Musukuma: "Faini ya Bodaboda iwe Elfu 2 au Buku I Rais Samia Ametoa Milioni 500 Kila Jimbo"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 июн 2021
  • "Nampongeza sana Mheshimiwa Rais kwa kazi nzuri anayoendelea kuifanya lakini pia kwa usikivu, sisi wabunge tumekuwa na mambo mengi na tumelalamika kwa muda mfupi na kwa muda mchache aliokaa madarakani ameanza kutekeleza, kila mbunge hapa amepata milioni 500 kwenye jimbo."
    "Nilikuwa najiuliza wachumi wetu mko namna gani, inawezekanaje bodaboda inayobeba abiria wawili inakuwa na faini sawa na basi linalobeba abiria 65, mimi nashauri hata hiyo elfu 10 bado ni nyingi tungeweka hata elfu 2, lengo letu sio faini, lengo ni kuwawezesha watu watoke kwenye bodaboda wanunue magari, hakuna mtu anapenda kuendesha bodaboda miaka 5 anaumia kifua. Tumeanza vizuri kwenye elfu 10 lakini nashauri tufikirie kwenda kwenye elfu mbili au hata "buku" kwani kuna shida gani, nchi ina pesa nyingi"
    #KutokaBungeni
    #CloudsDigitalUpdates
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 96

  • @enockwest4265
    @enockwest4265 10 месяцев назад +11

    musukuma namkubali san ,kama na we unamkubali msukuma gonga like ata mja

  • @GambaShadrack
    @GambaShadrack Месяц назад

    Nakukubali sana king msukuma, chapa kazi

  • @JuniorIssack-nq1pf
    @JuniorIssack-nq1pf 2 месяца назад +1

    Huyu baba mungu amlinde tu

  • @twalibugoda662
    @twalibugoda662 13 дней назад

    Nakukubali Sana msukuma

  • @Startk840
    @Startk840 Месяц назад

    Uyu msukuma mungu ambaliki sana

  • @user-vv9nr4ij2l
    @user-vv9nr4ij2l 10 месяцев назад +1

    Jaman kusema ukwel msukuma nikiongonz wakuingwa ❤❤❤❤❤❤mungu akulinde

  • @mariumpeter6147
    @mariumpeter6147 3 года назад +8

    Kama kawaida mzee wa kutema madini. Penda sana Mh. Msukuma

  • @edimundmedard4427
    @edimundmedard4427 3 года назад +2

    Asante sana Msukuma unastahir kuitwa professor

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 3 года назад +3

    Musukuma upo vizuri

  • @stansmorland5072
    @stansmorland5072 3 года назад +4

    Point sana mh msukuma🤝

  • @leotv-tz
    @leotv-tz 3 года назад +3

    Akili mingi sana Msukuma

  • @Rukiamussa-xe3ib
    @Rukiamussa-xe3ib 7 месяцев назад

    Musukuma hongera nakupenda sana piga kaz

  • @user-mj8nf4gz2o
    @user-mj8nf4gz2o 8 месяцев назад

    Ubarikiwe msukuma nimependa sana

  • @fatuma5208
    @fatuma5208 9 месяцев назад

    Nakupenda.sana.we.baba

  • @Msafirimzigwa
    @Msafirimzigwa 3 дня назад

    Msukuma we jembe endelea hivyohvyo mungu atakusimamia

  • @lunemyabahati
    @lunemyabahati Год назад

    Hongera sana msukuma tukomboe

  • @salamaisayas8281
    @salamaisayas8281 Год назад

    Hongera Kaka angu MH Msukuma umetiisha Kwa maelezo kuh mafutaaa

  • @philimonmsabila4506
    @philimonmsabila4506 3 месяца назад

    Huyu jamaaa mkumbuke nimtoto wa mkulima anajua maisha nini mungu akupe miaka 1000

  • @yasiniselemani9318
    @yasiniselemani9318 3 года назад +3

    msukuma Oye

  • @mussamussa1087
    @mussamussa1087 Год назад +1

    Aweeeeee raisi

  • @ousmanjuma3396
    @ousmanjuma3396 3 года назад +3

    Fact

  • @user-dh3uf2ro2s
    @user-dh3uf2ro2s 2 месяца назад

    Msukuma unavyopambania wanachi hata mungu anapenda uongozi huo atakulinda Allah na kila lililo baya

  • @DavidiTonelo
    @DavidiTonelo 25 дней назад

    Nikweli mweshimiwa msukuma bodaboda tupunguziwe faini

  • @DavidiTonelo
    @DavidiTonelo 25 дней назад

    Msukuma katisha apo kwa bodaboda 🏍️🏍️🏍️

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 года назад +5

    Sana musukuma umeongea vizuri mwanazengo dhahabu Mali zetu ni

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 года назад +2

    Msukuma upo vizur

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 года назад +5

    Mmmmh! Nilifikiri faini ni kwa ajili ya kuwafanya wawe makini kwenye kufanya makosa ya kizembe? Anyway kila mtu na mawazo yake!
    Kweli machinga wengine wamesoma na wana vyeti lakini ajira hamna.
    Musukuma nakuelewaga sana

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 20 дней назад

    Kweli boda sio kazi... Kiukweli

  • @AbiudPatrick
    @AbiudPatrick 5 дней назад

    Hunger msukuma kwa kuwatetea bodaboda

  • @aloycesimwinga5763
    @aloycesimwinga5763 Месяц назад

    We jamaa mung akubalik pia uko mbelen uje kuwa rais utatetea sana wananch

  • @sanmknyambarya5478
    @sanmknyambarya5478 2 года назад

    Safi sana msukuma unique member of parliament

  • @Bahati-qz5sd
    @Bahati-qz5sd 2 месяца назад

    Hapo sawa ngosha

  • @dominicjulius3108
    @dominicjulius3108 3 года назад +1

    Pamoja msukuma

  • @user-uf9nd4ji5k
    @user-uf9nd4ji5k 5 месяцев назад

    Msukuma unajua

  • @magerechales9018
    @magerechales9018 3 года назад +3

    Ila msukuma unaakili Sana sema bado hawajakugundua tu saf Sana hasa swala la fain za ngombe

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 года назад +4

    Mihuwa na kukubali msukuma siku zote

  • @samwelyalamayaningaisungui4936

    Msukuma uko 💯👍 unaipenda wana nchi yako san

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 3 года назад +2

    Dah! Hili swala la faini sasa naona linapelekwa kisiasa zaidi kuliko kimkakati

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 3 месяца назад

    Kweli Wah Madiwani walipwe mishahara na marupurupu ya pension kila miaka 5 sawa na Wah wabunge wao. Madiwani ndio mhimili mkubwa ktk kata.

  • @RICHARDKIKWELELE
    @RICHARDKIKWELELE 3 месяца назад

    Kwel

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Год назад

    Safi sana msukuma 🎉🎉

  • @reganmartin5485
    @reganmartin5485 3 года назад

    Asante Msukuma

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 3 года назад +3

    Bodaboda nao wajielew baadh yao wanatend makosa kusud n kusababisha madhara kwa raia

  • @AbiudPatrick
    @AbiudPatrick 5 дней назад

    Msukuma were ni MZALENDO

  • @wazirimakua8769
    @wazirimakua8769 3 года назад +3

    Hapo kwenye faini sidhani kama Mheshimiwa amefafanua vizuri sababu ya kutoza faini! Faini sio njia ya kukusanya mapato tu bali ni kumuonyesha mtenda kosa ubaya wa jambo alilolifanya, sidhani kama kuna uhusiano wa ukubwa wa chombo na adhabu. Kama kuna watu hatari na wanaosababisha ajali za barabarani ni bodaboda na bajaji (baadhi).

    • @agastprudence7639
      @agastprudence7639 3 года назад

      Kumbuka hata ajila nyingi zipo bodaboda maana serikali haitoi ajila na hii ni zaidi ya miaka sita sasa

  • @GamzeninDunyas-th7hh
    @GamzeninDunyas-th7hh 6 месяцев назад

    Harika tebrikler ❤❤

  • @dmox8723
    @dmox8723 Год назад

    Wanaomchukia msukuma ndani ya bunge wote ni wezi tupu

  • @user-dh3uf2ro2s
    @user-dh3uf2ro2s 2 месяца назад

    Unaona mbali sana kodi zikipanda matajiri watahamia nchi za jirani je kutakuwa naongezeko lakodi au!!

  • @joshuaminga762
    @joshuaminga762 10 месяцев назад

    Pamoja sana

  • @user-mt1xb8qj2k
    @user-mt1xb8qj2k 9 месяцев назад

    Msukuma uko sawa wambie

  • @mussamussa1087
    @mussamussa1087 Год назад

    Uweeeeeeeee raisi mama na wengne makumaaaaàà

  • @peterassengatv8971
    @peterassengatv8971 Год назад +1

    musukuma wew ndo Mbunge humo ndani mwenye akili peke akoo hao wengine ni ............ 😢

  • @joramkimario6174
    @joramkimario6174 3 года назад

    Yaaani musukuma ana akil nyingi kama redio ya mbao

  • @jamespeter1798
    @jamespeter1798 3 года назад +1

    Msuka nakukubali Sana unajua shida za watu

  • @user-yr5nx2nw8r
    @user-yr5nx2nw8r 5 месяцев назад

    hakika mheshiwa msukum MUNGU alikuandaaa kutetea viumbe wakoo

  • @pauloyata9551
    @pauloyata9551 3 года назад

    Very talented MP much respect 2 u

  • @jumaamagerow7120
    @jumaamagerow7120 11 месяцев назад

    Mbona wananchi ni maskini hoehae.
    .Wakilipa buku watavunja sheria sana na ajali zitakuwa nyingi.

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 года назад +2

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @bakarimhina4133
    @bakarimhina4133 Год назад

    Mheshimiwa Kasheku Msukuma ktk Mchango Wako Hapo Kwenye Ng'ombe kwa Kweli Umechemsha.
    Haiwezekani Ng'ombe Waingizwe Mbugani Halafu waachwe.(Wtachwe tu.

  • @amourmunga8356
    @amourmunga8356 3 года назад +4

    uyu jamaa angepewa nafasi ya uwazirii yuko vizuri sana tena uwazirii mkuu siku yoyote

  • @aizzyashery5564
    @aizzyashery5564 8 месяцев назад

    Hiki kitulia bn

  • @shabanymwanahewa1776
    @shabanymwanahewa1776 3 года назад

    sikuzote msukuma noma sana

  • @mussamussa1087
    @mussamussa1087 Год назад

    Njooooo nanyumbu hao makumaaaaaaaà usimwachishe.

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t 2 месяца назад

    Hawa jamaa ni wezi tu hapo mnakwepa kikokotoo tu

  • @barakaezekia3382
    @barakaezekia3382 2 года назад

    Bado police wanakamata kwa mfano maeneo wanayokama ni Tazara na mataa ya veta kalibu na sheli ya oil com . je bunge mnalifikiliaje juu ya hilo Rais mama samia mimi pia Bodaboda inanuhuma sana

  • @saidijulius9911
    @saidijulius9911 2 года назад

    Namkunali sana mbunge msukuma unaongea pwenti tupo nambie hao

  • @abras3479
    @abras3479 3 года назад +9

    Msukuma ni miongoni mwa wabunge walio na akili nyingi sana kuliko elimu yao. This guy is very well exposed. Ni wazo zuri sana kuzuia magari kuingia eneo lote lililo karibu na Kariakoo sokoni. Maeneo ya sokoni kisiingie chombo cha moto.well done MSukuma

  • @JamalSipilali-zj3tz
    @JamalSipilali-zj3tz 9 месяцев назад

    🥺🥺🥺🥺🥺🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AbiudPatrick
    @AbiudPatrick 5 дней назад

    Safiii failiniI've 2000 mimi ni katibu wa boda singinda mungu akubariki kariba singida

  • @EdinnaKaizer
    @EdinnaKaizer 11 дней назад

    Vizur sana upo makn sana ongeren sana jamn.mwombeen huyu mbunge wenu

  • @nephirielasto3310
    @nephirielasto3310 3 года назад +2

    Yupo Saw msukuma na anafaa uongoz mkumbwa hap Bungen hat uwazi au supika

  • @agastprudence7639
    @agastprudence7639 3 года назад

    Bodaboda ndo inafanya polisi kuwa wababe

  • @nathanaelnnko252
    @nathanaelnnko252 9 месяцев назад

    😅

  • @salamaisayas8281
    @salamaisayas8281 Год назад

    Taf wah wabunge pamoja na kuwatetea bodaboda ebu pia wakemewe waache wizi WA kukwapua Mali za watu barabarani na matendo maovu waliyo nayo mf ubakaju na mauaji hs wale ma_day workers ! Wakemewe waache kabisaaa

  • @user-jh3yu7wl9r
    @user-jh3yu7wl9r 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-xj3oh8tp4m
    @user-xj3oh8tp4m 3 месяца назад

    Dogo

  • @mfalmewanyika2804
    @mfalmewanyika2804 3 года назад +5

    Hawa boda boda ukiwaekea fain ya buku, wataingia nazo mpaka ikulu😂😂😂

  • @braintv4065
    @braintv4065 3 года назад +2

    Kwa hiyo mtasubscribe channel yangu au nijiue

    • @mariumpeter6147
      @mariumpeter6147 3 года назад

      Jiue ila kabla ya kujiua chimba kaburi,nunua jeneza,nunua suti,uwalipe watu wa kuosha maiti na pia unitumie pesa ya kuendeshea msiba ili watu wasipate shida msibani

    • @davidjames8345
      @davidjames8345 3 года назад

      Kufa tu jinyonge na buibui

    • @mariumpeter6147
      @mariumpeter6147 3 года назад

      @@davidjames8345 👏👏👏 kaka nakujengea sanamu lako

    • @michaeljoseph1154
      @michaeljoseph1154 3 года назад

      Jiue

  • @ChongemarwaChongemarwa-qz4hy
    @ChongemarwaChongemarwa-qz4hy 9 месяцев назад

    Safi ngoxha

  • @emmanuelmasasila562
    @emmanuelmasasila562 3 года назад

    Fact