Lissa Mwala, ama kwa hakika wewe dada unakipaji cha utunzi wa simulizi, alafu na simulizi ikapata msimuliaji mahiri, pokeeni mauwa yenu jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sisi mashabiki zenu tunawapenda sana sana sana ❤❤❤❤,much love from Qatar 🇶🇦
Mhmm,huyo Patrick kumbe ni mshenzi tu na majivuno yake ya vipesa.inawezekana ni patrick aliyemgonga Landolin,sijui huo msosi wa Mwaj umeshawekewa limbwata,na huyu mama mdogo hata akili za kugushi hana 😂😂😂😂
Jamani nilikua namalizia lisa ndio nigie hapa lakini naomba like zangu hata 2 tu mm nitawashukru sana...aya acha niaze KUMSIKILIZA MIAN, MAUA YAKO ANKO JAY🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀
Aki mimi hua nafurahia sana simulizi za anko j najiona nikifarijika sana namwenye furaha hata nikiwa na majonzi kwakweni nafurahia sana nahuu ukweke nikiwa pekeyangu saudia bas rafikiyangu anko j nakuombea sana uwe buher wa afya ilinieze kuburudika❤❤❤❤
Nimecheka kwa nguvu etc stori yangu Kari nikisimulia hadikijasho kitakutoka na maji utakuwa usikate tamaa Fiona mungu aweze kupa jaribu akakosa kakupa njia ya Kutokea
Kweli bora zamani,za sasa zinamrengo unaofanana sana, kujirahisisha kwa wahusika wakuu, yaani umalaya kwa sanaa, kama huyu kaanza utotoni umalaya, mama yake mina sasa naye malaya hadi alitembea na mume wa dada yake akafukuzwa.Ningetamani ajaribu uandishi tofauti lakini kuwe na uhalisia 👌, maana mtu kasambaza picha za utupu mtandaoni hakuna hatua yeyote, Moses alipata wapi nguvu ya kuchukua vitu vya mina dukani hali duka lilikuwa la mina, hata kama alimpa mtaji kwani kulikuwa na ushahidi gani, pia hapa Dar angeweza tafuta dalali angepiga mnada vitu vyote akaweka PESA yake, pia vitisho vya gold na biashara haramu ya kuuza binadamu angemshtaki, picha chafu pia 😇 METHALI ZA ZAMANI mgema akisifiwa tembo hulitia -----...Ya jana siyo ya ---🙆🏃🏃 Lissa Mwala wangu vp mama inakuwa hivi
Uuuuuuuiiiiii leo nimejalibu sana 😅😅so nipeni like 👍 kwa kujalibu tu😂😂❤ niko Lebanon 🇱🇧 but am a Kenyans
Unajilahisisha sana mina 😅
Mwambie kweli dada wakenya hawa type hivo😂😂
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Mina,usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
Haya maisha ya BINTI MINA mtihani kwa kweli haya tunasikiliza ili tujuwe mwisho wakee BINTI MINA ❤❤
Weee! Unafuatilia sana nawewe!
@@danielm.kahugusi2971 nafatilia sana simulizi tena zinatafunza mengi sana kuhusu maisha ya sasa
@@danielm.kahugusi2971 nafatilia sana simulizi tena zinatafunza mengi sana kuhusu maisha ya sasa ✌️✌️✌️
@@danielm.kahugusi2971 nafatilia sana simulizi tena zinatafunza mengi sana kuhusu maisha ya sasa
@@danielm.kahugusi2971😂😂
Lissa Mwala, ama kwa hakika wewe dada unakipaji cha utunzi wa simulizi, alafu na simulizi ikapata msimuliaji mahiri, pokeeni mauwa yenu jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sisi mashabiki zenu tunawapenda sana sana sana ❤❤❤❤,much love from Qatar 🇶🇦
Wandugu mbone iyi simulizi nimaumuvu ujyuwe nimeria mpaka basi Mina🎉🎉
Asante anko jey 🎉🎉🎉🎉naona utamu juu yatamu mauwa Yako anti Lisa mwala 🌹🌹🌹🌹🌹🎧🎧🎧🪑🪑🪑
Mh mambo ni 🔥🔥 leo maajabu nimewai kidogo kah Asante sana anko kwa muendelezo wa simulizi yetu tamu ❤🎉
Kwaiy nynyi mshasikiliza mbn kwng haifnguki😢😢😢
@@Babyfaty-m3y Tayari My dear
Naingia kwa mwendo wakobe gonga like hapa gobe hajawah chelewa ila mwendo wake tu,hongera anko🎉🎉🎉
Karibu
Haya ahsante m binafsi nimemaliza kuisikiliza tupe sasa na binti Lisa
nilisubir kwa hm zote hii kitu nitaskiliza wakati wa kulala jmni naipenda❤
Nice ila Anko jay uwe naachia Lisa kwanza❤❤❤
Nmefurahi sana anko jay ❤
Jamani jamani 😂😂😂😂 nimecheka eti nimemusimiliya kilakitu hapo kwenye kumsimuliya doctors
Mhmm,huyo Patrick kumbe ni mshenzi tu na majivuno yake ya vipesa.inawezekana ni patrick aliyemgonga Landolin,sijui huo msosi wa Mwaj umeshawekewa limbwata,na huyu mama mdogo hata akili za kugushi hana 😂😂😂😂
😂😂😂😂
Waooooh jmn hatimay tumepewa mwendelezo Hay ngoja tuon hatima yake mina😂😂❤❤🎉🎉
Mhh htar ni nan huyo au G au bruno au gold jmn nan uyo tena mina mbna unamazito ata ukipata wko umechoka shost🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂looh
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.
Hatimaye nimekuja wa tano walio subili Binti minah Kwa hamu tujuane
Watu wa team kubwa naona mmeamkia❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Waoo♥️♥️♥️🎋🎋🎋🌹🌹🌹🥀🥀🥀🌾🌾🌾 Asante sana Ankojay 💃💃💃
❤❤❤ mambo yanazidi kuwa mambo team gulf naombeni like zenu msiwe wachoyo❤❤
Tupeane tuuu ss ndugu
Jamani mashabiki mwache uchoyo WA like mnipe ataa kama ni mbili Tu,
😂😂😂😂 umepata 22.....na bado walalamika?
😂😂
Sijui ni kwa nn wanaume wanaoitwa #Rando wana kuwanga na Asira sana
Mmmmh nilikuwa na matumain na Landon kumbe zamwamwa tu
🇴🇲🇴🇲🇴🇲sasasiafunguke uyo London anawivu kama kakuowa🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Khaaaa pale inapoishia katikati na ndo mwishoo Bora kusubiri iishe tu mweeee😂😂
Hii simulizi ya sisimua kweli.. thumb up anko Jay watu
Ankojay tùnakupenda sana mauwa yako 🌹🌹🌹🌺🌺🌺jamani ❤❤❤
Asante kaka nakuelewa sana
Anko j, tunasubiri bint shanzyminah
Ankooooooooo plz unavyotufanyia nitakuja kukupiga ngumi ya mandola.....binti lisaaaaaa plz
Aloooh 👊umetisha
Mina,mina jamn rudu kwa mamako ukamuombe msamaha yy ndiye Mungu w pili,ona ss unavyoteseka,ankojay n lisa asanten snaa pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉
Asante anko jay simulizi tam sana
Asante kwa simulizi nzuri anko j na lisa tunakupenda sana
Pore sana binti mina kwakweli rohoyangu imecoshwa nauyoyapitiya kwakweli
Nimewai leoo jmn nimekuwa watatu nipeni like zangu jmn mm hata sio mchoyo kwa munao wai nipeni zangu bs jmn
silali kwa ajili ya binti Mina na Lisa jman ankojay unanikosha
Nimeisubiri sana
Wanaume wenye pesa cjui wakoje,,, mtu akutaki unampa vitisho 😂😂😂😂😂
Wadau munalala umundani kwa Anko Jy🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂eti mimi ndiye mke wa Landon😂😂😂una cheti cha ndoa? mhm,wadada jamani jiangalieni
😂😂😂😂 wakwe wa siku hizo hata heshima hakuna,daa hadi kumnadi binti kwa mkwe😂😂😂
Tumalize Lisa aki nko na kiu ya kuanza Ile simulizi mmpyq❤
Pole sana dear ancle na Lissa shukrani ❤❤❤ 🎉🎉
Mwendelezo usikawie jaman kitu bomba saaana
Mambo na yanazidi kuwa mazuri lasa mwalla na kupenda sana ❤❤❤❤❤ I love🎉🎉🎉
Mambo ni bombaa❤❤
Team saudi 🇸🇦 💙 👏 nipeni like 🎉
Khaaa!😭😭😭😭😭mbona Fiona anapitia magumu maskini daa 😭😭😭😭 mbona muda wa Mungu una subira chungu,fedha ndiye shetani zikimpata mwenye kiburi
Mina pole Sana ila yote ni mama Ako mbwa yule ww ni bint ake tu angemfukuzq na dad Ako wa kambo😢😢
Yaan wazazi wengine😊
Jamani nilikua namalizia lisa ndio nigie hapa lakini naomba like zangu hata 2 tu mm nitawashukru sana...aya acha niaze KUMSIKILIZA MIAN, MAUA YAKO ANKO JAY🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀
Lissa asa anajua kuandika simulzii hongera yke❤
Nimewai Leo
Huyu Mina! Niwaajabu sana anajirahisisha sana bana!
Mina na candy nani anajirahisisha sasa
@@aishamamyWote wapi sawa tuh maana candy nae niwa moto
Ujue kuna raha yake unapo sikiliza simulizi huku umeacha comment 😂😂 ya kupewa like na wasikiliaji wa ankojay 😅😊
Sasa usipocoment my dear utapataje coment na like
🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo ni moto
Wanangu wanafamilya mko poa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Haya tumeimaliza hiii tutumie part 5 anko jay tunasubiri❤❤🇰🇪🇰🇪
Wangap wanaamin london n wa mina 2 mungu yupo nae 2 mina
aman like zangu cjakuwa nyuma sanaaa??
Mina unakera sasa,mtu unaweka nadhili halafu unavunja ovyo ovyo bila mwelekeo
ili lando km mwehu vile cjui lini atapata furahaa ❤😢
waooooooooo nmeipenda ❤❤❤❤
❤❤❤ Tupoo haswaa
Tusubiri tujue huyo aliyeingia
Mambo yako ni mazito Dada lissa
Unajiachia sana mina sijuwi hata mwisho wako utaishia wapi
Me wa mwisho 😅 nipeni like basi
Anko inafunguka saa ngapi tupe mda basi tupunguze presha 😔😔😔
Yan simulizi hii nimafunzo yakutosha 🥱🤭😂🤣🤣 Ankojay ahsante kwakwel
Mbona mnawah saana mniach namimi niwe wakwanza ❤❤❤❤
Dah binadamu sisi mungu tusaidie sana
Me kinachonivutia katika simulizi ni najima ya wahusika, aisee ni majina mazuri sana hasa majina ya wanaume❤❤❤❤❤❤
Anko hongera kwasimulizi tamu
Ni simulizi tamu sana anko j
Mmmmh na mimi sijachelewa sana
Weee leo nimewahi na part 5 isikawie ni tamu sana 😂😂
Ni tamu sana wacha tusibiri inayofata
Hatimae nimewai duuuh 😂😂❤
Melala kweli leo ww kipenzi😂😂
Umefungua je kwani
Umewahi ila haifunguki au ni baadhi tu tujulishen
Umewai aje ama kwako imefika tyr 8:45 😂
Hiii simulzi imeniliza 😢 mama mina hujafanya vzur kabsa
Asante sana anko
Aki mimi hua nafurahia sana simulizi za anko j najiona nikifarijika sana namwenye furaha hata nikiwa na majonzi kwakweni nafurahia sana nahuu ukweke nikiwa pekeyangu saudia bas rafikiyangu anko j nakuombea sana uwe buher wa afya ilinieze kuburudika❤❤❤❤
Simulizi ya Mina ni tamu sana
Ongera kwa mtunzi na msimuliaji pow anko hey kongole kwenu
Mhuuuuu wawoooo akojy unatoa simulizi tamu I love you akojy simulizi mwaaaaaa wawoooo🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Yani huyu binti anapitia majaribuuu
Tunaitaji na Lisa jamani
Jamani huyu dada Hana bahati kabisa kwenye mapenzi hadi huruma jamani 😊😊😊
🎉🎉🎉🎉🎉❤
Ankojay mungu akuongezee kipaji chako
Shukran sanaa
Ankojay tupe mwendelezo was Lisa Jamani
Jaman mbona me naona chengachenga leo 😅😅😅😅 mambo mapya ankojay ❤❤❤❤
Wachelewaji hatukosi, Sant Ank jay.
😢😢😢🎉a❤🎉❤❤❤🎉😅
Anko vp
Ankojay tabia mbaya simulizi inafika patamu kisha eti tukutane sehemu inayo fata 😢😢😢
🎉🔥🔥🔥
Nimecheka kwa nguvu etc stori yangu Kari nikisimulia hadikijasho kitakutoka na maji utakuwa usikate tamaa Fiona mungu aweze kupa jaribu akakosa kakupa njia ya Kutokea
Anko wapedwa sana ❤from 254 how can I do without u love
Masikini mind hadi huruma kwa kweli sijui ana mkosi gani kakaa km ana wa jua kali😢😢😢
Kwann izi xmuliz za Lisa kama zinaendana Yani simulizi hujaisikia lakini mbeleni unajua kinachoendelea
Umeona enh zote ni ujauzito kupata kuachwa kutelejezwa ni nzuri lkn zina mechi kila kituuu 😢
@@aishamamy ndio kama nimfwatiliaje wa simuliz zake utagundua t zipo ivyo
Kweli bora zamani,za sasa zinamrengo unaofanana sana, kujirahisisha kwa wahusika wakuu, yaani umalaya kwa sanaa, kama huyu kaanza utotoni umalaya, mama yake mina sasa naye malaya hadi alitembea na mume wa dada yake akafukuzwa.Ningetamani ajaribu uandishi tofauti lakini kuwe na uhalisia 👌, maana mtu kasambaza picha za utupu mtandaoni hakuna hatua yeyote, Moses alipata wapi nguvu ya kuchukua vitu vya mina dukani hali duka lilikuwa la mina, hata kama alimpa mtaji kwani kulikuwa na ushahidi gani, pia hapa Dar angeweza tafuta dalali angepiga mnada vitu vyote akaweka PESA yake, pia vitisho vya gold na biashara haramu ya kuuza binadamu angemshtaki, picha chafu pia 😇 METHALI ZA ZAMANI mgema akisifiwa tembo hulitia -----...Ya jana siyo ya ---🙆🏃🏃 Lissa Mwala wangu vp mama inakuwa hivi
Kwa kweli zinaendana sana yaani mtu lazima aachwe na mwishowe anaolewa yaani mwishowe unaujulia😅😅😅
Jaman tumpe anko jay mauwa yake🎉🎉🎉🎉 lak ata moja bas