MRADI MKUBWA KAWE wa SHIL BILIONI 143 - MJENGO WA GHOROFA 18 - ULISIMAMA KWA MIAKA 5 - KAZI IMEANZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024
  • 🏘️ WASILIANA NA SHIRIKA LA NYUMBA🔥🏘️
    📱Phone: 📱+255 22 2105002/ +255 22 2105000
    📍INTAGRAM 🏘️ @www.instagram....
    #National Housing Corporation
    📍FACEBOOK🏘️ @ / nhctanzania
    🏠🏠National Housing Corporation
    Kambarage House , 6 Ufukoni Street,
    S.L P 2977,
    📍11101 Dar es salaam, Tanzania,
    📧Email :dg@nhc.co.tz
    📱📱Phone:+255 22 2105002/ +255 22 2105000
    🏠🏠🏠🏠🏠🏠🏠

Комментарии • 4

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 4 месяца назад +2

    🇹🇿Yeah kazi nzuri national housing hii miradi ijengwe nchi nzima miji yetu ipate magorofa mazuri.pelekeni miradi hii pale masasi, songea,mafinga ,mwanjelwa mbeya,mbezi stand ya Jpm,Tanga ,singida,shinyanga,tabora ,pale makambako.sehemu zote za miji za barabarani zijengwe nyumba kama hizi Ili Tanzania ya baba wataifa🇹🇿 mzee wetu Nyerere iwe na mvuto kimataifa.🇹🇿NHC mko vizuri hongera sana.🇹🇿❤️

  • @henrysangiwa1731
    @henrysangiwa1731 4 месяца назад

    Tunaambiwa zimejaa toka zinajengwa😅😅😅😅

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 4 месяца назад

    Inashangaza kuwa kipindi kimeisha chote, mtangazaji hata kwenda na kupiga picha za video ktk hizo nyumba za mfano ambazo tayari zimejengwa na kukamilika ili watazamaji tuone na kulinganisha na maelezo yanayotolewa na mwenye nyumba ameshindwa. Badala yake tumeona story tu na maswali ya kujirudiarudia kipindi kizima🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️!!