LAST CARD _ EP 28

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 фев 2024
  • #kp #kpnazebuu #lastcard #wamangushi #bintinyoka #zebuu #kpcomedy
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 1 тыс.

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 4 месяца назад +121

    ❤❤❤❤asante sana zebu nilikuchukia nikajua umemsaliti kp walio elewa ako kamchezo tujuane😂😂 kwa like🎉🎉🎉🎉

    • @user-kj3jb6zn4f
      @user-kj3jb6zn4f 4 месяца назад +2

      🎉

    • @user-jj4id8vq2d
      @user-jj4id8vq2d 4 месяца назад +4

      Kumbe wewe pia pole kwa zebuu nilikuwa nimemjukia nami pia

    • @lornahmulitani2798
      @lornahmulitani2798 4 месяца назад +2

      Mimi nilijua kuna kamchezo hapo coz zebuu haezi saliti kp😅😅😅😅

    • @PaulComolee
      @PaulComolee 4 месяца назад +1

      Leo nipe n mm

    • @user-hv5pn7rq2b
      @user-hv5pn7rq2b 4 месяца назад

      jamn tuna weka mb mzee wagiza bado

  • @MAILE1CLAN3x5
    @MAILE1CLAN3x5 4 месяца назад +7

    Safi sana zebuu kwa kumuigizia kisai, ume play last card apo, gongen like hapo

  • @RahmaMakame-oq6et
    @RahmaMakame-oq6et 4 месяца назад +29

    Nzur kp kwa kumpa mkojo mshenzi kisai nimependa iyo

  • @user-pf3zc6kv5q
    @user-pf3zc6kv5q 4 месяца назад +11

    leo nmewahi na mm tunaomkubali mis shei shei gonga like

  • @othmanmazuri1365
    @othmanmazuri1365 4 месяца назад +9

    kp na timu yako mpo juu sana mmeleta mapinduz makubwa kwenye tasnia ya filamu tz watching from Korea

  • @user-tl9qp3wb9u
    @user-tl9qp3wb9u 4 месяца назад +56

    Sijawaiona movie nzuri kama hii🔥🔥🔥,nimeutazama uku ninalia mara nacheka,nakasirika mara nafurahi ila mwishowe nimemaliza nikiwa nimenuna😌nikavuta hewa Moja ndeeefu Kisha nikauwachilia,kweli team last card mungu awatie nguvu na awaepushe na mabaya na muwe na maisha marefu ❤️❤️,,,I like it❤️❤️🔥🔥🔥,kama umefuraiya na kuikubali weka like Yako tukisonga ❤❤❤❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Congratulations 🎉🎉🎉, you are no one in the world 🌎

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 4 месяца назад +29

    Jamani yote tisa tumuombe mungu tufikeni sote wafatiliaji wa ( last card ) pia mm naisubiri kwa hamu usiku mwema❤❤❤❤❤❤❤nawapenda nyote good 👍😊😊

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 4 месяца назад +49

    Tunaisubir sanaa ❤❤🎉🎉😂😂 gong like ambao wanaisubir kam mm jap nmechelewa kucomment 😅😅

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 4 месяца назад +11

    😂😂😂😂😂 kisai kanywa mikojo ya Kp hahahaaaa haki nimecheka loooh

  • @user-zl6ox9hr1v
    @user-zl6ox9hr1v 4 месяца назад +20

    Shey shey katika ubora wake wa matibabu hongera👏👏

  • @user-fm3vk5mz9s
    @user-fm3vk5mz9s 4 месяца назад +32

    Nawakubali. huku kitaan kwetu mme kiwasha

  • @user-jp4fi4jq7s
    @user-jp4fi4jq7s 4 месяца назад +13

    Kwa kweli sheishei kwa kweli uko vizuri mdogo wg.

  • @Lizzohman
    @Lizzohman 4 месяца назад +15

    Mm uyooo leo mapema tuu msalmieni nolah wangu uyo shabiki wke kindakindaki

  • @rupande9674
    @rupande9674 4 месяца назад +9

    yaan humu ndani utasikia kila mtu leo mimi wa kwanza naombeni like nyie vipi jamn kila mtu wa kwanza 😂😂😂 haya mimi wa mwisho naombeni like😂

  • @FatimaMuamede-ro7nx
    @FatimaMuamede-ro7nx 4 месяца назад +21

    Tunawapenda 🥰sana kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ruthwooden4080
    @ruthwooden4080 4 месяца назад +27

    Much love from KE 🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤

  • @FeristerJames
    @FeristerJames 4 месяца назад +15

    Nakupenda dada yangu zebuu lakes kwa mdogo wako

  • @user-rg8fq8fc3k
    @user-rg8fq8fc3k 4 месяца назад +4

    Haki ubwa mimi leo nilikaaa na simu mkononi toka nimeamka juu nilikuwa naisubiri kwa ham kuwa wakwanza si mchezo qap like zangu watu wa Tanzania 🇹🇿 na kenya 🇰🇪

  • @irakozeegide5544
    @irakozeegide5544 4 месяца назад +13

    Leo nimewahi naomba like zanguu❤❤ from bu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-uk4ob2fe8r
    @user-uk4ob2fe8r 4 месяца назад +8

    Napendaka saana movie ya kp na zeebu ❤❤naipenda sana kazi zenu naishi Burundi Bujumbura

    • @Zubeda-zx7wt
      @Zubeda-zx7wt Месяц назад

      Kwr mimi nimependa mpango wa zebuu imenifurahisha saana!!niko buj-burundi.

  • @mageletz
    @mageletz 4 месяца назад +139

    naisubili tu na Mimi hafu Leo nataka like zangu make nime wahi

    • @innocentshirima-er1ny
      @innocentshirima-er1ny 4 месяца назад +3

      Ila interval ya kuachia episodes km siku n nyingi sana,, hebu liangalieni hilo wakuu tafadhali

    • @mageletz
      @mageletz 4 месяца назад +1

      @@innocentshirima-er1ny naijua lakini ndo hivyo tuweni wapole tu hii movie Kali balaaa

    • @bakarimusa6297
      @bakarimusa6297 4 месяца назад +1

      Umepata

    • @aminaabdalla-uo9zq
      @aminaabdalla-uo9zq 4 месяца назад +1

      Like zikuplke wap ww😂

    • @jthedjmusicngudukwimbatv7707
      @jthedjmusicngudukwimbatv7707 4 месяца назад +2

      Haya magele wi samva na huku upo tu duh!

  • @safiasafiya7904
    @safiasafiya7904 4 месяца назад +24

    Asant sana tunayi subiri kwa hamu❤❤❤

  • @mobastian5050
    @mobastian5050 4 месяца назад +14

    Weweee sjui uachane na kesho..ifungue saiz tuu😂😂😂😂

  • @donaldmwongela9696
    @donaldmwongela9696 4 месяца назад +14

    Naisubiria sana hio kadi ya 28 kwa hamu na gamu jamani sir kp na zb

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 4 месяца назад +8

    Kp na zebu mmeanza malavi Davi washenzi 😂😂😂😂

    • @ChristinaJonathan-wh3wq
      @ChristinaJonathan-wh3wq 2 месяца назад

      Yaan cjui nyie watu mnaharibu hapo tuu fanyeni kz bna mamb ya mapenz c huko mkiwa nyumbn jmn looh mnaanza kuharibu xax

  • @MwanamisiBakari-xh3jo
    @MwanamisiBakari-xh3jo 4 месяца назад +20

    Waiting for it much love watching from Saudi ❤❤❤

  • @MICKEYBOYHB
    @MICKEYBOYHB 4 месяца назад +6

    😂Ila muwe mnajitahidi kuwaisha jamani tutakufa na upwiru mkichelewaaa tisha sanaa aseeww ☀☀☀☀🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎤🎤

  • @Binthassan-jm1hl
    @Binthassan-jm1hl 4 месяца назад +12

    ❤❤❤ much love from kenya ... love wins congrats zebbu

  • @AhmedChitema-ed8ik
    @AhmedChitema-ed8ik 4 месяца назад +5

    Nimeipenda scene ambayo Dboz yupo na ktk harakat za kumtafuta Jambaz afu Suraj karusha kijiwe dah nmefurah sana maana askari kashtuka kama kwamba kapigwa risasi hivi 😂😂😂😂😂😂

  • @lydiawaweru6391
    @lydiawaweru6391 4 месяца назад +27

    Waiting for it ❤❤ much love guys

  • @thumasaid2057
    @thumasaid2057 29 дней назад +1

    Mashallah nimetokea kuipenda hii series wallah japo nimechelewa kuijua Mashallah ♥️

  • @user-zc6bt6ts2j
    @user-zc6bt6ts2j 4 месяца назад +6

    Napenda wewe kp kazi nzuri🎉🎉 watching from Kenya Nairobi nikiwa wa Kwanza wapi likes zangu😅😅

  • @miliamsenga1925
    @miliamsenga1925 4 месяца назад +6

    Nawapenda sana kp na zebu sichoki kuwafatilia endeleeni kutupa vitu vizuri

  • @DoctorKipingu-jb2cp
    @DoctorKipingu-jb2cp 4 месяца назад +7

    Tunaisubir kwa hamu sana mana kiukweli mnajua sana Mungu wa mbinguni amilinde

  • @fredrickochieng3958
    @fredrickochieng3958 4 месяца назад +32

    I like your creativity guys .miss sheishei killed it.
    Keep on the good work
    #kenyanboy

  • @user-jj4id8vq2d
    @user-jj4id8vq2d 4 месяца назад +30

    We were waiting for it❤❤❤from Nairobi kenya... mjitahidy muwajilie episode 29 baada ya siku ya kesho jameni❤🎉🎉🎉

  • @user-mw9qh7to3y
    @user-mw9qh7to3y 4 месяца назад +3

    Ohoooooooo sheishei umenyoa lastar zako daah umenoga xana xaiz kuliko mwazo

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 4 месяца назад +5

    Nangonja kwa hamu.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

  • @user-ms3rz7uh9m
    @user-ms3rz7uh9m 4 месяца назад +2

    kati ya seson zote muliecheza hakuna mbaya zote ni nzili ila hii last card imezidi utamu nimeifulahiya sana kep pamoja na timu yako musikate tama endelea kusonga mbele mungu atawafikisha mbali nawapenda sana kep& zebu kisay likoma dibosi nola cheilla pamoja na wengi tim yenu iko vizuli

  • @ZunguJr-vr3wt
    @ZunguJr-vr3wt 4 месяца назад +5

    Daaa mwanangu Sema unatutesa sana saiz mwanangu tunaweka bando tukija kuangalia Bado ujatoa ndo vp sasa

  • @user-jj4id8vq2d
    @user-jj4id8vq2d 4 месяца назад +6

    Wow hongera saana team kp na zebuu......naona kp umempea kisai dawa ya tumbo😂😂😂😂😂love you guys from Nairobi kenya 🎉🎉🎉🎉

  • @user-yv8zw5lm9g
    @user-yv8zw5lm9g 4 месяца назад +3

    Itakuwaje jamani kisai amekuwa mweusi zaidi jamani kumbe kp na zebuu wanashirikiana hapo iko powa ❤❤❤❤

  • @DNo-fb8ll
    @DNo-fb8ll 4 месяца назад +1

    Zebuu nmependa ulivyocheza hii ep hk umeicheza vzr sana shikilia hapo hapo bt sijui next episode itakuwa maana naona kisai alivyokushika ukiongea na simu alafu kisai kumbuka ulikuwa ukifundishwa na kp shule iweje sahii umshinde kp kma alikuwa akikufundisha ukumbuke sahii huwez mshinda kp atakukamata tu kp nmependa ulivyocheza nafasi yako hongera sana kwa kazi nzuri na bila kumsahau shey shey umeicheza nafasi yako vizuri sana lakini haujamshinda kp team kp nyote mnastahili sifa kwenye hii movie nmependa mnavyoicheza ni karata ya mwisho bas nayo mnaicheza kma karata kwel team kp nampa hongera sana kwa kazi nzuri mungu awazindishie na awe pamoja naji ili muweze kutuletea utamu zaid kwan sijatazama movie nzuri kma last card hongerani sana kwa kaz nzuri mingu awabarik

  • @joynessmichael1824
    @joynessmichael1824 4 месяца назад +6

    Uwiiiii kisai ameskia mazungumzo ya zebu sjui itakuaje😮

  • @user-eq9xt7qi3n
    @user-eq9xt7qi3n 4 месяца назад +4

    Kazi nzuri sana kp na kundi lako hasa miss sheyshey❤

  • @silaspete
    @silaspete 4 месяца назад +1

    Huyu Sheila kaoleka kweli, anakaa mwanamke fulani hivi mwenye msimamo mkali,we love such girls

  • @user-me1vq7of8d
    @user-me1vq7of8d 4 месяца назад +1

    Sheila nakupenda sana kwa gisi unacheza hi movie yani unacheza nakili sana❤🎉❤❤ Sheila natoka burundi namifata sana Sheila wangu

  • @user-rn3su5tr9p
    @user-rn3su5tr9p 4 месяца назад +6

    Asante sana zebuu kumbe nilithani umemgeuka kp wetu big up guys qwa kazi mzuri from 🇰🇪

    • @user-jf9pt8bu5j
      @user-jf9pt8bu5j 4 месяца назад +1

      😂😂 nimefurai

    • @user-rn3su5tr9p
      @user-rn3su5tr9p 4 месяца назад

      @@user-jf9pt8bu5j mie mwenyewe imenibamba mbaya shinda nieti zebbu iafumaniwa na kisai so sijui what next

  • @metrine2826
    @metrine2826 4 месяца назад +4

    Kisai kanywa mkojo ety dawa 😂😂😂😂 mjinga wewe umekubali mambo ya kp

  • @user-oj8uk6fq5x
    @user-oj8uk6fq5x 4 месяца назад +1

    Nimefurahi sana zebuu nilizania tayar umempenda kisai hii ni kweli ni last card

  • @salamasalum6956
    @salamasalum6956 4 месяца назад +2

    Miss Sheila mpokea makopayako❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RuthNyatuka-qe3kd
    @RuthNyatuka-qe3kd 4 месяца назад +5

    Mm silali nangoja tu saatatu ikifika niichambue ❤❤❤

  • @neemajohn8636
    @neemajohn8636 4 месяца назад +5

    Mkuu @kp wa Aguino
    Hii sio dawa mkojo dhambi 😅😅😅😅😅😅😅😅 sijapenda🙌🙌🙌

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 4 месяца назад +1

    Hongereni sana kwa kazi nzuri❤❤❤❤❤

  • @AugustinNkunzimana-uk6zq
    @AugustinNkunzimana-uk6zq 4 месяца назад +1

    Munaceza vizuli buno nawabenda sana kp n'a zebu

  • @user-tx6bg1wl3y
    @user-tx6bg1wl3y 4 месяца назад +6

    napenda kazi enu Mr kp & wawengne kwenye group enu also I wish to be like especially niwe mmoja wenu

    • @fatmamuya5394
      @fatmamuya5394 4 месяца назад +1

      zebuu jmn uwiiiii sjui itakuwaje 🤦

  • @JudyDaisy
    @JudyDaisy 4 месяца назад +4

    Mrs sheilah kazi nzuri sana

  • @DOUBLESTVSAUTIYETU
    @DOUBLESTVSAUTIYETU 4 месяца назад +2

    Changamkeni kabla shabiki zenu wajachoka mfike final maana siku hizi mnaachia vipande viachache hivyo shabiki hususa hivyo fanyani hivyo wakubwa big up kwa kazi nzuri

  • @user-sd6gi1nb8w
    @user-sd6gi1nb8w 4 месяца назад +2

    Waooow nilikua nikiisubiri sana nawapa hongera zebuu nikikunyima mauwa nitakua sitendi haki ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @euphyfaith6536
    @euphyfaith6536 4 месяца назад +26

    Wa pili ni Mimi ...Nani kangoja kama Mie ❤❤❤

  • @user-ew2hm1qb7p
    @user-ew2hm1qb7p 4 месяца назад +3

    Hiyo ya kisai kunywa mkojo imebamba😂😂 pole kp kwa kupigwa risas 🎉🎉🎉

  • @user-ue8ok8ec2d
    @user-ue8ok8ec2d 4 месяца назад +2

    🎉❤❤❤❤njamani mpaka raha

  • @user-dk1mu8fg3c
    @user-dk1mu8fg3c 2 месяца назад

    Sheh shey umeicheza vzur sana unaprani kabambe kwakweli na vipande vyako unacheza good sana 🎉kam kp tu🎉

  • @limynyalika3798
    @limynyalika3798 4 месяца назад +4

    Nakubali sana nawapenda bure kabisa

  • @user-hp5qf7bu4d
    @user-hp5qf7bu4d 4 месяца назад +4

    Wenzangu mnamuonaje sheishei kwa matibabu yake mnaamini ni ukweli😂😂😂😂😂 kanifulahisha sana

  • @user-hs9fw6gr6y
    @user-hs9fw6gr6y 4 месяца назад +1

    mpo vzur sana uyo ksai kanywa mikojo

  • @user-fu1xk4qh5q
    @user-fu1xk4qh5q 4 месяца назад +4

    This is what I wanted to watch can’t wait for another episode please ❤

  • @user-ce2bv8jo8c
    @user-ce2bv8jo8c 4 месяца назад +4

    Keep it up....huu mchezo mnaucheza vizuri sana aki!

  • @jennifermwampale1960
    @jennifermwampale1960 4 месяца назад +1

    Tulivyotalijia sio ilivyokuwa kazi nzuri

  • @RamadhanKakindo
    @RamadhanKakindo 11 дней назад

    ❤kp na zebuu nawapenda Sana mungu awalinde kp mungu akulinde

  • @soysambu0013
    @soysambu0013 4 месяца назад +3

    Kp ameweza hapo kumfanya Kisai kunywa mkojo akidhani ni dawa😂😂

  • @MEJAIDD
    @MEJAIDD 4 месяца назад +2

    naqubal kaka na ninakuombea kwa mungu maisha malefu

  • @JaneAnyona-bu3rj
    @JaneAnyona-bu3rj 4 месяца назад +1

    Nazani tushafika kwenye uhondo wa last card...mambo xx moto jamanii...nawapenda sna team kp na zebuu🎉🎉watching from kenya...

  • @kelvinrichard2240
    @kelvinrichard2240 4 месяца назад +2

    Duh kp ubarikiwe mno

  • @SkeyTunaweza
    @SkeyTunaweza 4 месяца назад +3

    mimi niwa 10000 naomda like zango jaman 😊🙏💪

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- 4 месяца назад +6

    Nakubali San team KP hamna baya kazi nzuri sana twende nalo 🎉🎉

  • @user-vb4oy1he4f
    @user-vb4oy1he4f 4 месяца назад

    Kp wetu mungu akulinde na macho yamahasidi na akupe afya uzidi kutuburudisha na kutuelimisha haki ww kaka waweza .Hongereni sana teamkp oyeee🎉🎉🎉 from kenya

  • @user-wo5yo3lq8w
    @user-wo5yo3lq8w 3 месяца назад

    Nilikuchukia xana zebuu nilijua ulimsaliti kp nmeipenda kazi yako my friend

  • @moddykb3301
    @moddykb3301 4 месяца назад +4

    Much love ❤ from Kenya 🇰🇪

  • @user-xb5du1zb3g
    @user-xb5du1zb3g 4 месяца назад +6

    I love it❤❤❤

  • @elizabethcatherine-jm8fr
    @elizabethcatherine-jm8fr 4 месяца назад +1

    😂😂😂ya leo moto.much love from kenya ❤❤❤🎉

  • @JonhNdege
    @JonhNdege 4 месяца назад +1

    Mnafanya vizur sana jaman du ila sheila ananidatishaaa sana

  • @chemsahakizimana
    @chemsahakizimana 4 месяца назад +3

    Very good job ❤❤❤

  • @kpwaaquino
    @kpwaaquino  4 месяца назад +5

    TEAM LAST CARD, TUKUTANE KESHO SAA TATU ASUBUHI, KWENYE EPISODE YA 28
    TOMORROW AT 9:00 AM
    🙏🏽ASANTE KWA KUSUBIRI TUPO KWENYE MABORESHO YA KUFANYA KAZI IWE INAFIKA KWA WAKATI ZAIDI

    • @mishiabdu2773
      @mishiabdu2773 4 месяца назад

      We're waiting 😊❤❤

    • @makrinahaule430
      @makrinahaule430 4 месяца назад

      Nasubiri

    • @dorinenekesa903
      @dorinenekesa903 4 месяца назад

      Sawa tuko rada sana hiyo saa tatu lakini mmetukalisha sana nkiwa uwarabuni nawapenda sana

    • @magyreciousree3910
      @magyreciousree3910 4 месяца назад +1

      Naunga bando kwajir yenu kila cku nkiingia bado t

    • @EmanuelMasanja-lm4vd
      @EmanuelMasanja-lm4vd 4 месяца назад

      Dah kazi nzul San bro ila mnachewa sana kutoa

  • @YunisiMwasumbi
    @YunisiMwasumbi 6 дней назад

    Jmn zebuuuu love ue more kpnziiiiiiii kazi njema sanaaa

  • @VenerandaHerry-os1br
    @VenerandaHerry-os1br 4 месяца назад +1

    Wow pendraaa saanah I wish muje azam tv

  • @user-px5rx5wm9x
    @user-px5rx5wm9x 4 месяца назад +3

    Saa hii ni asubuhi saana kp ila nko na wewe pamoja. Nipeni like zangu. Cjalala nisubiiri kwa udi. Eka kitu tuinjoi

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 4 месяца назад +4

    Congratulations 👏👏❤❤

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 4 месяца назад +1

    aki nakubali daa zbuu

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 месяца назад +1

    Timu sheyshey na kp Tujuane kwenye like ❤❤❤nawapnda San jaman yan nataman kila siku kp ulete muendelez

  • @charlesndunguru4671
    @charlesndunguru4671 4 месяца назад +1

    Nakufatlia sana kp na zebu Ms shyshy

  • @ThomasMoset
    @ThomasMoset 4 месяца назад +1

    Ep ya 29 Lin jarbun bas kuw mnatoa hata vipande viwil❤❤❤❤🎉

  • @rachelpaul460
    @rachelpaul460 4 месяца назад +2

    Mkojo wa kp mwekund kama wenye UTI

  • @user-sy9cu5ef5q
    @user-sy9cu5ef5q 3 месяца назад

    Zebu hongera sana kumusaidia kp 😂😂😂❤❤❤ nawapenda sana wote kutoka Kenya 🇰🇪

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 Месяц назад

    Waaaah hi last card akili nyingi imetumika.hongereni sana team kp

  • @veroslaa1041
    @veroslaa1041 4 месяца назад +1

    Naipenda sana kazi yenu

  • @husnamudhakiru1527
    @husnamudhakiru1527 4 месяца назад

    Et mambo ya move namim wap na wap chefuuuu makomwe yenu😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @user-wo5yo3lq8w
    @user-wo5yo3lq8w 3 месяца назад

    Nawapenda Sana zebuu na kp xito choka kuwafatilia sanaa zen nawapenda

  • @user-wl7zu5sk3f
    @user-wl7zu5sk3f 4 месяца назад

    Jaman zebuu mungu akuepushe nahuyo shetan kisai

  • @bernadettemungadiane
    @bernadettemungadiane 4 месяца назад +1

    Mmmmh jamn atakam nimechelewa ila so Sana kiivo jmn naipenda Sana last card ❤