Watanzania tusimame pamoja na Mh Rais ....tukimsupport kwa kila jambo analofanya kwa nchi yetu tutafika mbali sana. Hongera sana Rais wetu tunakuunga mkono kwa kila jambo unalofanya kwa nchi yetu.
Mashallah dada kwa huruma na upendo uvumilivu kwa mumeo mungu azidi kukupa iman uendelee kumuuguza mumeo kwa moyo wa upendo ni wachache wenye moyo huo pili asante rais samia kwa kuguswa na ttz la huyu mdada ubarikiwe na allah
Hongera Mama Samia.. Hapa tunajifunza kuwa kitendo cha huyu Dada kuamua direct kuomba msaada kwa Raisi ni kwamba Viongozi wengi wa chini hawajali wananchi ila wanajijali wao kwa Mfano mimi Baba yangu alipata ugonjwa wa kupooza from 2000 to 2017 alipofariki na tulikuwa tunaishi karibu na Mwenyekiti pamoja na Diwani lakini hawakuwa na msaada na na sisi So Sad Wallahi😭😭😭
AlHaamduliLLAHI. TumeBaarikiwa na Kiongozi anayetujaali. MwenyeEnziMunguMlezi AmTangulie, AmSimamie, AmBaariki na Afya Njema na Maisha marefu na Uongozi Bora. #KaziInaendelea 🇹🇿❤️🕊️ Chief Hangay SSH ❤️🇹🇿✊🏼🕊️ Rais wetu Mpendwa Kipenzi wa wananchi wote. AlHaamduliLLAHI.
Mashallah wanawake wenye upendo kam wako ni adimu san iman ya mungu na uvumilivu upo nao mungu akufungulie milango yako ya riski na mapenz yako kwa mumeo yadumu aamin
Sipendi nikuite rais wewe ni mama siku zote duniani mama ndo mwenye huruma na upendo kwa mwanae nakupenda sana rais wetu kipenzi mama yetu kpnz Mwenyez Mungu akubariki uish Miaka Mingi na yenye heri na fanaka akuepushie madhira yote
Mwenyezi Mungu ambariki sana Mh.Rais wetu mpendwa Mama Samiah Allah akulinde na kila shari akujaalie afya njema na umri mrefu hakika umejua kugusa maisha ya wengi. Kazi Iendelee🙏🙏🙏🙏
Daaa nimejikuta natokwa na machozi nimempenda sana mheshimiwa Rais anasaidia kimya kimya tena wanyonge mama mungu aendelee kukupa hekima na maarifa zaidi nimependa sana hana matangazo mama safi sanaaaa
Nampongeza Mwanamke huyu kwa kuyapigania maisha ya mme wake hakika amelifanyia Kaz kiapo Cha kuwa na wewe katika Raha na Shida pia namshauli huyo mwanaume akipona asje msaliti mke wake maana wanaume wakat mwingine mizinguo pia Nampongeza Raisi wetu Mama yetu Samia kwa kuondoa ukuta baina ya ikuru na wananchi Mungu amubaliki Sana hakika amedhihilisha upendo was dhat kwa mwananchi wake
Ongera sana Rais wangu pia ongera kwa Jen kwa moyo wako wa kupenda mume,wanaume walikuwa wengi hawana moyo wakuuguza wanawake,mara nyingi tukiugua tunakimbiwa na kuachwa.Ongera ongera Jen.
Mungu wetu alie hai akubariki Rais wetu maana hilo limetoka ndani ya moyo wako ubarikiwe sana pia wasaidizi wako wabarikiwe kwa kukufikishia taarifa kwa wakati na kazi yao imezaa matunda kwa hii familia hatuna cha kuwalipa zaidi twawaombea mzidi kuchapa kazi na wengine wafaidi matunda yenu
Pole sana dada kwa kuuguza allah amfanyie wepesi aweze kupona mumeo.pia hongela sana mama raisi wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania allah akubariki afiya njema ,na akulinde katika maisha yako ,akupe barka katika uongoziwako na namuomba akulipe kwa yale unayo fanya inshaallah
Machozi yamenitoka, sikua na upepo na mama ila kwa hili nimetambua uwepo wake, na nitaunga mkono utawala wake kwa moyo mmoja, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu mama yetu uzidi kuwagusa waitaji
👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾💪🏾💪🏾 kwa mama wa TAIFA SSH m mungu aendelee kukulinda na kukuongoza kwenye ufanisi wa kuliongoza Taifa letu la TANZANIA kwa hekima ,ueledi , ujasiri , huruma ,ukarima na BUSARA.
Kiukweli, Mwenyezi Mungu ambariki sana sana sana sana Mama Samia, Raisi wetu kwa moyo huu wakumsaidia huyu dada. Kwa uwezo wake Mungu atamsaidia mama pale ambapo pia kwa nguvu/uwezo wake amekwama au kuhitaji msaada pia. Amen
Hongara Sana Sana rais Samia one in a million yani rais ameshuka chini kumsaidia mwanainchi wake Mungu azidi kumlinda amefuata nyayo za marehemu magufuli Mimi natokea kenya
Superwoman huyu dada. Kama umemuelewa Kama Mimi gonga like twende sawa
Best wife of the Year❤️
Absolutely sure 😊👊🏽
Mungu ambariki sana Rais wetu kwa upendo wake kwa halii,Mungu ampe maisha marefu yenye heri na baraka tele
Allahumma Ameen
Ameen yaarab
Amiin
Aamiin Yabby 🙏🏽🤲
Kumbe mapenzi ya kweli bado yapo ?!! Hongera sana dada umethubutu na umeweza 👏👏🙏🏼
Yani huyu dada bonge la mke mwema,Kila la kher ktk maisha yake ya ndoa.
Huyuu apewe tuzoo ya MKE WA MWAKAAA SHEEEEEE IS THE BEST WIFE EVER
Huyu Ndio Mwana Mke Sasa safi sana
Ashura jina la mama angu.ngoja nikwambie kitu sisi wanawake tuna huruma sanaaa Ila angekuwa nihuyo mwanaume angemkimbia siku nyingi
@@zuwenaalamin8985 una hakika?
Ongera rais wetu mama samia uwe na moyo uouo na mungu akubark amina .
Be blessed mama na dada kwa mioyo hii
Asante mke mwema mwwnye upendo wa kweli , na Asante Mh Rais Mama Samia
May our Almighty God protect our lovely Queen president ♥️🇹🇿
Ameen
Hongera madame Jenipha kwa ujasiri huo. Hatimae Uthubutu wako umeleta muujizaa kwako. Pongezi kwa Rais wetu Mama Samia.
Poleni na ongera kwa mama yetu wa nnchi mungu ampe maisha marefu
Masha Allah mama raisi Samia , hongera zangu nakupa mammy ♥️🥰 nakupenda Sana mwanayo kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera rais wetu mpendwa mungu atakulipa sana
Kwakwel machozi yamenitoka😥😭😭Hongera Mama Wetu mzur Allah akubarik zaidi na zaidi jaman Mama wee ni mfano 🤲🤲🤲🤲😍
Watanzania tusimame pamoja na Mh Rais ....tukimsupport kwa kila jambo analofanya kwa nchi yetu tutafika mbali sana. Hongera sana Rais wetu tunakuunga mkono kwa kila jambo unalofanya kwa nchi yetu.
Mashallah dada kwa huruma na upendo uvumilivu kwa mumeo mungu azidi kukupa iman uendelee kumuuguza mumeo kwa moyo wa upendo ni wachache wenye moyo huo pili asante rais samia kwa kuguswa na ttz la huyu mdada ubarikiwe na allah
Hongera Mama Samia.. Hapa tunajifunza kuwa kitendo cha huyu Dada kuamua direct kuomba msaada kwa Raisi ni kwamba Viongozi wengi wa chini hawajali wananchi ila wanajijali wao kwa Mfano mimi Baba yangu alipata ugonjwa wa kupooza from 2000 to 2017 alipofariki na tulikuwa tunaishi karibu na Mwenyekiti pamoja na Diwani lakini hawakuwa na msaada na na sisi So Sad Wallahi😭😭😭
Mungu akubariki Sana muheshiwa mama rais wetu.Mungu akupe maisha marefu yenye baraka.
AlHaamduliLLAHI.
TumeBaarikiwa na Kiongozi anayetujaali. MwenyeEnziMunguMlezi AmTangulie, AmSimamie, AmBaariki na Afya Njema na Maisha marefu na Uongozi Bora.
#KaziInaendelea 🇹🇿❤️🕊️ Chief Hangay SSH ❤️🇹🇿✊🏼🕊️ Rais wetu Mpendwa Kipenzi wa wananchi wote.
AlHaamduliLLAHI.
Mashallah wanawake wenye upendo kam wako ni adimu san iman ya mungu na uvumilivu upo nao mungu akufungulie milango yako ya riski na mapenz yako kwa mumeo yadumu aamin
Sipendi nikuite rais wewe ni mama siku zote duniani mama ndo mwenye huruma na upendo kwa mwanae nakupenda sana rais wetu kipenzi mama yetu kpnz Mwenyez Mungu akubariki uish Miaka Mingi na yenye heri na fanaka akuepushie madhira yote
Mungu akubariki Mh Rais. Mungu mponye huyo ndugu aliyepata ajali. Mungu na akubariki wewe dada, mke wa mgonjwa. Mungu ibariki Ayo TV.
Hakika mama ni mama tu ya Allah amjalie maisha marefu inshallah 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Amiin
Allahoumma Aamiiyn
Masha Allah Mama Samia Allah akubarik
Dada Jenifer hongera kwa ujasiri.
GOD IS GOOD ALL THE TIME,ALL THE TIME GOD IS GOOD 👏🏽👏🏽👏🏽
Big up Our President 👍🏽👍🏽👍🏽🇹🇿 best wishes in your life 🤝🏽
Mwenyezi Mungu ambariki sana Mh.Rais wetu mpendwa Mama Samiah Allah akulinde na kila shari akujaalie afya njema na umri mrefu hakika umejua kugusa maisha ya wengi. Kazi Iendelee🙏🙏🙏🙏
Wawooooo Mashaalah. Allah amuwezeshe na Mengine Ameen
Nimelia kwa furaha jamani mungu akupe nguvu mama samia! Pole kaka Allah atakuvusha!
MaashaaaAllah Mungu amuhifadhi Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Dah mama samia suruhu hasani kwa hili nimekupenda bule mungu akubaliki
Our best woman in songea tanzania much love from kenya🇰🇪
Amina 🙏🏿 MUNGU awabaliki Sana 🤔🇹🇿 pamoja na rais wetu.
Ma sha Allah Mola akupee umri mrefu Mama Samia🤲
Hongera Kwa kumshika mumeo mkono Kwa kipindi hichi kigumu mwenyezi mungu atakulipa ijira wako inshallah
Hongera sana Mh Rais Samia Suluhu Hassan.. mungu akubariki sanaa Rais wetu.. wewe kweli ni rais mwenye huruma na upendo... Barikiwa mama yetu.
hata Mimi niliwai kutuma meseji sehem ikajibiwa ila Mimi sikuwa naomba hela
Katika hili nampongeza sanaa Mwenyekiti wetu wa chama cha mapinduzi,mh samia 😙😙😙😙😙😙😙😙😙
Our Best Queen in Tanzania 🤜🏾
Daaa nimejikuta natokwa na machozi nimempenda sana mheshimiwa Rais anasaidia kimya kimya tena wanyonge mama mungu aendelee kukupa hekima na maarifa zaidi nimependa sana hana matangazo mama safi sanaaaa
Mungu azidi kumbariki Mh Rais hii ni zaidi ya utu . Ni sadaka kubwa sana itakayoendelea kumtetea katika maisha yake yote 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Yaaan nimejikuta nalia tu daah....Alhamdulilah🙏😥😍
Allah amjalie Pepo daraja la kwanza mama samia kwa msaada wake anaotoa inshallah
Asante sana mama Samia! Mungu akuongezee umri mrefu !
Hizi ndizo tunaita hatua za mwenye haki zaongozwa na Mungu kila kitu ni Imani Mungu akujaalie dada na familia yako ama kwa hakika unampenda sana mumeo
Mama yetu nimefurai sana kwa kazi yako Mungu akubariki sana
Nampongeza Mwanamke huyu kwa kuyapigania maisha ya mme wake hakika amelifanyia Kaz kiapo Cha kuwa na wewe katika Raha na Shida pia namshauli huyo mwanaume akipona asje msaliti mke wake maana wanaume wakat mwingine mizinguo pia Nampongeza Raisi wetu Mama yetu Samia kwa kuondoa ukuta baina ya ikuru na wananchi Mungu amubaliki Sana hakika amedhihilisha upendo was dhat kwa mwananchi wake
Yaàani huyu kaka aponee na ampemdeee Sanaa mkee wakee sanaaa ampemdeee mnooooo
Amen for that..🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻! God bless u Madam president❤
na raisi hongera yakooo mamii wetu twakupenda
Ongera sana Rais wangu pia ongera kwa Jen kwa moyo wako wa kupenda mume,wanaume walikuwa wengi hawana moyo wakuuguza wanawake,mara nyingi tukiugua tunakimbiwa na kuachwa.Ongera ongera Jen.
Hongera wajina majina yetu niwanawake wavumilivu
Mungu wetu alie hai akubariki Rais wetu maana hilo limetoka ndani ya moyo wako ubarikiwe sana pia wasaidizi wako wabarikiwe kwa kukufikishia taarifa kwa wakati na kazi yao imezaa matunda kwa hii familia hatuna cha kuwalipa zaidi twawaombea mzidi kuchapa kazi na wengine wafaidi matunda yenu
Nakupenda sana mama💕 hakika we ndio Kila kituu
Big up Mama Samia 👍👍.
Mungu ni mwema sana... KAZI IENDELEE MAMA YETU.
Asante Mama Samia Allah akupe maisha marefu , aminaaa
Hongera mh Rais wetu Samia Suluhu
barikiwa sana Mama Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan, Mungu akulinde akupe moyo huo huo wenye kujali
Pole sana dada Allah awafanyie wepesi mume wako awe sawa na pongezi kwa mm yetu samia kwa ukarimu na upendo aliofanya
Ashukuliwe mama samiya
Hakuna kama mama😍 Mungu amzidishie Zaidi Nna Imani nae Sanaaaaa ❤
Nakupenda Mama yetu Rais wetu Allah akuhifadhi mama yetu kipenzi Tanzanian yetu nzuri jamani
MashaAllah hongera sana Mheshimiwa Rais wetu mpenzi, Mungu atazidi kukuongoza kutenda kher nawe Mungu atakukirimu, kupita fikra zako. Amen
Hiii kitu ni kubwa sana hongera madame president 👏👏👏👏👏
Mama yetu. Yupo vizuri Sana¡!!!! Hongera Sana Mama
Pole sana dada kwa kuuguza allah amfanyie wepesi aweze kupona mumeo.pia hongela sana mama raisi wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania allah akubariki afiya njema ,na akulinde katika maisha yako ,akupe barka katika uongoziwako na namuomba akulipe kwa yale unayo fanya inshaallah
Sio muanze kumjazia message mama jamani kisa tu uyu kasaidiwa kila mtu na bahati yake hapa duniani,Asante mama kwa ili....
Ulichosema ni sahihi kabisa. Odama 2021 umetoa tahadhari.
,😆😳
Waache wajaribu bahati zao.
Hii ni Habari nzuri yenye kugusa moyo, Mungu ambariki Sana mama yetu
Ubarikiwe Rais wangu S.S Hassan.
Mama yetu raise wetu tunakupenda Sana Allah akupe umri ambao una khr na ww nakupenda sanq km rais Bora was Tanzania
Mwenyezi Mungu ampe kwa wingi
Mwenyezi Mungu azidi kuona afya njema na maisha marefu ili aweze kutuongoza vyema inshaaallah
Machozi yamenitoka, sikua na upepo na mama ila kwa hili nimetambua uwepo wake, na nitaunga mkono utawala wake kwa moyo mmoja, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu mama yetu uzidi kuwagusa waitaji
Mungu ambariki mama mweshimiwa Raisi wetu Samia mungu akulinde
Asante mama kwa upendo kwa wahitaji mungu akulinde
Super woman ♣️🙆❤️
👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾💪🏾💪🏾 kwa mama wa TAIFA SSH m mungu aendelee kukulinda na kukuongoza kwenye ufanisi wa kuliongoza Taifa letu la TANZANIA kwa hekima ,ueledi , ujasiri , huruma ,ukarima na BUSARA.
Mom ametisha masha Allah.
Real love...Real love wanawak kam hawa dunia niwachach sana onger san mzeeh baba mke mwem umepata.....
Mama Samia Anaupiga Mwingi snaaa.
Alipo Mama Watanzania tupo
Sema upo siyo tupo.fyuuuuuuuu
@@irenemacha5661 sema ww haupo sio hatupo.mfyuuuu
Nikikua nikimchukia mama kuwa hawasikilzi wa nyonge kwahili asante mama na mungu anisamehe kwa yale mabaya nilio kuwazia
Mungu akubariki sana Mh samia Suruhu
Mh Samia Suluh Hassan Mungu akulinde na kukuongoza daima, nimeguswa sana na msaada wako
Kazi nzur hongera mama kwa moyo wako na ugueni pole in mungu atamfanyia wepec mgonjwa
Mungu amlinde mama huyu, Raisi wetu
Binafsi nimefurahia! Huyu ndie Mama umeifuta machozi hii familia umeipa matumaini mapya! Ubarikiwe sana Mh. Rais
Mungu amjarie Rais wetu, akujarie mke mwema, kisima cha busara
Huyu dada ni mzuri sura na rohoo jamani..Asante sana mama Samia.
Kiukweli, Mwenyezi Mungu ambariki sana sana sana sana Mama Samia, Raisi wetu kwa moyo huu wakumsaidia huyu dada. Kwa uwezo wake Mungu atamsaidia mama pale ambapo pia kwa nguvu/uwezo wake amekwama au kuhitaji msaada pia. Amen
Dada unajua matumizi ya simu God bless you 🤗
Hongera kwa uthubutu wako dada pia hongera kwa rais wetu pia mh Samia Hassan suluhu
God bless you mama asante kwa roho yako ya upendo asante
Viva Honorable Samia Suluhu😍
Amefanya vzr sana rais ni moyo mzuri wenye matumaini mazuri ya mbele jambo afandee samia
Hii ni kubwa Sana our President,,it will never forgotten
Pokea baraka Rais wetu mama Samia,uongozi ni hekima Mungu wa mbinguni azidi kukutunza mama
Huyu ni mama. Asante kwa huo msaada umerudisha matumaini kwa mgonjwa na familia. Mungu mwenyewe akubariki.
MAMA SAMIA ABARIKIWE SANAA. NA MUNGU AZIDI KUMLINDA NA KUMUEPUSHA NA KILA MABAYA.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣heri yake👍👍👍God bless our president 🙏🙏🙏
Hongera sana Mh. Rais Samia kwa Usamaria mwema
Mungu akubariki sana ,asimame na wewe ,tukumbuke na kwenye vyakula.bei ipo juu.sana
Mungu Akupe Maisha malefu Mama Tunakupenda
Mungu ambariki Sana mama Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan
Neema Yako dada, raïs mama Samia Mungu aku ongezeee maisha n'a hekima yaku oongoza tanzania
Pole sana dadangu Allah akutangulie jasiri
Hongara Sana Sana rais Samia one in a million yani rais ameshuka chini kumsaidia mwanainchi wake Mungu azidi kumlinda amefuata nyayo za marehemu magufuli Mimi natokea kenya
Dah Hongera sana Rais Mama Samia
Thanks Mama Samia