BINTI MINAH - PART 03

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024
  • Aliendesha moja kwa moja mpaka kwangu alikonipangia, akashuka akafungua geti kishaa akaingiza gari ndani, akafunga geti akaja sasa kunishusha.

Комментарии • 258

  • @Shadia544
    @Shadia544 6 месяцев назад +82

    Haya jamaniii hakuna kulala leo mpaka simulizi iishe wangapi tulimngoja huyu BINTI MINA LIKE 10 ✌️✌️

  • @Zeina-y9i
    @Zeina-y9i 6 месяцев назад +48

    Hamjawai nipea like 😢😢 naomba atakama nimmoja

  • @Saida-tv2vj
    @Saida-tv2vj 6 месяцев назад +33

    Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 6 месяцев назад +17

    Tulokua tunasubri kwa hamu part 3 tujuane❤Tm Furusi❤🇴🇲

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 3 месяца назад +3

    Braiton ni mwanaume mwenye roho mbaya sana pole sana Binti mina ni maumivu makali ila izo ni changamotto tuu mungu atakupa furaha siku za mbeleni ❤❤❤

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 6 месяцев назад +12

    Mambo ndio haya sasa vitu mpaka kitandani ❤❤big love ankojay

  • @yelamasele5888
    @yelamasele5888 6 месяцев назад +14

    Wakwanza jmn like basi

  • @omarympoyosy4732
    @omarympoyosy4732 6 месяцев назад +17

    Ila lissa simulizi zake ni nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 6 месяцев назад +8

    Duu mina anayapitia jamani duu huyo mamake mungu amlaani sana hayo yote mamake ndio sababu angemwacha na amon haya yote yasingempata jamani

  • @Fielsamuel-d7m
    @Fielsamuel-d7m 6 месяцев назад +7

    Asante anko j kwa simulizi mzuli❤❤❤love🎉🎉🎉

  • @leilamussa-6919
    @leilamussa-6919 6 месяцев назад +18

    Wakwaza leo naomben like

  • @AfricanBeauty-b2f
    @AfricanBeauty-b2f 6 месяцев назад +6

    Munielekeze Jamani nimpe shukrani yangu Ankojay me natokea kenya bt sai niko saudi much love Ankojay ❤❤❤❤

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 6 месяцев назад

      Hapo juu kuna namba yake so mfate whats up utamuuliza maswali yako yote

  • @GraceDavid-nq4zc
    @GraceDavid-nq4zc 6 месяцев назад +8

    wooo lisa mwala nakupenda bure ❤❤❤❤❤na anko j ❤jaman nawapenda sana mnajua kutufuraisha kwa kwel

  • @annahmwenda
    @annahmwenda 6 месяцев назад +16

    Na mm nimewah jamaniii mnipe like zanguu😅😅😅

  • @Cynthiaigiraneza-qd8lr
    @Cynthiaigiraneza-qd8lr 6 месяцев назад +6

    Ako jay upewe mauwa yako❤❤❤❤Lisa my love tunagupend sana 😘😘😘

  • @rosebasily477
    @rosebasily477 6 месяцев назад +17

    Wapii jmn nipeni like zenu

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg 6 месяцев назад +6

    Ila anko unataka tusilale au aya bhan mashaallah ngoja tuinjoi na simulizi tamu tamu😋😋😋

  • @proviousnatukunda
    @proviousnatukunda 6 месяцев назад +14

    Binti mina atakua ana raana zamamaake hivyo basi akatubu nakumuomba sana Mungu ili amuondolee mikosi.

    • @IRENEMENGI
      @IRENEMENGI 6 месяцев назад

      Kwani mama ake amemkosea nini jamani ila yatapita tuu

    • @FunnyClownfish-uc6ye
      @FunnyClownfish-uc6ye 6 месяцев назад +1

      Mama ake ndio mshenzi

    • @RebeccaMshana
      @RebeccaMshana 3 месяца назад

      Hapan so laana za mama akee maana hajakosea kitu ni changamoto tyuu

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 6 месяцев назад +3

    Mashallwah na ahsante sana kipenzi chetu bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤unatuburudisha nakutu elimisha Allwah akupe afya nasihha na ulihitajilo

  • @anunalamin6472
    @anunalamin6472 6 месяцев назад +4

    Mm akili yangu yote iko kwa binti lisa sijui nilirogwa sina amani kabisaa😢😢

  • @GiftClement-i2j
    @GiftClement-i2j 6 месяцев назад +5

    sijachelew san my zangu nawapenda mnooo pia napiga odiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤

  • @Maryalphoncedr4xo5yp8b
    @Maryalphoncedr4xo5yp8b 6 месяцев назад +12

    Acha nipitie comments za wasiolala mpaka wasikie sauti anko jamani tuendelee kumsikiliza Mina ❤❤❤❤

  • @tufaamzee2738
    @tufaamzee2738 6 месяцев назад +4

    Ni tam haswaaa simuliz ila shazmina mungu akusimamie

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 6 месяцев назад +8

    Yaani Lisa ni moto anajua kituweza much love kwako my love Lisa ❤❤❤❤

  • @siamakundi2100
    @siamakundi2100 6 месяцев назад +6

    Yani kitu kipya kikidondoka mawazo yangu ni binti lisa

  • @Lela-l7g
    @Lela-l7g 6 месяцев назад +11

    Nimchelewa lkn nimefika nipeni like zenu wadau 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JulianaFabian-w5h
    @JulianaFabian-w5h 6 месяцев назад +4

    Anko jey yani m hapa ndio nakupenda jamani unajuwa kunibuludisha mm na vile nipo single ❤❤❤

  • @tiffahsaidy333
    @tiffahsaidy333 6 месяцев назад +5

    nami leo cjachelew san jman naomben like

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 6 месяцев назад +1

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 месяцев назад +9

    Hata ikiwa pete ya gharama,mwanaume mshenzi sana huyo,anatembea na chupi mkononi hadi anabadili majina,chaaa! atapata magumu toka kwa hao wanawake wa huyo mwanaume

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 6 месяцев назад +4

    ❤❤❤😂😂😂😂 nikajua atatuletea bint lisa 63 duuh😢😢😢 ila haina shida hat hii ni nzuri 🎉🎉🎉

    • @TyT-h5l
      @TyT-h5l 6 месяцев назад +1

      VIP mnasubir 63 ss wa viporo ndio tumesikiliza 61 leo

    • @nancynancy4362
      @nancynancy4362 6 месяцев назад

      Tuko 64

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 6 месяцев назад +3

    Khaah kiukweli maisha nisafari ndefu na kibaya zaidi nikuwa watu uwaitao eti ni watu wako uwaaminio na kuwapenda hao hao ndio wanao kula kisogo

  • @Official_ree0
    @Official_ree0 6 месяцев назад +1

    Yaan me ndo najua kuchelewa daah😢😢 Aya bhna ngoja niendelee😂❤️

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph 6 месяцев назад +2

    Hatimayee yamekuwa leo,Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa simulizi yetu, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 6 месяцев назад +5

    Mina nakuomba usijaribu kukubali huyu dokta muongo ati anaenda kuwachana na mkewe wachana naye kabisa nakuomba tu🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @usterbae
    @usterbae 6 месяцев назад +3

    Good job ankojay chukua maua yako

  • @Fatum112
    @Fatum112 6 месяцев назад +7

    Mbone kwangu imechelewa kufika jamani ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉

  • @AfricanBeauty-b2f
    @AfricanBeauty-b2f 6 месяцев назад +5

    Jamani kuna watu hawalali humu ndani 😂 imagine binti minah iko na only 1 hr lakin watu washaisikikiza mm kila siku nakuwa wa mwisho jamani any way let me enjoy this simulizi tamu of Anko jay no matter nimekua wa ngapi cha msingi na secondari 😂 nikuiskiliza na kuenjoy ju nimeisubir kw hamu na gamu alafu Ankojay ubarikiwe sana yani saizi ata sitaki mpenzi nataka simulizi tu basi Mungu atuekee huyu anko jay jamani niko na shukrani yako ankojay sijui sasa utaipataje

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 месяцев назад +5

    Daa,anataka kumtolea mimba kwa lazima maskini, khaaa maisha haya,ni laana tupu,huyo Gold ni shetani mkubwa

  • @QueenIgiraneza-d9m
    @QueenIgiraneza-d9m 6 месяцев назад +5

    Anko umetisha kitu hadi moyo unafurahi

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 6 месяцев назад +6

    Tunasonga..kaende kaende😂😂😂😂😂😂

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 6 месяцев назад +3

    Wow ank j umejua kuteletea mda tupo kitandan na mambo ya myanduano😂❤❤❤

  • @NaomyBernard
    @NaomyBernard 6 месяцев назад +7

    Nimewah leo

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 месяцев назад +3

    Yaani we Mina huko kwenye party utachunwa ngozi hadi kufa,na huyo Perus afadhali umsikilize utapigwa na kitu kizito hadi ushangae

  • @omanss268
    @omanss268 6 месяцев назад +2

    Maneno ya mkosahi❤❤❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 6 месяцев назад +9

    Lisa lisa mwala wewe nikiboko yao wandish unajua kuamsha mashetani asnte cna

    • @lissamwalla501
      @lissamwalla501 6 месяцев назад

      Asante dear ❤

    • @Annact-tz
      @Annact-tz 5 месяцев назад

      ​@@lissamwalla501iv Lissa iv zinakuwaga za kweli au

  • @HalimaAlly-c6d
    @HalimaAlly-c6d 6 месяцев назад +3

    Jaman nimekua top 10 Tim Nina naomben like 5

  • @berthajoseph3576
    @berthajoseph3576 6 месяцев назад +3

    Jamn mimi nasubir inayokuja hii ni nzuri mno mno

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 6 месяцев назад +2

    Kitakachofuata hapo Mina utauzwa na gold ,mina wew

  • @khadijashabani6167
    @khadijashabani6167 6 месяцев назад +5

    Yaan natama iwe mpka number 7

  • @FatumaTatu
    @FatumaTatu 6 месяцев назад +4

    Mambo ni fire 🔥

  • @RakaPk
    @RakaPk 6 месяцев назад +1

    Mh mambo ni 🔥🔥 Asante sana anko jay wetu kwa muendelezo wa simulizi mzuri na yenye mafunzo ❤🎉

  • @hakizimanatatuhakizimana6186
    @hakizimanatatuhakizimana6186 6 месяцев назад +1

    Anko ankoo weni mkali na binti mina iko powa kabisa inaweza kuendeleya mpka ata namba flanii ukipenda nimeipenda ina istoriya nzuri

  • @reginarichard3349
    @reginarichard3349 6 месяцев назад

    Daah inaumiza sanaaa😭😭pole sana Ancle na Lissa Mungu awabaliki🙏❤️❤️

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 месяцев назад +2

    Simulizi motomoto 💥 wadau mpoo like zenu ziko wapi mpokee maua na anko jay🎉🎉🎉🎉

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 6 месяцев назад +1

    Mmmmh mpaka sasa kuhusu huyo oen aka doctor Braiton sijui nitacoment nin

  • @AysherHilaly
    @AysherHilaly 6 месяцев назад +6

    Wakwanza leo😂

  • @rhamarahma1188
    @rhamarahma1188 6 месяцев назад +3

    Wewe ninoma hujifunzi utakayemuonawewe nimuzuri😢😢😢😢unahitajimaombi dada napolepiya maaña. Pepouyo

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 6 месяцев назад +2

    Jamani dalisa hii part umetuangusha sanaaaaaa hata umetuvuja moyo wakuendelea kusikiza ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @GloriaMduma
    @GloriaMduma 6 месяцев назад +3

    Lisa hajawahi kutoa simuliz mbaya jamn ❤💥

  • @SwaumuJafary-rr7md
    @SwaumuJafary-rr7md 6 месяцев назад +3

    Mina achanae uyo mwanaume

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 6 месяцев назад +1

    Ankojay mimi binafusi na kubali kazi yako❤❤❤

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 6 месяцев назад +1

    Anko j anafanya vizuri sana ktk usimuliz kwa hiyo sauti yake ya dhahabu intukosha sana,,,,mwandishi wetu lisa Mwala anapitia coment kweli?kazi zake haziboi wala hazichoshi awe anapitia coment aone watu wanavyopokea kazi zake

  • @SaidPelu
    @SaidPelu 6 месяцев назад +2

    Jamn ank j part4 mbn unaichelewesha dear

  • @NeemaLugoye
    @NeemaLugoye 6 месяцев назад +2

    Wapendwa hamlali? 😂 Ank jay atasababisha tushindwe kutoa huduma kwawakat kwa vijan wa wenyewe. Nawapendaaa wana family ya Ank jay woote 😘😘

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 6 месяцев назад +2

    Pole sana yote nichanga moto tu

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 6 месяцев назад +3

    Jamani hakuna kulala😂😂😂asante xn ankoj

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 6 месяцев назад

    Good story be blessed my wetu kipenzi pamoja na dada yetu Lisa mwala mungu awabariki nyote big up ❤❤

  • @nemamwachepha1545
    @nemamwachepha1545 6 месяцев назад +3

    Asante Anko J kwakweli wajua kutupamba chukua 🎉🎉🎉🎉

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 6 месяцев назад +2

    Pole sana Mina Mungu akusaidie hayo yote ni mapito itaisha

  • @DjamilaNzeyimana-ir7tu
    @DjamilaNzeyimana-ir7tu 6 месяцев назад

    Asante sana anko jay kwa simulizi zuri sana na ku folo kutoka Mozambique 😊

  • @KhadijaKassim-k8d
    @KhadijaKassim-k8d 6 месяцев назад +2

    Asante sana ankojay Allah akulipe kheri ❤❤❤

  • @RachealMwaganjoni
    @RachealMwaganjoni 5 месяцев назад

    Mina pole snaa kwa unayopitia aacha kupendapenda unachoma,Lisa mwala asante snaa ankojay Mungu akuzidishie

  • @aminah9557
    @aminah9557 6 месяцев назад +2

    Dhaa nyie watu hamlali khaaa😢😢 hata nilikuwa nadhani nimekua wa kwanza

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 6 месяцев назад +1

    Daah mina anahatari sana kwakweli wanaume hawa wanambinu nyingi zakutudanganya kwakweli🇴🇲🇴🇲

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 6 месяцев назад +2

    Asante sana broo jay❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SalomeMwanauta
    @SalomeMwanauta 2 месяца назад

    Ahsant Lissa simlizi zako nzur sana 💕💕💕💕💕

  • @LenaLeee-mx6so
    @LenaLeee-mx6so 6 месяцев назад +3

    Waaao kunazidi kubamba

  • @maggietuxh5779
    @maggietuxh5779 6 месяцев назад +4

    ❤waooh simulizi tamu WA Kwanza Leo wp likes❤❤🎉🎉

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 6 месяцев назад +3

    Landon kamwambia kwann umemtactia kaz mina

  • @JozeFeeen
    @JozeFeeen 6 месяцев назад +6

    Lisa mwaLLa sakamo dada

  • @Princess20011
    @Princess20011 6 месяцев назад +5

    Nmekua wa kwanza guys finally i did it

  • @annahmwenda
    @annahmwenda 6 месяцев назад +3

    Daaah watu mko makiniii

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 6 месяцев назад +3

    Ila huyu mina nae anakua na akili fupi sana😢😢

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 6 месяцев назад +6

    Love ancojay hujatuangusha safari hii ❤❤❤

  • @HadijaKigelegwa
    @HadijaKigelegwa 6 месяцев назад

    Sijawahi kufatilia simulizi ila hii kiboko nimeielewa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 6 месяцев назад +3

    Good job ❤❤❤❤❤😂🎉

  • @maggiesadock
    @maggiesadock 6 месяцев назад +5

    Wakwanza😂😂😂😂

  • @rodaroda336
    @rodaroda336 6 месяцев назад +3

    Nimewai pia leo

  • @MagrethMungure-y7w
    @MagrethMungure-y7w 14 дней назад

    🎉🎉 anko umerishaaa

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 6 месяцев назад +6

    Leo wa 1 jameni family Mina like Zen ata 5 family yangu bipnzi Ankojay ahsante Acha ni 🪑🎧🥱😂🤣

  • @bijouxbigaya2116
    @bijouxbigaya2116 6 месяцев назад +2

    Niko tayari kabisa

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 6 месяцев назад +2

    Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 6 месяцев назад

    Tunaenjoy sana Naam wacha nisikilize uhondo ❤❤❤❤

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 6 месяцев назад +1

    Huyu gold ni mubaya sana shida huingiza mtu pahali ambapo hata hujapanga kabisa

  • @rauhiyasuleiman4626
    @rauhiyasuleiman4626 6 месяцев назад +4

    Next plz, jaman nakesha mwenzenu. Anko j umepewe mauwa yako 🎉🎉🎉❤

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 6 месяцев назад +3

    😂😂 Nimewahi leo

  • @rukiaruxz2753
    @rukiaruxz2753 6 месяцев назад

    jamani watu hamlali umu jana mi skua poa ndo nikalala mapema ila asante kipenzi chetu ankojay pia mpe lisa mwala maua yake kwa kazi nzuri

  • @shukururamadhan6721
    @shukururamadhan6721 6 месяцев назад

    eee uyu dada MINA kachoka mungu amulaisiye kweli maisha aya.wanawake tunakutana na mabala😢

  • @eziranduwayezu
    @eziranduwayezu 6 месяцев назад

    Haya jamaniii hakuna kulala leo mpaka simulizi iishe wangapi tulimngoja huyu BlNTl MlNA LlKE 1O ✌️✌️