🔴
HTML-код
- Опубликовано: 29 апр 2024
- 🔴#LIVE: MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM - 30 APRIL, 2024
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Развлечения
Hakana tamaa maskini angekua shankupe mwengine apo angekuja na ma make up angeenda kuazima hadi nguo kisa anaenda kumuongelea diamond nimekupenda sarah jamn mungu akufungulie na wewe uishi best life keep praying 🙏 ❤❤
😂😂😂😂 shankupe
🤣🤣🤣🤣
Anajiamini
Wanaokubaliana na Mimi penz la kweli halifi like hapa🎉🎉🎉
Zilipendwa izo
Iyo kweli
@@Koki-xd2cozilipendw zinakumbukw ndugu kupitiya upendo uyo mond lazim amukumbuk sababu walipendan katik maisha yashi ila awa wengine wote wamejuwana nae kashafanyikiwa
Kabisa
Kweli
Huyu ndio 1 love wa Nasibu . Maana after 15 years bado anampandisha kwenye stage
Uyo mwenzake nae mtu
Nilichopenda hapo ni jinsi wanaume walivyo! Mwanaume akifanikiwa awezi kumsaau ex wake aliesota nae !Pokea maua YENU
Team sarah tujuane mie nimempenda bure ama kweli true love never dies,usikute sara ndo chaguo la mungu kwa diamond na ndo maana diamond ajaowa mpaka leo
Very true..kuna kitu chaitwa soulties na maadam walidimyana hawa damu zao ziliingiana na huyu ndo mtu sahihi wa diamond kbsa
Yaani 😂
True love of mondi❤
Mrudiane tafathali🎉
It never die
Kwel
Diamond huyu ndo mke ❤
Huyu dada uchoki kumsikiliza
Mungu akitaka kukupa anakupa kupitia mtu imagine maumivu yeye ndo yamemfanya afanikiwe I like this girl hana tamaa maskin diamond muoe huyu jamn 😢
Wow I love it.walai hadi Raha.nimesikiliza hii interview nimengunduwa Sarah ana utulivu n moyo mzuri.yaani ni mwanamke anayejielewa hana Tamaa wala siye kicheche.she is a house wife.ni mwanamke wa kutulia ndani ya nyumba.love the interview.am from mombasa Kenya
Of all the songs hii ndio nyimbo diamond aliimba na feelings Sana first love Never dies
Hii interview ya mwaka kabisa 😂😂😂😂 true love never die
Hii ndio interview niliowahi kusikiliza kwa umakini kabisa nipewe Maua yangu
Nmempenda san Sarah jmn ❤❤❤
Yaani nampenda sarah kupitiliza tangu siku ya interview sichoki kumsikiliza kila mda namrudia tu nimsikia yaani mstarabu hana papala na mtu anajua upendo ameridhika na alichonacho mashallah tamaa hana na mashauzi hana alafu yuko naturally huyu ndio mke wa daimond wengine karagosi hana makubwa ya maisha
Huyu aunt hana majivuno, sijasikia akichanganya kinge kiswahili kama hao wengine waliokwisha pita, big up Sarah wewe ni really sio fake.
Hapa diamond hachomokiiii hata iweje. Nipo hapo nimekaa😂😂😂
😂😂sema Zuchu angiaja kufunga mafurushi yani kama anamupa nafasi sarah😂😂
Shikilia dadangu Sarah Mungu awaunganishe unapendwa
Subutu dai yupi anamtumia tu huyo ili yake yaende😂 kupendwa huko kwiyo???miakq yote hayo mapenz8 hayo mapenzi gani hana hata cha mana alichomfanyia ...apo kuna ule kamchezo wa kupiga matukio tu na si jengine.mambo yakikaa sawa hamtamuona tena sara.km vip amuowe tutajua anampenda lkn hawa wakuwachezea tu wote hawajielewi hakuna wa maana mpk sasa.
Diamond is a disappointment
Team mark hapa tumpe likes zake
Kuna cha kujifunza apo madem msiache wapenzi wenu Kwa ubaya wachaneni kw wema...
Akumuja sababu ya maisha bali sarah wema alimunyangany mond na weye sarah kipindi icho Wema alikuwa na pesa apo sarah angikuw na nguvu sababu wema ametumikisha pesa katik mpenzi
Si alinifunza mapenzi nilikuwa sijui kamwambiee akanidekeza kishenzi na nyimbo nzuri nimuimbie🥹🥹🥹🥲😝😝😝😝
Sara anaonekana hana tamaa
Ni dada mzuri sana , Sarah😊
Ila me najikuta nampenda Sarah si waowane sasa😢
Uyu bint yupo smart sana interview nzur nimeipenda
Sarah ni mdada ambaye akua na tamaa.ni mvumilivu na elijieshimu sana
Diamond will end up with this woman.true love nvr dies
Amen
Mashallah anaonyesha Sara ni mtu mstaarabu hata kuzungumza kwae ni upole ❤
Ilaa D anajuana kucheza na akili za waTz yaani hii ni next level scenario sio kwamba anampango nae huyo sarah Bali anajua what's next..... i saluted you D iz all abt fame nd money.....🙌🙌🙌
Kila mtu Ana safari yake ya mapenzi na mtu aliewahi kumpenda sana iwe mwanamke au mwanaume
Nilichogundua sarah hana tamaa
kabisaa
uzur hatumii daimond anatumia nasibu
Kweli
Best interview ever
Sara ni pesa tu hana ila sio mkubwa na ni mzuri akipata matunzo brand ikakolea
Kweli aisee
Best Gossip interview
Simba akishakuptsha tayar ww ushatoboa Tena xana so kidogo#yy n daraja la kuwaweka watu on top hilo halipngk mng kashamp hiyo uwezo
Mambo ni moto sarah tumia muda wako vzuri tumia nafasi hii dada
😂😂😂ila uyu dada anaakili sawa
Sarah she's cute hapo ata ajajikokoboa nature face mashallah she's fine girl ❤ acha achukue mauwa yake
Sara mwanamke na nusu na Hana tamaa ikisha mzuri
Mzuri mwenywe🥰🥰
Dah one of the best,
Noma sana
Sarah is the best ever, she did not come out to tarnish the name of Diamond, and ye she knew he had all , money she took care of the kid in silence God bless Sarah.
How many times is the daughter of Zanzibar gonna pack and leave?
I just feel bad for her just look at how sweet Sarah is and confident. This tells you that she knows where to press if need be! She got the keys to his heart!
To Zuchu, You're enough! You're beautiful but you are not the one! Romeo can't fix you because he has daddy issues only women like her mama can contain him.
Indeed Love doesn't ask why and Men only want Love if it's torture! May the day break.
Kila mtu ana kiboko yake kwenye maisha🥰🥰
Am from Kenya but it seems Sarah alikua special to naseeb Kuna kitu alikua amezoea kutoka kwa Sarah maana hyu Dada alikua mtaratibu na Ana heshima sana sio kicheche kwa kweli respect dia
Kenya pia tuko huku aaaiii udaku twapenda
Dah, sijajua miaka ya mbeleni lakini kwa miaka hii leo ndonimefurahi kuliko siku yoyote kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni, Hongera Sarah na brother Mack
Hii interview ni yamotroo 🔥🔥🔥🔥
Napenda sana taarabu mie mmenifurahisha❤
Daaaaah. Salah❤❤❤❤
After allllllllllllllllllllll these years. What is going on here?? People are on a different level, the gossip train is real.
Na Sarah she is her true love kwa Naseb n ni soulment wake.hata mbele.ya mungu.sarah ni mwanamke wa kishuwa ni mwanamke ambaye atailinda ndoa n Mali za mume wake hasaa mali za diamond.mm na prefer awe mke wa halali kwa diamond.she is the perfect for diamond
Nyinyi izi comment ndio mmefanya zuchu abebe mabegi😂😂😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅 Familia washampa jina mabegi juu juu au kinganga
Huyu dada yupo vzr one ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama Movie za kihidi jmn❤❤ love so Sweetie ☺️☺️
Jaman kweli penz ra kweli halifi ❤
Kweli kbx
Kweli
Kweli
Dj Mark
Nani kaenda kuiangalia kofia nyeupe ya sara ktk video km mmi😂
MAC is WANTED.
yaaani nyinyi huko kwa maa Samia, hamuga jambo ndogo kabisa, 😅😅😅😅😅 nawafuata toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️✌️
Hii issue tunaenda nayo mwezi mzima😂😂
Aletwe hata ni defender 🏃🏃
😂😂😂😂
Juma lokole mbea😅😅et sharkan
Dada mstaarabu ❤ humble
Nilicho kugua nyimbo zote diamond ana muandikia sara
Kosa langu
Kamwambie
Lala salama
Ntampata wapi
I miss you
Kizai zai
E.t.c
Yani mwamba ampe backup she deserves the best kikubwa yupo Hai.😢 chibu roho safi sana
Kwel kabisa 🤣🤣💋
😂Walai Mtuonyeshe Huyu Mark Jamani😂😂😂😂
Mak ndo uyo uyo diamond😂😂😂
😂😂😂
Jama hawezi kuonekana maana ameisha kua most wanted
@@hassankhamis7380 🤣🤣🤣
Ukute ndy dj mark😂😂
Nakupenda sana Sara ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Tunaotaka kumfahamu Mack tujuane kwa likes
Uyu njo anajuwa story ya Mond ku wanawake wote ametembeya nae sarah nakupenda sababu interview yote awukumusema Mond vibaya yani sifa njo nyingi unamupa uyu njo hutuu ❤❤❤
Pia haja muhita Diamond. Yeye anajuwa Nasibu tu
SARAAA UR THE FIRST LOVE OF DAIMOND ❤❤❤❤❤
Ni mzuri bado hajapata hela tu na napenda anavyomuita naseeb yani
Nimempenda sarah❤
I love you Sarah ❤️
Mac popote ulipo fahamu wewe ni MOST WANTED
😂😂😂
😂😂😂😂
Bro nimependa komenti yako bro ❤❤❤❤❤
😂😂😂
Me namkubali didah kinoma noma❤
omg nime lia saana this one is true love story 🥹😭❤️❤️
Sarah n mzungu🔥🔥🔥
TATIZO SARA NI WA KIENYEJI NA SIO WA KISASA NDIO MAANA HANA MABUJE BUJE🫶🏼❤️
😂😂😂
Huu Mungu asifiwe kwelikweli story za Mondi haziishi utamu🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Cameraman unamuonea Double D vidole vimeng'aaa tofauti na rangi ya mwili 😂 bila kusahau hivi nani kagundua Dida ana dimpoziii😂❤ au ndio mmegundua leo nimewafumbua macho😂😂
Nimempendaaa buree saraaa
Huyu ndo mwanamke sasa❤❤❤
Tulijua true love wa diamond ni wema heeeeee kumbe kuna Sarah 😅😅😅😅😅
Dada yuko smart sn mashllh. 🇶🇦
Jamani MACK AITWE HAPA
Tatizo ustaa ila uyu ndo mwanamkee wa Mondi kweli 🥰🥰
Alifi kweli ❤
Mapenzi ya kweli
Huyu ndio mwanamke mwenye mapenzi ya dhati wengine wanampendea hela tu
😂😂😂😂😂😂
Zuchu anahal mbaya😂😂
Kweli inaonekan mond katik ndoto zake alikuwa natak kuwa na sarah sababu wametok mbali pya uyu anajuwa Naseeb💯
Saut ya shamsa ford kabsa
A true love never die
Sara ni mature lady
Nawapata nikiwa dubai
Huyu ndio mke wa kuolewa na Nasibu❤
Vyovyote vile ulipendwa kabisaa❤🎉🎉
MARK aje interview bana
Iyi njo Interview 👌👌 inanyooka bila unafik
Au rabda maisha
Jamani mm ganzi ya miguu inanisumbua muda mrefu sana
Dai upendo wake upo kwa sarah kweliii sana
Wanawake tunachakujifunza kwa Sarah
Jumaa leo umefulai sana😂😂
First love never die kabisa hata mimi my first love namtfta ila ameolewq
Wasafi mbeya mpo chini sana Kuna shida gan tunapitwa na vingi jmn
Uyo MAC apewe mauwa yake😂😂😂
Sara ni mtu anauejitambua anasifa zote ❤
juma unazingua et sarah atakufa maskini 😂😂😂😂