Evein if the entire Tanzanian Government Parliament and others turn their back against the Maasai of Ngoro Ngoro. God will fight for Us. Our ancestral lands will remain our lands and shall never be taken away from us, the Maasai.
Are lion from simanjiro sure acha nimalize masters yangu nije tuungane kuitetea wamasai wezentu l lov ngorongro also all masai l really believes we gonna be winer
Huyu Ni Kati ya Wabunge mambumbumbu Tanzania 🇹🇿. Hausaidii nchi Wala wamasai. Analinda maslahi yake yaani ng'ombe zake. Tofauti Kati ya Wamarekani na Waafrika Ni suala la Utaifa. Linapokuja suala la maslahi ya Taifa hata Kama muhalifu Ni family member wanamkataa.. Afrika wanamkumbatia. Tukatae ujinga wa kina Ole Sendeka tuzingatie ukubwa wa tatizo kwa urithi wa vizazi vijavyo. Ardhi iko pale.. haiongezeki. Wabaki watu 8,000 tu, ili shughuli za kibinadamu zipungue. Hao wanaosema Ardhi ya wamasai wapitie Sheria yote Ardhi ya Tanzania na Mamlaka yake Juu ya Ardhi ya Tanzania.
Wew ndo hujielew fala wew Munaona Ng'ombe familia zetyu hamzion acha kuongea ktyu kama ujuw na kama huna ndgu kule au cyo kwenu Kaa kmya funga Tako usijambee
@@godfreysamson3069 Hama hapo.. eneo lenu hamruhusiwi kupewa hati miliki? Kiazi wewe. Hamieni sehemu ambazo mtapewa hati miliki na mtakuwa wamiliki halali. Kama Ni huo mlima mnaouabudu mtaruhusiwa kuja kuabudu chini ya ulinzi baada ya Ibada mtaondoka. Ndorobo wewe
@@godfreysamson3069 Halafu Mbunge wako Mzee Ole... alipata Zero au 0 😅 A level ndio hodari wenu? Kweli Mkiongozwa na asie na kichwa wote mtakosa vichwa.
@@godfreysamson3069 Halafu Mbunge wako Mzee Ole... alipata Zero au 0 😅 A level ndio hodari wenu? Kweli Mkiongozwa na asie na kichwa wote mtakosa vichwa.
Mungu ibariki Tanzania🇹🇿, Ahsante Baba yetu Olesendeka uongo na upotoshwaji siku zote hupingwa kwa ukweli.,🙏🙏🙏
Uk sawa sana mzee yetu olesendeka
Asante maulid wa kitenge kuleta huu muswada bungeni ukweli utajulikana
Asante sana ole sendeka kwa ushujaa wako
Kabc mzee wetu
Safi sana kiongozi
Zungumza vya maana acheni kusifiana kusiko na msingi wa maendeleo ya nchi
Evein if the entire Tanzanian Government Parliament and others turn their back against the Maasai of Ngoro Ngoro. God will fight for Us. Our ancestral lands will remain our lands and shall never be taken away from us, the Maasai.
Takataka kabisa
Hv CCM HAMNAZOMKABISA . WAZEE KM HAWA AKINA SENDWKA WA NINI. WASTAAFISHWE.
Mungu hadhihakiwi. Ardhi yetu haitatwaliwa kamwe Kwa jina la uhifadhi.
Nyie ndo mabwenyenye wenye mifugo huko still hamkai huko.
Are lion from simanjiro sure acha nimalize masters yangu nije tuungane kuitetea wamasai wezentu l lov ngorongro also all masai l really believes we gonna be winer
Kabc Niko na wewe Hawa watu watatujua
😂😂😂😂 kwanza unapigwa supp, ukimaliza na serikali ishamaliza kuwahamisha. 😂😂😂
Sendeka mbn muda wote unasifia
HII staili ya taarifa sioni km una umuhimu wakati hoja BB inatokewa.
Hawa ndo wenye mifugo kule
Acha unafik
Mheshimiwa sijakuelewa unaongea nini?
Wamasai hao ni wakenya
Matako yako fala wewe
Acha ujinga nan amesema wamaasai ni wakenya ngorongoro ni kenya
Ni mkenya lakini lazima wanakaa kwa hifadhi
Huyu Ni Kati ya Wabunge mambumbumbu Tanzania 🇹🇿. Hausaidii nchi Wala wamasai. Analinda maslahi yake yaani ng'ombe zake.
Tofauti Kati ya Wamarekani na Waafrika Ni suala la Utaifa.
Linapokuja suala la maslahi ya Taifa hata Kama muhalifu Ni family member wanamkataa.. Afrika wanamkumbatia.
Tukatae ujinga wa kina Ole Sendeka tuzingatie ukubwa wa tatizo kwa urithi wa vizazi vijavyo. Ardhi iko pale.. haiongezeki.
Wabaki watu 8,000 tu, ili shughuli za kibinadamu zipungue. Hao wanaosema Ardhi ya wamasai wapitie Sheria yote Ardhi ya Tanzania na Mamlaka yake Juu ya Ardhi ya Tanzania.
Kivip boya wewe

Mbunge jembe
.