Basi fateni kila mtu anayekwenda kinyume kimitandao, kwanza waanzeni wanaume wote wanaovaa uhusika wa wanawake mitandaoni wanadhalilisha utamaduni wa Mwafrika.
Lakin jamaa kajisalimisha mwenyewe police kwa nn wasimsamehe tu nikijana mwenzetu heb lioneni na hilo amesha omba msamaha mwenyewe na hakutaka kusumbua serikar
Daah bado kijana mdogo sana jamani kwenda kukaa jera hiyo miaka ni mingi sana kwa vile mwenyewe kakiri kua alikua anatania tu basi asamehewe tu nakupewa elimu kua siyo sawa hata kama alikua anatania 😢
serikali itasamehe wangap na ubaya huyo sio maarufu haya mambo huwa yanalemazwa na mastar wetu kuna watu wanafanya mambo ya hovyo kisa maarufu wanaachwa mfano amba ruti uwoya na wengineo walishaomba msamaha kwa jeshi la polisi hii tabia imekuwa imekomaa nchini kwetu sa huyo si maarufu @polisi tanzania anzeni na hawa vioo vya jamii
Lilimsaka Kwani.Alikimbia Sema Ushamba Wa Mitandao2 Mana Ingekua Kweli Asingeweza Kufanya Ivo Ushamba Wa Mtandao Simu Zimekuja Muda Mfupi Sana Sasa Wanasaka Kujulikana Kwa Kasi
Mahakama pia iangalie watu wangapi wanafanya biashara Kwa kutangaza hvyo angalieni mamb yakufatilia hyo apewe elimu naso kumkamata kumfunga bana mnajua ata sisi tunaakili timamu eee
Wa tekaji hawakamatwi sawa huyo kaonekana lazima akamatwe selikali ya mama tulionayo sasaivi aitaki masihala kaka we fanya masihala utajuta huyu apewe azabu ya jela
@hboywasasa sasa kaonekana anafany nn we nae think less huyo ni content imemponza katika harakat za kutafta followers nothing else ila waharifu ndo walipaswa kupewa hizo hekaheka
Mama yake Martha Mwaipaja kaomba msaada kwa viongozi wa dini na serikali kalia kwenye interview zaidi ya 5 na hakuna aliyejigusa kumsaidia mama yule SO SAD
we cathe ww asaidiwe Nini anaacha kuyajenga na mwanae anamchafua mitandaoni. nayy anataka kuwa maarufu kupitia kumchafua mwanae, Kila media ikija anafungua mdomo tu sasa mama kama huyu unamsaidia nn?
Sijui kwanini uku kwetu Sudan serikali yetu inapends Sana kuchukulia serious kwenye mambo ambayo AYANA maana, inawekeza nguvu kweny upuuzi kisha kwenye mambo serious inapuuzia, ni uku kwetu nchini Sudan kusini ambako Kuna mapigano na vita visivyo Isha.
Yani hii tanzanian mabo yakijiga wana yafwatilia san ila ushoga hawafwatilii kama utekaji kwani hawaoni haya kamayule dada alie nawia miguu jusi kwani hawakumuona
Wamsamehe tu naimani hakuzamilia hizo ni kiki tu za mitandaoni vijana wasasa waatalisha maisha yao wasijuie kama waatalisha kwa kutafuta follows hii wengine wataogopa kiki kama hizi yeye masikini hata hakujua kama ingemletea shida aliongea tu kwa kujifrahisha kumbe alikua anajihatarisha.
Kiukweli anastaili adhabu, maana mtoto angefariki kila mtu angesema ni yeye hata kama hajausika. Kwaiyo mitani mingine tuache, Serekali haitaniwi ndugu zanguni
😂 badala Kiki imekuwa kikifotati an hiyo ya kwanza kesi ya pili2 subili akue utaflahii Tena utakuwa kikongwe sa itakuwaje matangazo tu ya papasi yale sijui mafuta ni tatizo watoto wakikua as we an bola usinge tamka neno anafigo da badala ya sifa imekuwa saklifayi
wammsamehe tu huo ulikua ni utani tu sema hii mitandao tujifunze jinsi yakuitumia unapo reta utani kama huo wakati tuko kwenye janga ra kupoteza watoto watu. hatakuelewa unamanisha utani jeshi ra polici tunaomba tumsamehe huyu kijana
Serikali ya Tanzania inapenda kiki yena sana kwa watu wa hali ya chini yani inapenda kuonea watu wanyonge ... Waende kuwaajibisha hao wezi wenzao wanaofanya madhambi na kudhurumu pesa ya uma kenge hao
Sasa Mbona Watekaji kila siku Wanaongezeka alafu Mambo Ya mtandao ndio Yanafatiliwa sana .
Basi fateni kila mtu anayekwenda kinyume kimitandao, kwanza waanzeni wanaume wote wanaovaa uhusika wa wanawake mitandaoni wanadhalilisha utamaduni wa Mwafrika.
watekaji hawakamatwi😢
Huyo mmemuonea bure kabsa
Haji manara kalitukana jeshi la magereza hpo Tz na hakutftwa hata na mgambo hapo nch yetu hii au kifungu cha kutukana jeshi bdo hakijaekwa 😅.
Jaman 😢utani mwengne duuh 😢
Hakuwa anatambua apewe elimu tu jamani sio kuhukumiwa
Unaambiwa kutokujua sheria sio sababu ya wewe kutokuhukumiwa. Je, na wengne wakifanya makosa kwa makusudi kwa kisingizio kuwa hawakujua sheria?
sema nayeye waru walikuwa wanamwambia afute content sio nzuri alikuwa anabisha sana asee
Wamsamehe tu na wasimpotezee muda wake.wamwachie aende akapambane na maisha aitunze familia yake.
Lakin jamaa kajisalimisha mwenyewe police kwa nn wasimsamehe tu nikijana mwenzetu heb lioneni na hilo amesha omba msamaha mwenyewe na hakutaka kusumbua serikar
Wamsamehe😢😢
" serikar" ni nini?
Sheria inafata mkondo wake
Jaman 😢 niuruma sana siwamsamehe 2uyo kijana jamani m o inatisha sana
Daah bado kijana mdogo sana jamani kwenda kukaa jera hiyo miaka ni mingi sana kwa vile mwenyewe kakiri kua alikua anatania tu basi asamehewe tu nakupewa elimu kua siyo sawa hata kama alikua anatania 😢
Wangekuwa Sirius na vitu vingine vya msingi basi tanzania ingekuwa salama mikononi mwa polisi
Sheria inafunga masikini tu watekaji aaah
Ana haki kukamatwa. Wengine watajifunza na kujua siyo kila jambo mtandaoni.
Sheria inafunga masikini tu
Kweli kabisa
Kweli kabisa serekali yetu inaupendeleo sana
Tatizo ukiwa maskini ukakosa kazi ya kufanya unafanya vitu vya ajabu
@adamhashim3352 moja ni kujibu comment
😢😢
Alikuwa anatania bhn, anamuiga yule jamaa wa magari wa million 3 na laki 8 tajiri
Wamusamehee tu utani wa mitandao.. watu wanamtania had rais wa nchi sembuse mpwa wake
Mi naona kafanya content2
@@ziggertv3185 kweli kabisa..ni maudhui tu wao watoe elimu ili watu waelewe ni kosa lakn isiwe kesi kihvo jaman
serikali itasamehe wangap na ubaya huyo sio maarufu haya mambo huwa yanalemazwa na mastar wetu kuna watu wanafanya mambo ya hovyo kisa maarufu wanaachwa mfano amba ruti uwoya na wengineo walishaomba msamaha kwa jeshi la polisi hii tabia imekuwa imekomaa nchini kwetu sa huyo si maarufu @polisi tanzania anzeni na hawa vioo vya jamii
Apana wamsamehe2@@ziggertv3185
Yule Alie chana pic ya raisi unajua Yuko wapi , nao wamezidi kuropoka wengine watajifunza
Wanacha kukamata mashoga jmn khaaaa😢😢😢😢😢
Mashoga hawauwitu dear tatizo now hatuwaamini hata ma baba wanauwa watoto angalia vifo vya watoto ni Ving mno
Kwahyo ushoga ndio kosa kubwa kuliko kuuza figo za watoto?
Jinga
Hii siyo sawa sana 😮
Hili ndo Liwe funzo, content za kipumbavu
Kuna wale wanatengeneza maudhui ya matendo ya ushoga na za kingono.. tuamia kwao pia
Good job
Lakini watekaji Aaa.!
Wamsamehe bna, ameshaomba msamaha kwamba alikuwa anatania tu.
Lilimsaka Kwani.Alikimbia Sema Ushamba Wa Mitandao2 Mana Ingekua Kweli Asingeweza Kufanya Ivo Ushamba Wa Mtandao Simu Zimekuja Muda Mfupi Sana Sasa Wanasaka Kujulikana Kwa Kasi
Asamehewe, apewe elimu mambo mengine yaendelee
Nahisi nguvu kubwa ingetumika kuwasaka waliomuua Ally kibao😢
Wamsamehe tu. Akuwa serious uyu kaka
Mimi hata sielewi anavyodadafua main point kasema alikuwa anatania serikarey kafikasha UJUMBE kwa hadhira😂😂😂😂
Muacheni Tu Jaman Alikuwa Hajui
Kumbe hakuna adhabu,but awe makini na pia funzo kwa wenginee mzaa mzaa utumbua usaaaa
Msiuuuuu nchi Ina Mambo mengi
Mahakama pia iangalie watu wangapi wanafanya biashara Kwa kutangaza hvyo angalieni mamb yakufatilia hyo apewe elimu naso kumkamata kumfunga bana mnajua ata sisi tunaakili timamu eee
Dgo namjua sana
Nikwaukweri yamni mbona watanzania tunapoelekea inchi yetu inakua kama japapan tunapo shindwa kusamehana wenyewe atatusamehe nani jaman tubadilikeni kwaukweri walasio vizuri
Ila John kweli ana matani sana , kijana fungua mwaka 2025 mwambie mama mtoto awe shaid ,ahh umetuacha hoi wana sengerema😂😂 pole
Hajakamatwa kajisalimisha mwenyewe.
Eti watekaji wana achiwa na wanaobaka af huyo anafungwa sio kwel
Fanya na wewe mistake uone ndugu KA mdomo angalia sana WAZIRI WA WIZARA ndo katoka maelekez Sasa yaanzaje kupingwa acha mihemko
Ukisikia mzaha mzaha ...... ndo hii sasa🙆🙆
Serikali bhn mbona waharifu amuwatafuti .basi semeni nikipi kinatakiwa na nikipi akitakiwi
Apewe Elimu Ya Mtandao Ushamba2 Simu Zimekuja Siku Chache Izi
😂😂😂alikua anataka kujulikana ndo kajulikana ivyo alichokua anakitaka kakipata si ndo kiki tayari kwaiyo asilaumu mtu
Af Millard ayo skuiz umeachia vijana account yako umekua adimu sana kazi haifikii viwango kaka
Asamehewe tu ni mitandao tu 😢😢😢
Wamezidi huko tiktok wanaweka content za ajabu ajabu tu. Wataacha sasa
Wewe hapo mtu akutishie nakuua utaenda ripoti au utamsamehe tena mbele ya Dunia mzma ww utachukuriaje maana nidunia mm npo arabuni nanimerijua hilo
Alijipeleka mwenyewe polisi
Na watekaji wangetafutwa na kufatiliwa hiv nadhani ingekuwa murua sana
Sheria.iangari...mppeni..onyo..hatarundia..
Ayo Frida Amani show kali
vijana inakiwa ufanye kazi maana sheria saivi kila mtu ana ijua oho isi kutokee rafiki yangu uki kamatwa na police wa hapa nyumbani
Watekaji hawakamatwi na kama wanawakamata surazao mbona haziwekwi hazarani
Wa tekaji hawakamatwi sawa huyo kaonekana lazima akamatwe selikali ya mama tulionayo sasaivi aitaki masihala kaka we fanya masihala utajuta huyu apewe azabu ya jela
@@hboywasasambona hawakamati mashoga. Na wapo wanaonekana
@@RamadhaniKitala-gx6wchapo umenena uzuri,hongera.
@@RamadhaniKitala-gx6wc nilitaka nimjibu kwa makasiriko huyo alosema serikali ya mama haitaki mchezo nikakumbuka nina watoto wadogo wananitegemea
@hboywasasa sasa kaonekana anafany nn we nae think less huyo ni content imemponza katika harakat za kutafta followers nothing else ila waharifu ndo walipaswa kupewa hizo hekaheka
Mama yake Martha Mwaipaja kaomba msaada kwa viongozi wa dini na serikali kalia kwenye interview zaidi ya 5 na hakuna aliyejigusa kumsaidia mama yule SO SAD
we cathe ww asaidiwe Nini anaacha kuyajenga na mwanae anamchafua mitandaoni. nayy anataka kuwa maarufu kupitia kumchafua mwanae, Kila media ikija anafungua mdomo tu sasa mama kama huyu unamsaidia nn?
big point,,tena kakosea sana
Asaidiwe nin kwani mtoto wake kumpa msaada nilazima,na baada ya kumchafua anategemea kupata nin
Shikamoo mkono mlefu huo 😢😢😢😢😢
Yani hata ukijamba tu hao ila ukinya safi 😂
😂😂😂 na kunya wanye wao ukinya wewe msala
😢😢😢utani Kama utani
Aliyesema " hiyi ni yangu, mi nayigawa, mi nayiuza tu, mali yangu(kuma) alafu baadae akamtaja Rais katika upumbavu huo mbona hakutafutwa😂😂😂
Kama tupo bongo man 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂
Duh 😢 alikua anafanya masihara loo
Nakubaliii hendryiiiiiiii Mwana GPS nipo na ukuu
watekaji hawakamatwi ila mambo ya kipumbavu ndio polisi wanatafuta kiki
Yaan nilijua hili litatokea maan hata mm ule utani uliniumiza
Sijui kwanini uku kwetu Sudan serikali yetu inapends Sana kuchukulia serious kwenye mambo ambayo AYANA maana, inawekeza nguvu kweny upuuzi kisha kwenye mambo serious inapuuzia, ni uku kwetu nchini Sudan kusini ambako Kuna mapigano na vita visivyo Isha.
Wanazingua baada wawe serious na kukamata mashoga wanakomaa na mtu alie weka utani duh hii nchi mtu ata kama alikuwa anatania
Alisema anauza Figo sio sawa kakosea sana serikali IFANYE KAZI yake
Niutani wavijana tu yoooo
SERIKALI INGEKUWA SIRIAS NA WATEKAJI KAMA HIVI NCHI INGEKUWA SALAMA, ACHA NISISEME SANA SIIJUI SHERIA MIM NA NNAWATOTO WADOGO WANANITEGEMEA
Yani hii tanzanian mabo yakijiga wana yafwatilia san ila ushoga hawafwatilii kama utekaji kwani hawaoni haya kamayule dada alie nawia miguu jusi kwani hawakumuona
Kama mtoto ni wake bas asamehewe na apewe elimu ili aweze mlea mtoto wake….serikal iko sahihi lkn vijana mda mwingine maisha yantupeleka kasi mno
Sasa hapo kosa lake nini hapo jamani ila serikali khaa😮
Hapa kenya unisomee mashtaka ya upuzi kama hayo afu nifungwe utajutia ukiwa jaji na wahusika wote, jamaa hana kosa aachiwe
Matani mengine ayafaii jamani 😢😢
Ukumu inamuhusu tusilaumu selikali kamwe kontnt sio kwa watoto wasio jua lolote juu ya faida yako umemualibia maisha mtoto kwakunadi kama bithaa
Police wamefanya vizuri itasaidia Watanzania kupunguza ujinga.
Comedy gan hyo au kuna mtu alicheka wakat anatangaza kumuuza mtoto sheria ifuate mkondo
Ushaaambiwa Mjomba ake wew bado una kaz unafikiria dada ake huyo kijana mwenyewe mtoto huyo atakubali mdgo ake afungwe
@JulyNabeel Sheria ikikazia dada ake hatokuwa na saut yoyote kaka kaa kwa kutulia huyo kwanza katushia kuua
Je, ni sawa mtoto mdogo kama huyu ambaye bado hata hajaanza kujua jambo zuri na baya kumfanyia hivo halafu unakuja kusema ni utani?😢
Utani Umemponza Kijana ametaka kutrend Mwisho wa siku amenda Mpaka setroo jamani masameni ukomedia ulimzidii 😢
Nadhani tungetengeneza katiba mpya tuache longolongo za aina hiyo.
Jaman msameheni kijana wa watu alikuwa hajui kama mambo yataharibika hivo
Msameheni Tu Mie sioni hata kosa jamani Tanzania nchi ya Amani jaman
aiseee
Wamsamehee kwani watu wengi tunapenda follows nyingi bila kik atupat
Asante police kwa sababu watoto wanafanyiwa ukatiri jee angepotea huyo mtoto kweli maana mabedui wanaweza ona hii ndio furusa
Kigogo anatukana sana mbona kimyaa😢
Wamsamehe tu naimani hakuzamilia hizo ni kiki tu za mitandaoni vijana wasasa waatalisha maisha yao wasijuie kama waatalisha kwa kutafuta follows hii wengine wataogopa kiki kama hizi yeye masikini hata hakujua kama ingemletea shida aliongea tu kwa kujifrahisha kumbe alikua anajihatarisha.
Kiukweli anastaili adhabu, maana mtoto angefariki kila mtu angesema ni yeye hata kama hajausika.
Kwaiyo mitani mingine tuache, Serekali haitaniwi ndugu zanguni
Wala kodi zetu mbona amuwakamate
Waadishi uyo jamaa mm naona agepimwa Akili yake kwaupade wagu mm
Si alisema anajipeleka
😂 badala Kiki imekuwa kikifotati an hiyo ya kwanza kesi ya pili2 subili akue utaflahii Tena utakuwa kikongwe sa itakuwaje matangazo tu ya papasi yale sijui mafuta ni tatizo watoto wakikua as we an bola usinge tamka neno anafigo da badala ya sifa imekuwa saklifayi
Mbona waliombaka msichana wa dovya mmenyamaza achen uonevu
Manara wanamuogopa kwa kuwa Anawatu, huyo masikini wanataka kujionyesha kuwa wanajua kufanya kazi, watekaji aaaaa wanaoteka watoto aaaaa
wammsamehe tu huo ulikua ni utani tu sema hii mitandao tujifunze jinsi yakuitumia unapo reta utani kama huo wakati tuko kwenye janga ra kupoteza watoto watu. hatakuelewa unamanisha utani jeshi ra polici tunaomba tumsamehe huyu kijana
Mbona wanaojigeuza asili Yao wanajifanya wanawake hamwaoni ...sawa tunajua alichezea uhai wa mtu pia wajifunze kutumia vizuri mtandao pumbavu
Serikali msameheni tu ,mtu amejisalimisha vizuri tu ,mnawaacha wauaji huyo mna taka kumfunga
Serikali ya Tanzania inapenda kiki yena sana kwa watu wa hali ya chini yani inapenda kuonea watu wanyonge ... Waende kuwaajibisha hao wezi wenzao wanaofanya madhambi na kudhurumu pesa ya uma kenge hao
Cyo kuw kila kitu adhabu uyo alikuw na miemko ya mitandaoni tu nikitu chakumwonya tu na nikweli alikuw anatafuta umaarufu tu
Daaah jamn mpk utani
Wanaoteka hawakamatwi wanaoiba Hela za selikal hawakamatwi ila hii nchi yaajabu Kweli.
HALAFU HAKO KAKOPO KA YAS MBONA KANAONYWESHWA SANA 🤣
MH kumbe aliyeua anafungwa Mia 30 na alijaribu kuuwa ni kufungwa maisha
Wamuachie tu wawakamate watekaji
Vijana Vijana mitandao mnaitumia vibaya tuache kutafta umaarufu usio na faida mara unajikuta unaingia hatarini
Wamsamehe tu kwani c alishaomba msamaha