Nyieeee sikilizeni mh Raisi kizimkazii ndioo kwao kakini hajasomaa huko Wala hajakaaa huko huko wamezaliwaa wazazi wake baadhii ya ndugu zake ndioo wamezaliwaa huko ila sioo yy
Mdharibika zamani mmekwisha hasa msisingizie watu wengine. Hao wazungu mnaowakumbatia ndio waliokuharibuni hamna kitu na wakuharibika huwezi kumzuia na kama si wa kuharibika mtabaki wazima. Kumbe mnajua mnaharibika mbona msikatae hao waliokuharibuni. Wakwanza weye umeharibika ndio ukalijua hilo.
Raisi hajakaaa haswaaa kizimkazii na ss wazanzibar tunafataa dini mwanamkee haswali msikitini anaswali nyumbani muwacheee uwongoo kizimkazii alikuwa anaendaaa kama kwao tu Kwa baba akeee alipo zaliqa na kuzikwa hukoo na baadhi ya ndugu zake wapo huko muwacheee uwongoo baba levo na shogaaa akoooo
Nawapenda mwinjaku na baba levo
Babalevo si ulisema huwezi fanya kazi na mwijaku
H mama aendelee kufuga ndevu na kumsema vibaya harmonize wenzie wana piga mihela
Nyieeee sikilizeni mh Raisi kizimkazii ndioo kwao kakini hajasomaa huko Wala hajakaaa huko huko wamezaliwaa wazazi wake baadhii ya ndugu zake ndioo wamezaliwaa huko ila sioo yy
Ama kweli pesa mwanaharamu mmejichetua haswa machawa
Mbona miwani ya babalevo kama ya kike
Machawa yenye PHD ya UCHAWA
Awa wakina mwiba nibalaha kweli machawa wasio fichama kwenye nyele😂😂😂😂😂😂
baba levo Leo ameazima miwani ya dida shaib
Duh nchi hii 😭😭😭😭
Mmekuja kutuharibia vijana wetu tu
Mdharibika zamani mmekwisha hasa msisingizie watu wengine. Hao wazungu mnaowakumbatia ndio waliokuharibuni hamna kitu na wakuharibika huwezi kumzuia na kama si wa kuharibika mtabaki wazima. Kumbe mnajua mnaharibika mbona msikatae hao waliokuharibuni. Wakwanza weye umeharibika ndio ukalijua hilo.
Haho waskaji nawakubali sana
Machawa.
Huo uchawa au msije mkawa mnasambaza mambo haya macho yetu
Haonivichaa wanaooga
Sasa si wangeenda waandishi.wa maana
Mbona baba levo kavaa miwami ya mkewe😂😂😂😂😂
Msisahau kupata taarifa na updates mpya kupitia lumbe tv youtube
Raisi hajakaaa haswaaa kizimkazii na ss wazanzibar tunafataa dini mwanamkee haswali msikitini anaswali nyumbani muwacheee uwongoo kizimkazii alikuwa anaendaaa kama kwao tu Kwa baba akeee alipo zaliqa na kuzikwa hukoo na baadhi ya ndugu zake wapo huko muwacheee uwongoo baba levo na shogaaa akoooo
Pele limepata mkunaji😅😅😅😅
Leo hujatukana mkatolik-chadema
Wantanzania mtaelewa Nini maana ya elimu mtakuwa mnatumiwa vibaya
Mwijaku😂
Be levo ba
ruclips.net/video/9EqYiZ9R35w/видео.html tazama mbwembwe za Mwijaku na Baba levo
MwijaKu macho xx kama dem
Watauana wapumbavu machawa
Washa kula vitita apo machwa😂😂
Machawa
Mashoga wikiwa na mashosti kwenye ubora wao bandari haiuzwi manyeti nyie
Sema huyu Shilole ana shepu mbaya limejinenepea ovyo tu
Alikuwa na Shep nzuri Sana mwanzoni 😊😊
TUPO NA BANDARI
Kwani we mkatoliki😢
@@mobilespecialschool4216 Atuwataki waarabu