Bila shaka Injili ya Neema, Injili ya Agano Jipya, haihusiki na kuwaua wachawi kimwili,bali kuua mipango yao katika ulimwengu roho, Soma Efeso 6:10-18. Vita katika roho si katika mwili wa damu na nyama!
Watching you live from kenya.napenda watumishi wanaoangamiza wachawi.nina shangazi yangu mchawi, anaitwa Wali,na kakayake mwala na ngonyo wafe sawa sawa na kutoka 22:18...
Bila shaka, ikiwa YESU amekupa mafunuo wewe kuhuburi injili fanya hivyo wewe,, muache mtumishi aendelee na mafunuo yake. Hata hivyo Yuko sahihi kwasababu wapinzani au adui wetu ndio hizo nguvu za Giza. Ikiwa huna upinzani juu ya wachawi na nguvu za Giza,, injili inamaana gani?
Injili ni uwezo uletao wokovu, wanaotakiwa kupata wokovu ni wenye dhambi, sasa wewe unaua alafu umuhubirie nani? YESU alishasema mwenye afya haitaji tabibu sasa wewe unakata vichwa kwa biblia gan
Our pastor never disappoint . God keep you many years like Abraham for is glory 🙏❤
WOW.Anen. Mashunjaa. Wainjiri , Mabalozi wa Injiri tupo? Halikupea Yesu nashukuru more fire 🔥🔥🔥 5
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Nasi tunaitaji ufungulivu Mtumishi wa Mungu amen
Bila shaka Injili ya Neema, Injili ya Agano Jipya, haihusiki na kuwaua wachawi kimwili,bali kuua mipango yao katika ulimwengu roho, Soma Efeso 6:10-18. Vita katika roho si katika mwili wa damu na nyama!
Ubarikiwe mtumishi wa mungu Mimi Mt Fabian Luchagula wa Efatha Kawekamo Ngudu/Kwimba Mwanza
Nayapenda mahubiri ya mchungaji muhangila nasikiza ktoka kenya
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Kristo Yesu pondaponda,sagasaga na mahali Pao pasionekane kabisa kwa Jina la Yesu
Kaka habali ya uzima
Nabarikiwa sana aiseeee MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU
Mungu akubariki sana mchungaj mwahangila
Shalom shalom
Kamanda kikosi cha mashambulizi. Barikiwa sana.
Mungu akubaliki we chapa kazi tuu kazi bwana
Watching you live from kenya.napenda watumishi wanaoangamiza wachawi.nina shangazi yangu mchawi, anaitwa Wali,na kakayake mwala na ngonyo wafe sawa sawa na kutoka 22:18...
Shujaa, Mungu akubariki sana
Shalom shalom
Komando wa YESU piga kazi piga kazi
Barikiwa mtumishi
Moto wa Yesu
Ushuhuda unajenga, ufunuo wa yohana 12:11~nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa
Balikiwa Sana kamanda
Amina
Ww ñawe uxhakuwa mhuni mtumixh wa mungu wamesha kuteka
Amen mtumishi wa Mungu, nabarikiwa Sana na mahubiri yako.
Una nafasi nzuri ya kuhubiri injili,lakini unaeleza mambo ya ushuhuda zaidi badala ya kumuwakilisha Yesu Kristo hapo ulipo.Barikiwa.
Kabisa ndugu yangu,tumetumwa kumuhubiri Yesu tena habari njema na sio hizi za vitisho huyu anahitaji maarifa zaidi
Kaka habali ya uzima
Kuna watu kupitia hizo shuhuda wanaponywa,, wew kama uko salama haijakusaidia acha wengine wapone,,shuhuda zimefanywa na huyo huyo YESU
Bila shaka, ikiwa YESU amekupa mafunuo wewe kuhuburi injili fanya hivyo wewe,, muache mtumishi aendelee na mafunuo yake. Hata hivyo Yuko sahihi kwasababu wapinzani au adui wetu ndio hizo nguvu za Giza. Ikiwa huna upinzani juu ya wachawi na nguvu za Giza,, injili inamaana gani?
Wachungaji wengi ni waoga huyu anatufungua macho kwa shuhuda zake tunajifunza
amen kwa jina la Yesu,ubarikiwe mtumishi kwa jina la Yesu Kristo
Ameen Mtumishi
Amen muchungaji WA MUNGU,,nakusikiza nikiwa Saudi Arabia,no yako nilitafuta Kwa WhatsApp cukipata so naomba no yako
Mchungaji. Izonikama. Komedi. Hubiriinjiri. Mhubiriyesu. Wanazareti. Zungumza. Habariya. Kaziyamsaraba. Kamanda. Apoakija. Mwenyezambi. Atacheka. Kwakuchekesha. Twanga. Injiri. Wenyezambi. Wakutanenayesu. Mkuuu. Ubarikiwesana
Shalom shalom
Jifunze kwaza kuandika
Ndipo urudi kutoa hayo maelezo kwa Mutu wa MUNGU,, muda mwingine sio lazima ukacoment,
👍👍👍👍
Kamanda wa yesu
Upo Vizuri
Good message
Mungu alisema watuwangwamepotea wachunga wamewapoteza
AMINA
asante YESU
Pasta I understand you
Ameeen
Nisaidie baba
Amen
Bado hawaja sema mpaka waseme hao wachawi
ww mchungaji hubir siku ya saba ni ipi acha kutupa story ya uongo
18:08
Mchungaji hubiri Injili, mbwembwe za nini?!
Wachauongowewe danganyawapumbavuwenzako
Wewe hubiri ulichotumwa na Mungu acha kutisha watu eti utawaua, wachawi waambie waokoke siyo kuwaua?????????
Biblia inasemaje,
Injili ni uwezo uletao wokovu, wanaotakiwa kupata wokovu ni wenye dhambi, sasa wewe unaua alafu umuhubirie nani? YESU alishasema mwenye afya haitaji tabibu sasa wewe unakata vichwa kwa biblia gan
Samahani Kamanda umesoma Chuo gani cha Biblia. Nadhani Injili yako ni nzuri ila kauli zako ni muhimu kuwa makini kuepusha mitafaruku katika jamii
Yaani ht mimi sijaeñda chuo lkn kikawaida anasahau kuwa siyo yeye anayefanya ila ni Bwana msaidieni kushuka na kuacha kujisifia
Acheni wivu.
@@victoriamaige2862😂
Shalom shalom
Mchungaji. Izonikama. Komedi. Hubiriinjiri. Mhubiriyesu. Wanazareti. Zungumza. Habariya. Kaziyamsaraba. Kamanda. Apoakija. Mwenyezambi. Atacheka. Kwakuchekesha. Twanga. Injiri. Wenyezambi. Wakutanenayesu. Mkuuu. Ubarikiwesana
Unajua injili inayohubiriwa hapo?