TIGO KUBADILI JINA NAKUA YAS : Historia na Yaliyojificha usiyoyajua

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 112

  • @Rockstar-c7l
    @Rockstar-c7l 3 дня назад +8

    Sio kwelii Tigo wamejibrand sana Ukiona hivyo Wanakwepa Kulipa Kodi hakuna Jipya hapoo

  • @andrewmseya610
    @andrewmseya610 День назад +3

    Dogo uko vzr sana nimekupenda uko powaaa

  • @dreamleague-uq2gx
    @dreamleague-uq2gx 5 дней назад +3

    Nakubali kk Asante 🎉

  • @SamyMuhindo-s7d
    @SamyMuhindo-s7d День назад +1

    Apa drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mutandao wa Tigo imefunga ndoa na orage

  • @vincentmwagala8781
    @vincentmwagala8781 День назад +3

    Mimi ningependa kujua kama maadili ya kitanzania yamezingatiwa katika kulikubali neno yas ambalo baada ya kugoogle nimeona lina utata kadiiri Oxford dictionary.

  • @mafundaameir7123
    @mafundaameir7123 3 часа назад +1

    Tusipo kua makini baada ya miaka 5 mtandao utakua YESU

  • @Michambonline
    @Michambonline 3 дня назад +6

    Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu nimemic utamu ❤❤❤

  • @fredmahundi4931
    @fredmahundi4931 4 дня назад +1

    Umeelezea vizuri na nimekuelewa kaka...
    Big up

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 3 дня назад +3

    Mie naona hiyo nyasi sijui yas haina mpango wowote wala haivutii wanatu changanya tu tangia wabadilisha mtandao umekua wa ovyo sana.

  • @BAIKOKO_VS_KANGAMOKO
    @BAIKOKO_VS_KANGAMOKO 9 часов назад +1

    nitumie pesa kwenye MIXX BY YAS🤑

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 3 дня назад +1

    Hilo neno mixx by yas hatutaki tunataka Yas pesa

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 4 дня назад +3

    Kwani tigo wao wanasemaje

  • @PasserbyMan-ju8ky
    @PasserbyMan-ju8ky 16 часов назад +2

    Yas sio jina baya ila kwenye mixx by yas hapo watafakari vizuri haijakaa poa
    Kuna maneno mengi yanahusiana na pesa
    Kama
    Yas money
    Yas pesa
    Yas hela
    Yas mapene
    Yas maokoto
    Yas chapaa
    Yas mahela
    Yas mshiko
    Why mixx by yas haina taswira ya kuonyesha chenye kulengwa hapo.IMO

    • @amanimojahalisi3228
      @amanimojahalisi3228 6 часов назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂, hili jina leo limevaliwa njuga, maana inakuwa kama ni mijegejo😂😂😂😂😂

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky 5 часов назад

      @@amanimojahalisi3228 😁

  • @siriusa186
    @siriusa186 4 дня назад +2

    Subscribed❤❤❤❤

  • @mfungobryceson5530
    @mfungobryceson5530 День назад +1

    wataeleza tu kesho nampigia yule mwanasheria wa uingereza nimuambie hii janja janja mpaka mta kubali sana

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 3 дня назад +2

    Mara nying kubadilisha majina kwenye kampuni wanakimbia kodi na sio kitu kingne

  • @PhilomenaMpangala
    @PhilomenaMpangala 2 дня назад

    Tigo,mmeboa sn mtatupoteza wateja hii harpendez

  • @fordbillions
    @fordbillions 3 дня назад

    Thanks bro umenielewesha kuhusu hii, Ila nauliza kuhusu jina lake LA mixx by yas, inaweza leta shida Kwa wateja wengi hasa wale wa umri mkubwa waweza acha kutumia huduma hii na kuhamia mitandao mingne?.
    Walizoea tigopesa na sasa English, mixx by yas?

  • @Laravel_Africa
    @Laravel_Africa 5 дней назад +3

    safi kaka

  • @salimmbarak2825
    @salimmbarak2825 3 дня назад +4

    Mwaka 1994 hakukua na mtandao wowote wa simu zaidi ya ttcl tena za majumbani...acha uongo kijana

    • @adobertmugyabuso247
      @adobertmugyabuso247  2 дня назад

      Sawa

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq День назад

      ​@@adobertmugyabuso247Usijali watu wanaoanika ujinga wao kijana we endelea. Mi nilianza kutumia mobitel kama mteja wa mwanzo mwanzo mwaka huo. Tigo ilikuja kama Mobitel na simu zao za analogue. Baadhi ya maeneo ya Tz au hata Dar mtandao ulikuwa haufiki. Tuletee vitu muhimu vya elimu kama vile washindani wa mobitel walioanza na GSM system na utani wao dhidi ya mobitel kwa kuwafananisha na jogoo la zamani wakati wao wakijifananisha na njiwa.

  • @ronny569
    @ronny569 Час назад

    LIKE nyashi😮😮

  • @TwalibuAlbaamiryShoka
    @TwalibuAlbaamiryShoka 3 дня назад +3

    Tigo wsmebadilusha jina kuhusu ishu ya Tunduli kutoa tarifaa sasa kwa tigo inakuwa brand imeshukaa

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 День назад +1

    Tupe historia ya tigo.kuvujisha taarifa za siri za wateja na nini kinachojiri...

    • @adobertmugyabuso247
      @adobertmugyabuso247  День назад

      Kweli kabisa ..akikisha una subscribe ili niki upload usipitwe Mr Mangasha

    • @IsiahMosl
      @IsiahMosl 12 часов назад

      Yaan hapo umeuliza swali zuri sana tigo waliniuzi sana kutoa siri za wateja sion haja ya mitandao yao hii.

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 2 дня назад +1

    Jina lote hilo la kazi gani

  • @YOHANAEZEKIELKAZIANO
    @YOHANAEZEKIELKAZIANO 3 дня назад

    Nice name

  • @AbdulhamidKhamis-m4y
    @AbdulhamidKhamis-m4y День назад

    Toka wa badilishe jina mm NAONA mtandao umkua mbovuu kwel kweli

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 4 дня назад +3

    Tundulisu noma😂

  • @SalmaMakame-n7y
    @SalmaMakame-n7y День назад

    Aisee bwan kwanza tigo wizi wanatk wazidi kuibia wt t
    Huu somtandao kbsa.kwmfano unawek MB za buku wanakupa MB 492 .eti 392 internet n 100 watsap ukimaliza za internet t ht ufungue ile pch ktk watsap haifunguki eti salio lako halitoshi.n uku ukiulza salio unaambia una MB 100 watsap siwaseme ukwl t mb 300 ni mia 3 t wasizuge wt kazi wizi t

  • @UMEUTEKAMOYO
    @UMEUTEKAMOYO 4 дня назад

    Keep it up 👍🏾

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 День назад +1

    Bob hakuna cha graphic designer wala nini....huo ni mchezo wa ukwepaji kodi tu sbb wanajua mmiliki mpya atapata ofa ya miaka5 na pesa yake yote inarudi n.k yan nimekupa intro tu huo ni wizi dhidi ya mali zetu wa tz

  • @titondugai
    @titondugai 3 дня назад

    Yas mbona y ina nukta chini

  • @SijaliMputa-gy1kb
    @SijaliMputa-gy1kb 4 дня назад +2

    Je wao wamiliki wamekuambia kuwa hiyo ndiyo sababu ya msingi ya hayo mabadiliko???

  • @GastonMwaselela
    @GastonMwaselela 3 дня назад

    kulikua na longer longer time, tulikua tunaongea bure kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi. ilikua noma sana

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 4 дня назад

    wangetuambia kwanza tutoe pesa zet ili waendele kukabidhiana nyaraka😂😂

  • @mfungobryceson5530
    @mfungobryceson5530 День назад +1

    tundulisu mtamueleza tu

  • @SamsonRobert-y7b
    @SamsonRobert-y7b 19 часов назад +1

    Kubadili jina kwa kampuni tigo ni swala mhimu mno kulingana na tageti husika ambazo kampuni linazitarajia kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknoloji inavyoshika kasi duniani. Pia sio kwamba majina ya kampuni mbalimbali duniani yatabaki vilevile milele hapana kuna wakati yatabadilika tu kulingana na hali ya mabadiliko ya kiulimwengu na mahitaji husika.

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 3 дня назад

    Kampuni kaz kubadilisha majina zaid ya mara 3 kuna nn kama sio kukwepa kulipa kodi serikali ichunguze kwa kama kodi zinalipwa vizur

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 День назад

    Mzimu wa zantel huo na Bado....wameichuna zantel mpaka wameiondoa

  • @andrewsayi2152
    @andrewsayi2152 2 дня назад +3

    Tigo wanakwepa kesi ya Tundu Lissu.

  • @d.m453
    @d.m453 День назад +3

    Ndo mana sasahivi huu mtandao unasumbua sana😢

    • @CamilasJohn
      @CamilasJohn День назад

      We nae mshamba labda huko kwenu ndio unasumbua asa jina limebadilishwa mtandao unaathirikaje😂

  • @sabriabdalla9562
    @sabriabdalla9562 День назад +1

    Hapa kesi ya lisu tu. Hamna lolote

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 3 дня назад

    Hao wanataka kukwepa kesi ya tundu lisu(nafikiri hivyo)
    Kama siyo hilo basi ni ukwepaji wa kodi

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 2 дня назад

    Kubadili jina Ina tija gani? Usanii tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @adamyusuphmsigala
    @adamyusuphmsigala 2 дня назад

    Jina baya

  • @abubakarmsangi1036
    @abubakarmsangi1036 2 дня назад +1

    Hivi mbona hii mitandao ya simu hapa kwetu Tanzania waongo waongo sana utakuta wanakuambia weka kifurushi cha wiki unatumia siku Moja sasa huu si utapeli kwa nini wasiseme kweli kwa sababu kuna nchi moja nilikuwepo ukiweka kifurushi cha wiki au mwezi wewe utatumia tuu mpaka ule muda wako uliojiunga nao utakapo isha kama ni wiki utaongea wiki nzima sijui serikali inafeli wapi kusimamia hili swala

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 дня назад +9

    Mimi na mke wangu jana nimevunja laini za tigo nimetoa pesa zangu tigo pesa na laini nimevunja huwezi kuwa na laini inabadilika majina kama malaya

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 4 дня назад +1

    nikikuangalia buzz bado ujatumia simu kaka ulikuwa mdogo mi kaka ako 2006 nina samsung

  • @CassySalum
    @CassySalum 3 дня назад +1

    mbona walisema mumliki ni rostam Aziz tigo na nzanteli katoa hisa zake hata has itabadilika tu. hatafika popote. na kesi ya tundu lissu na kesi ya mbowe juu ya kutoa Siri kwepeni tu. eti has watanzania tumeshindwa kuwaelewa au mnakwepa Kodi

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo 3 дня назад +1

    Huna unacho kijua

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 4 дня назад +1

    Kwavile matako makubwa wanaita watu yas / nyash ndio maana wameipa hilo jina maana hata tigo ilikua na maana ile ile ya matako makubwa

    • @mhenitv
      @mhenitv 4 дня назад

      Makato 😅😅😅

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 День назад +1

    UONGO HUO. AU WAMEKUTUMA

    • @adobertmugyabuso247
      @adobertmugyabuso247  День назад

      Hahah..kwanini Mr Emmanuel..mbona nimambo yapo kabisa ata uki Google unayapata..mimi nimefanya kuwasilisha tu😁

  • @germanasondoka9057
    @germanasondoka9057 4 дня назад +1

    Mtandao wa fedha haufanyikazi.
    Please rekebisheni haraka

  • @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
    @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 3 дня назад +2

    Ila hii nikutokan na Star link kuja bongo watu wameuza hisa wakijua biashara itashuka kutokan na internet ya start link bando itakuw nisawa n bure

    • @adobertmugyabuso247
      @adobertmugyabuso247  3 дня назад

      Unahisi kweli Starlink ataruhusiwa kufanya kazi bongo...maan ni kama kampuni za simu zitaporomoka kimauzo?

    • @reginaldmtemela
      @reginaldmtemela 3 дня назад

      Ngoja eron aje kuna kampuni zitafirisika hapa tz

    • @VnKxwn
      @VnKxwn 3 дня назад

      Nani aliyekudanyanya Starlink ni cheap? Yaani Satelite internet ni cheap? Ebu angalia price yao kwa mwezi ni kiasi gani hao Starlink iko open you can google it up. Watao access Starlink ni campany au watu binafsi wanaojiweza.

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 2 дня назад

    𝐍𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐤𝐚𝐠𝐨𝐨𝐠𝐥𝐞 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐘𝐚𝐬 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐢𝐧𝐢 ??

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 часа назад +1

    Wakishamaliza kumlipa Tundu Lissu ndo tutaanza kuwaita Hilo jina la yasinta

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 2 дня назад +1

    UJUI KITU UO MWAKA 1994 IYO MOBITEL HAIKUWEPO

  • @AbubakarKawayasimwanza
    @AbubakarKawayasimwanza 3 дня назад

    Kuna sehemu ya nchi ya Muungano wa falme za kiarabu inaitwa Ras Yas. Kilichoondolewa hapo ni Ras. Hivi Sasa ni Yas. Bilashaka hao ndio wabia wakuu.

  • @lawimanumbu5103
    @lawimanumbu5103 2 дня назад

    Tatizo ni ile sera ya kijinga iliyotungwa kuwa muwekezaji akae miaka 5. Bila kulipa kodi, na baada ya hapo kama biashara ni zuri walipe kodi hapo ndo ujue wanakwepa kodi wanabadilisha jina kuwa kampuni wameuza,

  • @officialsuma99
    @officialsuma99 3 дня назад +4

    Shida sio kubadilisha jina shida mtandao na si wasiite mixx by yas Bora Waite yas pesa

  • @ironk99
    @ironk99 4 дня назад +1

    ila wameleta mabadiliko ambapo hayavutii yas hainog kam tigo

  • @SeifAlly-fw6ns
    @SeifAlly-fw6ns 3 дня назад

    Kampuni ya kwanza TANZANIA SIO TIGO KAMPUNI YA KWANZA YA SIMU ZA MKONONI TANZANIA ILIKUWA INAITWA TRITEL SIO TIGO VODA WALA AIR TEL WALA HALOTEL

  • @Balogetv
    @Balogetv 3 дня назад +1

    Mbona TIGO Iko kwenye inchi kama 5 why

  • @JohannesJamal
    @JohannesJamal 3 дня назад

    WEWE MUONGO TIGO SIO MTANDAO WA KWANZA KUINGIA NCHINI HUJUI CHOCHOTE.