MWANAMKE ALIEMFATA MTOTO WAKE GAMBOSHI BAADA YA KUUULIWA NA KUCHUKULIWA NA WACHAWI/AMEKUWA MSUKULE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025

Комментарии • 214

  • @esthermaluko5621
    @esthermaluko5621 3 года назад +5

    Akuna aliye kama mama jamani.👏🏼

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 года назад +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 года назад +1

    mr everything 👍👍👍😘

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 3 года назад +7

    Yaniii mikasa yotee huu nii mzito sana yaniii na unaumaa mungu anasaidie mama

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +4

    Hawa wamamamkwe wengine sijui kwann kwann wanapenda kutoa wajukuu wao misukulee😥😥😥😥unaekula nao ndo mubaya wako ..

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 3 года назад +6

    Angesimama na Yesu,binti asi ngekufa

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 года назад +2

    Mpe Pole sana

  • @latifasaisi3548
    @latifasaisi3548 3 года назад +2

    Daah kumbe chumba Cha ICU ni chumba Cha Bahati Nasibu 😂😂😂😂 Davister unatuletea fantastic story....

    • @saidabdalla8996
      @saidabdalla8996 3 года назад

      Ulikuwa ujuwi ndugu ikiingia uko unatia mkono kizani

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 3 года назад

      Ulikuwa hujui?

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 2 года назад

      Waswahili tunaita chumba cha bahati nasibu yaani kufa au kupona ukiingizwa kile chumba ni Mungu Tu ufe au upone ndo maana ni chumba maarumu cha mwisho cha mgonjwa aliye mahututi na wengi hufia umo kama hujui hicho cha chumba cha bahati nasibu mapazia ya kijani sekunde tu

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 года назад +2

    Pole sana dada wachawi huwa wanaanza wasimamizi arafu ndio wanafanya yao

  • @jongoathumani3690
    @jongoathumani3690 3 года назад +8

    Namba moja kimkakati kabisa like zangu kwenu wadau

  • @johnstonemuyelele4353
    @johnstonemuyelele4353 3 года назад +1

    Locked 🔐..... Big up bro!!!tuko ndani tumenata hatubanduki .kazi kuntu 👍

  • @wilsonwilson2417
    @wilsonwilson2417 3 года назад

    Mr facts kazi safi

  • @thewomanofsteel3970
    @thewomanofsteel3970 3 года назад +6

    Huyu mama sio msukuma lafudhi yake Kama muhaya vile,,Pole sana mama wachawi sio watu wazuri mi nawachukia sana .

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 года назад +2

    Eeeh hii simlizi ni more🔥🔥

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 года назад +1

    Pole saana yaani huyo mganga ndo aliyekutoa kwenye maombi yako ndo akapata nafasi. Jamani tusimameni kwenye neno na tumtumaini Mungu shetani mbaya saana I

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 года назад +2

    Pole sana mama wa watu! inatia huruma.

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад +3

    Pole mama lakini shida huku mwamini mwanao

  • @silperaura5283
    @silperaura5283 3 года назад +1

    Ila davista asante kwa kupumzika mkono na mike

  • @mkukistore2816
    @mkukistore2816 3 года назад +1

    New page iam the first person to view and like this

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 3 года назад +3

    Siku zote simama mwenyewe kwa Imani saliii....usitegemee watu maana saiv manabii wa uwongo wengi sana

  • @emelensianachitalula3999
    @emelensianachitalula3999 3 года назад +3

    Msaada jamn chumba cha bahati nasibu ni chumba gan hcho🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ivaniavianarodrigo7201
      @ivaniavianarodrigo7201 3 года назад

      icu

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      Unacheka kabisaa kwel..... 😓😓😓

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 3 года назад +1

      Hivi kumbe wengi hamjui kama ICU kinafahamika Zaid kama chumba cha bahati nasibu

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 Год назад

      @@mosesjohnswilla9926 Asanteni hata mm sikujua Kama ICU Kama nichumba Cha bahati nasibu.🤦🤦

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 года назад

    Pole dada, kwa mikasa uliopitia,

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 года назад +1

    Waganga na wachawi ni marafiki. Husharikiana kwa mabaya.

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 года назад

    Safi Sana broo

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад +2

    Nimejifunza mengi inapaswa wachungaji mnapaswa kufunza watu jinsi ya kuomba tukio la Huyu mama alikua ana mulaumu Mungu sana

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 года назад

    Story nzuri sana ✨

  • @g.d.d1481
    @g.d.d1481 3 года назад

    Pole sana mama

  • @mohamedimusa2043
    @mohamedimusa2043 3 года назад +2

    Chumba cha BIKO 🤔🤔😄😁😄😔

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 3 года назад

    Pole mama Mungu akutie nguvu

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 года назад +2

    Wa kwanzaaa 🤣🤣💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 года назад

      Ongera yako sana

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 года назад

      @@fatmaalrshdii7615 Asante wngu😘😘😘😘😘

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 года назад

      @@fatmaalrshdii7615 vp hali yako😘😘😘😘😘❤❤

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 года назад

      @@FFL-X1D nashukuru mwenyenzi mungu Mimi mzima WA afya njema kipenzi changu

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 года назад

      @@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kuxkia hivo kipenzi changu❤❤❤❤

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 года назад +4

    Mchawi na waganga ni kitu kimoja

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад

    Jamani utaazishwajee doz ya saratani nahaijaonekana😥😥😥 shetani alikuwa akitawalaa kweli kumbe unauguzaa kivuli

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад

    mama pole Mungu ni mueza shetani hana chake

  • @nsarilema9580
    @nsarilema9580 3 года назад +1

    mara kanisabi mara kwa mganga.Mungu hachanganywi.hukuwa na imani ndomaana ulichanganya Mungu na waganga.alafu unadharau eti kichungaji kinaitwa sijui nani.

  • @rehemamsangi3245
    @rehemamsangi3245 3 года назад

    Dah!!!!

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 года назад +1

    Ulipo nipo dm🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿

  • @almassylivester4691
    @almassylivester4691 3 года назад +5

    YESU NI MUNGU WA KWELI NA WA PEKEE, LICHA YA MADHAIF YETU, MAKOSA NA DHAMBI ZETU, BADO ANATUPENDA. Nevertheless He is consuming fire 🔥 🔥🔥🔥

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 года назад

    Fungeni huo mkanisa ,& matawi yake,km kweli yanatumia Mungu,mbona hilo kanisa limeshindwa kujua kwamba kanisani yupo mzee wa kanisa ambaye ni mkuuu huko Gamboshi? Yanatumia nguvu za Giza,Mungu nisamehe nilienda kusali kwa hao mapepo.

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 3 года назад

    Pole mama

  • @nundabe
    @nundabe 3 года назад +4

    🇧🇮👌🏽

  • @iddypandu4285
    @iddypandu4285 3 года назад +1

    ICU = chumba cha bahati nasibu😀😀😀

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka mpaka kidogo nivunjike mbavu😂😂😂🤣

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 года назад +3

    Niwaambie kitu ndugu zangu wote tunaofuatilia hiki kipindi cha mikasa? Wachawi wapo! Wachawi sio wakuchekea! Yani we kama huwezi kuomba Mungu! We tafuta mganga matata na ikikubidi nenda hata nchi jirani ukatafute waganga matata! Na ukibahatika kumpata mchawi anae kuroga au kukorogea watoto! We muue tu! Usimwache mchawi akaishi!

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 года назад

    Mmmmmhhhhhhh unajua watu wanachukulia kama utani but kuomba saa tisa mhhh ..waombaji tu ndo tunajua mziki wake

  • @AllySAMATTA-tu1xi
    @AllySAMATTA-tu1xi 9 месяцев назад

    Mmmmm

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 года назад +2

    Hao mapasta pia wanga pamoja na waganga lao mmoja ila sio wote

  • @sabeybybadiloo7790
    @sabeybybadiloo7790 3 года назад

    Eehh mungu wangu yani inauma

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +1

    Hao hawakuwa ni mapstor kamiliki walikuwa wamefungwaa wao pia walikuwa mybe kwagizaa

  • @zennahenry5953
    @zennahenry5953 3 года назад +2

    Chumba cha bahati na sibu 🤔

  • @tracyangells7595
    @tracyangells7595 3 года назад +2

    Pole Mama Aisee Inasikitisha Sana !!😭😭😭

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 года назад +1

    Uyo malisa si ndio Dan alisema ni mchawi au malisa yupi😂

  • @mursallusinde9189
    @mursallusinde9189 3 года назад +1

    Huyo mtu ni dani mchungaji halafu ile stor yake patt 2 mbona uliikatishia njiani

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 года назад

    Hi

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 года назад +1

    Tunakula jmn🤣🤣🤣🤣

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      Sindio dear hata number mmoja hatuwai 😂😂😂

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +2

    Analinini linakuja lianongea kolokolkolk

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 3 года назад

    Pepo hilo linaitwa Kifalo,ndipo linalo let's sauti ya mchawi

  • @ruthkwamboka9082
    @ruthkwamboka9082 3 года назад +2

    Gambosi missing zabron

  • @officialmichaeltz4676
    @officialmichaeltz4676 3 года назад +1

    😳😳😳😳

  • @zulfajohnkilongozi4943
    @zulfajohnkilongozi4943 3 года назад +3

    Hivi mnyeshani alifikisha kibegi cha tano,walimlipa ela zake,walimuacha arudi tanga,ni kweli wale marafiki zake waliondoka?

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 года назад +1

    👂👂👂🔥🔥1

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад

    santa dav Mr kila kitu

  • @aminabhitalio8143
    @aminabhitalio8143 3 года назад +1

    Aisee dunia hii

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 года назад +1

    Mtihan kwakweli inauma sana pole bidada binadam wabaya sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +1

    Mama mzima wajisaidia kando yachoo kama simwangaa nn..halafu kinganganizi kulalahspital namgonjwaa ilimumutese mtoto

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 года назад

    Dah ICU ndio Chumba cha bahatinasibu😂

    • @anitamwehonge8287
      @anitamwehonge8287 3 года назад

      😂😂😂😂😂ndio sisi watu wa mwanza tunavyoita hivyo

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 3 года назад

    Mchawi na mganga huongea lugha moja

  • @amandasaloon1652
    @amandasaloon1652 3 года назад

    Safi

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад +1

    Jamani viewers twendeni kwa Davister mdogo tumuone George anae ishi na utumbo wakutoboka

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 года назад +1

    Now I understand. The beleif system gives access to the lawless one.

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 3 года назад

    So sad

  • @ivonasangawe7185
    @ivonasangawe7185 3 года назад

    Pat4

  • @jamesimanene4567
    @jamesimanene4567 Год назад

    Mwanamke shujaa wa kitanzania

  • @tututz100
    @tututz100 3 года назад +1

    UKULE

  • @omarjeffa1556
    @omarjeffa1556 3 года назад

    🇪🇹 niko ndani

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      Ndani Wapi huko 😂😂😂

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 года назад

      mimi mwenyewe nimewahi kutibiwa ICU .

  • @noshadmadini5768
    @noshadmadini5768 3 года назад

    Maziwwa si anawezs hizi kaz

  • @jongoathumani3690
    @jongoathumani3690 3 года назад +8

    Nimeanza kivingine guys kuanzia leo ndo namba moja wenu

  • @basamtz8674
    @basamtz8674 3 года назад +2

    Mi kusema ukweli namsubiri mzee wa sudani boda kwa boda

  • @daudikalihamwe6460
    @daudikalihamwe6460 2 года назад

    Pole kwa yote yaliyokupata

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 3 года назад +1

    Davister mambo

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 года назад

    Chezea na wachawi wewe. Maombi ya kurudisha mtu ambaye ananaswa na wachawi, ni maombi ya ajabu. Na wewe upuuzi ya leo mganga leo kanisani. Duh! Mungu hatumike ivo.

  • @selemanali5053
    @selemanali5053 3 года назад +1

    Kifaru hilo analo lisema.

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 года назад

    kwenye kesi za kishirikina waganga wanafatwa na kukomeshwa na kutiwa adabu ndio utaona anakupiga chenga .

  • @pierremira
    @pierremira 3 года назад

    Jaribu kwa gwajima

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 3 года назад

    Nimewakumbuka humu aisha na pili hamjambo

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 3 года назад +1

    Nipo jmn

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 года назад

    muunganishe na mtumishi musa chesa

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 3 года назад +2

    Ulipo tupo

  • @sabeybybadiloo7790
    @sabeybybadiloo7790 3 года назад

    Bro habari tulete ya 4

  • @ledyamatar3527
    @ledyamatar3527 3 года назад

    Tupee party two ya hii

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 года назад

    🤝🤝🤝

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 года назад

      🤝🤝🤝❤❤❤❤

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 года назад

      🤸🤸🤸

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      @@gmdecoration6044 nini mbaya darling

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 года назад

      @@somoeawadh7774 Amna mbaya nacheza cheza tu hapa nnje kwenu😅😅😅

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      @@gmdecoration6044 Sawa darling

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 3 года назад

    YAANI JAMANI HII STORY IMENILIZA SANA

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 года назад +1

    Asalam Alaikum warahmatullah wabarakatul

  • @mwajiranimesalimu5509
    @mwajiranimesalimu5509 3 года назад

    mmh sielewi

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 года назад

    🙄🙄🙄🇰🇪

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 года назад +1

    MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 года назад

      Pamoja wngu😘😘😘😘

  • @chamamedia4715
    @chamamedia4715 3 года назад

    Mm a

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 3 года назад

    Bakora za kimkakati yupoo?

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      Ni ramadhan hii Hatutaki bakora 😂😂😂

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 года назад

    Mwisho wa ubaya aibu

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 года назад

    Huyu mama ni Yule Pastor Dan akamtaja sio...wakenya njoooni hapa

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +1

    Waliouskia upepo kluuuuuuuuu tujuane

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 года назад

    Nawakumbusha jaman daku mpike jaman 😃

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      Hilo daku lenyewe lasemaje 😂😂😂

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      @@sweetie6934 mchokozi jirani 😂😂😂

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 года назад

      @@sweetie6934 aaaaah tatzo sasa linaanzia hapo tunataka mlivyopika

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 года назад

      @@somoeawadh7774 tuanzie hapo

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      @@hamadwaziri121 wapi 😅😅😅