EXCLUSIVE: MSANII ALIYEKATWA MGUU BAADA YA KUGONGWA NA LORI, APEWA MSAADA NA MADAM RITTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 47

  • @monicakissima8521
    @monicakissima8521 10 месяцев назад +1

    Changamoto nimoja ya darasa ambalo linatujenga na kutufanya tuwe imara zaidi. Keep going Lydia nimefurahi kuwa umetanguliza shule kwanza, kipaji kitaendelea kuwepo sikuzote but elimu ni muhimu pia. Be happy always and God bless you.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 9 месяцев назад +2

    M/mungu azid kukupa subra mitian tumeumbiwa Sisi kipenzi changu allah azid kukupa afya nakupenda sana

  • @paschalinajoel8006
    @paschalinajoel8006 9 месяцев назад +1

    Dada angu nakupenda sana pambana xana mungu hawez kukuacha safar aliyeanzixha hakika ataimaliza

  • @FikiriMngongo
    @FikiriMngongo 4 дня назад +1

    Real tutakiane mema
    Tuombeane mema nimepitia comment zote zilikuwa Zina wish well na kweli zimetimia nakuona mbalii Lydia ufike mbali usiiishie Leo tu naomba ufke mbaliii

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 10 месяцев назад +3

    Yani muda wote nilikufatilia BSS lkn sikujua kama unashida ya mguu, pole dya Mungu ni mwema

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 9 месяцев назад +3

    Duuuuuh jaman pole kabla hujafa hujaumbika ipo siku utafanikiwa😢😢😢

  • @EstarMichael
    @EstarMichael 9 месяцев назад

    Pole sana wanyumbani.. Mshukuru sana Mungu alikutoa hapo kwakifo salama❤❤ nakupenda sana

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 9 месяцев назад

    Lyidia my girl you are great baby, tunakupenda mpende Mungu sana nae atakuinua sana

  • @elizabethlmakandanja4119
    @elizabethlmakandanja4119 10 месяцев назад +4

    Mungu ni mwema wakati wote kwakweli

  • @ameenaameena784
    @ameenaameena784 10 месяцев назад +2

    Manshallah unajua unajua tena

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 9 месяцев назад +3

    😢duh sikujua kama hana mguu kabisa, nilidhan tu mguu unashida tu ila upo

  • @Moonro-collection
    @Moonro-collection 9 месяцев назад

    ❤love for u and hates they will learn from u,, spiritual never die but body die, good bless day

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 9 месяцев назад

    Kwahiyo kasharogwa jamani yaani mtu asipande juu watu wakamshusha Mungu atakuponya mwaya ❤

    • @LydiaMbise-b8p
      @LydiaMbise-b8p 9 месяцев назад

      Nani karogwa😂💔 Mapenzi ya Mungu achana na mawazo mabaya

  • @MySadick
    @MySadick 9 месяцев назад

    Pole sana mungu akupe maisha malefu

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 10 месяцев назад +1

    Lidya pole sana nakuona mbali sana,

  • @victormbagga1821
    @victormbagga1821 10 месяцев назад +1

    Mungu akuinue zaid Lyidia

  • @soomalava1227
    @soomalava1227 10 месяцев назад +1

    Mungu akulinde mtoto ❤

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 10 месяцев назад

    In god we trust ... mungu azid kukubariki lydia ❤❤

  • @MercyJulius-e3h
    @MercyJulius-e3h 10 месяцев назад

    Napenda sana kipaji chako Mungu akutunze

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 10 месяцев назад

    Pole sana dada

  • @ayrunyjtayruny279
    @ayrunyjtayruny279 10 месяцев назад

    Parabéns Lydia

  • @aishasoloka5616
    @aishasoloka5616 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kelvindaudi1063
    @kelvindaudi1063 9 месяцев назад

    Nimempenda sana uyu dada kalibu sana mbeya canvo mi ni dj Kelvin dada yangu

  • @neoscahaule6199
    @neoscahaule6199 10 месяцев назад

    Pole sana mwanangu

  • @lyidiajuakaly3335
    @lyidiajuakaly3335 10 месяцев назад

    Lydia john jaman😭😭😭

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 10 месяцев назад +1

    Mmmmh makubwa kuna shule hawapokei walemavu kwann kisa hauna mguu pole sana dada

    • @salmabasil385
      @salmabasil385 9 месяцев назад +1

      Wakati mwingine ni kwasababu za kimazingira unaweza kuta shule Ina madarasa ya kupanda ngazi hayo sio mazingira rafiki kwake

  • @rehemamusa5727
    @rehemamusa5727 10 месяцев назад

    😘😘

  • @vicentbjohn
    @vicentbjohn 4 дня назад

    Wakati wa MUNGU ni wakati sahihi

  • @NawechiTemu
    @NawechiTemu 10 месяцев назад +16

    Mukiwa mnahojiwa mue mnaongea kiswahili tafadhali

    • @RosalinaMakenzi
      @RosalinaMakenzi 10 месяцев назад +2

      😂😂 mbwembwe byingi au sio

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 10 месяцев назад +1

      Kuna tatizo la ulimbukeni wakidhani ni maarifa... Huu ujinga haufanywi na mataifa ya watu wanaojielewa

    • @NawechiTemu
      @NawechiTemu 10 месяцев назад

      @@kabhikachambala3392 kweli kabisa…. Maana muandishi anamuhoji kiswahili fasaha yeye anajikuta kiswahili akijui kiukweli watu kama Hawa wanaboaaa

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 9 месяцев назад

      Kwa kweli

    • @faithlucas1723
      @faithlucas1723 9 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @mufindits3807
    @mufindits3807 9 месяцев назад

    MUNGU AKUSAIDIE

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 10 месяцев назад

    Wababa wrngine bhn 😢

  • @greysonkigelulye6641
    @greysonkigelulye6641 10 месяцев назад +1

    Kiswahil ongeeni

    • @LydiaMbise-b8p
      @LydiaMbise-b8p 10 месяцев назад

      Woii😂

    • @Khamis_Waya
      @Khamis_Waya 9 месяцев назад +2

      Mbona wanaongea Kiswahili vyema tuuh. Kuingiza maneno ya Kiengereza kweny maongezi kwa watoto wa shule ni kawaida sana tuuh.

  • @shabanikimpinga6769
    @shabanikimpinga6769 9 месяцев назад

    Nikija.tanzania.nitakutafuta.ar

  • @shabanikimpinga6769
    @shabanikimpinga6769 9 месяцев назад

    pambana.wakwetu.haikatai.tulikufatilia.sana.bss.

  • @Moonro-collection
    @Moonro-collection 9 месяцев назад

    ❤love for u and hates they will learn from u,, spiritual never die but body die, good bless day