Barnaba Classic - One in a million ( Official Video ) ( Sms skiza 7637011 - To 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 347

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +148

    Hivi hii tabia yakusoma comments za wadau itaisha lini😂. Mafans wa Barnaba kujeni hapa

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 4 года назад +86

    254 gonga like kama wampenda barnaba tuende Sawa yaani wewe barnaba hukoseangi

  • @imanwarda2217
    @imanwarda2217 4 года назад +10

    Am a proud Kenyan wapi likes za Barnabs ameweza mtoto ,you're one in a million

  • @bookten6210
    @bookten6210 4 года назад +17

    nani anasema mkenya hawezipata likes za tz

  • @piyemeofficial
    @piyemeofficial 4 года назад +2

    Yaani ninavyo mpenda Barnaba anaeweza kuelewa ni Mungu tu!

  • @mnomahboybright4743
    @mnomahboybright4743 4 года назад +2

    Fundi namba1 hakuna kiba mondi wala nani ichi chuma noma sana

  • @sporttv5033
    @sporttv5033 4 года назад +12

    Namm naomba like 5 tu za barnaba

  • @immingoso
    @immingoso 4 года назад +28

    Stay home kwakuburudika toka kwa barnaba gonga like kama umehikubali ngoma 💪 sana.

  • @cezzdankenya6812
    @cezzdankenya6812 3 года назад +6

    😘😘😘😘1 in a million...I didn't know this hit until someone dedicated it to me...hako kafeeling

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад

    Kiukweli kwa upande wangu nikiwa kwenye maumivu ya mapenzi, siwezi kusikiliza nyimbo za Barnaba, uwa nasikiliza nikiwa na furaha, nikisikiliza wakati wa Maumivu ndio kama yanazidi, l love Men 😘

  • @eliasaston
    @eliasaston 4 года назад +1

    Vitu vikali kila siku,kubali sana Barnaba boy classic

  • @Kanyankole-
    @Kanyankole- 4 года назад +5

    Hii ngoma nimekubari demu pamoja na beat aisee..demu nimefikilia Mimi ndo ningekuwa barnaba duh katoto kana sura ya mvuto😅😅😅.. Gonga like Kama umeikubari hii ngoma..👊🏾

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 4 года назад +1

    Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz... Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 👐

  • @sadikijuma421
    @sadikijuma421 4 года назад +2

    Kwel nimeeamin anaejua ajulikani like kaka twendepamoja ziwe nyingi kma tunamkubali mzee wetu wa WASHA

  • @brigitamakoha9941
    @brigitamakoha9941 4 года назад

    Usitafute mngana kwa maradhi ulo bebe zidisha mahaba tu nyimbo tamu naipenda sana from kenya 🇰🇪🇰🇪...........

  • @anthonydicosta5450
    @anthonydicosta5450 4 года назад +15

    This guy why is he always underrated...ju this guy is a lyrical and vocal killer and best songwriter...no1 fan bro...ipo cku naja kuita my private show uimbe tu

  • @princespider5854
    @princespider5854 4 года назад +11

    Artist always on top barnaba classic nipe like yake weweee

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 4 года назад +20

    Jaman like zote kwa barnaba achen mambo yakuomba like

  • @jossephmwalivale6061
    @jossephmwalivale6061 4 года назад +9

    Kama hauna Subufa utamuu wa hii ngoma huwezi elewa,, zingatieni hilo,,B-boy kazi nzito

  • @officialprinah6783
    @officialprinah6783 4 года назад +11

    Like kwake barnabaaaaaaaaa 👌👌😘😘

  • @magnusraphael2229
    @magnusraphael2229 2 года назад

    Huyu ndo mwalimu wa muziki hapa bongo wengine wababishaji

  • @judge2classic600
    @judge2classic600 4 года назад

    Kweli brother Classic BrB wewe ni fundi mkalisana najiskia raha kuskia mziki mzuri tulouzoea maishani tumeumiss mziki nzuri tumechoshwa na matusi yawapumbavu Barnaba 👑🥰👁🎶😻👑❤️❤️❤️🇺🇸🇺🇸Judge USA hapa umetuma naikumbuka SMS pia brazaangu

  • @mchagaboytz5344
    @mchagaboytz5344 4 года назад +3

    Wakwanza leo jaman wap like zangu barinaba clasc number one ....

  • @rosemarympugi5356
    @rosemarympugi5356 4 года назад

    Unajua nini barnaba m nakpenda sana coz kaz yako aina mitusi Kama kna flaniiiiii

  • @amosimusso7589
    @amosimusso7589 4 года назад

    Nakukubali mno kaka kitu ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 года назад

    Barnaba nikwambie vipi kuwa wewe you are one in a million musician...unaweza zaidi ya kuweza...yaani haina haja uende international bakia local uwe wetu tu...

  • @bakarbonka1063
    @bakarbonka1063 2 месяца назад

    Hiii nyimbo inanikumbusba mbal sana jmn 2019 kuna dada nlimpenda mm a tulipendana sana tukisikiliza hi nyimbo pamoj tulikua strong feeling moja hatar sanaaaaa da, but ndo hvyo siku zkaendaaa 🙌

  • @ramsymissey1415
    @ramsymissey1415 4 года назад +2

    Tnakutambuaga Sana kwetu 254. Like apa Kama basi wamtambua pia

  • @carolynekibibi4847
    @carolynekibibi4847 4 года назад +20

    From Kenya, showing love 😍

  • @catejune9829
    @catejune9829 4 года назад +6

    Barnaba nilikupenda bureeeeee💓my dream n kuvideo fix gomma yako,so nice music,the rhythm 💝💞nice and sweet+254

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 4 года назад

    Ngomaaa kalii Sana Mafilanga Kibaoooooo🔥🔥🔥👑👑👑

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 Год назад

    Wewe Wewe tu!! 💘💕💘💕💘💕💘💯

  • @tencobabacaesar8718
    @tencobabacaesar8718 4 года назад

    Kaka Barnaba naomba beat nifanye cover ya HIP HOP moja kaliiiiii

  • @edomwinuka3379
    @edomwinuka3379 4 года назад +1

    KALIIII SANAA HII NGOMA

  • @hilarysamwel6496
    @hilarysamwel6496 4 года назад +3

    dah nlingoja sana hii video big up brother barnaba

  • @ericohboy253
    @ericohboy253 4 года назад

    Wani bamba mbaya barnaba,ngoma classic sana.

  • @faithlawrence4674
    @faithlawrence4674 4 года назад +3

    Can't get enough of this song....the melody ....vocality ...🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️💞💞 Salute kwako kaka....

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 Год назад

    Wewe Wewe tu!! 💖💯💖

  • @hoseajohn8197
    @hoseajohn8197 4 года назад

    Fundiiiiiiiiiiiiiiiii🙌🙌nakukubali sana broo

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 4 года назад +2

    🇨🇩🇨🇬 toza awa 🎶🔥

  • @florarose1626
    @florarose1626 4 года назад +1

    Iiiiii wow nyimbo tu inaanza I am already in love 😍 if you love this amazing man and his songs make this blue plzzzzzzzz
    👇🏾👇🏾

  • @alsabbarahmed885
    @alsabbarahmed885 4 года назад +19

    What a song,, so nice feeling go ahead BARNABA

  • @innocentmwakyange2058
    @innocentmwakyange2058 4 года назад

    Nakukubali saana Barnaba hakika ww ndo unaenipa burudani.

  • @salehekapama9842
    @salehekapama9842 4 года назад

    Daah ngoma iko pow san aisee big up B,boy

  • @achirova7109
    @achirova7109 4 года назад +1

    Classic sound .... we jamaa unajua sana unaimba sana utasifiwa ukishakufa utapata heshima yako👊👊

  • @pizzoyoungpaul1324
    @pizzoyoungpaul1324 4 года назад

    Daaah hatar motomoto

  • @magnusraphael2229
    @magnusraphael2229 2 года назад

    Huwa nasema barnaba ni legendary afu ni genious

  • @salimali3035
    @salimali3035 4 года назад

    Kama mziki mzur sio team hapa wange IGA... Salute

  • @glorialaison1158
    @glorialaison1158 4 года назад

    Very tarented barnaba Mungu akupe umri bro ktk muziki wako

  • @seifhassan7652
    @seifhassan7652 4 года назад

    noma sana....sikomi kiurudia

  • @julesbakita7966
    @julesbakita7966 4 года назад

    mazeeh munadjuwa luwa huyuwimbo nimtamu hata kwaki farasa!dooouh

  • @edwinonyere3682
    @edwinonyere3682 4 года назад +1

    Moto saaana

  • @Brezy_mabuya
    @Brezy_mabuya 4 года назад +3

    Dady 💥💥💥💥

  • @kalixtv818
    @kalixtv818 4 года назад +2

    JAMAA UNAJUA SANA WEWE..PLUS HUNA MAKUU WEWE

  • @sisavictor6962
    @sisavictor6962 4 года назад

    Barnaba hapo sawa

  • @winniemassawe5281
    @winniemassawe5281 4 года назад

    Daaaa sina la kusema mm uyu kaka napenda sana nyimbo zake yan

  • @ddellecllasscmuss235
    @ddellecllasscmuss235 3 года назад

    Nakubr broo

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 4 года назад +2

    One in a million
    Bonge la ngoma 👌

  • @aronelius9515
    @aronelius9515 4 года назад

    Barnaba ....ndio msanii wangu mpaka anaacha kuimba muziki .... Tanzania ...... Mkali sana

  • @warembonaelah9416
    @warembonaelah9416 4 года назад +2

    I'm just hear to see what hubby has just dedicated to me....sijuti.beauriful

  • @comfortluiz4274
    @comfortluiz4274 2 года назад

    Eeeh love❤️thizz👆👆.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @smallsamzy9929
    @smallsamzy9929 4 года назад +2

    one nice ni wee tu

  • @lucymalisa5700
    @lucymalisa5700 4 года назад

    Ila haka kajamaa yamani I love you barnaba

  • @thebullsfamily
    @thebullsfamily 4 года назад

    Always classic boy

  • @johnyema3360
    @johnyema3360 2 года назад

    Kwann haijapata view weng aisee ngoma kali ivo

  • @MariamMohamed-kz5cf
    @MariamMohamed-kz5cf 4 года назад

    Napenda sana ngoma zaahuyu jamaa

  • @paschalykisuda1643
    @paschalykisuda1643 4 года назад

    Pamoja Sana Barnabas boy classic

  • @Jamalylitinji
    @Jamalylitinji Год назад

    jamaa,anaweza

  • @mohyombe5950
    @mohyombe5950 4 года назад

    Goma kali sanaaa

  • @fadhilrashid4175
    @fadhilrashid4175 4 года назад +2

    Kiswahili is a beautiful language don't know why people especially tanzanians thinks knowledge in queen's language is a measure of intelligence....Beautiful songggggg

  • @aminamohamed9427
    @aminamohamed9427 2 года назад

    Wwoowww mamilion 😍

  • @augusteselemani3353
    @augusteselemani3353 4 года назад

    Ongera sana kaka

  • @verilyvero1689
    @verilyvero1689 4 года назад

    Tamu sana kaka, hii lockdown🇰🇪🇺🇬

  • @happyqueen635
    @happyqueen635 4 года назад +6

    Kama unakubali hii kazi basi like twende mbele

  • @uwaridiomari3991
    @uwaridiomari3991 4 года назад

    Asali wa moyo ni wewe tu😍

  • @polycarpmnali1084
    @polycarpmnali1084 4 года назад +1

    duuh apo ndo penyewe, tujuane apa kama unamkubali barnaba

  • @jackiegichuri7180
    @jackiegichuri7180 2 года назад +1

    Hey barnabas here in 254…you are such a vibe ❤️‍🔥❤️‍🔥anytime you ever doubt dont ever give up on giving us this masterpieces just remember some of us always waiting on you to release so we listen 10million times repeating God give you grace million folds

  • @hoseajohn8197
    @hoseajohn8197 4 года назад

    Broo barnaba cjawi pinga kazi zako ata cku moja

  • @OgeyoFelix
    @OgeyoFelix 4 месяца назад

    Much love from Kenya.
    Hii song unibamba mbaya sana ❤

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 Год назад

    Na kupenda mpaka kiama!!💖💯💖👄👄👄

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 года назад

    Korona imeisha ngoma kali

  • @medicalstudentdiscussion9149
    @medicalstudentdiscussion9149 4 года назад +1

    Good boy

  • @kingkinghot1787
    @kingkinghot1787 4 года назад

    Nakupenda sana barnaba

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 4 года назад

    Huyu jamaa ni msanii mkubwa nashauri atoe ngoma na Alikiba

  • @happymwazyele6913
    @happymwazyele6913 2 года назад

    Mopao...on top

  • @saidstarboy9528
    @saidstarboy9528 4 года назад +1

    Syde boy star

  • @adamsonvibes2602
    @adamsonvibes2602 4 года назад +4

    vocals on point.🇰🇪

  • @poolboypoolboymanstrong8570
    @poolboypoolboymanstrong8570 4 года назад +1

    #SIO UTAn 💣🎬

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 года назад +1

    Nataka like za hii ngoma zifike 100

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 4 года назад

    Barnaba 🔥🔥🔥🔥🔥❤!!!!!!

  • @Tfsfedexpilot
    @Tfsfedexpilot 4 года назад

    Noma sana 💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥📌👌💪📌

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 3 месяца назад

    This is for my one and only love!!! 💖💕💖💕💖💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @vanessafaustine3951
    @vanessafaustine3951 Год назад

    Salute Barnaba boy you are so good I like it 💕

  • @ummumohdaboud4406
    @ummumohdaboud4406 4 года назад +3

    My one and only dedicated this song to me today and i just loved it barnaba you have just gained one more fan 254❤🤦‍♀️

  • @_myuga969
    @_myuga969 8 месяцев назад

    This time in bongo flavour kept us sane.. they no longer make such songs..

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 4 года назад

    My favourite mistake....I love you bubu ..🥰😘❤️ favourite song

  • @suzanaronald488
    @suzanaronald488 4 года назад

    Barnaba n fundi hatari

  • @kelvinshayo608
    @kelvinshayo608 4 года назад +1

    Unajua mzee🙌🏻

  • @bigii
    @bigii 4 года назад +2

    You are my favorite mistake..hiyo intro imenigusa roho😍😍
    Am from +254

  • @emmyshirima9872
    @emmyshirima9872 4 года назад

    Nakuzimia barnaba boy😘