Baaraka Llaahu Fiykum Endeleeni kutuelimisha elimu yenye manufaa kwetu navizazi vyetu masheikh wetu isemeni haki ata kama wataichukia wenye kuchukia ila haki itabaki kua haki Watu washirikina sana nawengi hukariri maneno nakusherekea bila kuelewa kinacho semwa nahao watu wanao waita masheikh usishangae ata uyu muimbaji mwenyewe ikawa hajui anasema nini Allaah Atudumishe ktk njia yasawa nawao pia Allaah Awaongoze ktk haqqi Aamiyn Yaa Rabb
Baaraka Llaahu Fiykum
Endeleeni kutuelimisha elimu yenye manufaa kwetu navizazi vyetu masheikh wetu isemeni haki ata kama wataichukia wenye kuchukia ila haki itabaki kua haki
Watu washirikina sana nawengi hukariri maneno nakusherekea bila kuelewa kinacho semwa nahao watu wanao waita masheikh usishangae ata uyu muimbaji mwenyewe ikawa hajui anasema nini
Allaah Atudumishe ktk njia yasawa nawao pia Allaah Awaongoze ktk haqqi
Aamiyn Yaa Rabb