UKIOTA NDOTO HIZI 8 JUA KUNA WATU WANAKWENDEA KWA WAGANGA KUKUHARIBIA MAISHA. WAHARIBU HIVI KIRAHISI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 422

  • @lucksonrupa3618
    @lucksonrupa3618 2 месяца назад +6

    Amen mm luckson navunjwa zote zaajabu ajabu juu yangu , damu ya Yesu inifunike maisha yangu yote . Na funika mwili wangu wote na damu ya Yesu christ Amen .

  • @ElizabethKiula-v7r
    @ElizabethKiula-v7r 11 месяцев назад +11

    Hizo zote hazina mamlaka ktk jina la YESU KRISTO ameen,barikiwa mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri

  • @SarangeWilter-k6m
    @SarangeWilter-k6m Год назад +28

    Hakuna silaha ya adui itakayo faulu kwenye maisha yangu....nasikemea katika jina la yesu

  • @Lilian20248
    @Lilian20248 9 месяцев назад +7

    Navunja nguvu za giza na ndoto zake zote ninaziteketeza kwa jina la Yesu Kristo🔥🔥. Ninakukaribisha Yesu Kristo ndotoni na maishani mwangu, Amen🙏🙏🙏

  • @HeliethAtilyo
    @HeliethAtilyo 8 месяцев назад +5

    Nazifunga nguvu za giza zote kwa damu ya YESU KRISTO,naharibu milango ya shetani na maadau kwa Mamlaka ya damu ya YESU Kila kilichochangu nakiludisha kwa damu ya YESU Amina

  • @GetrudaMwaikenda-dm5qj
    @GetrudaMwaikenda-dm5qj 4 месяца назад +9

    Damu ya Yesu inifunike usiku huu Ameen

  • @RahmaMusa-i6m
    @RahmaMusa-i6m 8 месяцев назад +2

    Ndoto zote zishindwe kwa jina la yesu ikiwa ni kwangu ,kwa familia na kwa ndugu na jamaa kwa mamlaka ya jina la yesu tutashinda UBALIKIWE sana mtumishi kwa kukubali kutumika juu ya hyo huduma na asante sana kwa kutukumbusha baazi yetu tulio lala wakati huu dunia iliochafukwa hakika yatupasa kuwa macho saa zote.

  • @AnneFrancis-m8z
    @AnneFrancis-m8z 10 месяцев назад +3

    Nafunika damu ya Yesu maisha yangu . Najiandoa kila mpango wa shetani. Uzao wangu hautazaa Mapooza katika jina la Yesu.

  • @zephanianyakiha8598
    @zephanianyakiha8598 9 месяцев назад +1

    Asante barikiwa sana,nami Kwa damu ya Yesu na Mungu ndoto za ajabu ziniondoke

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Год назад +4

    Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @shakiechee6549
    @shakiechee6549 Год назад +16

    Kweli kabisa mie niliota hizo doto mbaya zote nikiwa mimba , nakemea zinajirudia, nikachukua sadaka yangu nikaombea na nikapeleka church hizo doto zote zikapotea, aftre apo ata sikukaa sana mimba ikalete shida ikabidi nizae kabla miezi kufika , na mungu akanilidia mtoto wangu now is growing well 🙏🙏,hii maubiri imenikumbusha nilichopitia , kama ningelegeza kw maombi kuna mchawi alikua na bindii y kuniaribia iyo mimba , lakini alishidwa kupitia iyo sadaka , hizi vitu ni serious usipo take action ,na maombi lazima kitu ikutokee mbaya utasemaga badae niliota hivi na hivi , wachawi washidwe mungu utulide

    • @maigathomas2353
      @maigathomas2353 8 месяцев назад

      Pole ndg ninaomba ni no yako kuna ki2 ninataka nikulize waweza kunisaidia

    • @wilietwilson9781
      @wilietwilson9781 17 дней назад

      Navunja na kubatilisha Kwa Damu ya Yesu Kristo amen

  • @JuliusLealmusia
    @JuliusLealmusia 10 месяцев назад +1

    Amen Na Milele Amina God bless you utuobee tushide kufu sa mapepo ishudwe katika jina la yesu Milele Amina 🙏🙏🙏🙏

  • @ChristinaJohn-v5h
    @ChristinaJohn-v5h 8 часов назад

    Mtumishiii niombeeee sana na aminii kwa damu ya yesuuu...navunja kila mipangoo ya wovuuuu....

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 8 месяцев назад +1

    Amen sana Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA 🙏

  • @stellamwakatulile
    @stellamwakatulile 21 день назад +1

    Mungu nilinde na kila ndoto mbaya zishidwe kwa jina la yesu🙏

  • @JacklineGabrielSumbizi
    @JacklineGabrielSumbizi Месяц назад +1

    Nazivunja ndoto zote mbaya kwajina la Yesu Ameein 🙏

  • @SimonMwangi-j4d
    @SimonMwangi-j4d Год назад +4

    asanty sana mtumishi wa mungu kwa kututufafanuria ndoto

  • @jacklinewanjikuwanjiku9241
    @jacklinewanjikuwanjiku9241 Год назад +8

    Amen amen thank God 🙏🙏

  • @WILSONSHEMHILU
    @WILSONSHEMHILU 11 месяцев назад +2

    Amennn kubwa,barikiwa mtumishi

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 Год назад +5

    Amen be blessed man of God

  • @RosemaryOwori
    @RosemaryOwori 11 месяцев назад +4

    Amen 🙏🙏🙏 Damu ya Yesu itufunike

  • @MariaKahind
    @MariaKahind Год назад +11

    Mungu nitenge na hizi ndoto za kiwanganga na kunitenga na kila silaha za kuzimu na uniweke huru in jesus name amen

  • @EmmyMoses-s5u
    @EmmyMoses-s5u 21 день назад

    Bwana na anifunike kwa damu ya Yesu kristoo maan yeye ndo Kila kitu kwangu🙏🙏🙏

  • @chescokimatile4134
    @chescokimatile4134 9 месяцев назад

    Ahsante mtumishi wa mungu nitalifanyia kazi naamini mungu yupo upande wangu.

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 4 месяца назад

    Asante Sana mtumishi nilikuwa najiuliza hizo ndoto za makaburi na baharini zimenisumbua Sana

  • @neemakaveva910
    @neemakaveva910 5 месяцев назад +3

    Nazikemea ndoto hizo mbaya ktk jina la yeah zishindwe ktk maisha yangu na familia yangu 🙏🏼🙏🏼

  • @vallntineayuma
    @vallntineayuma Год назад +43

    Hizo zote zishindwe kwa jina la yesu kristo Amen 🙏 Amen 🙏

    • @EdwardSambai
      @EdwardSambai Год назад +3

      Mtumish mm naota kama kuna ugeni kwetu lakn jicho lang la mkono wa mashoto juu linacheza sana kwa siku hata mara 4 cielew inamaana gan

    • @AnnaSanga-ct1ul
      @AnnaSanga-ct1ul 11 месяцев назад +2

      Zishindwe katika jina la yesu

    • @inviolathaMasinde-yy1by
      @inviolathaMasinde-yy1by 11 месяцев назад +3

      Zishindwe kwa jina la YESU kristo

    • @Dianamoraa-je7bf
      @Dianamoraa-je7bf 11 месяцев назад +2

      Shindwe katika jina la yesu

    • @oneboytzoneboytz6789
      @oneboytzoneboytz6789 10 месяцев назад +2

      Kila mashetani mapepo majini waganga washindwe kwa jina la YESU krisito

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 4 месяца назад

    Asante Sana mtumishi nilikuwa nikikasirika nalaaani kuanzia Leo notabariki

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg Год назад +2

    Asante Sana mtumishi wa bwana.

  • @FloresBly
    @FloresBly 3 месяца назад +1

    Umasikin sio sehemu yangu ufukara na kurudishwa nyuma kimaisha zte zishindwewaganga na wachawi kwangu na nyumba yangu washindwe kafara ishindwe mungu nilinde mtumishi niombee hapa nawindwa na jiran wangu waondowe kwangu na nyumba yangu wote Maovu yao iwarudie

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 9 месяцев назад +5

    Zishindwe kwajina la yesu

  • @Lowkey.me32
    @Lowkey.me32 Месяц назад +1

    Zishindwe katika jina la Yesu Christo

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 11 месяцев назад +4

    Mungu nitenge n ndoto mbaya 🙏🙏🙏🙏

  • @PendofandekengaPendo
    @PendofandekengaPendo Год назад +2

    PENDO FANDE KENGA mungu na kuomba uniondoe na hii vita hya shetani kwa jina la yesu amen

  • @JoyJ-qs4fv
    @JoyJ-qs4fv 2 месяца назад

    Amen mtumishi umbarikiwe sana

  • @MeryJoshua
    @MeryJoshua Год назад +1

    Ubarikiwe mtumishi Kwa mafundisho mazuri ,

  • @omundiirene8606
    @omundiirene8606 Год назад +5

    Be blessed a man of God Amen AMen.

    • @salehrashid392
      @salehrashid392 11 месяцев назад

      Kuna hii ndoto ya kuongea na maiti Huwa inanikujia Sanaa na nikiongea na Mtoto wa mjombaa wangu alifariki na hii ikiwa nko Kwa mto maji mingii nazamaa Tena nikiwa Shuleni tafadhali paster niombee

  • @Aisha-f2g
    @Aisha-f2g 3 месяца назад

    Ameeen niondoleee kila ndoto chafu na yenye mipango miovu juu ya maisha yangh

  • @AntoniaMatenga
    @AntoniaMatenga 23 дня назад

    Mungu naomba nifunike na damu yako pale wanapotaka kurudisha maisha yangu

  • @FidelisNzisa
    @FidelisNzisa 3 месяца назад

    Nashukuru k mafundisho yako.leo nimekua n ndoto cjui n sauti ya mungu au n mwili.kuota n cousin yangu uxku akiniambia natafuta ile papa yenyu ati imeua kuku yangu.tena due same ndoto ikajirudia asubuhi.ingine nkaona mvua imenyesha n ikanyeshea solar yangu ikiwa k mabati.ya mwisho nkaona mzee mwingine n shaka akakata mti ukaanguka ukaenda chini.na vijiko za kula zimepitana.ukiziangalia xko.x yaani zko ex😮

  • @fridahmueni9137
    @fridahmueni9137 Год назад +4

    Hizo ndoto nazitangazia kushindwa in mighty name of Jesus; juzi nilikuwa naota na mamangu kama amerudi na alikufa

  • @imeldapoul
    @imeldapoul 2 месяца назад

    Amina mtumishi ubarikiwe sana

  • @MussaJuma-v1s
    @MussaJuma-v1s 4 месяца назад +1

    Mungu niokoe kwenye ndoa yangu kila roho chafu zishindwe kwa jina la yesu

  • @FelisterKaligo
    @FelisterKaligo 11 дней назад

    Mungu wa mbinguni ndo mungu mkuu, vishindwe Kwa damu ya yesu

  • @anethmichael6888
    @anethmichael6888 Год назад +3

    Amen in Jesus name,shetan hatotuweza

  • @AngelSkawa6469
    @AngelSkawa6469 3 месяца назад +1

    Mungu niepushe na njozi mbaya

  • @ZawadiRatemo
    @ZawadiRatemo 9 месяцев назад

    Hizo zote. Zishindwe Kwa jina. Ia yesu kristo amen amen 🙏🙏🙏

  • @jeytown4698
    @jeytown4698 10 месяцев назад +1

    Aminaa mungua tusimamie

  • @azizaidrisa428
    @azizaidrisa428 11 месяцев назад +6

    Mungu nitenge na ndoto mbaya zisipate nafasi kwangu amiin

  • @DianaAgustino-yp2kc
    @DianaAgustino-yp2kc Месяц назад

    Mungu naomba ulinzi wako juu ya maisha yangu familiya yangu uzao wangu utuepushe na maroho mabaya Amen

  • @connymapensi5405
    @connymapensi5405 4 месяца назад

    Ameen 🙏🙏zishindwe kwa jina la yesu chrito alie hai

  • @Zaujia
    @Zaujia Год назад +2

    ameeeen ameeeen barikiwa sana mtumishi

  • @faithnekesa2701
    @faithnekesa2701 10 месяцев назад

    Ahsante sana mutumishi wa mungu endelea kutuombea

  • @RachelSyavugha-c4l
    @RachelSyavugha-c4l 4 месяца назад

    Mungu wangu damu Yako inigunike naunitenge mbali naizi ndoto kwajina la yesu kwa wotes ambao wanapangamabaya ju yangu bubaya yabo ibarudiye kwa jina la yesu

  • @stanleyjohn1361
    @stanleyjohn1361 Год назад +3

    Mungu anakutumia hakika barikiwa sana

  • @mercywaturi7764
    @mercywaturi7764 Год назад +4

    Amen in Jesus name

  • @DennisObino-mi9jq
    @DennisObino-mi9jq Год назад +2

    Mimi sana sana huota nikiongea na maiti ambao ni uncle yangu,kijana yake na shosh,mungu niomdolee hizi ndoto kwa neema yako.apostle nikumbuke kwa maombi tafadhali👏

  • @yungeelias9339
    @yungeelias9339 11 месяцев назад +3

    Zishindwe kwa Jina la Yesu

  • @Helen-uh1ww
    @Helen-uh1ww 10 месяцев назад +1

    Amen grory to God, thanks for the gd msg may the lord bless you

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Год назад +1

    Ameen hz ndoto zishindwe zisipate makazi kwangu ameen🤲🙏

  • @Jehdhdhd-l3e
    @Jehdhdhd-l3e 4 месяца назад

    Ndoto mubaya zishedwe kwajina layesu kriisto Amina

  • @MetrineNafula-h3o
    @MetrineNafula-h3o 9 месяцев назад +2

    Nakataa hiyo ndoto yote katika jina yesu ishindwee

  • @ZubedaYahya-qz5wr
    @ZubedaYahya-qz5wr 3 месяца назад

    ndoto mbaya zote zishindwe juu yangu mungu Baba naomba unibariki

  • @EmmanuelJuma-py7hw
    @EmmanuelJuma-py7hw 2 месяца назад

    Mungu nisaidie🙏🙏🙏
    Naotanga nikiombea watu,,,nikikemea na kufanya miujizaa
    Ina maana gani plz

  • @LYDIABYEMELWA
    @LYDIABYEMELWA 3 месяца назад

    Mungu nisaidie, Damu ya Yesu kristo inilinde

  • @JoyceMuthama-i5h
    @JoyceMuthama-i5h 11 месяцев назад +4

    Pastor niombee sana naotanga sana ma watu waliokufa na tena naota nikiwa shule nikifanya mtihani

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  11 месяцев назад +4

      TUMA MAOMBI 12 WHATSAPP RAFIKI YANGU. ACHA DHAMBI NA UCHAFU MAISHANI MWAKO

    • @ElpidiusAlphonce
      @ElpidiusAlphonce 10 месяцев назад +1

      Hicho kitu Huwa kinanitokea mara Kwa mara na mm Sema kwajina la Yesu kristo havina nafasi kwangu Wala kwakila mtu wa Mungu amen amen mtumishi wa Mungu hakika yastahili kuabudiwa kuheshimiwa na kutukuzwa MILELE

  • @LeocardiaDaniel-sj3wl
    @LeocardiaDaniel-sj3wl 11 месяцев назад +2

    Mungu akunariki sana, maake baadhi ya ndoto ulizosema zimeisha nitokea mimi, ni kweli kabisa.

  • @esthercheruiyot9401
    @esthercheruiyot9401 11 месяцев назад +1

    Amen and thanks

  • @DollSeka
    @DollSeka 10 месяцев назад

    Amen aki mungu wangu tembee na mim

  • @gloriarimba4080
    @gloriarimba4080 Год назад +3

    Amen kwakutufunulia ki undani🎉

  • @mumostephen9115
    @mumostephen9115 11 месяцев назад +2

    Hizo ndoto mbaya zote zishindwe kwa damu ya YESU

  • @damiandismas1077
    @damiandismas1077 4 месяца назад

    Amen! Kwa ujumbe huu

  • @irenenanjala3242
    @irenenanjala3242 Год назад +1

    Nmejifunza kitu amen 🙏🙏

  • @MohamadShimin-i1b
    @MohamadShimin-i1b 25 дней назад

    Amin niombe plz nikona shida si fanikiwi niombe

  • @honmaka6200
    @honmaka6200 Год назад +2

    Apostle Asante sana kwa mafundisho mazuri, naomba unisaidie vipi Ukiona wanaofanya kazi nawewe wanakupinga je hiyo ninini

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 9 месяцев назад

    Niombee sana mumishi wa mungu, ameeeeeen ni kweli kabiza mutumishi wa mungu

  • @LeaNgira
    @LeaNgira 2 месяца назад

    Kwa jina la yesu kristo naaribu Kila roho mbaya ya adui katika jina la yesu kristo najifunika kwa damu ya yesu kristo amen

  • @KarimoboA12
    @KarimoboA12 3 месяца назад +2

    N mungu anasema hadui atakuja kwa njia moja n watatawanyika kwa njia Saba,lkn kla ukilala unaona unazungumza n mungu n anasema hataki ufanye kazi hapo anataka akutoe,n mungu wetu ana nguvu y kukomesha hii hali sialitoa Wana w Israel huko misiri..watu huota mpka mara kumi kwa usiku mmoja so mambo mengine tumuachie mungu juu unaeza toa sadaka lkn km mungu anataka utoke mahali atakutoa tu,

  • @Niyonzima-o3h
    @Niyonzima-o3h 2 месяца назад +1

    Hakuna hisala ya adui inapashwa nusa maisha yangu kwa jina la yesu nipo mikononi ya mungu wangu

  • @WiltherArisa
    @WiltherArisa 2 месяца назад

    Zishindwe Kwa jina la yesu.Amen Amen Amen🙏

  • @LucyAwino-tz2lf
    @LucyAwino-tz2lf Месяц назад

    Mungu aniepushie roo ya ufuka

  • @estersendeu-fc6tj
    @estersendeu-fc6tj 2 месяца назад +1

    amina sana

  • @AnneMukami-he3zm
    @AnneMukami-he3zm 10 месяцев назад

    Be blessed man of God

  • @RamadhanIdd-bz2te
    @RamadhanIdd-bz2te 2 месяца назад

    Sishindwe katika jina la yesu christo AMENI

  • @MilikaGatwiri
    @MilikaGatwiri 9 месяцев назад +1

    Hizi zishidwe kwa jina lad yesu amen amen

  • @EstherNyamai-lh3wb
    @EstherNyamai-lh3wb 11 месяцев назад

    Wah sikujua hivyo asante

  • @janenjoki215
    @janenjoki215 2 месяца назад

    Mungu nifunike na damu yako

  • @MossesClinto
    @MossesClinto 8 месяцев назад

    Hizi zote zineshindwa katika jina la yesu, amen amen

  • @twizeyimanaAlphonse-nd9tk
    @twizeyimanaAlphonse-nd9tk 10 месяцев назад

    God bless you,

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 23 дня назад

    Nimekula sana vyakula vichafu

  • @JemimahNyangasi
    @JemimahNyangasi 2 месяца назад

    Thanks, may holy blood of Jesus Christ protect me

  • @Userog254
    @Userog254 Год назад +1

    Asante kwa tafsili maana mimi naota sana ndugu zangu upande wa baba waliokufa nilikua simalizi wiki au wiki 2,
    Kwass kidogo cjaota karibia km mwezi toka nilipoanza kuomba

  • @InamahoroJuliette
    @InamahoroJuliette Год назад +1

    Mungu aniepushe na hizo ndoto

  • @GivenMlasu
    @GivenMlasu 9 месяцев назад

    MUNGU nirehemu hizi ndoto ❤❤❤❤❤❤

  • @GraceZunda
    @GraceZunda 2 месяца назад

    Najifunika kwa damu YESU nazikataa ndoto mbaya kwa jina la YESU Ameen

  • @BabaAlafa
    @BabaAlafa Месяц назад

    Sishindwe kwa jina la yesu kiristo

  • @agneskigeme1197
    @agneskigeme1197 10 месяцев назад +1

    Najiondoa kwakila mikataba iliofanyika na maadui zangu na marafiki wabaya na ndugu wabaya.na wengine sijui wote.najiondoa kwa damu ya Yesu kristo itufunike nawanangu.

  • @Niyonzima-o3h
    @Niyonzima-o3h 2 месяца назад

    Hizo zote zishindwe kwa jina la yesu amennn

  • @MarryNnko
    @MarryNnko Год назад +1

    Pastor mm nmeota Sana nyoka ananing'ata mikono na bibi yangu alishakufaga namuota kila mara

  • @AlexMatata-v8b
    @AlexMatata-v8b 11 месяцев назад +1

    Mimi naotanga na maiti like my mom my headteacher akinisomesha na alikufa wengine wananikimbiza nmeombewa na zingine hazitoki wooie,nikumbuke kwa maombi aki