Just from TikTok and I had to come and watch the full video and indeed Ni Yesu amejibu maombi Yangu,He is faithful 🙏🙏🙏...From Yesu yuko hapa,Yesu mi nakutegemea,Ni Mungu amefanya,Mimi niwa viwango vya juu ,Nasema asante e.tc...Now I join in singing Ni Yesu amejibu maombi Yangu 🙏
AM A MALAWIAN BUT THROUGH THE HOLY SPIRIT I UNDERSTAND SWAHILI I WANT TO SAY THIS BROTHER CHRISTOPHER MWAHANGILA AM SO BLESSED WITH YOUR SONG , BECAUSE WHAT YOU SINGING THROUGH YOUR SONGS IS I PASS THROUGH AND IS ONLY JESUS WHO IS ABLE TO FREE US OR TO HEAL US OUR DEASESE NOTHING IN THIS WOLRD THAT JESUS CAN NOT DO ,HE IS OUR GAME CHANGER MATHEW 19:26 JOHN 1:12 MARK 11:24 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Ubarikiwe Mutumishi bony, nyimbo zako zote ni mafundisho nzuri. Mwimbo wako wazazi walikuwa tufundisha n'a tungali wadogo.🇨🇩🇨🇩 Tuta furai sana kama utaimbia Sisi wa kongomani
Your songs heal my heart everyday u sing like u know what troubles my heart may God continue blessing u, everyday u are sent to heal the all Africa l am listening from Zambia 🇿🇲
Mtumishi nikisiliza nyimbo zako zote na barikiwa zaidi ni kama Mungu anasema Nami kipekeeeee ili nivuke ngambo nyingine ninapo fika mwisho , nikifikiria Mungu amaniacha ,kumbe yuko pamoja Nami. Barikiwa zaidi
God bless you Mr mwahangila your songs made me to be stronger in God's work and pray I'm from Zambia 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲 hendeleya kumbele nakumutukuza mungu akisanti sana
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu endelea kumtukuza Mungu,Wakenya wenzangu wapi likes za huu wimbo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
niko sana
😂😢❤
Aina bien 💔😭
Tuko hapa🎉
Ubalikiwe sana
Kenyans mpo❤,kazi nzuri mtumishi
Mungu akuzidishiye baba.nyimbo zako zinanisaidiya Sana nikiwa kwenye kipindi kigumu cha maisha.Mungu akuinuwe zaidi Baba😢😢😭
Mwimbaji wangu wa muda wote...fantastic song
Nami nime mwita kweli ame itika uyu Yesu
Just from TikTok and I had to come and watch the full video and indeed Ni Yesu amejibu maombi Yangu,He is faithful 🙏🙏🙏...From Yesu yuko hapa,Yesu mi nakutegemea,Ni Mungu amefanya,Mimi niwa viwango vya juu ,Nasema asante e.tc...Now I join in singing Ni Yesu amejibu maombi Yangu 🙏
Mungu akubariki mtumishi wa mungu. Unanibaki sana .mimi nipo CONGO DR mjini GOMA
Amen mavuta mengi mtumishi wa mungu tunakupenda saana
Be blessed Christopher and Paul i❤you so much.I,m listening from 🇰🇪
Hongera Sana Kaka kazi nzuri sana
Ni Yesu ule, kazi njema muimbaji wangu wa kila siku na saha zote. Kazi ya Mungu haina Makosa
🎉🎉ukweli ni YESU amejibu maobi yangu❤❤❤.
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏wakati wa Mungu umefika wa kuandaliwa meza machoni pa watesi wetu🎉🎉🎉😢😢
Your songs always encourages me to be strong. May God bless you Daddy. Listening from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
He strengthens my soul with his songs🙏🙏🙏
Be blessed moreee Christopher Mwahangila the Servant of the Messiah 🎉 nice work
Nazipenda sana nyimbo zako toka hapa DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩nabarikiwa nazo
Mungu akubariki Sana kwa wimbo huu, ni ujumbe mkubwa Sana. kweli kwa yesu kuna nguvu nyingi.
Amen amen nasuburi kwawakati yesu nitetendeye funguwandowazawa za watoto wangu
Wimbo mzuri Mutumishi wa Mungu!!! Pastor Honoré/ RD Congo
Ni Yesu amejibu maombi yangu. Asante Yesu wangu. Barikiwa sana mtumishi
Ni YESU ❤️❤️❤️. May God continue with you 🙏🏼🙏🏼
Nakukubali sana nitumie hata namba nikutumie hata kasadaka kidogo
Kama umerudia wimbo huu zaidi ya mara mbili weke like yako hapa
naombeni like 1000 kama unaamini kuwa ni YESU amkutendea mazuri
Hujawahi niangusha kaka yangu Mtumishi wa Mungu Mungu azidi kuachilia kibali. Huduma yako ni njema
Ni vile hujui tuu jinsi gani umenibariki mtumishi, , nilisubiri mtot miaka mitano eeh😭 Mungu akutumie kwa ajili yang🙏
Amen yeye Mungu ni mwaminifu sikama wanadamu😢🙏
hallelujah yesu wangu amejibu maombi yangu jahova amen nice song amen 💪💪💪 hallelujah may God bless you amen 🙏🙏🙏❤❤❤
A great voice in our generation, keep going.
AM A MALAWIAN BUT THROUGH THE HOLY SPIRIT I UNDERSTAND SWAHILI I WANT TO SAY THIS BROTHER CHRISTOPHER MWAHANGILA AM SO BLESSED WITH YOUR SONG , BECAUSE WHAT YOU SINGING THROUGH YOUR SONGS IS I PASS THROUGH AND IS ONLY JESUS WHO IS ABLE TO FREE US OR TO HEAL US OUR DEASESE NOTHING IN THIS WOLRD THAT JESUS CAN NOT DO ,HE IS OUR GAME CHANGER
MATHEW 19:26
JOHN 1:12
MARK 11:24 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
PS 2:8
🇨🇩🇨🇩Amen❤ homme de Dieu wanawake wana vaa muzuri Sana akuna suluali Amen 🙏 Mtumishi wa MUNGU 🇨🇩🇨🇩
Blessed too man of God...I come from Kenya but I really love your voice ...I feel anointed..hutamani kukuona na hata kuimba nawe just as backups..
I feel blessed with this song
Christopher my friend Asante Sana kwa nyimbo zako
Nice song 🎉🔥🔥
Am so blessed with this song hakuna kitu lina mshinda mungu ❤❤
Mungu ameniitikia mamangu ameongea Leo baada ya kukua kwa koma wiki nzima hali haongei. Leo amefungua kinywa ameitisha soda akanywa
We love your music here in Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Hongera sana mtumishi wa mungu, your songs always blesses me.
Kwa Kweli Ni Yesu Tuuu..... Ubarikiwe Sana Kakaangu
Asante sana dadaangu
Ni Yesu amejibu maombi yngu powerful song be blessed man of God🙏🙏Yeye ndio uzima wangu🙏🙏
Amen.Nagupenda sana Mutumishi wa Mungu kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amen..🎉 anajibu kabisa❤
Hakika ni Yesu tu pacha wangu Chris,nyimbo nzuri sn km asinge kuwa Mungu nani ange nipokea
Ubarikiwe Mutumishi bony, nyimbo zako zote ni mafundisho nzuri. Mwimbo wako wazazi walikuwa tufundisha n'a tungali wadogo.🇨🇩🇨🇩 Tuta furai sana kama utaimbia Sisi wa kongomani
Mungu hakutangulie mtumishi wa mungu . Napenda nyimbo zako sinanitia moyo🎉🎉🎉🎉🎉
Again Christopher will forever bless me with his gospel message 🙏🙏🙏🙏🙏
watumishi wa mungu tafuta... fadhili alon.. ubalikiwe kwa njia ya uimbaji hakuna wa kufanana na mungu
Ni Yesu amejibu maombi yangu.Wimbo uko vizuri unanibariki. Ubarikiwe sana mwana wa Mungu
Thank you servant of God,,,for sure Jesus son of God has an answer for every prayers...keep pushing,,,this is a blessing song. Be blessed
For sure God answers prayers 🙏🙏 thanks for encouraging us,, feel appreciated from 🇰🇪
🇧🇮🇧🇮🇧🇮 turagukunda cane Christophe mwahangila jou xana my brother🎉🎉🎉
Nice songs
Blessed from our LORD 🙏 I love you more ❤️
Ni YESU amejibu maombi yangu ❤❤❤
Hongera sana Mtu wa Mungu kwa wimbo mzuri wa upendo wa Mungu nikutakie baraka za Bwana kwa Huduma ya uimbaji.
Mungu azidi kuinua mtumishi,this is like my testimony, watching from Kenya 🇰🇪
Ni Yesu amejibu.. Congtras nice song
BARIKIWA SANA SANA MTUMISHI
Kwa Baraka Hizi...🎉
NI YESU 🥰 AMEJIBU MAOMBI ANGU ❤❤❤ POWERFUL SONG PAPA MWAHANGILA MUNGU WAMBINGUNI AKUTUNZE 🥰🇿🇼🇿🇼🇿🇼🙏🙏🙏
Your songs heal my heart everyday u sing like u know what troubles my heart may God continue blessing u, everyday u are sent to heal the all Africa l am listening from Zambia 🇿🇲
"Hivi nilivyo ni Yesu"God bless you mtumishi wa Mungu
Mmmm I love all your songs ...strong message...God bless your ministry abundantly...Eunice from Kenya
Amen nikweli ukimtengemea MUNGU anajibu kwa wakati 🎉🎉🎉🎉
This song is very good ( Meaningful words ONLY) Keep it up Christopher 😊💪
Anyone listening from Doha🩷🩷🩷🩷🩷🩷
Mimi hapa
Here we are
ABUDHABI
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sakaka
Mtumishi nikisiliza nyimbo zako zote na barikiwa zaidi ni kama Mungu anasema Nami kipekeeeee ili nivuke ngambo nyingine ninapo fika mwisho , nikifikiria Mungu amaniacha ,kumbe yuko pamoja Nami. Barikiwa zaidi
Jesus is the great physician and he answers at the right time. Very good composition man of God. May God continually bless you in singing
I am an artist from kenya , but napenda ijili ya huyu ndugu
Ni neema ya Mungu inatubeba.ni nani angetusikiliza.❤
Huu wimbo umeniguza ,n ushuhuda tu kwangu 🙏🙏🙏🙏walinilipa mabaya bt mungu n nani 🙏🙏🙏
Ni kweli yesu hujibu maombi Kenya.
Halleluya. Yani wimbo unafika right on time. Leo nimepata ushuhuda mkubwa.
Natamani ninapotoa album yangu uwe mgeni wa heshima❤❤
What a blessing song and teachings. Shout-out to this annointed artist
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ujumbe mzuri sana huu Mtumishi Mungu Mungu azidi kuku inuwa
Ni yesu kristo amejibu maombi yangu kabisa Mungu akubaliki
More grace man of God,you always bless me with your songs
Ubarikiwe n'a Mungu mtumishi
❤❤❤❤
Mungu abalikiwe sana wimbo huu umeni njibu maombi yangu
Mungu akuongezeye
Wewe nimtu wa nguvu saana na Ubarikiwe Amen
Barikiwa sana,toko congo Kinshasa
Mtumkubwa nimkubwatu mafuta uliyo pakwa na Mungu ndiomana umekua Kama daudi Hongera wewe Ni kidume
❤️❤️❤️❤️ni yesu amejibu maombi yetu,neema yake imetubeba.
Ni Yesu Amesikia maombi yangu🙏Mtumishi wa Mungu barikiwa 🙏
Amen , thankyou Jesus Kwa kujibu maombi yangu
Amen Barikiwa sana Mtu wa Mungu kwa wimbo mzuri wa Mungu
Yesu hujibu maombi Kenya
Ubarikiwe muimbaji wetu Mungu azidi kukubariki tunakutakia maisha marefu yenye furaa na amani.
God bless you Mr mwahangila your songs made me to be stronger in God's work and pray I'm from Zambia 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲 hendeleya kumbele nakumutukuza mungu akisanti sana
I love follom Rwanda 🇷🇼❤️
Ni yesu kweli asante Christophe wimbo mzuli
Mzee christopher I really love your Songs
Hapa umeweza mtu mungu....neema Ni nyingi
This is a very good song,mungu akubalike kaka,you will change people through your gospel music.
Keep blessing us with your great song brother Christopher
Nice gospel music with all teaching's,yesu,yesu.
MUNGU AKULINDE ZIDI YA UBAYA WOWOTE MTUMISHI WA MUNGU CHRISTOPHER MHANGILA
Ni yesu hamejibu maombi🙏
Mtumishi MUNGU akubariki sana nakufatilia sana ktk nyimbo zako unanibariki sana kaka najifunza kutoka kwako kaka
Amejibu maombi huyu Yesu😢😢😢 machozi ys furaha
Amen amen ni YESU kristo kabisa amen asante sana amen haleluya
From Zambia 🇿🇲 napenda muziki wako sana🙏🙌
I love your songs zina maneno ya kunijenga kiroho.
Mungu akuóngezee Nguvu na hakiri kama salomo
NAMI yesu amenisikia wimbo huu ni mzuri kbs