Enock Jonas_Kizungu Zungu (Official Gospel Music Video 2014)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 191

  • @DeborahWarioba
    @DeborahWarioba 9 месяцев назад +11

    Kizunguzungu kimewapata 😂😂😂..nabado mwaka huu 2024 kitawapata sanaa

  • @feliciankazimoto8888
    @feliciankazimoto8888 2 года назад +24

    I'm here after 500M to be needed.

    • @costa6297
      @costa6297 2 года назад +3

      Ata mimi

    • @davidmbaga2998
      @davidmbaga2998 2 года назад +3

      Nyimbo ya kile kipande cha zuchu sio hii ni ile nyingine ya wema wa mungu

    • @jenifajoseph2053
      @jenifajoseph2053 2 года назад +1

      Mbon siskii zunguka zunguk jmn

    • @davidmbaga2998
      @davidmbaga2998 2 года назад +1

      Sikiliza ile nyimbo yake ndingine ya mkono wa mungu ndio kuna kipande icho

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 года назад

      🤣🤣🤣

  • @JustinaWilliam-nq8ft
    @JustinaWilliam-nq8ft 4 дня назад +1

    Aleluya ❤

  • @traveler.360
    @traveler.360 2 года назад +18

    Dear mtumishi wa Mungu huu wimbo kuanzia maadili, miondoko, beat, na kila kitu havifanani na ya zuhura. Mungu akuongoze ulione hilo. Usitake advantage utamkosea mungu.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 года назад +2

      Mtumishi anataka apate hela

    • @rossitahwayua9171
      @rossitahwayua9171 2 года назад +2

      Hata Mimi mkenya nimekuja kuona zinafanana wapi. Ama ni mipango ili apate views nyingi. Shame on him

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 года назад +1

      @@rossitahwayua9171 Kuna ule wakwake unaitwa wema wa Mungu ndio anadai zimefanana

    • @kessysifael5006
      @kessysifael5006 2 года назад +1

      Hello angalia ule uloandikwa zunguka sio huu hapa kizunguzungu

    • @traveler.360
      @traveler.360 2 года назад

      Zote hazifanani

  • @lowasalosike9442
    @lowasalosike9442 Год назад +1

    Haki ya mungu I'm playing this song at the right time.....2023.....I just got employed after 15yearz

  • @sakaladickson2389
    @sakaladickson2389 Год назад +2

    First time watching from Zambia 🇿🇲🇿🇲. Sounds to be powerful track....

  • @kevinmwavali1608
    @kevinmwavali1608 Год назад +3

    It's 2023 I'm still pressing acha Mungu aitwe mungu❤

  • @omarymohamed168
    @omarymohamed168 2 года назад +2

    Sa mbona haufanani na kwikwi😬 yaan huu niliusahau. Na kwikwi nilikuwa sijackiliza ila nimeifuatilia yote ili nione inafananaje sasa dooh. Toofautiii😅😅😅 mtumishi bhna. Emu endelea kumuimbia mungu bhna daah

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 3 года назад +1

    Woooo kweli kabisa kizunguzungu kimeshawapata huu ni muda wangu wa mafanikio namini mungu anatenda miujiza watabaki midomo wazi

  • @Emmanuel-b4g1n
    @Emmanuel-b4g1n 2 месяца назад +3

    Wangapi tuko hapa2024

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 3 года назад +1

    Yeah amen nilipo sema Niko ngambo walisema aje tena,waaa kizunguzungu kimewapata.

  • @liztom5051
    @liztom5051 2 года назад

    Wamezoea kuniona nateseka Leo wananiona wananionea wivu. Mungu amenikumbuka ni kweli. Aminaaa

  • @firestomm
    @firestomm Год назад +2

    After 9 years this song is still unforget

  • @Evalyne-sc1eo
    @Evalyne-sc1eo Год назад +1

    AKY AM BLESSED WITH THIS..........GOD BLESS ENOCK VERY MUCH

  • @DeborahWarioba
    @DeborahWarioba 9 месяцев назад

    Shetani na mawakala zako mwaka huu.2024..Kizungu zungu kitawapata sanaa..

  • @DavidMbaluto
    @DavidMbaluto Месяц назад

    Mungu amenikumbuka walio sema sitaedelea kimewapata

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 3 года назад

    Ama kweli kizunguzungu kimewapata maadaui zangu waliotabiri kushindwa kwangu! wanikome kwa jina la Yesu!

  • @janeajema2603
    @janeajema2603 2 года назад +6

    Wow wonderful song, just 4 me what l have seen🙏🙏🙏 be blessed alot mubarikiwe saaana watching from israel good job

  • @yustayusuph9101
    @yustayusuph9101 2 года назад

    Kizunguzungu kimekupata wewe mtumishi baada ya wewe kumchinjia zuchu shimo kisha umedumbukia mwenyewe, zuchu kuchukua kipande kidogo tu cha zunguka ukataka milion 500 kumbe wewe ulichukua melody ya wimbo wote mwanzo mwisho na staili zote za kucheza uliziiba za wimbo wa diamond platnams wa namba one na kuingiza maneno ya dini na staili zote za

  • @TuuRtyy
    @TuuRtyy Год назад

    Huu wimbo hunijenga sana i real love it, ❤ be blessed more the producer❤❤

  • @BabyCleaver
    @BabyCleaver 2 года назад

    kizungu zungu cha mkundu haifanani kabisa taaa kbisaaa

  • @sheilaporomoka8079
    @sheilaporomoka8079 2 года назад +3

    Nimekuja kukagua kama inafanana na ya Zuhura

  • @judielubanga8852
    @judielubanga8852 2 года назад

    I love this song
    Sikuwahi jua wimbo wako ndugu enock...this song is ablessing

  • @EmilianaMsigwa-fy6np
    @EmilianaMsigwa-fy6np Год назад +1

    Walionidhalau kizunguzunguuuu wanaona😅😅😅😅

  • @teresawafula7112
    @teresawafula7112 2 года назад

    Hiyo ni kweli kabisa mchungaji, true story.

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 19 дней назад

    Mungu nimwema sikuzote 😂🎉

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 2 года назад

    Yani watu mna wivu🙄🙄 acheni kumkosowa mtumishi wamungu Enock Jonas nyimbo zake zinavuma Sana kilakona Kwanza ata iih

  • @ndutsomimoh4541
    @ndutsomimoh4541 4 года назад +2

    Warogi na wachawi hawana bahati kizunguzungu kimewapata.

  • @kenmgash4223
    @kenmgash4223 2 года назад +4

    a very touching song be blessed bro🇰🇪🇰🇪

  • @rosendungwa1915
    @rosendungwa1915 4 года назад +2

    Here 2020 September,,kizunguzungu hicho kinawapata maadui.

  • @nekesamoreen4827
    @nekesamoreen4827 4 года назад +6

    I love the song it's so inspirational kizuzungu be blessed

  • @MercyCherop-f7u
    @MercyCherop-f7u Год назад +1

    Kimewapita

  • @joshuakirimi5227
    @joshuakirimi5227 2 года назад +2

    HAPA HAKUNA TALENT.
    THIS IS JUST A NORMAL TALK.
    ART IS ART .RESPECT ART

  • @MillicentAmbesta-rf8qm
    @MillicentAmbesta-rf8qm Год назад +4

    This child is powerful may God continue to raise him up

  • @naominyambura8901
    @naominyambura8901 3 года назад +4

    Wow good job endelea ivo ,may God give you strength and knowledge

  • @marymwita6476
    @marymwita6476 3 года назад

    Wachaaa2021 kimewapata kizungunzu maadui zangu wote Ila umekimya sn mkuu

  • @agnessituma
    @agnessituma Год назад

    Nimebarikiwa na huu wimbo amen🙏🙏

  • @CarolineMuhusa
    @CarolineMuhusa 10 месяцев назад

    God my you remember your people 🙏🙏

  • @faithnelimaesther3060
    @faithnelimaesther3060 Год назад

    Amen 🙏 🙏 kimewapata

  • @brianherbert417
    @brianherbert417 Год назад

    Kimewapata kweli😅

  • @mamanyvonnesoro
    @mamanyvonnesoro Год назад

    I really love this music and the dance awesome

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 2 года назад

    Aisee, we jamaa una akili nyingi sana, hili li wimbo lako, umeona njia nzuri ya kulitangaza ni kupitia malalamiko. 😃😃😃 Aisee hongera sana, kiukweli wimbo wako haifanani ht kidogo na wimbo ulioulalamikia

  • @JohnSalia
    @JohnSalia 2 года назад

    Amina.watumishi.wamungu

  • @frezixsabk8078
    @frezixsabk8078 2 года назад +1

    He deserve to be paid 500

  • @puritymoenga2296
    @puritymoenga2296 3 года назад

    the song is encouraging ,,,,,,hata imenipea challenge

  • @pamelaemojel7195
    @pamelaemojel7195 2 года назад

    Ma bro you sang me ,wat i passed through oooh

    • @pamelaemojel7195
      @pamelaemojel7195 2 года назад

      Now they say ihave small girls majini ooh lord you had me

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf Месяц назад

    Mungu awabaliki

  • @EpitaceNshemezimana-tv4so
    @EpitaceNshemezimana-tv4so 4 месяца назад +1

    Who whatched this song in 2024
    Give me like

  • @mikinaroz4386
    @mikinaroz4386 4 года назад +2

    Kizunguzungu kiwapate kabisa

  • @glandymutuku7199
    @glandymutuku7199 3 года назад +3

    Who is here 2021 hands up

  • @violetmusulwa8375
    @violetmusulwa8375 3 года назад +5

    God bless you I love this song 🎶🎶🎶🙏

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi5504 2 года назад

    Munguatatubariki,Sanaa🏃🏃🏃🏃💃💃💃💃

  • @nuruabdullah2970
    @nuruabdullah2970 2 года назад

    nimekuja angalia iyo nyimbo inayotaka kulipwa milion 500 mana sisi wengine sio mambo yetu make kwanza nncheke ndo anasema ameigwa na zuchu au anataka hela tu🤣🤣

  • @amehassanrehanirehani2231
    @amehassanrehanirehani2231 2 года назад

    Njaa na kutaka umaarufu unaweza jikuta unaishia pabay huu wimbo kweli ndo unafanan na zuchu ahhahaha

  • @sarahmogiti4003
    @sarahmogiti4003 2 года назад

    IAM Sarah Kenya nimepalikiwa

  • @morrissasafaris4711
    @morrissasafaris4711 2 года назад +1

    God Bless you...Hii song haifanani ya Zuchu so we are wondering which song you are talking about...ama it's your way of getting more views???

    • @marianfilibert1464
      @marianfilibert1464 2 года назад

      So hii angika Wimbo unaitwa zunguka utaelewa kama kaaba kwei

  • @oliverlunyolo875
    @oliverlunyolo875 2 года назад +3

    Amen 🙏in Might name of JESUS CHRISIT i believe in JESUS CHRISIT 🙏⛪📿🕯️

  • @selvependo9364
    @selvependo9364 3 года назад +1

    Amen amen barikiwa na mungu

  • @EstherKhalayi-n9k
    @EstherKhalayi-n9k Год назад +1

    🎉🎉❤❤

  • @d-maxScarlageKe
    @d-maxScarlageKe Год назад

    kizunguzungu

  • @judyewoi1391
    @judyewoi1391 2 года назад

    This song its very nice ilove🔥🔥🔥🙏 God blessed

  • @munaswaleh1790
    @munaswaleh1790 2 года назад +1

    Zunguka nayo imeingiliana na wapi jameni aki zuchu wewe

  • @elizabethnekesa2782
    @elizabethnekesa2782 3 года назад

    Waibishwe kwa jina la yesu.

  • @sadasuleiman2404
    @sadasuleiman2404 2 года назад

    Mbona hazifanani?

  • @sadasuleiman2404
    @sadasuleiman2404 2 года назад

    Nyimbo yenyewe ndio hii

  • @RoseMutanu-i9i
    @RoseMutanu-i9i 4 месяца назад

    I love song ❤❤❤

  • @faustaraugustine907
    @faustaraugustine907 3 года назад

    I missed this bro still listen the song here

  • @PetarKamau
    @PetarKamau 8 месяцев назад

    Thatsongisns
    Ilikeit

  • @davidkwanusu7883
    @davidkwanusu7883 3 года назад +1

    2021 kizukungu kimewapata adui zangu

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 3 года назад

    Walai thanks bro God bless you more

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x Месяц назад

    Kimewapata😅😅😅

  • @christinemachocho8562
    @christinemachocho8562 2 года назад

    umeweza

  • @annandukun4998
    @annandukun4998 2 года назад

    I lav thix xonq

  • @duskymusic3863
    @duskymusic3863 2 года назад

    Mkumbavu wewe "Kizungu zungu" na "Zunguka" zinapatana wapi❓❓BURE KABISA

  • @jamesdimosso2601
    @jamesdimosso2601 4 года назад +2

    Oyooooooooo daah Enzi hizo.💪💪💪

  • @RoseMiyogo
    @RoseMiyogo 26 дней назад

    Kimewaramba

  • @alshakizmwongesh8624
    @alshakizmwongesh8624 3 года назад

    Please kuna song natafuta ya huyu huyu msanii na song yenyewe ni ile ya siku ya leo ni njema macho pa mungu, mungu amekupa neema umefika sku ya leo, mwenye anajua anitumie link ya iyo song plz

  • @faithkingoo6999
    @faithkingoo6999 3 года назад

    just keep up praising bro its good

  • @saidabosco6244
    @saidabosco6244 15 дней назад +1

    2025😂

  • @jane.moragwa2030
    @jane.moragwa2030 2 года назад

    Wameaipika

  • @SharonMwale-gr3yt
    @SharonMwale-gr3yt 3 месяца назад

    Marvelous

  • @emilykerubo5944
    @emilykerubo5944 3 года назад

    Kimewapa tayari

  • @yekonianakisigaye2157
    @yekonianakisigaye2157 3 года назад

    Uhakika wa jambo uko kwa BWANA

  • @ElizabethIsiyo
    @ElizabethIsiyo 4 дня назад

    Ameeeen🙏🙏🙏

  • @jenifersimiyu1594
    @jenifersimiyu1594 3 года назад +1

    I like the song

  • @paskalbomb7431
    @paskalbomb7431 2 года назад

    Naipenda San huu mwimbo

  • @PhlipYonn-gh6mm
    @PhlipYonn-gh6mm Год назад

    Septemba 18 2023

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 года назад +1

    Hii kiboko

  • @lorysarafina9275
    @lorysarafina9275 3 года назад +1

    Wooooow God bless u ,more fire🔥🔥🔥🔥

  • @matildagh
    @matildagh 2 года назад

    Thanks thanks and amen amen

  • @Delomar3
    @Delomar3 2 года назад +2

    Am here after ZUCHU 😂😂😂

  • @aivanhilali5846
    @aivanhilali5846 3 года назад

    Kizunguzungu kiwapate kwwri

  • @diannehiyokalisanantakirut5413
    @diannehiyokalisanantakirut5413 3 года назад

    Kweli kabisa hapo

  • @jacqmorah7865
    @jacqmorah7865 2 года назад

    Do more effort u can go far

  • @carncarn9089
    @carncarn9089 2 года назад +1

    Amazing song

  • @startwithginegine1891
    @startwithginegine1891 2 года назад +1

    Izzo m500 asa unapataje kka

    • @michellediascan4248
      @michellediascan4248 2 года назад

      kwa kuma mamako wivu mtupu ww

    • @startwithginegine1891
      @startwithginegine1891 2 года назад

      @@michellediascan4248 udhalilishaji wa viungo vya mwanamke wa nini kaka, Alf unajikuta mjanja mwenyw ni mjinga tu

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 года назад

    Safi sana

  • @josephmichael5515
    @josephmichael5515 3 года назад

    Iko bie sana

  • @margretsambula684
    @margretsambula684 2 года назад

    Nice.song.god.is.good.all.the.time

  • @pitymwash
    @pitymwash 2 года назад

    Watching in 2022 🇰🇪