JE, TUNAPATA WAPI VIFARANGA VYA KUKU? BROILER, LAYERS, KIENYEJI, SASSO AU KROILER? 👆

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 7

  • @IsayaGwaidesh
    @IsayaGwaidesh 9 дней назад

    Madam God bless you unakipaji Cha kuelimisha,hata mm nimehamasika nimeanza kufuga kuku wa kienyeji sahv ninao kuku 100 I believe it is possible but education is the best one

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 9 дней назад

    Sasa inabidi wakulipe hao wasambaji Madame ukuze biashara yao😀😀

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 дня назад

    Nitajuaje kama wamepewa modame chanjo hiyo elezea kidogo

  • @CatherineMalima-ey4oo
    @CatherineMalima-ey4oo 2 часа назад

    Tunaomba namba yako

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  2 часа назад

      @@CatherineMalima-ey4oo IPO👆

  • @AllyBahsan
    @AllyBahsan 10 дней назад +1

    Saa hii umekua mwerevu dada ndio eti "mimi siwezi kukutajia makampuni " mara ngapi umetaja silverland kwa videos. Usitarajie kulipwa kwa matangazo maana bado platform yako bado ndogo sana

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  3 дня назад

      @@AllyBahsan Mpumbavu wewe kumbe nilishataja mara kadha salsa kwanini nirudierudie ungekuwa wewe ungeweza? Siangalii platform kubwa au ndogo illa wale ninaowafikia. Nikukumbushe ushike adabu yako mie si mkenya mwenzio uje Kwenye chanell yangu na unipangie lalufanya weeeeed ishia hapo hapo. Huna shukurani eti uerevu ndio umegundua leo?