Papi Kocha & Nguza - Seya Lyrics

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025
  • siNa umiliKi wa hii Nyimbo,
    NimefaNya Kwa KuwapeNda wasaNii Na huu mziKi
    i do for the love with music
    Leo nataka nitoke na mpenzi wangu Sea
    Ujue Sea nakupendaga sana
    Sea wa mi valo
    Sea wa mi valo
    Sea niko wako
    Wa kufa na kupona
    Sea tutoke wote
    Waseme niko wako
    Sea wa mi valo
    Sea wa mi valo (mama)
    Sea
    Sea
    Sea wa mi valo
    Sea wa mi valo
    Sea niko wako
    Wa kufa na kupona
    Sea tutoke wote
    Waseme niko wako
    Sea wa mi valo
    Sea wa mi valo (mama)
    Sea
    Sea
    Sea wa mi valo ooh ooh Sea
    Sea vaa vizuri
    Tutoke mama
    Wenye kusemasema ooh ooh Sea
    Wabaki vinywa wazi mpenzi wangu Sea
    Hata mvua ikinyesha ooh ooh Sea
    Lazima tutoke leo mpenzi wangu Sea
    Tuonyeshe mapenzi yetu ya ukweli Sea
    Wale wabaya wetu eeh
    Wabaki na aibu
    Sea wa mi valo (mama yoo yoo)
    Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
    Sea niko wako (niko wako Sea)
    Wa kufa na kupona (iih leh leh)
    Sea tutoke wote (mpenzi wangu Sea)
    Waseme niko wako (Sea Sea)
    Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
    Sea wa mi valo (mama)
    Sea
    Sea
    Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
    Sea wa mi valo (mpenzi wangu Sea)
    Sea niko wako (mama ya bana nanga)
    Wa kufa na kupona (njoo kwangu mpenzi)
    Sea tutoke wote (ooh mwenzio nateseka)
    Waseme niko wako (mama yee eeh)
    Sea wa mi valo
    Sea wa mi valo (mama)
    Sea
    Sea
    Vaa vizuri mpenzi wangu upendeze
    Donge liwashike
    Mabusu motomoto
    Mimi na wewe mpaka kufa eh
    Mama eh
    Usiwasikilize
    Hao wanaotaka kuharibu mapenzi eh
    Baba na mwana
    Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
    Baba na mwana
    Baba na mwana
    Baba na mwana
    Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
    Baba na mwana
    Baba na mwana
    Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
    Baba na mwana
    Baba na mwana
    Baba na mwana
    Baba na mwana tunaimba na kucheza eh
    Baba na mwana

Комментарии • 275

  • @iddynovo6219
    @iddynovo6219 Год назад +154

    Wangap tumeisikiliza 2024 Gonga like Tujuane 🎉

  • @surgeonmuthusi
    @surgeonmuthusi 11 месяцев назад +86

    2024 wakenya mko wapii? Mark your presence.

    • @hezronmogire
      @hezronmogire 10 месяцев назад +2

      Tukose tuchekwe😁

    • @matildamati9222
      @matildamati9222 3 месяца назад +2

      Kenya hakuna hixi Ngoma 😂😂😂

  • @maddoxgeraldinho1012
    @maddoxgeraldinho1012 Год назад +46

    Who is here with me in 2024?

  • @foodcritic_ke
    @foodcritic_ke 16 дней назад +4

    Nani bado anaenjoy wimbo huu mwaka mpya wa 2025
    Mapenzi tele kutoka kwa kabila la Hadzabe hapa Tanzania❤

  • @terrietrizah5175
    @terrietrizah5175 10 месяцев назад +34

    Will never get tired of this, 2024🎉🎉

  • @kevokofficial5830
    @kevokofficial5830 8 месяцев назад +42

    2024 tuko locked after kuona tiktok ❤😊
    Wapi likes zangu wadau

  • @DianaroseChenga-i1w
    @DianaroseChenga-i1w 10 месяцев назад +10

    2024 bado naisikiliza hii nyimbo naenjoy sana 🥰😘

  • @uniqueaniey356
    @uniqueaniey356 Месяц назад +4

    12/12/2024 tuko tuna enjoy mziki mzuri hapa weka like

  • @dennispashile4525
    @dennispashile4525 10 месяцев назад +29

    Nani yupo 2024

  • @AshaMbaraka-pv3zf
    @AshaMbaraka-pv3zf 22 дня назад +3

    Happy new year 🎉🎉2025 ❤tunashukuru kwa neema ya uhai tunaskiliza tena ngoma tam za kitambo..🎉gonga like twende sawa 2025..

    • @EmyAbdalah
      @EmyAbdalah 12 дней назад

      Uhakikaaa uu wimbo nakumbuka mpenz wangu

  • @joemoen194
    @joemoen194 Месяц назад +1

    Nani yuko hapa ana usiku Liza huu wimbo
    Watoto wa 2000 hii wataiskia katika vitabu vya kumbukumbu 2024

  • @raphaelnzanga1677
    @raphaelnzanga1677 Год назад +6

    2023 who is listening 😅❤

  • @nassorosalehhazard2450
    @nassorosalehhazard2450 22 дня назад +3

    Am here January 3 2025

  • @Mugabe99-iv1sy
    @Mugabe99-iv1sy 21 день назад +4

    Up to 2025. 💥

  • @spymediaentertainment
    @spymediaentertainment 11 месяцев назад +15

    2024 still a banger 🔥 🔥

  • @jnote9283
    @jnote9283 Год назад +4

    Johnson 'Papii Kocha' ni mad talent, vocals ni hatari. Yule rais aliyemfunga kidhuluma ana laana

  • @SalmaChristopher
    @SalmaChristopher 6 месяцев назад +15

    7/8/2024 weka likes 😂❤❤ hapa

  • @NajaKifikilo-d7r
    @NajaKifikilo-d7r 19 дней назад

    Kamluzi kwasana baba namwana twaimba nakucheza ❤❤❤🎉

  • @haidalihilali
    @haidalihilali 4 месяца назад +6

    Nani yupo apa 2024😅😅😂😂

  • @KagomeMohamed
    @KagomeMohamed 23 дня назад

    Nakula nyimboo hii hadii 2025

  • @EmmanuelNsimbaluzi-w7z
    @EmmanuelNsimbaluzi-w7z Месяц назад +1

    2024❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pongezi kwa JPM magufuli

  • @mussamanyehe3918
    @mussamanyehe3918 9 месяцев назад +6

    For those who still enjoy good music in 2024 likes pls

  • @faithmoracha275
    @faithmoracha275 Год назад +31

    2023 we are still here!This one never gets old.And to learn that Papi Kocha and son were imprisoned for life until Magufuli pardoned them makes me feel all sorts of emotions🥺

    • @ndeteisabina366
      @ndeteisabina366 Год назад

      What 😢

    • @faithmoracha275
      @faithmoracha275 Год назад

      @@ndeteisabina366 True story.They were convicted for rape cases

    • @reheman8689
      @reheman8689 Год назад

      Ooh sorry, music is food for our souls

    • @leviticussaleh8330
      @leviticussaleh8330 Год назад

      What😢?? Sorry for them

    • @jnote9283
      @jnote9283 Год назад

      The whole thing was fabricated, they never rapped no one.

  • @zachariahgwaro7680
    @zachariahgwaro7680 4 месяца назад

    2024 locked❤❤ vile inafaa lete likes jameni🎉🎉

  • @davidlenangetai2648
    @davidlenangetai2648 Год назад +3

    the song was released when i was in class one😂..i grew listening to it and today am here still listening to the song. I really love it. Am from kenya🇰🇪. Big up Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @BonaventureTheBVM
    @BonaventureTheBVM 7 месяцев назад +7

    Heard this song on Tik Tok and I have come here to listen to the full version. Nice!

  • @Hadijaosea
    @Hadijaosea 25 дней назад

    Nani yupo apa tar 1 2025🎉❤❤❤

  • @NeemaBwomaBaraka
    @NeemaBwomaBaraka 16 дней назад

    Nyimbo nzuri sana aiseee❤❤

  • @daggyflix254
    @daggyflix254 10 месяцев назад +5

    Still here in 2030 from 🇰🇪🇰🇪

  • @presentertelence1679
    @presentertelence1679 17 дней назад +1

    Nani Ako hapa 2025 🔥🔥🔥🔥

  • @GentrixBella
    @GentrixBella 26 дней назад

    Tuna funga 2024na sea ❤❤❤ for sea

  • @rhodafrancis161
    @rhodafrancis161 25 дней назад

    2025 bado nko hapa❤❤

  • @MercyKhavere-x1y
    @MercyKhavere-x1y Год назад +1

    Seya valo ❤️❤️❤️❤️2023 na iko mwaa💕💕💕

  • @davidmario1291
    @davidmario1291 26 дней назад +2

    Good music

  • @doncandy8919
    @doncandy8919 4 года назад +15

    Nimeunguza chapati kwa ajili ya huu wimbo

  • @DishonMngoda
    @DishonMngoda 10 месяцев назад +2

    Three glasses of Moldovan wine and feeling the beat

  • @HusnaBakari-g4z
    @HusnaBakari-g4z Месяц назад

    1/12/2024 ...gonga like ❤❤😂😂 hapo

  • @encouragementoasis33
    @encouragementoasis33 Год назад +6

    2023...within the waves

  • @DorothyKajire
    @DorothyKajire 3 месяца назад +3

    I come here to listen to the "mama part everyday😂

  • @chriswanyonyi1483
    @chriswanyonyi1483 3 месяца назад +2

    Here again in october 2024 gonga like

  • @muliramariam7021
    @muliramariam7021 3 года назад +13

    Am from UGANDA 🇺🇬 but I enjoy this song!!!❤️❤️ Big up Tanzania!🇹🇿🇹🇿

  • @aureliakahindi7146
    @aureliakahindi7146 8 месяцев назад +3

    @2024 and still enjoying the song🎉🎉🎉🎉 it shall never grow old❤❤❤❤

  • @PatrickNgata-t7p
    @PatrickNgata-t7p Месяц назад +1

    2024 nan bado anasikiliza tujuane plz

  • @nabirnuru8147
    @nabirnuru8147 3 месяца назад

    in 2024 Wote tulikuwa tunajua ni "Sea wa Mi gwadoo" 😂😂😂😂

  • @mcckenadouglas6067
    @mcckenadouglas6067 4 года назад +54

    Nani bado anaenjoy hii nyimbo 2021🔥🔥🔥

  • @dagate_ke4844
    @dagate_ke4844 6 месяцев назад +5

    2024 anyone

  • @johnstonekangeri
    @johnstonekangeri 5 месяцев назад +7

    Wangapi 2024 August

  • @zubedamsuya8601
    @zubedamsuya8601 21 день назад +1

    2025 tuko nayo bado

  • @eddarsenal9883
    @eddarsenal9883 4 месяца назад

    2024 September who is here Seya(Say Hi).

  • @kabiamugambi7496
    @kabiamugambi7496 4 месяца назад +2

    A very nostalgic song especially to those who grew up in 90s

  • @johnnjoroge2460
    @johnnjoroge2460 Год назад +5

    Am Kenyan I love this song so much!!!❤❤ Big up Tanzania!🇹🇿🇹🇿

  • @waltersisulu4065
    @waltersisulu4065 5 месяцев назад +1

    5 years ago na Mimi nimeona 2024

  • @kevinmungahu4930
    @kevinmungahu4930 3 года назад +10

    2021 who's is here nodding slowly

  • @brianotunga6176
    @brianotunga6176 3 месяца назад

    Bdo una enjoy hii wimbo 2024💥💯

  • @gooniegooggoo
    @gooniegooggoo 11 месяцев назад +1

    Very stylish composition & danceable song that never gets old… especially if you lived in the 1980/90’s you would know🎶😜

  • @rosemacha4547
    @rosemacha4547 Месяц назад

    December 2024, thumbs up 🎉

  • @eliajob6975
    @eliajob6975 Год назад +2

    Ni nyimbo ya zamani Sana lakn Bado imo napenda sana

  • @AndersonWekesaNgairi
    @AndersonWekesaNgairi 11 месяцев назад +4

    2024 still rocking seyaaaaaaaa!!!!

  • @reheman8689
    @reheman8689 Год назад +9

    My today's song, work up starting singing. old is gold❤ 2023.06.10

  • @EmilyAchieng-kw5gs
    @EmilyAchieng-kw5gs 3 месяца назад +1

    2024 I'm here🇰🇪

  • @braniceshisoka7909
    @braniceshisoka7909 7 месяцев назад +2

    this song gives me childhood traumer my dad used to come back home and we would all run away from the living room for him to listen to this song while complaining about everything and shouting at us😢

  • @matthewmartins1533
    @matthewmartins1533 2 месяца назад

    2024 and am still here 🤗, this song brings back childhood memories. Those family times in the village 😊

  • @annethnkya315
    @annethnkya315 4 года назад +11

    Ayseee siuchoki huu wimbo daaaaah💕

  • @doreenmsoffe4810
    @doreenmsoffe4810 2 года назад +4

    Am enjoying 2023❤️

  • @ivychebet685
    @ivychebet685 2 года назад +8

    2023 and it's still a vibe

  • @PiN7Tosh
    @PiN7Tosh 3 года назад +8

    There is this show on TBC1 #zilipendwa walicheza ii ngoma nikapatwa na goosebumps. It takes me back on how my dad used to enjoy his weekends. Great hit.
    Am from Kenya

  • @mesalimgavuga2840
    @mesalimgavuga2840 2 месяца назад

    Wangapi tuko hapa November

  • @Aminga_gallery
    @Aminga_gallery 2 года назад +5

    Still enjoying it at 2023😘

  • @sofaking020
    @sofaking020 3 месяца назад +2

    One of the best rhumba songs

  • @rizk3548
    @rizk3548 Месяц назад

    I slept and woke up singing this song 😅

  • @AmbassadorFeza
    @AmbassadorFeza 3 месяца назад

    Jesus tutoke wote waseme niko wako❤

  • @Arleckie
    @Arleckie 5 лет назад +12

    Waseme niko wako! Very lovely words

  • @PurityOmariba-mw7hw
    @PurityOmariba-mw7hw 17 дней назад

    2025 ❤still here

  • @aishayahya5212
    @aishayahya5212 3 года назад +5

    Vaa vizuri upendeze mpenzi wanguuuu♥️♥️♥️dongeliwashikeeeeee👌👌👌hapo tuuuu

  • @rexxsimba
    @rexxsimba 2 месяца назад +1

    Special Dedication to @TrumanCapote and @KuwaitBabe . 😊🙏✨

  • @1Surinamer
    @1Surinamer Год назад +11

    This is such a nice and great song, I don't understand the lyrics but the music and his voice touch my soul. I'm from Surinam and I'm Proud to be black, I'm proud to be African. ❤💛💚

  • @SalegioIssa
    @SalegioIssa 7 месяцев назад +2

    hiihii ngoma nakumbuka baba yangu ,alale mali pema

  • @estarmakene7817
    @estarmakene7817 3 года назад +6

    Nakumbuka mbali sana

  • @obedobed3537
    @obedobed3537 Год назад

    2024 tuko hapa. This song is eternal.

  • @Peter-g8b9t
    @Peter-g8b9t Год назад +1

    2024still hitting up ❤🎉😅😊

  • @kevinkipkosgei7141
    @kevinkipkosgei7141 7 месяцев назад +3

    Moja kabla tumalize mwaka😅

  • @ssebulimerashid4400
    @ssebulimerashid4400 Год назад +2

    love from uganda, piga piga dance

  • @romanshirima5883
    @romanshirima5883 2 месяца назад

    Papo kocha who is here today, now at moment 2024 october 28. 16:44 PM

  • @Lionessann
    @Lionessann Год назад +1

    2023 am here 🎉🎉🎉Friday Mood

  • @KajunaSanga-lm5cq
    @KajunaSanga-lm5cq Год назад +3

    2023 still enjoying

  • @NoelMalecela
    @NoelMalecela 10 месяцев назад

    Hii nyimbo haitochuja kamwe, 2024. Bado naisikiliza..

  • @lukungu075
    @lukungu075 10 месяцев назад

    Great song. I got it from tiktok. First time to listen to it. Wow

  • @FaithKerubo-x8f
    @FaithKerubo-x8f Год назад

    Tupo hapa 2024🎉🎉🎉

  • @Inagole4233
    @Inagole4233 8 месяцев назад +1

    What put them down was telling Sea to wear scanty dress against her traditions,,,,Sea wa mivalo( mavazi),,Tanzanians respect all traditions,This was a snub to certain tradions, They encrouraged her and said it is good,This earned them the wrath of authourities,,, L LIVE IN PRISON

  • @hakimabdul7494
    @hakimabdul7494 Год назад +2

    thanks nimeisaka sana hii song

  • @herimwinge-et9ei
    @herimwinge-et9ei Год назад +1

    Duuh... bado Yamato mno .

  • @sammwita9974
    @sammwita9974 3 месяца назад

    Faya Tess i love you mama❤️

  • @benmutua2255
    @benmutua2255 Год назад

    Baba na mwana❤❤.......2023

  • @ronaldmalama1507
    @ronaldmalama1507 Год назад +2

    ❤Great sons of Tanzania enjoying the great beat in Zambia

  • @simonndombi7647
    @simonndombi7647 2 месяца назад

    Saw mulamwa dancing I had to look for it

  • @makopaomari4922
    @makopaomari4922 Год назад

    Baba na Mwana tunaimba na kucheza.....❤

  • @ErickKambuga
    @ErickKambuga 3 месяца назад

    Ningumu kitu hii kuchuja

  • @alindihezzywuodsarah9778
    @alindihezzywuodsarah9778 Год назад

    2023 july mko wapi❤

  • @Infotainmenttv_ke
    @Infotainmenttv_ke 2 месяца назад

    Such a great tune.Love it,

  • @AthanasioMgonela-b2q
    @AthanasioMgonela-b2q Месяц назад

    inankumbusha kitambo sana