Huu wimbo unafaa sana kwa kizazi hiki cha mwaka 2024 maana wengi wanadhani kwamba ni njia ya kawaida hii ni njia ya kwenda mbinguni yaani maana yake ni kwamba ni lazima tuyaache mambo ya dunia hii ili tufike mbinguni
Nashukuru Mungu sana kwa ajili ya Kwaya hii ya Tanzania Muungano SDA. 🇹🇿 imeniinua mioyo yetu mimi na familia yangu tangia miaka ya 1990s. Bwana awabariki ninyi nyote na familia zenu.
Kazi nzuri tu... hii kwaya kwa kusikiliza nyimbo zao niliweza kuokoka...Nakumbuka nikisililiza "Kifo ni nini" nikiwa kwa Uncle yangu pale Jericho mpaka usiku, inabidi niweke sauti ndogo sana ili nisiambiwe nizime...Mungu awabariki sana, God bless you.
Huu wimbo wa njia finyu ni mzuri lakini sio kama ule wa mara ya kwanza kabisa alafu una vichekesho vingi sana kama hao walikuwa wanataka kuanguka jamani. Kazi nzuri sana mbarikiwe karibuni mwanza nimedownload baadhi ya nyimbo zenu ili nimpelekee mama yangu nadhani atabarikiwa zaidi
Over 100 years ago God gave Ellen White a dream. In the dream she was traveling with a large group of people. Some of the people had their wagons loaded with all their things. The road they were traveling on was steep, and on one side was a big drop-off and on the other side was a high white wall.
This song keeps me strong in the lord, nikiusikiliza wimbo huu napata nguvu yakuendelea, wakati mwingine naucheza nonstop in my house, on the way in my headphones aaaah Mungu wa majeshi awabariki wote, na abariki Tanzania kwa jumla.
This is amazing and blesing too. I am noticing new faces within the congregation as i am a frequent listener of Muungano SDA choir. How i wish seing you physically performing. Thomas Kilee - Nairobi

Naombea MUNGU awatie nguvu hekima na maarifa..watu wengi wamgeukie muumba wetu..asante sana
Kadri tunavyokaribia mwisho wa wakati,kufungwa historia ya ulimwengu,kweli njia inazidi kuwa finyu! Tufanye matengenezo!!!
Choir muungano nataka kubaona sana tena sana munaimba mzuri sana
Asanteni sana kwa huduma hii inayotubariki wengi. Mungu awafurikishe na baraka katika huduma yenu.
Huu wimbo wa njia finyu ni mzuri lakini sio kama ule wa mara ya kwanza kabisa alafu una vichekesho vingi sana kama hao walikuwa wanataka kuanguka jamani. Kazi nzuri sana mbarikiwe karibuni mwanza nimedownload baadhi ya nyimbo zenu ili nimpelekee mama yangu nadhani atabarikiwa zaidi
Aki wimbo huu umenibariki sana na natamani niusikize nonstop. Mungu awabariki jamani Muungano na watanzania wote kuanzia kanisa hadi nchi nzima!
...mungu wa mbingu kaniwezeshe nifike hta kama ni uchi
Kweli, mali, vyeo, mahusiano na hata mengine mengi itabidi kuyaaga na kuangalia Yesu tu
Nyimbo zenu zinaleta hamasa ya kumtafuta Mungu
Nice song I always love them, kama tungekuwa tunamwabudu Mungu kw njia hii hakika hakungekuwa na madhambi mingi
Ukweli mtupu.Njia anazidi kua finyu.
Mbarikiwe sana Wana na binti za Mungu kwa KAZI hii njema
Over 100 years ago God gave Ellen White a dream. In the dream she was traveling with a large group of people. Some of the people had their wagons loaded with all their things. The road they were traveling on was steep, and on one side was a big drop-off and on the other side was a high white wall.
Woooow ,,,Mbarikiwe mno mno mno
Yule mzee ako na sauti nzuri sana
Blessed and work hard so that many people come to GOD.
Njimbo zina inua mioyo sana. Mbarikiwe sana .
Huyu jamaa hangeli ongeza iyo sauti yake ange wacha tu kama wimbo ulivyo tungwa.
Aminaaaaa Barikiwa
Ameeen. Ameeen. Congratulations Muungano Christian Choir. You look young each year because of this Great Ministry of Singing. Be Blessed.
Stanza ya mwisho inanifutia sna
Ameeen. Ameeen. Powerful Sermon items. Glory be to God. Congratulations family God Bless you.
Amen. Despite of many laggeges we have, we'll drop all and enter heaven in the Mighty Name of Jesus.
Wimbo wa kuti moyo
This song keeps me strong in the lord, nikiusikiliza wimbo huu napata nguvu yakuendelea, wakati mwingine naucheza nonstop in my house, on the way in my headphones aaaah Mungu wa majeshi awabariki wote, na abariki Tanzania kwa jumla.
Ubarikiwe pia
Amèeeeeeeeeen, Singers of the MOST HIGH. Very true Adventists. Let's follow your examples how you present songs. I Glorify God. Blessings.
My all time choir God bless you ❤🎉
Nyimbo zenu ni baraka kwa maisha yangu, Mungu atutie nguvu!
Amen am much blessed
Ni kweli kabisa kwamba njia ni finyu
Mpaka machozi yananitoka
Wow
Bwana nitie ngufu katika safari. 5:36
Nawapenda wakundwa
I'm moved to embrace their style of singing...so soothing and touching
Niko nairobi vipi naweza pata hii kada
chat.whatsapp.com/HpdHbCOwhNMHTeCMstkRWG
Amen. God bless you highly singers of the MOST HIGH.
This is amazing and blesing too. I am noticing new faces within the congregation as i am a frequent listener of Muungano SDA choir. How i wish seing you physically performing. Thomas Kilee - Nairobi
Ok.
God bless u abundantly Amen
Mubarikiwe kabisa
Asante. Ubarikiwe pia
My daily song 🇺🇲
A wonderful song to put our trust in God. Be blessed.
Awesome awesome ministry 👏
Be blessed 💯
Thomas
Mwanza town choirs
Amen. Blessings.
watching 2023
My song
It really bless mi
Heloo
Can I have their contacts please
Whatsapp +255626599935 or call +255618776547