Bangi zilikuwa nyingi, ndo tatizo la Afande, ila alikuwa artist mzuri na mwandishi mzuri. Nmesikia interview yake hapa juzi kati, akaeleza hata lile tukio la Mkali Nani alilovua suruali akabaki na boxer. Aliongea vizuri sana hadi nkaona zamani tulikuwa tu tunapishana nae, ofcoz hata nae umri na experience haipo kama sasa hivi, so aliweza kujieleza vixur kwa hiyo interview.
mzee angeweka mazoea hit song asingeweza kutengeneza alafu kumbuka namna ya ku record zamani na saizi ni tofauti jaribu kufwatilia interview jinsi ilivyo kuwa kazi ku record
Dj Jd age imeenda kaka salute kwako
Daaah! Nilikuwa wapi siku zote sijaiona hii interview
John umekua baba sana kitambo sijakuona brother
Safi Sana kakamkuu
Natafuta wimbo wa afande unaoitwa Ndugu zangu...
Music ulikua zaman bhana,siyo sasa hivi et unaimba chomeka chomeka,sasa sijui ndio madudu gani
sasa majani leo anajifanya yeye mwema kuma majini amewanyanyasa sana wasanii anaongea
afande unamchokoza atakulipua we enderea tu
But Afande aliandika zaidi...nashangaa watu hawamuelewi
Fact
Sana mwanangu jamaa alikua mfalme wa. Rhymes si utani
Bangi zilikuwa nyingi, ndo tatizo la Afande, ila alikuwa artist mzuri na mwandishi mzuri.
Nmesikia interview yake hapa juzi kati, akaeleza hata lile tukio la Mkali Nani alilovua suruali akabaki na boxer. Aliongea vizuri sana hadi nkaona zamani tulikuwa tu tunapishana nae, ofcoz hata nae umri na experience haipo kama sasa hivi, so aliweza kujieleza vixur kwa hiyo interview.
05:00 hiyo background instrument ni wimbo gani??
Imekaa Vibaya
@@stevenlugojeremia2323 😀😀. Nlijua litakuwa bonge la wimbo. Kumbe ni ndungurukusujo!!!
@@RuzoOwzy hahahahahaha ninini?
Alikufa kwa ngoma mwana fa
@@nassibabdul6510 Ni kweli. Upo juu mkuu
Dj unakosea kuwa PF.majani ndoo alitisha kwa ngoma wakati alikuwepo producer Mika mwamba
Mika mwamba kaja miaka ya 2000±
sasa majani leo anajifanya yeye mwema kuma majini amewanyanyasa sana wasanii anaongea
mzee angeweka mazoea hit song asingeweza kutengeneza alafu kumbuka namna ya ku record zamani na saizi ni tofauti jaribu kufwatilia interview jinsi ilivyo kuwa kazi ku record