🙏🙏🙏 kwakweli wale mnaojua sda huu ndio uimbaji wetu tunaomba viongozi msimamie waimbaji warudi katika huu uimbaji saa hivi inasikitisitisha uimbaji wetu😢 MUNGU Atusaidie...imeandikwa 28/11/2024
Ilikuwa injili tosha kwenye ufalme wamungu mungu awakumbuke, injili kama hii kwasasa haipo niusela tu wa kutafta pesa, aisee mungu yupo mbingu zipo wazi kwaajili yao
Reminds me of how we used to sing this in the morning parade before classes started in the 80s. Golden memories back in the village, God is great when you consider how poor my family was then and how God has been faithful and provided for us until now. Thanks Muungano choir.
Mungu bariki wapendwa hawa. Ninaposikiza nyimbo hii hujisikia kutokwa na machozi. Inanikumbusha udogo wangu nikiwa Yesu ndio tumaini langu pekee. Inaninyenyekesha sana na kujua Mungu yuko.
Wapi kwa Biblia Mama Maria ameunganika na Yesu katika kutukomboa? Wapi tunambiwa tuombe kwa mama maria? Ni wapi Yesu atatii mamaye ili atuombee?. Jibu bila hasira. Mungu awabariki
🙏🙏🙏 kwakweli wale mnaojua sda huu ndio uimbaji wetu tunaomba viongozi msimamie waimbaji warudi katika huu uimbaji saa hivi inasikitisitisha uimbaji wetu😢 MUNGU Atusaidie...imeandikwa 28/11/2024
Ilikuwa injili tosha kwenye ufalme wamungu mungu awakumbuke, injili kama hii kwasasa haipo niusela tu wa kutafta pesa, aisee mungu yupo mbingu zipo wazi kwaajili yao
Today morning i was heartbroken but after listening to your songs i was able to recover the broken pieces of heart and now im heading to church
Mungu tujalie moyo wa ushindi tuishinde dunia
Barikiwa sana
Nyimbo nzuri sana.
Reminds me of how we used to sing this in the morning parade before classes started in the 80s. Golden memories back in the village, God is great when you consider how poor my family was then and how God has been faithful and provided for us until now. Thanks Muungano choir.
Kwa Mungu hakuna Mzee,,,
Barikiweni sana na Mungu wasindishie Baraka tele ,
SDA hymnal songs unijenga Sana kiroho
Hakika ni wimbo wa kumuandaa Bi arusi wa Kristo. Ni kiwango cha utukufu kwa mungu
Mungu bariki wapendwa hawa. Ninaposikiza nyimbo hii hujisikia kutokwa na machozi. Inanikumbusha udogo wangu nikiwa Yesu ndio tumaini langu pekee. Inaninyenyekesha sana na kujua Mungu yuko.
Aminaaaaa! Mmekuwa mbaraka kwangu Kwa miaka Mingi Sana,tukaimbe Mbinguni❤
Wonderful praise be to God.kindly release others from this album
Some songs are so moving ...thank for always blessing my heart Muungano choir ...
Ujumbe mkubwa Sana Sana, ombi la kilindi hilo, ahsanteni Muungano, tembeeni katika uhaki na UTAKATIFU, tukutane mbinguni siku hiyo
Jamani jamanii hizinyimbo za kwaya ya muungano zinanitoa machozi ninapozisikia mungu awalinde muendelee sarama
Asante nawe pia akulinde
Kwaya kongwe waimbaji wenye ujumbe wenye faraja na subira mbarikiwe sana kutumia mda wenu vizuri,kutoka Haydom-manyara William cresent kirway.
Akubariki na wewe pia
Amina Mungu awabariki sana🙏🏼
Amen amen Mungu awabarikisana wazazi wetu
Great voices.Great music
Vya kale ni dhahabu. Barikiwa. Wekeni na zingine.
Mbarikiwe,endeleeni kuongeza nyimbo nzuri wapendwa.
Zipo zinakuja
Jina la BWANA litukuzwe sana❤ 🎉
Muungano mko vizuri, mungu awabariki sana
Good songs ever,be blessed choir members.
Ujumbe. Mzuri wa baraka mungu wabariki watu wako
Barikiweni jameni tusipoonana hapa nitawatafuta kwenye Meza hiyo
Amina. Nawe tuonane
Nami nitakuwa nanyi wawili
Good singing. Be blessed
Looking forward in seeing you all in NEW KINGDOM, THE NEW JERUSALEM 🙏
In eldoret main stage ,they sang in 1997,I listened to their songs to late evening,I was a young man
May the Lord bless you abundantly muungano choir...
My childhood songs..
From Kenya 🇰🇪
Weka like kama utakuwa kwa hiyo Meza, na kema unehubiria wengi mukuje nawao.
👍
@@njorok7368 amen
The only choir that I know who bring souls close to throne of God.
Absolutely yeeeeesi
Nkiwasikiza ujihizi nikama nisha fika Mbingini.
Mungu hawabariki Sana ,,
What a wonderful & touching message,,,
God bless you all & keep the spirit of spreading the Good News,,
A counseling hymn..God bless you choir & kip up
Ameeen. Ameeen. Glory to God.
Wimbo mtamu sana.
Giving me hope each day
Ahimidiwe mfalme bwana wa milele zoteee
God bless your praising voices and give you all good health
Ameeen Ameeen. ❤❤
Amen 🕊
Kwaya ya kitambo na nyimbo za usemi
Wapi kwa Biblia Mama Maria ameunganika na Yesu katika kutukomboa?
Wapi tunambiwa tuombe kwa mama maria?
Ni wapi Yesu atatii mamaye ili atuombee?.
Jibu bila hasira. Mungu awabariki
Muungano💯🔥🔥
Muungano mbalikiwe
Hakika BABANGU YESUnami nitakuwepo pale
Amen,God bless u guyz.
Praise God. Kindly provide lyrics please
Legendary
I wish you include the Lyrics we sing together
What a beautiful song 🥲🥲
Prepare to sing in heaven with the saints
Amen
😇😇😇😇😇🥰🥰🥰🥰🤗🤗🤗🤗🤗🤗
amina
Hizi nyimbo no dawa ya roho
Ni dawa
Endelea kubarikiwa
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊🎉🎉🎉Geoff is the 😊😊😊
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️🇮🇱♥️✝️♥️🌹🙏👍
04-01-2021
Amen
Amen