TUMEZAMA KWEUPE MCHANA NJOONI MUTUOKOWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2019
  • Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal
    Alfatah tv online
    kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490

Комментарии • 131

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 лет назад +20

    ALLAH awalipe khery alfatah kazi kubwa munafanya gonga like kama unawakubali

  • @alikhalfan9551
    @alikhalfan9551 5 лет назад +7

    Allah awaruzuku kwa rehma zake Naomba utujulishe hichi kijiji kipo maeneo gani sheigh Rashid jazzak llahh kheiyr

  • @shaabanothman2454
    @shaabanothman2454 5 лет назад +9

    Subhanallah, wallah ni mtihani sisi tunalala ktk nyumba nzuri wenzetu wanalala ktk vibanda hatuwasaidii, Allah ataenda kutuuliza juu ya neema alizotupa tusipozitoa kwa wenye kuhitaji.

    • @fifo262
      @fifo262 5 лет назад

      Si hamtaki kupungukiwa

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад +8

    SUBUHANALLAH SHEIKH RASHID ALLAH AKULIPE KHERI FIDUNIA WALI AKHERA NA KOO ZIMA YA AL FATAH DAWA

  • @msowanelson5452
    @msowanelson5452 5 лет назад +7

    Ukisema muislam ndugu yake muislam neno ili Lina ukakasi wote sisi ni ndugu

  • @hamzarajabomari5408
    @hamzarajabomari5408 4 года назад

    Shukran kubwa sana al fatah TV kwa kuangazia hali kama hii ,wazanzibari mwenyezi mungu awafungulie kila la kheri, wengine wana jilimbizia mishahara minene, hali wengine walala hoi.

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 5 лет назад +8

    Rashid Allah awarudhuk kwa kazi mnaoifanye

  • @munamuhammad211
    @munamuhammad211 5 лет назад +6

    Subuhana Allah,Allah awafanyie wepec ndugu zetu wanapata tabu sana😢😢😢

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 года назад

    Ya raab tujalie tuwe wenye kutowa ,,,Allah awazidishia al Fatah Dua zetu muhimu 🇰🇪

  • @asaamwalim8131
    @asaamwalim8131 5 лет назад +8

    ان لله مع صبرينtuwe nasubira tu maishayadunianimapambo ty yenye thaman duni SNA kuliko bawa lambu Allah atakuondosheeni thiki akher kwakuwalipa jannatufirdaus inshaallah

  • @iddysaidihamisi5429
    @iddysaidihamisi5429 5 лет назад +3

    tusilaumu serekali itasaidia wangapi sis wenyew watanzania tupo wengi tukitoa hata 5000 kila mwenye huruma nipesa nyingi sana

  • @tumtumkhan3115
    @tumtumkhan3115 5 лет назад +6

    Mwenyezi Mungu atawahifadhi In shaa Allah

  • @semyjosphat6138
    @semyjosphat6138 5 лет назад +1

    Alhamdulillah tumshkuru mungu kheri na shari zote znatoka kwake mungu atawastiri pamoja na watoto wao

  • @user-dg8qe9rf9h
    @user-dg8qe9rf9h 5 лет назад

    Subhana llah. Allah akulipe kheir dunia hadi akhera sheikh rashid. Na awafanyie wepesi nduguzetu

  • @abdullahjihaad5793
    @abdullahjihaad5793 5 лет назад +5

    Subhaanallah.
    Allah atuwezeshe kuwasaidia maskini, inasikitisha sana

    • @leyouthaaljabri4949
      @leyouthaaljabri4949 5 лет назад

      Kweli Hali ni ngumu Sana inasikitisha Sana
      Allah awalipe subrah
      Hali inatoa machozi

  • @dcutechbkochbko6617
    @dcutechbkochbko6617 5 лет назад +8

    Tajir na pesa yake maskin na wanawe mungu yuko pamoja nanyi Insha Allah atawalipa

  • @bichaujuma8065
    @bichaujuma8065 5 лет назад

    INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN MUNGU atupe iman ya kusaidiana waislam

  • @jumashaame1270
    @jumashaame1270 5 лет назад +2

    Mungu awalipe kheri alfatah na awaajalie wenye uwezo imani ya kuwaasaidia hawa

  • @musasinapalule1767
    @musasinapalule1767 5 лет назад +3

    samahani ndugu mtangazaji kama ndakuwa nimekukosea naomba tuchangie wote sio waislamu tu lekebisha kauli mana sote ni ndugu

    • @iddysaidihamisi5429
      @iddysaidihamisi5429 5 лет назад

      msamehe tu ndugu yetu ameteleza binadam ss sote nindugu sio kidini wala kabila!

  • @nadrikhamis1399
    @nadrikhamis1399 5 лет назад +6

    Subhanallah mola tufanyie wepesi waja wakooo

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 лет назад +3

    Mungu awalipe heri inshaallah!!!

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 2 года назад

    Subhannallah eee mola wetu wajaalie waja wako waondokani na umaskini

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 5 лет назад +6

    Innalillah wainnailaih rajiun Machozi yamenitoka Alhamdulillah alaa kulli hal😓 Jaman wenzet wanashida kweli Uarab nakushkur kwa neema ulizotupa jaman mola wetu tuwezeshe kuwasaidia wenzetu hawa

  • @mchapakazi3713
    @mchapakazi3713 5 лет назад +1

    Huuu ni msiba mzito siku za kampeni kuelekea uchaguzi gari mzuri zinapaki viwanjani mwa madhalili kama sisi wakitangazwa2 vijiji hivi huwa vinyaa allah awe nanyi msimu huuu wa ramadhani tukiwa tunaelekea edd alfitrii

  • @hermankoba4970
    @hermankoba4970 5 лет назад

    Mungu awafanyie wepes kwakwer

  • @hamzakimbe374
    @hamzakimbe374 5 лет назад

    Mwenyezi mungu awajalie wepesi

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 5 лет назад

    inshallah mungu awafanyie tahfeef na wepesi awape stara mama zangu bibi zangu na watoto woote kwa jumla,,na subra iwe pamoja nanyi,,hadi chozi

  • @twaariqahmad7249
    @twaariqahmad7249 5 лет назад

    Allah awaja'lie kila la kheri dunian na akhera na awaepushe n kila la shari duniani n akhera
    Halaf kuna mtu anakuja anadeslike nashindwa kuelewa wana mioya ya aina gan hawa wasiopend hii

  • @khadijahkhdoo6387
    @khadijahkhdoo6387 5 лет назад

    Maskiniii dunia hiii kuna watu wanateseka kweli jamaniii duuh,mungu awatizame kwa huruma zake,shukran Al fatah

  • @nurumunguakutangurirabdull4472
    @nurumunguakutangurirabdull4472 5 лет назад +1

    Viongozi washapata wanacho kitaka wamejisahau wote hao wariwafata kuwaomba kura wamejisahau sasa kama kunaviumbe wanawaitaji msaada mungu awafalij 😢😢

  • @yahyaibrahim6934
    @yahyaibrahim6934 4 года назад

    Ukiwa unalala pazuri unakula kizuri halaf ukasema mungu hakuoni wallah wallah nnapa unakufuru na kiumbe wewe huna shukurani kwamungu tizama familia inavyoishi kwashida wewe kiumbe mungu kakuruzuku neema yakulala pazuri namafeni yanakupepea ukae ulalamike maisha magumu wallah narudia tena wewe huna shukurani hata kidogo Kwa Allah wallah hio hali inasikitisha sana waisalm wenzetu wanaishi ktk shida kma hio maskeen insikitisha sana sana sana

  • @omarjoombi8802
    @omarjoombi8802 5 лет назад +2

    Allah atakulipeni alfatah kwa kaz yenu mzur 😢😢mtihan kwel

  • @bichaujuma8065
    @bichaujuma8065 5 лет назад

    Inanikumbusha mbali mama yangu ALLAH akurehemu ulipitia machungu km hy YARABBI tuhifadhi

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 5 лет назад +2

    Subhanallah ni wapi huko ndugu mtangazaji Allah awape subira tunaomba direction

  • @alikhamis6033
    @alikhamis6033 5 лет назад

    Allah awajaalie inshaAllah

  • @sportsentertainmentvideo6633
    @sportsentertainmentvideo6633 5 лет назад

    Inna lillah wa inna ilayhi rajiuun!! Kuna watu wanakula wanasaza wanatupa chakula bado wanajiita waislamu hali ya kuwa Kuna watu hawajui hata Daku yao wanaipata vipi ftari yao wanaipata vipi waislamu ni jukumu letu soote kuhakikisha tunawapa faraja ndugu zetu!! Watu wanafadhili mambo ya hovyo yasiyo na manufaa na wao duniani wala akhera wanaacha Kheri hizi!! Allah atuzindue...... Oooh inauma sana!!!

  • @amouramour7143
    @amouramour7143 5 лет назад

    Wanaoiba kura waongoze nchi kwa tamaa ya Dunia iko Allah atawauliza na kila mchunga atawaulizwa na atajibu Jiandaeni siku so nyingi Dunia mapito

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 лет назад +1

    Kazi yenu ni nzuri sana kuiubua yaliyofichikana lakini musiwaulize nyama umekula lini mazingira waliyonayo yanatosha kuelewa kila kitu

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 лет назад +8

    Ni vijiji gani hivi wallahi machozi yanakutoka

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 лет назад

      Ndiomana mm huwa siwezi kutizama video

    • @ausihaji2398
      @ausihaji2398 5 лет назад +1

      WaPi hapa

    • @mtumwasamaki6911
      @mtumwasamaki6911 5 лет назад +1

      Plastics na cancer Allah atunusuru na atuhifadhi , atupe subra na tuwasaidie wenye mahitaji zaid

    • @kapuboydaud5209
      @kapuboydaud5209 5 лет назад +1

      Huku nazan nipemba vijijin nimelia Mimi anae jua m/mungu

    • @anelkaking9342
      @anelkaking9342 5 лет назад +1

      Mungu wangu

  • @anwaryabdallah7782
    @anwaryabdallah7782 5 лет назад +2

    SUBHANNALLAH,kunawenzetu wanaishi maisha magumu sna😤😤😤

  • @jumahamiduhamidu1076
    @jumahamiduhamidu1076 5 лет назад

    Innaalillaah. M/mungu atawasaidia.. Inasikitisha kila mwenye kuiona hii video asitoe machoz huo ni mpungufu wa iman

  • @salimkhamis3638
    @salimkhamis3638 5 лет назад +8

    Nimelia Walahi nimelia, ni zaidi ya Udhalili! What kind of life?

  • @shunaside8956
    @shunaside8956 5 лет назад

    Subhanallah😢😢😢jmn roho inaniumaaa miee watoto wadg wanatesekaa Allah atafanya wepes amin🤝🤝

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 5 лет назад

    Alaf mnasema nyumban kumenoga rudin hali ndio hii wazee wetu wanateseka namna hii mungu anawaona subirin mtaona uwezo wake Sub'hanah hamuwez mkaachwa salama ht kidogo
    kwanin mnafanya nchi kama mali yenu na watoto wenu...al fatah shukran za dhat kwenu haya ndio ya kutuonyeshe ...c c watoto wa kimaskin tulio jaribu kujikongoja kidogo tukawaachia hao jamaa hiyo nchi bado inauma ht huku tuliko nyumban ni nyumban tu dah' Enyi wenye uchu wa madaraka na mlio lewa misifa na umaaruuf wangalien haw sio kukod maukumbi na kufutulisha wt mwenyez anawaona ...

  • @tabuselemani6869
    @tabuselemani6869 5 лет назад

    pole sana ndugu zetu allah atawafanyia wapesi insha allah,ila kwa upeo wangu wangepatiwa japo bati tu kwani wanaweza jenga hata kwa tofali za tope na wakaishi uzuri2

  • @mohammedomar1569
    @mohammedomar1569 5 лет назад

    inalilah wainailaihi rajiun nijukumu letu waislam kusaidiana, katika maisha yangu yote sijawahi kuona watu na hali ngumu kama hii jamani kuna umuhimu wa kutembea vijijini ili tujue hali za ndugu zetu zikoje ewe mola tupe uwezo na nyoyo za kusaidiana 😓

  • @bintiiomary9500
    @bintiiomary9500 5 лет назад +5

    Yani mumenkumbusha mbali maisha nliokuwa nkihishi n babu n nyanya yangu mungu awarehemu😭😭😭

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 5 лет назад

    M/mungu atawafanyia wepesi Inshallah .

  • @SalahAli-rq5sp
    @SalahAli-rq5sp 5 лет назад

    Kiukweli naumia sana tena sana sisi tunalala pazuri tnakula vzuri kumbe wallah kuna waislamu wenzetu hawana chkula wala makazi Tuzidi kutoa swadaka zetu ili zweze kusaidia kwa ndugu zetu hawa

  • @mariamlupatu5907
    @mariamlupatu5907 5 лет назад

    Subuhananllah inasikitisha wallah ewe mola wetu wape wepesi waja wako haw waweze kuondikana na maish haya

  • @dharesfadhil2236
    @dharesfadhil2236 5 лет назад

    Subhannah llah.alhamdulillah mungu atawasitiri.matajiri mko wapi muastiri wenzenuwallah imeniliza

  • @damsafir2576
    @damsafir2576 5 лет назад +7

    Government issue wakat wa uchaguz wanakuja mbio mbio wakishapata kura bx wanaangalia matumbo yao

  • @zaynabomar6746
    @zaynabomar6746 5 лет назад

    Dah mackin mngu awafanyie wepc mckin

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 лет назад +2

    Kama kweli wewe ni kiongozi halafu una imani, kwa hali hii huwezi kuiba hata kidogo serikalini

    • @mohdmoshi8041
      @mohdmoshi8041 5 лет назад +1

      Mungu atwapa heri halafu unakuta mtu moja anakula rushwa mamilioni masikini hawana hata riski ya siku moja kama mm ndiyo raisi nawanyonga wote wanaokula rushwa

  • @shakiramwenye1683
    @shakiramwenye1683 5 лет назад

    Eee,mungu awabarik mnaowajal masikin

  • @sanhutabdalla9873
    @sanhutabdalla9873 5 лет назад

    Insha AllAh mungu awape subra

  • @alikudura1429
    @alikudura1429 5 лет назад +2

    peleni inauma Sana sehemu Gani hiko mtangazaji Nataka nijuwe wapi huko

  • @hamisiduru1146
    @hamisiduru1146 5 лет назад

    Naomben acaunt Namba ya alfataa nitume zaktulifitrii na sadaka yang kidogo ili niwe miongon mwa walio jisikia nimeona nibora niwatumie hao kulikukon niwape masikin wa hapa mjini ni harasa kubwa ndo mana tunapatwa na maswahibu kila wakati ila hali wwnye kuhitaji msaada wapo wanteseka

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 28 дней назад

    Hii,nchi,hainaviongozi,wazanzibar,tushikane,mkono,

  • @aliy3303
    @aliy3303 5 лет назад +1

    إنا لله وإنا إليه راجعون.
    يا ألله احفظ من كل بلاء

  • @abdallahally5398
    @abdallahally5398 5 лет назад

    sheikh rashid hicho kijiji gani au shamba gani

  • @mesalimrashid6312
    @mesalimrashid6312 5 лет назад

    Very sad wallahi niwapi huko jamani tuwachangie niko mombasa .Chakula kitaisha pia kitaharibika na mvua malazi muhimu mungu mkubwa humo humo mwazaana kupita maelezo.

  • @user-qr2gj3jp9l
    @user-qr2gj3jp9l 5 лет назад

    Jamani adi nalia mimi dunia hii wengine tumekuja kusindikiza wenzetu 😭

  • @kapuboydaud5209
    @kapuboydaud5209 5 лет назад

    Eee eee m/mungu niongezee lizik niweze kuflahisha masikin wenzangu eee mwenyez mungu machozi haya nayotoa nazan iposiku yata dondokea mikononi mwawatu kama hawa ndugizangu kutoa nisekhem mojawapo jabada naukitoa ulicho nacho na M/mungu hakika atakuongeazea lizki inshaanlah Leo hii kunawatu wanauwezo kwachakur toa ndugu Yangu chakula hiki tuki kitumia vibaya hakika kita tupeleka kwenye shimo lamoto lililo andaliwa watu waovu vyote tuta viacha ila siku yamalipo vita kusanywa vitu vyoto ulivyo kua ukivimilik kama ulikua namakontena yavyakula utaulizwa ulikua ukivitua VIP vitu hiv ndugu Yangu tukumbuke yakua hii dunia sio nchi yetu sisi viumbe tuchukulie mifano kwewezetu tulokua nao hatuko naotena tuishi kama ugenini Wansalahm Anlahnkum

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 5 лет назад +1

    Yaa Allah machozi yananitoka.

  • @mdunguupdates4779
    @mdunguupdates4779 5 лет назад

    Subhaanallah

  • @al-bsaidykhalef6897
    @al-bsaidykhalef6897 5 лет назад

    Alafu c.c.m wanasema zanzibar wameleta maendeleo fyuuuu

  • @hildababyabdullah5627
    @hildababyabdullah5627 5 лет назад +3

    Video inaliza Allah tupe mioyo ya huruma tuwasadie wanyonge

  • @anelkaking9342
    @anelkaking9342 5 лет назад

    Mungu wangu.kijiji icho kipo wapi?

  • @maryammussa7522
    @maryammussa7522 5 лет назад

    mungu atakulipa inshallah

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 лет назад

    Subhanallah nashindwa hata Ku comment wallah

  • @issawaziri2335
    @issawaziri2335 5 лет назад

    Wapi hapo

  • @omarhakizimanakishikbongo2186
    @omarhakizimanakishikbongo2186 5 лет назад

    Nikwel baba mungu awarip

  • @abdurahimsaidittobadofplay5815
    @abdurahimsaidittobadofplay5815 5 лет назад

    Subhan ALLAH

  • @aliazani3909
    @aliazani3909 5 лет назад

    Akhi..... huku ni maeneo ya wapi....

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 лет назад

    Subhannallah

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 5 лет назад

    Nyumba kama hio inatakiwa iwe ya kiongozi ,

  • @missfa4650
    @missfa4650 5 лет назад

    Alhamdulillah

  • @fahadalbusaidy7182
    @fahadalbusaidy7182 5 лет назад

    Sheikh Rashed hichi ni kijiji gani

  • @zainabhassan1514
    @zainabhassan1514 5 лет назад +1

    Subbuhanallah

  • @moodkhamis3850
    @moodkhamis3850 5 лет назад +1

    subhan Allah

    • @maryamali1992
      @maryamali1992 5 лет назад

      Alhamdulilah sisi waislamu Tunategemea Qadari ya Allaah.Nasubira hakika-Allaah yupo nasi.tujitahidi tutoe kidogo tulichojaliwa na Allaah kwa Allaah nikumbwa-sanatu.

  • @khalfansharji9790
    @khalfansharji9790 5 лет назад

    LAILAHAILALLAH MUHAMADUN RASUULULLAH Dhima waisilamu hasa wenye mali toeni zaka za mali zenu na muzielekeze huku lakini AL FATAH Waambieni watu ni kijiji gani?

  • @mussahilika9622
    @mussahilika9622 5 лет назад

    Shekh rashid hii ni sehm gani

  • @nezumamakame3565
    @nezumamakame3565 5 лет назад +1

    Alfatah kijiji gani hiki

    • @user-ts8im2us1s
      @user-ts8im2us1s 5 лет назад

      Zip zanzibar (Kilombero na Matemwe )

    • @jumamohamed2638
      @jumamohamed2638 5 лет назад

      SUBHANA ALLAH ALLAH AWAFANYIE WEPESI NDUGU ZETU HAWA INSHALLAH

    • @khalidsalim5299
      @khalidsalim5299 5 лет назад

      Subhaanallaahi wabihamdihi subhaanallaahil adhwiim, ALLAHU AKBAAR

    • @mtumwasamaki6911
      @mtumwasamaki6911 5 лет назад

      We Amana acha siasa hii jumuiya lengo lake in kuwaibua wenye mahitaji ili wasaidiwe kama una uwezo saidia, huu sio uwanja wa Kampeni jielewe

  • @halimangereza3587
    @halimangereza3587 5 лет назад

    Mbona guozao zuri hata mm familia yangu haina uwezo kwamm masini najua ukiwana shida padezote utaona zinashi nguo zuri nyumba baya mmm

  • @AliAli-xi3hu
    @AliAli-xi3hu 5 лет назад

    Pelekeni hiyo clip ustawi wa jamii

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 3 месяца назад

    😭😭😭😭😭mtihani

  • @alibaraka6699
    @alibaraka6699 5 лет назад

    Ni Unguja au Tanga?

  • @musakhalff1850
    @musakhalff1850 5 лет назад

    Mpo wapi ofisi zenu

  • @tezuratezura8452
    @tezuratezura8452 5 лет назад

    Da hii nidhima kiukweli mhh huku mjini tunazimwaga nyama

  • @magrethmanintveld2486
    @magrethmanintveld2486 5 лет назад

    Kwani hapo Ni wapi

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 5 лет назад

    Subhanallah

  • @susangibai2691
    @susangibai2691 5 лет назад

    duuu, niwapi hapo mkoa gani,wilaya gani?

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 лет назад

    Mimi nipo uk vipi naweza Kurosawa chochote

  • @nassorobinalli3687
    @nassorobinalli3687 5 лет назад

    Subuhana llah

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 лет назад

    Muwatafutie na makaazi pia japo nyumba ya vyumba viwili

  • @newbwejuu4302
    @newbwejuu4302 5 лет назад

    Ni wapi huko

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 5 лет назад +2

    Kwanini wasijengewe nyumba 2 kama vile za michenzani?

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 5 лет назад

      Nani ajenge, serikali ya Mapinduzi? Tusahau

  • @neemagambere9987
    @neemagambere9987 5 лет назад

    subuhanaallahh

  • @ausihaji2398
    @ausihaji2398 5 лет назад

    Kijiji gani hichi hapa znz