LISSU AKIWASHA MAKYUNGU, "MUNGU WETU NI MWEMA SANA, KUNA WATU WAONGO WAONGO KUPIGWA KWANGU RISASI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 май 2024
  • #TANZANIA: Tundu Lissu akiwasha Makyungu vijijini, apokelewa kwa kishindo, "Mungu wetu ni mkubwa na ni mwema sana, tumeonana, kuna watu waongo waongo kupigwa kwangu risasi, gari hii hapa"

Комментарии • 21

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 29 дней назад +5

    lissu ni kamanda kweli kweli

  • @mashakalukinda2350
    @mashakalukinda2350 29 дней назад +7

    kamanda Lissu mungu akulinde sana kamanda mana wewe unapingania haki ya Nchi yako tupo pamoja napesa yagari tutachanga ununue gari zuri kamanda

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 29 дней назад +1

    Pole Sana kamanda mungu anamakusudi na wewe. Risasi 16 kwa binadam. Sio kitu cha kawaida kabisa. Na a naunga mkono hoja. Libaki kama lilivyo. Nalitembee kila mkoa wanataka walione

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 29 дней назад +4

    Hilo gari tunaomba lifike mpaka Njombe huku tulione

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s 29 дней назад +3

    Pole sana kamanda thanks for your life 🙏you have been

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 29 дней назад +2

    Waliokupiga risasi Mungu na awalaani milele

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct 29 дней назад +1

    Tunakukubali sana kamanda kura yangu umeipata nanitailinda

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 29 дней назад +1

    Huyu mtu ni mtu wa kipekee sana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 28 дней назад +1

    ILA !ILA!IBILISI NI KIPOFU. BADO 2020 WAKATAKA KUMUUMIZA TENA ILA UBALOZI WA UJERUMANI WAKAMWOKOA 😢😢

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 29 дней назад +2

    Pole

  • @amosmerama3680
    @amosmerama3680 28 дней назад

    Mungu amesema atawakatilia mbali waovu wote, ishi saana mhe lisu

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 29 дней назад +2

    Wao

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 29 дней назад

    Mungu ni mwema mh lisu

  • @noelnchimbi1287
    @noelnchimbi1287 29 дней назад

    Smart boy

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 29 дней назад +1

    ❤❤❤❤

  • @geraldeliona7657
    @geraldeliona7657 29 дней назад

    Makiungu na sio Makyiungu

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 29 дней назад +1

    Tundu lissu nizaidi ya Obama Huyu ninabiiii kabisa kwa zama hizi Mungu akupe nguvu asimpe nguvu Mh samia yamkute ya Uwauwa jpm akajiita Jiwe likapasika Mungu tumekuerewa mwangarie na fisadi papa Jk mpinga katiba

  • @user-ze8jo1jf9w
    @user-ze8jo1jf9w 29 дней назад

    Naomba gari la lisu lifike kwetu mtwara tulishuhudie

  • @noahkamendu9081
    @noahkamendu9081 29 дней назад

    Makamanda

  • @YahayaKishakwi
    @YahayaKishakwi 29 дней назад

    Tufushe

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 29 дней назад +1

    Mpaka wanafunzi,,