔥 more grace man of God 🕊🕊💪💪🙏❤❤🙏🙏🙏

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 22 дня назад +8

    Mafuta yenyewe kama ya kupikia😂😂😂😂acha ni baki na damu ya YESU🙏🙏

  • @Mr.Mashauri
    @Mr.Mashauri 22 дня назад +3

    😭😭😭😭😭 inauma sana Mungu aturehemu nakutusaidia

  • @CesiliaBura
    @CesiliaBura 18 дней назад

    Mungu akubariki sna mtumishi wa mungu,nmejua vingi kupitia wewe

  • @abakkukmutabwe5383
    @abakkukmutabwe5383 22 дня назад

    Mungu ibariki inchi yangu congo vita viishe. Mutumishi wa Mungu ubarikiwe 🎉❤

  • @ImmaBahati
    @ImmaBahati 4 дня назад +1

    Mungu ni mwema sana

  • @stephanosafari3792
    @stephanosafari3792 22 дня назад

    Mungu akutie nguvu mtumishi kazi unayoifanya ni ngumu sana watu hawapendi kweli

  • @siasakenya2889
    @siasakenya2889 22 дня назад +1

    Napenda hii Sana Mutumishi Bwana atakufanikisha ufugue kanisa

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 21 день назад +1

    Viongozi wa dini wanaona lakini Kama hawaoni macho yametaza faida ya maisha yao wamefyonzwa nguvu ya MUNGU haipo Tena hawajali liliko mbele ni 😢😢😢 kubwa MUNGU atusaidie barikiwa mteule

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k 22 дня назад +2

    Mungu asimame kutuokoa 😭😭😭😭

  • @AndreaMwinuka
    @AndreaMwinuka 21 день назад +1

    Mungu endelea kututetea waja wako @Amina#😢

  • @SaitotiKuresoi-s7t
    @SaitotiKuresoi-s7t 22 дня назад +2

    Wambie kwelii kabisa mtumishi was MUNGU

  • @SatruminMasawe
    @SatruminMasawe 21 день назад

    Yesu tusaidie nguvu ya kukuish wewe ubarikiwe Sanaa mwinjilist

  • @YeremiaYohana-o9j
    @YeremiaYohana-o9j 17 дней назад

    God bless you my pastor 🙏🙏

  • @jemskefa
    @jemskefa 22 дня назад

    Mungu akubariki sana mutumishi
    Niombeye na mimi pia nipate mwisho muzuri

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 21 день назад

    God bless you so much man of God 🙏🙏

  • @fransiscodevid5322
    @fransiscodevid5322 18 дней назад

    Ubarikiwe sana na mungu mtumishi wa mungu

  • @ClaireMakotswi
    @ClaireMakotswi 22 дня назад

    Barikiwa Sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @saidmwinyi4437
    @saidmwinyi4437 20 дней назад

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu

  • @JoyceFungo-c8k
    @JoyceFungo-c8k 22 дня назад

    Amen Barikiwa sana Mtumishi

  • @MarkoLyimo
    @MarkoLyimo 20 дней назад

    Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi wa mungu

  • @MonicaMzee-k8j
    @MonicaMzee-k8j 17 дней назад

    Nikweli tuko siku za mwisho tunaomba yesu atusaidie tusipotee na mambo ya ulimwengu barikiwa sana mtumishi wa Mungu wimbo mnzuri sana.

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 21 день назад +1

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @orestaKayombo
    @orestaKayombo 12 дней назад

    Mtumishi Mungu akubariki

  • @LeahGidion-e6m
    @LeahGidion-e6m 17 дней назад

    mungu aenderee kukubarki sana na kukuinua

  • @MilachemTanzania
    @MilachemTanzania 6 дней назад

    Ev Kassiani good ❤

  • @GenofevagelodiChaula
    @GenofevagelodiChaula 18 дней назад +1

    Mungu tuhurumie kwamaa hatujui tulitendalo

  • @elmesmutta5602
    @elmesmutta5602 16 дней назад

    Huyu Mtumishi Mungu akubariki

  • @manday4826
    @manday4826 22 дня назад +1

    Barikiwa baba

  • @Johnlks344
    @Johnlks344 16 дней назад

    Amina ubarikiwe

  • @SamsonMalaba
    @SamsonMalaba 17 дней назад

    Ubarukiwe mtumishi wa mungu

  • @isabellahbwari3168
    @isabellahbwari3168 21 день назад

    Amen mtumishi wa mungu

  • @Miriam-s8i
    @Miriam-s8i 19 дней назад

    Mungu bariki 🌍 🙏

  • @RemiMsigwa-s4e
    @RemiMsigwa-s4e 21 день назад

    Tunashukuru kwa ujumbe mzuri mtumishi

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 22 дня назад

    Be blessed man of God

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 19 дней назад

    Mungu atusaidie sanaa,

  • @Moudgram
    @Moudgram 22 дня назад

    Amen 🙏 🙏 powerful 🙏 🙌

  • @LucyaMasigan
    @LucyaMasigan 3 дня назад

    Mungu azidi kukutumia

  • @KellyKana-q1t
    @KellyKana-q1t 22 дня назад

    Mungu atuokoe waja wake 🙏🙏🙏🙏

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 22 дня назад +1

    Limevaa na kasha mikononi linachukuwa nyota za wamama tatizo watumishi wengi kAzi.zao hawafanyi Tumemkosea Mungu sana

  • @JuliusLaoi-uz2ox
    @JuliusLaoi-uz2ox 6 дней назад

    ❤ AMINA SANA KUHANI WA MUNGU

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 22 дня назад +1

    Hayo si makanisa ila yanajiita na kuitwa makanisa. Si kila myahudi ni myahudi ila ni katika roho wataitwa na hao watathibitika kwa kuitii torati -Rumi 2:17-29 na 9:6-8. Wapo wengi waitwao watumishi wa Mungu manabii, walimu, mitume, wachungaji n.k. lakini wengi wao kama si wote ni mbwamwitu wakali wanaowapotosha hata walio wateule. Ni watumishi wa neno la adui wakiwa ndani ya vazi la ukristo.

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 22 дня назад +1

    Asante mtumishi kutuimbia wimbo mzuri sms imetufikia mwenye sikio na asikie

  • @MaketeNdulu-sp9wq
    @MaketeNdulu-sp9wq 5 дней назад

    Napenda hivyo sana,injili motomoto

  • @FrankYolimu
    @FrankYolimu 3 часа назад

    Barikiwa

  • @MaketeNdulu-sp9wq
    @MaketeNdulu-sp9wq 5 дней назад

    God bless you

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 22 дня назад +1

    Kwa kweli Hali inatisha MUNGU aturehemu

  • @mourineblessed3245
    @mourineblessed3245 22 дня назад

    Mwenye sikio na asikiye 🙏🙏🙏

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr 22 дня назад

    Mko wapy jamani ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariamuGumo
    @MariamuGumo 5 дней назад

    Nakupata sana mtumishi wa Mungu nitumie no

  • @stynoebondomwepu3582
    @stynoebondomwepu3582 20 дней назад +2

    Wewe ni mutume wa taifa kama nabii yeremia

  • @naomnyamoitaosiangochannel5552
    @naomnyamoitaosiangochannel5552 20 дней назад

    Amen 🙌🙌🙌🙏

  • @Johnleetzofficial
    @Johnleetzofficial 16 дней назад

    Walio katika mungu bwana yesu asifiwe

  • @josephgeorge4756
    @josephgeorge4756 2 дня назад

    PESA IMALIHALIBU KANISA LA LEO Mungu tupe nguvu

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 21 день назад

    Hallelujah 🙏🙏

  • @KaserekaKapatikana
    @KaserekaKapatikana 22 дня назад

    Barikiwa sana

  • @DotoS12
    @DotoS12 22 дня назад

    Ubarikiwe

  • @JosephIsaka-n9n
    @JosephIsaka-n9n 18 дней назад

    Balikiwa mtu wa mungu

  • @HappyGondola-gs8cg
    @HappyGondola-gs8cg 3 дня назад

    wimbo huu umeimba kweli unasema kwelin

  • @Jaque-wf6mq
    @Jaque-wf6mq 19 дней назад

    Mungu azidi kupa nguvu na afya ili uendele kueneza injili ya kweli

  • @kassebo
    @kassebo 22 дня назад +1

    Amina

  • @OswardMadege-gd7yo
    @OswardMadege-gd7yo 16 дней назад

    Good song

  • @HOSEABUJA
    @HOSEABUJA 18 дней назад

    Amina mtushi

  • @EdsonExavery-l5l
    @EdsonExavery-l5l 23 часа назад

    Watumishi msijari kuwa na mrundikano wa watu ambao hawana uhakika wa kufika mbinguni wafundisheni watu kweli ya mungu tuache injiri za kubembeleza dhambi makanisani wachungaji😮

  • @EstherElias-e8q
    @EstherElias-e8q 22 дня назад

    Ubalikiwa

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 11 часов назад

    Kheri huyu.anaimba peke yake.Hakuna watu.wabaya na wachafu makanisani kama wanakwaya.Wako kila mtu.na.waka mmoja anatoka sauti ya tatu namwingine sauti ya kwanza.Full combination.Aibuuuuu!!

  • @AnastinaIshisha-lt2rn
    @AnastinaIshisha-lt2rn 18 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 21 день назад +1

    Wapotoshaji wa injili, siku yaja, watakinywea kikombe cha adhabu.

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 22 дня назад

    Kwel kbs tuko Kwenye hatari kubwa san lakin bd bwana amewamwagieni roho ya usingizi

  • @mercyjay5595
    @mercyjay5595 21 день назад

    🙌🙏🙏

  • @DavidkengereOnderi-w8z
    @DavidkengereOnderi-w8z 7 дней назад

    Asante mrumishi

  • @ElizabethSimon-g8n
    @ElizabethSimon-g8n 8 дней назад

    Ezekieli 33:1-9 hakika upanga unakuja heri yule anaeisikia sauti ya tarumbeta ikimtaka ageuke na kuacha mabaya

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 20 дней назад

    Niwakati wa Kujiweka Tayari yeye ajaye atakuja Wala hatakawia ni Wakati wa kujiandaa na Kujiweka Tayari Yesu Yu mlangoni.

  • @UsiaMusa
    @UsiaMusa 21 день назад

    Amen

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 3 дня назад

    Hiiyo sio dini

  • @JanvierMungwele
    @JanvierMungwele 22 дня назад

    iyi safi KULIKO zote

  • @DanielAbass-po3vl
    @DanielAbass-po3vl 21 день назад

    Ubalikiwe mtumishi Kwa kusimamia kweli

  • @RashidishomariRashidishoma-w5l
    @RashidishomariRashidishoma-w5l 5 дней назад

    Hii ndiyomaana haris ya ubaya ubwela

  • @MonicahIndarama
    @MonicahIndarama 20 дней назад

    Nisiku za mwisho mungu atusamehe

  • @PaulLuziga-bn1zv
    @PaulLuziga-bn1zv 22 дня назад

    MUNGU AZIDI KUKUTUMIA MTUMISHI WA BWANA WETU YESU KRISTO