KASESELA: BAADA YA U-DC MARAFIKI WALINIKIMBIA/ILE CLIP ILINISUMBUA SANA/ MKE WANGU ALIONA JOKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 103

  • @deogratiusrutatwa7000
    @deogratiusrutatwa7000 2 года назад +2

    Your interview imeniongezea kitu fulami moyoni mwangu na hakika imenigusa sana. Naamini itaweka mabadiliko filsni kwangu. Mungu akubariki sana Richard.

  • @junkie92
    @junkie92 2 года назад +3

    I love you my kaka Richard. Ma mdogo na Ba mdogo are so proud of you..They are watching over you. Keep your head above the water and all will work out for you. We your cousins in USA, Canada and UK are so proud of you to represent us. I love you cousin.

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 Год назад

    25:34/35 umeongea ukweli sana ndg yangu. MUNGU atakuinua tena kwa kiwango cha juu sana. Its matter of time.
    Our GOD is awesome GOD

  • @hansmwasakyeni3038
    @hansmwasakyeni3038 2 года назад

    Nimeipenda hii interview mpk kazi zangu zimesimama

  • @mabugamussa2860
    @mabugamussa2860 2 года назад

    Jmaa humble sana, Very aticulative

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 года назад

    Nchi hii ingekuwa na uongozi wa Wamchao Mungu..kwa dhati SI Kwa maneno...tungekuwa mbali..sana Kwa maendeleo

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 2 года назад

    Iviii unamwerewa ameshinda Kwa heshima ya mungu maneno mazito namwerewa sanaa

  • @ellianoah1416
    @ellianoah1416 2 года назад +5

    Mungu akutiye nguvu zaidi kiongoz wetu..,we ni kiongoz bora nakumbuka ulivoifanya shule yetu Nyang'oro sec umeibadirisha ipo vizuriii naamini kuna nafasi nyingine kubwa yaja kwako kiongozi wetu...!!!

    • @auntdorah9141
      @auntdorah9141 2 года назад

      Nimemuelewa sana..Mungu amtangulie na kuilinda familia yake...

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 2 года назад +2

    Lambert ...You nailed it Bro .....

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 2 года назад

    Safi sanaaa hewaa safi kukayeee

  • @uhurunyereremusa8592
    @uhurunyereremusa8592 2 года назад +1

    kasesela ndugu yangu ushauri wangu its high time to find a real job uachane na kazi za uchawa/siasa una uwezo mkubwa kaa mbali na kazi za kuwapigia watu magoti ili maisha yaende.

  • @abeidmhongole9322
    @abeidmhongole9322 2 года назад +5

    Ni kiongozi bora sanasana.

  • @abelmasebo5521
    @abelmasebo5521 2 года назад

    Uyo bro Kasesela ni mtu wa watu,, basi tu ajali ilimpata,, ni kiongoz safi sana

  • @daudimkuki8018
    @daudimkuki8018 2 года назад +2

    Sehemu ya kwanza ya hii interview nataka link jamani

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 2 года назад

    Kaaa poa brooo

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад +4

    Huyu mtangazaji ni Moja ya watangazaji huchoki kumsikiliza

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 2 года назад

      Ana maswali ya ueledi mkubwa ndo maana anaweza kuwahoji viongozi kwanza ana hekima kubwa hakurupuki kwenye maswali namaswali yake yanampangilio

  • @zuhuramuyinga5953
    @zuhuramuyinga5953 2 года назад +1

    Binaadamu ndivyo walivyo ishi maisha yako na family yako.MUNGU NDIE MPANGAJI.

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 2 года назад +3

    Kasesela huwa anajua kujieleza vizur sana

  • @JacksonKepa-x2i
    @JacksonKepa-x2i 4 месяца назад

    Mtangazaji unahekima sana

  • @opiyowilson3640
    @opiyowilson3640 2 года назад +2

    Marafiki kama hao wanaitwa:FAIR WEATHER FRIENDS:.

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 2 года назад

    Sawa

  • @erickkyando684
    @erickkyando684 2 года назад +5

    Ulikuwa kiongozi bora sana kwetu wana iringa we mic u

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 2 года назад +2

    MUNGU mkuu azidi kukupa hatua zaidi ndugu yangu

  • @adinankojulianko219
    @adinankojulianko219 2 года назад +4

    Huyu Jamaa ana Akili sana

  • @linogracephord9785
    @linogracephord9785 2 года назад +1

    Mheshimiwa Malafyale Richard Atufigwegwe Kasesela, naukumbuka sana uongozi wako uliotukuka wa wakati huo ukiwa DC wa Iringa. Nakuona ukipanda tena ngazi, shika maneno yangu!

  • @edgarmwijuki7481
    @edgarmwijuki7481 2 года назад

    Upo vizuri maana umemuweka MUNGU mbele...lakini mafanikio siyo lazima kupata uongozi au ukikosa uongozi bas ni kukosa mafanikio..... mafanikio yako popote huenda Mungu anakunusuru na hatari

  • @dioskorimtalo2348
    @dioskorimtalo2348 2 года назад

    Mkuu nimekuelewa sana mtu kitu ,siku huna we si kitu. Ishatutokea sana maishani na mambo yanaporudi huwa wanakosa pa kukimbilia .Delete them forever !!

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 2 года назад +2

    Umeongea vingi sana ila la marafiki nimekuelewa sana

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 года назад +2

    Nampongeza kuelewa kuwa mkewe ndiye anambeba kwa maombi, familia nyingi zinalindwa na maombi ya wanawake lkn wanaume hawaelewi!!
    Mama endelea kuomba,Mungu anayo sababu ya wewe kuwa mwenza wake na uko hapo kwa kusudi la Mungu, na litatimia...

    • @colu6854
      @colu6854 2 года назад

      Aaaa wanawake wanaojitambua na kubeba jukumu hlo ni wachache sana,,,, wengi ni wa hovyo ndio wavunjaji wa amani majumbani

  • @shaban9730
    @shaban9730 2 года назад +3

    Kiongoz nimekuelewa Sana nimekuwa nakufuatilia Sana mda mwingi.

  • @salma0000
    @salma0000 2 года назад +1

    Alisema "tuliza matako". 😂😂😂

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 2 года назад +1

    Wewe ilikuwa unasambaa wapi? Acha hizo!

  • @agliventures
    @agliventures 2 года назад +2

    Having a prayer warrior partner is a blessing

  • @moseskisingi7696
    @moseskisingi7696 2 года назад +2

    Mh Kasesela waTanzania wengi wana hasira kali kwa viongozi wa nchi hii kutokana na maumivu yaliyo kwenye vifua vyetu.
    Haki imekuwa inapatikana kwa taabu sana na wakati mwingi kununuliwa. Baadhi ya viongozi hujiona miungu watu mara tu wapatapo hizo nafasi.
    Anguko na hata misiba ya viongozi wa aina hiyo hugeuka kuwa faraja kwa wote wenye maumivu yao ya kila aina..... Kuna watu wengine hata kwenye TV wakitojea tu unahamisha Chanel.
    Kuna wengine Chanel za Kenya na taarifa za nchi hiyo tunazijua kuliko hata za kwetu.
    Mabadiliko makubwa sana yanahitajika watu tuliwachoka na kuwachukia sana.

  • @aminakhalid300
    @aminakhalid300 2 года назад

    Shida ilianzia pale kwenye ile ndoto ya joka, joka ndotoni ndie creator wa what bad things is coming to your life or into your successfully

  • @thomaspascal9641
    @thomaspascal9641 Год назад

    Hata ninyi mnapoteuliwa simu zetu huwa mnaziangalia tu

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 2 года назад +2

    Tajiri kasesela ☄️

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 2 года назад

      Unajua maana ya tajiri?

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 года назад

      @@Hamy1109Acha roho mbaya

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 2 года назад

      @@hellendaniel3809 acha shobo

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 2 года назад

      @@Hamy1109 Neno Tajiri maana yake ni Ubunifu, Furaha, Ukarimu, Bahati.. Vipi kwani ulihisi nimeropoka tu au?

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 2 года назад

      @@RobbyDejan1234 ilibidi uwe specific. Utajiri una tafsiri nyingi.

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 года назад

    Kweli Makosa Pombe imemtawala sana ila ana madini sana kichwani mwake inahaja ya kumtumia

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 2 года назад

    Binadamu ndivyo walivyo Kaka

  • @aikisngana3367
    @aikisngana3367 Год назад

    kaseseli mining

  • @juliusmagoti5650
    @juliusmagoti5650 2 года назад +4

    Hii inatukumbusha kwamba madaraka ya kisiasa ni ya muda na watu tusijisahau tunapopata teuzi za kisiasa.

  • @Eddo-es7zs
    @Eddo-es7zs 2 года назад +1

    Tunaomba muweke sehemu ya Kwanza tafadhali

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 2 года назад +1

    Kasesela ninakukubali sana kwa utatuzi wa kero za wananchi.

  • @uhurunyereremusa8592
    @uhurunyereremusa8592 2 года назад

    Kasesela ni mbangaizaji wa siku nyingi uliingia kwy biashara ya siasa huku ukijua wazi ni tasnia ambayo imejaa unafiki na uchawa kama ungetaka kazi isio majungu ungefanya kilimo au biashara km wanasiasa wengine wote unalia lia baada ya kutumbuliwa ungekuwa bado mkuu wa wilaya usingepiga kelele

  • @myingaone4746
    @myingaone4746 2 года назад +2

    Ulitukana kua tuliza matako hayo maneno gani nawewe ni kiongozi matusi hapana zuri

    • @eaglecrown6470
      @eaglecrown6470 2 года назад

      Mbona kawaida Sana hiyo

    • @gabrielmdem4271
      @gabrielmdem4271 2 года назад

      Sawa arigafilika asamehewe jamani sis ni binadamu unaona kabisa mtu anajiereza naona kabisaaa amekili ashakumu si matusi wajamani anabusara sanaa huyu jamaaa

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 2 года назад

    Hata Mimi mwanandoto. Ila usiendelee kumtuma mkeo akuombee kwa Mungu kaombe mwenyewe. Kwani we huna mdomo wa kumuambia Mungu haha zako?

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 года назад +1

    Tbt kasesel in irng , nakukubal saaan Mtangazaji

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 года назад

    Kuhusu issue ya mazimgira, haya mambo yanachangiwa sana na serikali, wakipunguza bei ya umeme na gesi, wakahamasisha watu kupanda miti badala ya kukata na kuchoma mkaa! Hili tatizo litakuwa histori!

  • @franklinassey6600
    @franklinassey6600 2 года назад +1

    Binadamu anaekupenda ukiwa na kitu

  • @apostlemussa249
    @apostlemussa249 2 года назад

    Nitafiki mwema kwangu sina no yake ningeipata ningefurahi sana

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 2 года назад +3

    Haya ndio majitu ya jpm yarirewa madaraka Kama sabaya na kina chalamila na wengine CCM wanao muangusha Samia kwa ubara na uzanzibar

  • @vitonipamagila5248
    @vitonipamagila5248 2 года назад +1

    Kasesela kiongozi imara

  • @gideons5265
    @gideons5265 2 года назад

    Nimeelewa sasa

  • @emmanuelmitao131
    @emmanuelmitao131 2 года назад

    Naomba namba ya cm ya makosa

  • @abdallahmakombo3866
    @abdallahmakombo3866 2 года назад

    Yaan hata mwandishi amemfuata baada ya UNEC,

  • @rehemamsemwa4121
    @rehemamsemwa4121 2 года назад

    Chukua form

  • @clarampagama3462
    @clarampagama3462 2 года назад +3

    Mimi shabiki wa Kasesela

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 года назад +1

    😁hawakupokea cm lkn ukiinuka watakutafuta na kukupigia wao..
    Hao ndiyo binadamu, wengine hata watakublock!! Lkn tukumbuke tuu, aliyeinuliwa na Mungu.....
    Na mbeba maono......

  • @Eddo-es7zs
    @Eddo-es7zs 2 года назад

    Mbona Sehemu ya kwanza haionekani?

  • @abu-hasheem6422
    @abu-hasheem6422 2 года назад

    INFACT wa Tz tunafurahia maanguko ya watu kwa sababu watu wengi wanao onekana wamefanikiwa ni 'fake' hivyo mafanikio yao hayana baraka hivyo wanakandamiza watu na kuleta maringo sana......

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 года назад +1

    Wakati wako ushapita sasahv uachie wengine wamsaidie rais mama Samia kujenga nchi watanzania tupo 60M

  • @samniza1763
    @samniza1763 2 года назад

    As a leader you don't follow mobs! What is the meaning of a leader?

  • @maarifatime5391
    @maarifatime5391 2 года назад

    Madaraka yalikulevya bhana
    Kutukana!! Unaanzaje kama hujazoea? Kama umejifunza ni vema

  • @adammwakalonge3573
    @adammwakalonge3573 Год назад

    Je wewe ulikuwa unapokea simu za watu uliokuwa nao kabla ya UDC?

  • @frankditrick3109
    @frankditrick3109 2 года назад

    Mkipata madaraka huwa mnasahau kuwa kunamaisha mengine afu ww ni mtata tuu tuliona clip yako na Mbunge aliyepita yan Huna Hekima!

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 года назад +1

    Muda wako ulishakwisha hata ulete waandishi wa habari wa BBC muda brother ushakupiga mkono

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 2 года назад

    Kiongozi omba msamaha ulifanya kosa

  • @ibrahimmwankenja6897
    @ibrahimmwankenja6897 2 года назад +1

    Kasesela wewe jembe,i know you since 2010 when i was at lufingo sec you provided us balls,mwe ulimundu fijo brother.

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 года назад

    Unapatikanaje Kaka?

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 2 года назад

    Wahuni wa bojaji kama walisema tuliza matako na wewe ukawaiga wahuni.Kimsingi uliyumba sana kuchombeza lile neno.

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 2 года назад

    Nimecheka pekeangu km chizi eti anampigia anaiangalia anaiweka chini nampigia tena anaiangalia anaiweka chini,,

    • @auntdorah9141
      @auntdorah9141 2 года назад

      Hii ni kawaida sana au akiwa anapita akikuona ataweka cm sikioni kujifanya anaongea na hajakuona..🙄

  • @shedrackmwaipopo219
    @shedrackmwaipopo219 2 года назад

    Ulitukana ulikosea sana

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 2 года назад

    unatafuta uteuz mkuu

  • @kelvinmlowe5691
    @kelvinmlowe5691 2 года назад

    Mbona kipande cha kwanza sikuoni

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 2 года назад +1

    Tuliza matako ndio ulisema

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 2 года назад +4

    Huyu Jembe

    • @neemaisrael688
      @neemaisrael688 2 года назад +2

      Nampenda huyu baba anaongea ukweli. Broo, rafiki wako wa karibu ni Mungu tu.

    • @mtaliimwenyeji7890
      @mtaliimwenyeji7890 2 года назад

      Anarudi huyu mtu na nusu

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 2 года назад

    Huna baya

  • @geez5076
    @geez5076 2 года назад

    Ukiwa na shida una tuma mtu akuombee kwa Mungu, hauna shida bado, una agiza binadamu mwenzio kwa Mungu ww ni bubu? jeuri ndo mana upo hivyo ulivyo

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 2 года назад

      Tatizo siyo kuomba Mungu ila kama kuna jambo haelewi.Huwezo wa kumuelewa Mungu anasema nini na kupambanua mambo ya kiroho si kila mtu anao japo ilipaswa kila mtu alipaswa awe na uwelewa huo.Yeye mkewe na uwezo mkubwa zaidi yake hivyo si dhambi kumtumia

    • @meckzedeckmgeni7329
      @meckzedeckmgeni7329 2 года назад +1

      a visionary leader proud of you Daddy

    • @georgemtunda3728
      @georgemtunda3728 2 года назад

      @@MCNgakungaJunior R.rdsrrrfn

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 2 года назад

    Huyu bwana na dog Ally Happy mnajibu mapigo. Mlimnyanyasa Daktari wetu. Mungu huwatetea watu wanyonge, hufai hata kidogo tena wangekublock ili hatsim zao zisipatikane

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 2 года назад

      Nakuomba usimwombee mabaya,, maisha hayana mkataba

    • @theresiakaruhanga364
      @theresiakaruhanga364 2 года назад

      Hata Mimi simuombei mabaya ila ni funzo kwangu kuwa mnyenyekevu Leo maana sijui kesho yangu.

    • @pastadominickgeorge6089
      @pastadominickgeorge6089 2 года назад

      Mungu azidi kuku weka ulini saport sana kwenye uimbaji wangu nakuombea sana mtumishi

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 2 года назад

    Sawa