MREMBO ALIYEJIBIWA COMMENT NA RAIS SAMIA, ANA KIWANDA “CHEREHANI KAZI YANGU, NIMEAJIRI WATU 12”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 166

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 9 месяцев назад +11

    Ongera saaan Beatrice ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DeborahMrema
    @DeborahMrema 9 месяцев назад +6

    Hongera sana dear nimejifunza kitu kizuri ukiutumia mtandao kwa heshima utakuheshimisha lait kama ungeandika matusi pengine ungekuja chini ya ulinzi

  • @juliuskuluo8876
    @juliuskuluo8876 9 месяцев назад +5

    Hongera sana dada
    Kiukweli kazi yako
    Ni nzuri na bora sana
    Mungu akusaidie ufike
    Ktk viwango vya kimataifa

  • @severimkatomutegeki6930
    @severimkatomutegeki6930 9 месяцев назад

    Beatrice hongera Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ni Mama Mpenda Maendeleo na tunampenda Mungu ampe baraka nyingi tumwombee mafanikio.

  • @senguboy7723
    @senguboy7723 9 месяцев назад +2

    Mungu amjalie maisha marefu mama yetu Samia kwa kuonyesha moyo upendo

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 9 месяцев назад +2

    Hongera sana kwa kazi nzuri na kuamua kuja nyumbani kumsaidia vijana hongera.na tumefurahi na wewe kuona mama amekuzawadia .tunasoma asante kwa mama pia.

  • @ashrafakimaro2427
    @ashrafakimaro2427 9 месяцев назад

    Allah akupe maisha marefu mama uweze kuongoza Taifa hili miaka mingi kama mw.Nyerere
    Hakika mama ndiye kiongozi wa kweli

  • @SteveLockwood-q2h
    @SteveLockwood-q2h 9 месяцев назад +2

    Asante sana mama kuuona kilio cha huyu binti. ila nina hoja huyu binti amekaa Japan akifanya kazi hizo na amewahi kuwa na watumishi 10 akiwalipa mishahara sasahivi wamebaki 7, sidhani kama alishindwa kununua cherehani. Mimi nataka kuona akiwa sehemu ya chuo cha kuwafundisha watu kushona.

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 9 месяцев назад

      Eti mimi nataka !!! Mmmm!!

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 9 месяцев назад +1

      Kwa hiyo magufuri alivyopewa zawadi ya jogoo lindi alikuwa hana uwezo wa kununua. Tujifunze kuheshimu bahati na hisia za wenzetu. Unazani mama alivyomjibu anajua anacho au hana yeye kaombwa zawadi kama zawadi hajamuuliza ni mtoto wa nani au una uwezo pale kamjibu ombi lake. Aombaye hupewa.

    • @ايتيتووينويو
      @ايتيتووينويو 9 месяцев назад

      Unafanya kaziyako maeneo gani bidada ikiwa tunauhitaji wowote tunakupataje

  • @cosmasedmund
    @cosmasedmund 9 месяцев назад +2

    Hongera Beatrice

  • @nurualphonce3008
    @nurualphonce3008 9 месяцев назад

    Mashaallah kazi nzuri sana dada,Mungu akupe afya

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 9 месяцев назад +1

    Honger dada naamini unandoto ya kuwafundisha wengi hii kazi naomba mungu akujalie ufanye hivyooo

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 9 месяцев назад +1

    Hongera Beatrice.....

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 9 месяцев назад +2

    MashaﹰAllah mama yetu RAIS wetu samia suluhu Hassan Allah akuhifadhi akulipe kila la kheri ❤❤❤❤❤❤❤Tunakupenda mama

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 9 месяцев назад

    Kwanza Leo page ya Samia ntakua naeleza shida zangu.kumbe anajibuuuu. Asante Mungu.

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 9 месяцев назад +16

    Nitamuomba mama watu kama msichana huyu ndio wawe walimu waufudi kwenye vyuo vya ufundi tunacherewa kwa kubeba mabigwa was kuandika ubaoni na kukalili

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 9 месяцев назад +10

    Inakuhusu nini ya kuachwa? Watanzania hacheni kuangaika na maisha ya watu wengine kufubaza maendeleo ya watu.

  • @paulopatrice2590
    @paulopatrice2590 9 месяцев назад

    MUNGU Akubariki Rais wetu kwa kujali watoto wako hongera kwa kazi nzuri unayo kulijenga taifa letu tanzania kweli wewe ni mama unae jali

  • @akbarmaulid9624
    @akbarmaulid9624 9 месяцев назад +5

    Hongera dada mpambanaji akili mingi

  • @grecevitariss6363
    @grecevitariss6363 9 месяцев назад

    Hongera sana, Beatrice

  • @bukharyally
    @bukharyally 9 месяцев назад +7

    Wale ambao hamjajibiwa msichoke kuomba kila siku .kwani sio kila Dua hujibiwa kwa wakati huo tuzidi kuomba tusikate tamaa

  • @TumainiMaswanya
    @TumainiMaswanya 9 месяцев назад

    Mimi ninaitwa TUmaini ninataka nikupe hongera sana kupata bahati ya kupewa zawaidi na mama yetu samia sulphuric hassan. Imedeto gozaimas. Pia mimi niliishi Japani kule Nagasa kisiwa cha konshu. Nimependa kazi zako nilikuwa nataka tuwasiliane mwanangu kama ikiwezekana ninaushi uwanja wa ndege airport. Arigatto gozaimus. Naomba unipigie tuongee nimekupenda sana mwanangu

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 9 месяцев назад +1

    Hongera mama samia,dada hongera kwa bahati

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 9 месяцев назад +4

    Ila makonda una speed sanaa ungekuwa makamu wangenyooka hao wezi

  • @shammTifa
    @shammTifa 9 месяцев назад

    Hongera sana mdada🙏

  • @gladysmsele4291
    @gladysmsele4291 9 месяцев назад

    Jmn hadi raha siku akinijibu yangu nitafurahi sana Mungu atufikishe kesho salama Rais wetu ,so that we can celebrate our birthday my birth mate❤❤

  • @gladysmsele4291
    @gladysmsele4291 9 месяцев назад

    Hongera mjukuu Beatrice

  • @VeronicaElia-pj5hb
    @VeronicaElia-pj5hb 9 месяцев назад +2

    Nakupenda sana Mungu akutunze

  • @SelinaWilson-b5y
    @SelinaWilson-b5y 9 месяцев назад

    Hongera dadaangu? Ukijaliwa zaidi naomba kazi

  • @shanwedispensary2169
    @shanwedispensary2169 9 месяцев назад +1

    Safi mama bravo ma president❤

  • @bas2823
    @bas2823 9 месяцев назад

    CONGRATULATIONS👌 SHE IS A GREAT N KIND PRESIDENT! SHE IS SOO SWEET ALSO❤ GOD BLESS HER ALWAYS AMEEN🤲 SO SWEET MAMA SAMIA THE PRESIDENT OF TANZANIA😄👌 WE PROUD OF U👍 RAIS SAMIA👌😆👍LONG LIFE TO LIVE AMEEN🤲

  • @claratemba44
    @claratemba44 9 месяцев назад

    Dada hongera sanaaaa❤

  • @johnjoycemalusu4886
    @johnjoycemalusu4886 9 месяцев назад +2

    Mungu azidi kukubariki mama yetu, rais wetu samia suluhu Hassan

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 9 месяцев назад +2

    Ongera unakiwanda kikubwa! Pia Ongera kwakuweza kuomba kitu kinacho fanana na KAZI yako Pia Tumpe Ongera Muheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASAN I Kwa upendo alionao na Usikivu mkubwa Huyu Rais ni FAHARI YETU🤔🥰🇹🇿

    • @ahz6907
      @ahz6907 9 месяцев назад +1

      Nawewe tukupe hongera kwa kutoa ujumbe wa HONGERA😂

  • @magrethmosha9626
    @magrethmosha9626 9 месяцев назад

    Hongera sana beatrice

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 9 месяцев назад +2

    Hongera Sana Dada, Kama Ikikupendeza Nakushauri Uanzishe Kiwanda Kidogo Cha Kurekebisha Nguo Za Kiume Za Mitumba.

  • @IMELDAATIENO-h9x
    @IMELDAATIENO-h9x 9 месяцев назад

    Da!nimeipenda san dada

  • @eunicemalle6895
    @eunicemalle6895 9 месяцев назад

    Mungu akubariki mama yetu

  • @theresiamartin3150
    @theresiamartin3150 9 месяцев назад

    Mama tunakupenda sana ❤

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 9 месяцев назад

    Ma sha allah she is very clever and smart

  • @eganngowi727
    @eganngowi727 9 месяцев назад +1

    Hongera sana dada

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 9 месяцев назад +10

    Huyu msichana anafaa kuwa waziri was viwanda kuliko tulionao

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 9 месяцев назад

    Hongera san mungu akubari

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 9 месяцев назад +7

    Eeeh bwana weee dada kaokota dodo na mjani wake.....kuanzia leo na mm nitakuwa na comment kwenye page ya mama...akisafiri aniletee zawadi ya pikipiki😂😂😂wenye mawazo kama yangu...gonga like twende

  • @Midoj950
    @Midoj950 9 месяцев назад +16

    Jamani siku zote nyongeza huwekwa kwenye fungu huyu dada maisha yake sio mabaya toka mwazo .

    • @zainurkiluasha2127
      @zainurkiluasha2127 9 месяцев назад +4

      Ni kweli wanafahamiana ki uzuri tu wasitufunge funge apa

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 9 месяцев назад

      ​@@zainurkiluasha2127Nimewaza kama ulivyowaza.

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 9 месяцев назад

      Sio wanaopewa mungu anawapa wanaomuomba kwa dhati.Yeye kaomba kapewa kuna wengine wanatumia mitandao au page yake kuandika matusi.So attitudes nzuri na kuwaza kazi anayoifanya muda wote anaipenda kazi yake na mungu kampa

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 9 месяцев назад

    Vyema sana ♥️, nimeipenda

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 9 месяцев назад +1

    Ni bahati kwa kweli hongera sana

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 9 месяцев назад

    Hongera sanaaa mpendwa

  • @hawa6052
    @hawa6052 9 месяцев назад

    Congratulations to our beloved President

  • @elizabethyusuph4312
    @elizabethyusuph4312 9 месяцев назад

    Naomba umfundishe mwanangu kushona

  • @lilianpuka218
    @lilianpuka218 9 месяцев назад

    Hongera dada❤❤❤

  • @mariamdullazy8166
    @mariamdullazy8166 9 месяцев назад

    Na mim nitajibiwa Insha'Allah 😊😊

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 9 месяцев назад

    Beatrice hongera

  • @hemedmganga8536
    @hemedmganga8536 9 месяцев назад

    Hongera Sana swaiba❤

  • @mollelamosole8352
    @mollelamosole8352 9 месяцев назад +1

    Safi sana pia malengo yana saidia

  • @ridnessgerana8384
    @ridnessgerana8384 9 месяцев назад +1

    Mama katupa interview ya Bure ya ujasiriamali,Hawa ndo watu wa kufanyia interview sio machawa ,wandishi mna la kujifunza

  • @bonifacesamwel4365
    @bonifacesamwel4365 9 месяцев назад

    Barikiwa sana

  • @TinaMane
    @TinaMane 9 месяцев назад

    Ongera saaana ❤

  • @bukharyally
    @bukharyally 9 месяцев назад

    Asantee mama

  • @FatmaaFatoom
    @FatmaaFatoom 9 месяцев назад +1

    Hongera sana

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 9 месяцев назад +11

    Kumbe we mwenyewe tajiri sio wa kuomba omba

  • @elizabethyusuph4312
    @elizabethyusuph4312 9 месяцев назад

    Naomba nisaidie garama ni shilingi ngapi naomba nisaidie kipenzi

  • @MariamSaidy
    @MariamSaidy 9 месяцев назад

    Hongera cc mungu akuzidishie nitumiye number yako

  • @herifilms
    @herifilms 9 месяцев назад

    Hongera Beatrice🔥🔥🔥🔥

  • @mrsahmadhajraah1550
    @mrsahmadhajraah1550 9 месяцев назад

    Hongera mamy

  • @RamadhanHassan-w8j
    @RamadhanHassan-w8j 9 месяцев назад +1

    Dadangu hongera

  • @mwananganzi
    @mwananganzi 9 месяцев назад

    MASHAALAH

  • @kibokutiwanatanyika1540
    @kibokutiwanatanyika1540 9 месяцев назад

    Hapo ndo utaona utofauti kati ya kukomenti matusi na kukomenti vitu vya msingi vyenye tija.😊

  • @masdaryabaa9060
    @masdaryabaa9060 9 месяцев назад +4

    Mie nlitumia msg mwaka Sasa sjajubiwa

  • @YusuphSophia
    @YusuphSophia 9 месяцев назад

    ongera dada beatris

  • @SalehHasan-g3j
    @SalehHasan-g3j 9 месяцев назад

    Bas ukifungua duka mm naomba kaz

  • @AmosiKisiri
    @AmosiKisiri 9 месяцев назад

    mungu kaona kilio chako hayo ni mapenz y mungu make kunaweng wamekomt lakin hawajajibiw

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 9 месяцев назад

    Napenda unavyojituma napenda namm ningekuwa kama wew unvyoshona

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 9 месяцев назад

    Inshaalah kama umeahidiwa utapata tu

  • @TumainiMaswanya
    @TumainiMaswanya 9 месяцев назад

    Beatrice konichuwa. Genki desuka?

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 9 месяцев назад +3

    Huyu dada muongo kuna vitu anaficha ficha yaani umeolewa Na mswiss uishi Japan urudi bongo ufungue mradi wa cherehani kumi hizo cherehani huku ni kama dollar Mia moja mia mbili, angesema nilipelekwa Japan Na mpenzi wangu mapenzi yamebuma nimerudishwa bongo Tz

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 9 месяцев назад +1

      Haya kbwela msema kweli

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 9 месяцев назад +2

      Wewe ni mjinga yaan mtu anaelezea maisha yake wewe unapinga? Ndio maana hujapewa wewe kapewa yeye maana una mawqzo negative tu

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 месяцев назад

      @@mayaally2512 Nani asiyewajua wabongo mlivyo waongo na anajichanfanya ukimsikiliza unaona ni muongo kabisa , mara oh nimeachana na boyfriend wangu sasa nimeolewa na mzungu na ukiangalia page yake hajaandika status yake kama married na hamna hata picha na mzungu wake, mzungu huwezi kuoa au kuolewa halafu eti status usiandike kitu na wala usiwe na picha naye wazungu wanajulikana walivyo , ni amerudi bongo huyo baada ya mapenzi kuisha

    • @narecykt5690
      @narecykt5690 9 месяцев назад

      Kaka kitu kimoja unafaa kujua, kamwe siku zote usiwahi muongelea vibaya mtu aliyeendelea kukuliko, unafukuza umaskini na utakufa masikini ..No wonder unajiita kabwela

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 месяцев назад

      @@narecykt5690 kama ungenijua usiongea hivyo dogo siko kwenye kundi la watu masikini kwa taarifa yako na Nini cha maana hapo hivyo vichwa kumi vya cherehani kweli wewe ni lofa aisee unajua kichwa kimoja cha cherehani kiasi gani pumbavu wewe mtu akae Japan aje na investment hiyo fala kweli wewe labda alikuwa ni mama wa nyumbani Japan anapika na kumsubiri jamaa yake amfire

  • @ezrayohana3541
    @ezrayohana3541 9 месяцев назад

    Yaani nmepata matumaini namimi nitafanikiwa malengo yangu siku moja
    Ona uyu Dada ashakuwa maarufu tayari

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv 9 месяцев назад

    Nice ccm safii

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 9 месяцев назад +1

    Sasa Hivi ni mwendo wa kukoment kwa watawala,😂😂

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 9 месяцев назад

    MIMI NATAMANI KUONANA NA MAMA,nina mambo muhimu ya kumshirikisha.. nitashukuru sana kama nitapata kibali hicho

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 9 месяцев назад

      Fungua twitter ndio utampata mama huku wengi ni matusi hasomagi matusi ya wapinzani.

  • @leonardshekusa2088
    @leonardshekusa2088 9 месяцев назад

    Beatice umenigusa sana kwa ujuzi wako. Ninakuomba unisaidi kunifundishia binti yangu naomba unipe utaratibu wanamna ya kujiunga na mafunzo hayo

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 9 месяцев назад +4

    Wale ambao tungeomba mtaji wa kubet tujuane

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 9 месяцев назад

    Nice exclusive

  • @lmatetere9978
    @lmatetere9978 9 месяцев назад +2

    Sio cherehani moja dada angu, huyo Rais..mwambie vyerehani kha..

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 9 месяцев назад

    Wow

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 9 месяцев назад

    Yaani ukae Japan halafu kama anavyodai ameolewa Na mzungu mswiss anayeishi uswiss halafu yeye anaishi Japan yaani mume yuko Japan yeye anashona bongo 😅halafu mke wa mzungu anayeishi Japan anamuomba Rais cherehani kwenye mtandao 😅😅😅😅 acheni uongo watanzania 😅😅😅😅

  • @nasrahozza9231
    @nasrahozza9231 9 месяцев назад

    Mashallah

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 9 месяцев назад

    Weeee verified wote yani wanavitiki vya Blue au umeonaje!???

  • @juliuskuluo8876
    @juliuskuluo8876 9 месяцев назад

    Naomba kama hutojali
    Naomba kupata mawasiliano
    Yako kama Mungu
    Atatupa kibali niwe mtu wa kwanza kufanya na wewe kazi

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 9 месяцев назад +1

    Nataka kujua siri ya cherehani za Indonesia

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 9 месяцев назад

      Indonesia wamejipambanua kuwa watengenezaji wakubwa wa Vyerehani. Kama vile Japan walivyojipambanua kwa magari kwa wingi hasa Toyota

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 9 месяцев назад

      Zinaharibika kila mara

  • @IMELDAATIENO-h9x
    @IMELDAATIENO-h9x 9 месяцев назад +1

    Dada nimetamn San kupata mawasiliano yako umenifany niipende kaz hiyo ya kushon nifanyeje naomba msaad wako,

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 9 месяцев назад

    Hongera sana binti mungu aendelee kukusimamia kwenye shuguli zako

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 9 месяцев назад

    Chuo chako Kiko wapi nilentee kijana wangu

  • @ruthhorombe3441
    @ruthhorombe3441 9 месяцев назад +1

    Mwenye nacho huongezewa

  • @katekupaza9385
    @katekupaza9385 9 месяцев назад

    Hingera dada! Kaka mtangazaji mbona interview imechepuka??

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 9 месяцев назад +2

    UmeJiri watub12 nawataka raisi akusaidie

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 9 месяцев назад

      Hakusema anaomba msaada...aliomba kama zawadi
      Tena nadhani alikuwa hana uhakika..

    • @vivianmahoo8611
      @vivianmahoo8611 9 месяцев назад

      Na kumbuka mtu anayewapa watu wengine ajira ni muhimu kana katika nchi yoyote, raisi amempa zawadi kwa sababu ya bidii yake ya kuwapatia watu wengine ajira.

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 9 месяцев назад

      Kwani kuomba kwake Kuna shida Gani kwako?
      Yeye Kwa Hali aliyokuwa nayo bado hajakaa malengo anahitaj kile ambacho anaona ana shidanacho au ww unajua shida yake?

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 9 месяцев назад

      Adui wa mwanamke ni mwanamke wanaume hatuhusiki kabisa. Mtu kaomba zawadi sio msaada tayari makasiriko.
      Kwani yanga na simba wanavyopewa zawadi ya milioni kumi kwa goli moja kwamba hawana ela wakati wanamlipa azizi k milioni zaidi ya 40 kwa mwezi. ALAFU UTASIKIA MTU ANAKUAMBIA KATIBA MPYA NI LAZIMA KWA AKILI HIZI ZA MAKASIRIKO.

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 9 месяцев назад

    Mimi nije niwe meneja wa kampuni Yako

  • @rashaso7564
    @rashaso7564 9 месяцев назад

    Huyu dada apewe shulee roho yk imetulia na nimiongoni mwa watanzania tunaowataka
    Hawajali wao tu bali na wenziwao pia katika mafanikio ya taifa hili🇹🇿

  • @juliuskuluo8876
    @juliuskuluo8876 9 месяцев назад +1

    Nakutakia majukumu mema
    Ktk ujenzi wa taifa letu

  • @KhalfaniSaidi
    @KhalfaniSaidi 9 месяцев назад

    Awa ni waigizaji nchi

  • @IMELDAATIENO-h9x
    @IMELDAATIENO-h9x 9 месяцев назад

    Bite natamn kuwa fundi Bora, na wakuw msaad Kwa wengn Kam ww, plz nipe msaad wa elimu naipend kazi yang ya kushon lkn sijafikia maleng