Nina Moyo Sio Jiwe Leyla Rashid Jahazi Modern Taarab New Music

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 298

  • @ZeyLovie
    @ZeyLovie 2 дня назад

    My favorite taarab ever...ndani ya 🇰🇪...mwaaaah...ama kweli"waja mna mambo...waja mna mambo...ntaogopa mungu na mipango yke

  • @paulojohn-vx1qb
    @paulojohn-vx1qb 2 месяца назад +5

    Anhaaa ntaogopa mungu na hasira zake siyo binadamu na maneno yake❤❤🎉🎉weeh leyla unanikosha mie

  • @Rukiya_tsr8
    @Rukiya_tsr8 Год назад +12

    Jamani tumpe support huyo Yuko vizuri💙

  • @MariamNangai-zr2rn
    @MariamNangai-zr2rn Год назад +6

    Umeimba kwa hisia sana pachaaaa wangu ctaki kufanyiwa mwao.maisha yanguu mniachiee

  • @zainahbujune7526
    @zainahbujune7526 7 месяцев назад +6

    Wimbo huu inaitwa verbal artillery . Am a kiswahili student from uganda and enjoying it❤

    • @afrakanaswahilitv5520
      @afrakanaswahilitv5520 5 месяцев назад

      Eti wewe ni mwanafunzi wa lugha yetu adhimu ya kiswahili kutoka jamhuri ya Uganda, hujambo Ssebo? Kiswahili ni lugha ya kifahari na tena tamu sana. Pokea salamu zangu za dhati kutoka hapa jijini New York, Marekani.

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 3 года назад +10

    Ummmmmh! Malkia aaaah!❤️❤️❤️ mie kwako nyang'anyang'a nyimbo zakooo zinanitosha yaani ni 🔥🔥🔥 kaaaaazi kweli kweli kwa anae jifananisha nawe eee 🌹🌹🌹💕

  • @riyamaramzy3968
    @riyamaramzy3968 4 года назад +37

    Usilolipenda wewe namwenzio simfanyie ...tenaaaa...wapi kelelee kwa layla akee...😍❣👌Dec 2020 gonga like kama upo👍👇

  • @alqershrent2439
    @alqershrent2439 11 месяцев назад +2

    Wow❤❤❤ love the song from Uganda ❤❤🇺🇬🇦🇪

  • @rizikihamisi5514
    @rizikihamisi5514 2 года назад +10

    Mambo ndio hayo 💪💪 umeweza bibie

  • @sadikjuma5519
    @sadikjuma5519 Год назад +6

    Hatari hii.... 01/07/2023 still 🔥. Much love from 🇰🇪.

  • @karenahidi757
    @karenahidi757 Год назад +2

    Nice Leyla keep the Taarab fire burning mamaa.Kweli waja hawana wema

  • @DomisianaMassawe
    @DomisianaMassawe 9 месяцев назад +14

    Ngoma Kali sana dada hauna mpinzani kama umeipenda gonga like hapa

  • @SalfikiNyagary
    @SalfikiNyagary 6 месяцев назад +2

    Cjui niseme nin juu ya huu wimbo il Mungu awabariki Sanaa maaaana mmenikosha

  • @AshurakhamisRamadhani
    @AshurakhamisRamadhani Год назад +1

    Usilolipendaaa vyooo usimfanyieee mwenziweee ❤❤

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 3 года назад +15

    Kweli Leyla una moyo sio jiwe. Naupenda muziki huu wako. Najiburidisha nao si haba.

  • @wirangamani9200
    @wirangamani9200 2 года назад +1

    Twende nao Leila Rashid uko juu mamaz from Mombasa old town crazy boyz fort Jesus twakutambua

  • @sumeyahusna837
    @sumeyahusna837 2 года назад +21

    My favourite song 😍 lelah big up from kenya😍

  • @rahmahrr4471
    @rahmahrr4471 Год назад +1

    Hii nyimbo n Kali sana yaan upo juu momy❤❤❤❤❤

  • @abutaduke1733
    @abutaduke1733 9 месяцев назад +2

    Taarab nzuri sana yatuliza roho vizuri njameni

  • @bekimasta3210
    @bekimasta3210 3 года назад +11

    Wambie wasikieee maaana binadam hatuna jambo dogo👌👌👌

  • @gumatoadhihuka641
    @gumatoadhihuka641 3 года назад +8

    Ahsante saana 😇🙏❤❤❤❤💞💗💗.from Norway.

  • @JinaMakame-vq8mq
    @JinaMakame-vq8mq 7 месяцев назад +2

    Umenigusaa sana haswa hapo haiwi kila siku miee

  • @zainabnandenga304
    @zainabnandenga304 3 года назад +9

    Siwez mie kujiteng kuish na wa2 💃💃💃

  • @najathismail6739
    @najathismail6739 2 года назад +3

    Nakupenda leyla jaman ila nina swali wewe kabla gani jamn coz we mzur jmn Nakupenda sana looh 🥰💋❤💕

  • @diananjeri3782
    @diananjeri3782 2 года назад +4

    Mama malkia mwenyewe 💖 zidi kungaa mama

  • @MickaJohn-s2b
    @MickaJohn-s2b 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤ Leo 31-10-2024 Jana nimemkanda singida leo nimeamkia ih sio pw

  • @allynyumba8189
    @allynyumba8189 Год назад +9

    2023 bado ngoma aina mpinzani like hapa tujuan ✈️✈️✈️🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @simonngari5904
    @simonngari5904 2 года назад +8

    This is another one, favourite. Leyla Rashid, keep up

  • @BelindahJohns
    @BelindahJohns Год назад +12

    2023 am still here, more love from 🇰🇪❤️

  • @Samdabreezy
    @Samdabreezy Месяц назад +1

    Umeweza kipenzi yani apa ninajambo ndo naikalili nitambe nayo

  • @PendoPendo-wo8wj
    @PendoPendo-wo8wj 10 месяцев назад +2

    Nakukubali xana Dada uko vizuli

  • @billywilz8753
    @billywilz8753 2 года назад +1

    From Rift soil....twakupenda Leila

  • @aishadady7975
    @aishadady7975 2 года назад +1

    Duu jaman rahaa Sana mungu akuzidishie my love

  • @mariyashadiashadia714
    @mariyashadiashadia714 4 года назад +72

    nna jitaidi kuyapuza kwasababu sitaki strees kama ume penda gonga like hapa twende kazi

  • @johnmwaura6635
    @johnmwaura6635 3 года назад +19

    Sending some love from Kenya.

  • @ZeyLovie
    @ZeyLovie 2 дня назад

    🔥 🔥 🔥 🔥 so lit....!!!!!

  • @MohamedMohamed-u8y2g
    @MohamedMohamed-u8y2g 10 месяцев назад +2

    Soo nice❤❤

  • @binferdinardabubacryba
    @binferdinardabubacryba Год назад +1

    Nashukuru sana n'a nyimbo zako

  • @caroomenyi7203
    @caroomenyi7203 Год назад +4

    My favourite song ❤

  • @Rukiya_tsr8
    @Rukiya_tsr8 Год назад +2

    Wapii Leyla ww kelele yakee❤🖤✨

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 3 года назад +9

    Twende na malkia Leyla Rashid raha zakooo hadi 2021 weee my love unazidi kunifurahisha hadi2021 tenaaa zote tamuu aaaah!

  • @JamilahSeverine
    @JamilahSeverine Месяц назад +1

    2025 ❤🎉twaaza nayo😊

  • @beckymbaka222
    @beckymbaka222 4 года назад +9

    Sote ni waja wa mungu, hakuna aliye jiuba mwenye

  • @farajadojo9252
    @farajadojo9252 3 года назад +1

    Ahxant xan kwa ujumbe

  • @HawaYusuf-ik1ps
    @HawaYusuf-ik1ps Год назад +3

    Still a hit song ❤❤

  • @agneschogo5679
    @agneschogo5679 Год назад +3

    l love this song so much ❤❤

  • @PaLukuCHINolssc-te6in
    @PaLukuCHINolssc-te6in Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤ asante sanaaaaaa

  • @RakibAhmed66
    @RakibAhmed66 8 месяцев назад +2

    Loved it

  • @HildaShayo-y3q
    @HildaShayo-y3q Месяц назад

    Kweli Una Moto wa jiwe🥰🥰🥰🥰

  • @mariamnangai6787
    @mariamnangai6787 3 года назад +5

    Pacha wangu🥰😍😍 miaka miaaaa/

  • @rehemasalumu4888
    @rehemasalumu4888 Месяц назад

    Zamani nilikuwa siekewi hizi taarabu naona kelele kumbe yakikufika unazielewa😂😅

  • @mariamhamisi1058
    @mariamhamisi1058 2 месяца назад +1

    Tunao ingia 2025❤❤

  • @paulmwenda544
    @paulmwenda544 2 года назад +4

    My favourite taarab song.....nina moyo sio jiwe

  • @julliejumanne807
    @julliejumanne807 4 года назад +4

    Au ndiyo watende wao nisije kutenda mie mna mabaya kibao msitake niripue

  • @MariamNangai-zr2rn
    @MariamNangai-zr2rn Год назад +1

    Pacha wangu uko juu,,

  • @medidomekiwa1057
    @medidomekiwa1057 2 года назад +2

    Malkia ulisema kweli alloooo 2022

  • @rukiarajab959
    @rukiarajab959 3 года назад +7

    Nyimbo iko SawA mashairi mazuri.mashallah luv it💕

  • @ShabanAsman-z8v
    @ShabanAsman-z8v Год назад +2

    I love this song

  • @TamalaAmoni
    @TamalaAmoni 6 месяцев назад +1

    Mwimbo zuri sana

  • @elifurahambwambo8596
    @elifurahambwambo8596 3 года назад +11

    Wish you happy Christmas 🌲 an happy new year

  • @robertkulei6912
    @robertkulei6912 Год назад +1

    Kazi nzuri.

  • @FranceKmb
    @FranceKmb Год назад +1

    Endelea kijana unaweza😅

  • @aisha6711
    @aisha6711 2 года назад +2

    Mfarume wa.talaabu.kiboko wapiii

  • @chopper8862
    @chopper8862 7 месяцев назад

    Nice ❤❤❤

  • @FatmaLyego
    @FatmaLyego Месяц назад

    Twende sawa 2025

  • @Akinyi-t8q
    @Akinyi-t8q 3 года назад +12

    Maaaashallah ❤️ 2022

  • @salmarajabu2282
    @salmarajabu2282 3 года назад +2

    Hadi ss bado upo vzr

  • @KajalahzahoroKajalahzahoroshab
    @KajalahzahoroKajalahzahoroshab 11 месяцев назад

    😮nzuri sana

  • @lovenesskiliani5341
    @lovenesskiliani5341 3 года назад +4

    Reira nirikuwa mtasema

  • @milkahnyakwara7673
    @milkahnyakwara7673 Год назад +1

    fire burning ❤💃💃💃💃💃

  • @mariakisandu114
    @mariakisandu114 11 месяцев назад

    Ngoma tamu❤

  • @user-tb9jv2nr5z
    @user-tb9jv2nr5z Год назад

    Baka ❤❤😅😢

  • @ZuuSheila
    @ZuuSheila Год назад

    Stress free

  • @annyjosph1521
    @annyjosph1521 2 года назад

    Nampenda sana mwanataharbu uyu kwanyimbo zake

  • @sylviaelia9826
    @sylviaelia9826 2 года назад

    Kwakweli nina moyo siyo jiwe ,wanikome sana sina taim na nyie .

  • @julliejumanne807
    @julliejumanne807 4 года назад +3

    Nina moyo siyo jiwe mengine nipunguziwe

    • @tiktak1448
      @tiktak1448 3 года назад

      Kaka makubwa hayo
      Fanya mambo lol
      Siku moja utatulia turi

  • @RehemaKhasan
    @RehemaKhasan Год назад

    😢mambo zenu malafiki

  • @hustlertv1694
    @hustlertv1694 Год назад

    Kweli sipendi, kweli sipendi hasama

  • @AshfaynaAli
    @AshfaynaAli 7 месяцев назад

    Kwel kabisa

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Год назад

    Jamen nina moyo sio jiwe pambee

  • @isayakimbe8270
    @isayakimbe8270 2 года назад

    Nawakera

  • @ZulfatIsmail
    @ZulfatIsmail 3 месяца назад

    🙏🎤👌

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 2 года назад +1

    Napenda hii nyimbo

  • @jamaljama9378
    @jamaljama9378 2 года назад

    My favorite songs which is taarab

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 2 года назад

    Waimba waeleza mashtaka ?

  • @marymollel9319
    @marymollel9319 3 года назад +1

    Safi .kazi nzr sn Leila

  • @AishaBana-r8s
    @AishaBana-r8s Год назад +2

    👍👍👍

  • @gurubguru9866
    @gurubguru9866 4 года назад +12

    You are looking so cute 🥰

    • @sharifasimba1304
      @sharifasimba1304 3 года назад

      Ni kweli kabisa kuna watu wanapenda kuukumu wenziwao

  • @AminaBaraka-j1s
    @AminaBaraka-j1s 3 месяца назад

    Wape vidonge vyao hao

  • @shufaasaidi7857
    @shufaasaidi7857 Год назад

    Malkia unaweza

  • @SakinaSeif-tt6hf
    @SakinaSeif-tt6hf Год назад

    Waambie vijuso

  • @RizikiIddi-hq2hq
    @RizikiIddi-hq2hq Год назад

    Umeonaaa eeenh

  • @Habibaathman-z7x
    @Habibaathman-z7x Год назад

    👌👌❤️

  • @paticiaedwin6827
    @paticiaedwin6827 4 года назад +4

    Nnamoyo sio jiwe mengine nipunguziwe miyeee

  • @metrinewakasa2527
    @metrinewakasa2527 2 года назад +1

    Walla😁😁😘😘

  • @RahelRahelumazijabiri
    @RahelRahelumazijabiri 7 месяцев назад

    ❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @jadimabavu4444
    @jadimabavu4444 3 года назад +2

    Japo mwanipa majanga niharibikiwe tu ....

  • @DorisMaua-to3mj
    @DorisMaua-to3mj Год назад

    Niziki zangu na zipenda kikitulizo kamili namistarimizito twelimutupu hogera

  • @aishatanzania1194
    @aishatanzania1194 3 года назад

    Paambe tu🥳🥳🥳🥳🥳👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿✍🏾✍🏾✍🏾🥳🥳🥳

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 3 года назад +2

    Jmnieeee Kinanda mashallh mashiri konki