Ni jumapili saa nne asubuhi, October 29,2023. Houston TX. Burudani shwari kabisa kutoka kwa king of Rnb bongo. Nilikuwa natafuta kali kama hizi kwa muda sasa thanks for this one Mzee mzima Ramadee
Sasa ivi nipo na Yesu.nimeshaachana muzik kipindi icho narudi kutoka stend ya msamvu Moro town ndio nyimbo nilipenda kusikiliza wakati narudi home chamwino.Yesu mwema.
Sipati picha ungefanya track kama kumi hivi na huyo producer wa hii ngoma na ya Sarah! Alikupatia sana track mpaka mixing, kuna ngoma yako moja ya zamani siioni, nikiikumbuka ntaisema hapa
Huyu Rama D na Q jay pamoja na MB Dog ndio wasanii wanaijua True Tastle ya muziki wa R&B nahawawez fananishwa na msanii yeyote hapa Tz kwa huwezo wao..lakini ndio hivyo warukaji rukaji na wasoujua mziki wa kweli wanajipa Promo kwa kuwa wanamihela nakujifanya eti wsnasapoti wasanii sasa embu wawasapoti vichwa kama hivi tuone kama kweli wanania njema nao... Wanajua mauwezo yao ni makaki sana na wanazid kuwapotezea
Tujuane tunaomkubari ramaa dee
Daaah kaka nimekaa nimefikilia mbali sana nikaamua niingie RUclips nisikilize hii ngoma i like it
Ni jumapili saa nne asubuhi, October 29,2023. Houston TX. Burudani shwari kabisa kutoka kwa king of Rnb bongo. Nilikuwa natafuta kali kama hizi kwa muda sasa thanks for this one Mzee mzima Ramadee
Hii ngoma nakumbuka mbali sana kipindi hicho Kiss fm kipind cha African beat, host alikuwa D, seven. 2007, asaivi 2021
kitamboo brotherrrr school
@@aloycempandana1336 dj marius
Sasa ivi nipo na Yesu.nimeshaachana muzik kipindi icho narudi kutoka stend ya msamvu Moro town ndio nyimbo nilipenda kusikiliza wakati narudi home chamwino.Yesu mwema.
Apo kat na dj marz. Ilikua nomaaa ukirud scul xa 11wap rising af saut kubwa kwa hewa na ilikua lazm iguswe hii mbupu😂😂😂
Kiss FM 🔥🙌@@AmanHaonga-c7u
Uyu broo namkubali mpaka kesho
Kiss fm na dee7 alikua anaupiga sana wimbo huu....kitambo sana.....
Rama dee na Qjay best rn'b artists kuwahi kutokea Tanzania
habari mchanganyiko yeah African beats na d7
dah, nakumbuka pia.... African beats from 06h00 PM
Dah aisee kipindi hicho pale kiss walikuwa wanapiga ngoma fulani ambazo radio nyingine zilikuwa hazipewi nafasi sana. Radio kama kiss na times fm
Sanaaaaa
milele utadumu tu
daah nimetafuta huu wimbo na 2024 nimeupata,sikujua aliimba nani
Rama dee ni mmoja tu 🙌🙌🙌
Daaa nalejea hapa 2024 dem wangu alinitesa sana huu wimbo ndio mfaliji
The voice of a killer 🙌🙌🙌🥰🥰🥰
Nyimbo ya 1 kupigwa texas fm,hapa Houston
The best Rnb singer of all the time.
Noma sana . Nostalgia
Came back again 2024. Thank God for the life
Duuh utafikiri umeiachia leo brother good sana
Amba produced this song, and it's unforgettable masterpiece
I really miss the voice... Rama dee u r so great brother release the other one
The best rnb song all time god bless u brother unajua
JABIR SALEH BROUGHT ME HERE AISEE
Inanikumbusha mengi sanaa .... mnoo... hongera sana rama dee..
Duuuu! Nyimbo kali sana
Kama imetoka leo... Yes for me! Rama 😘😘
Rama Dee yo the BEST 👍
Enzi hizo siwezi kusoma bila kusikiliza MUSIC 😀
ndio maana ulifeliiiiii 😂😂😂😂
@@aloycempandana1336 😅😅 bro sikufeli,na nilikuwa mfano bora wa wanafunzi upande wa taaluma.
Amba Iringa way back dah
Dah huyu jamaa alkuwaga anaweza
Rama Dee upo sawa sana Vocals RNB nakukubali zee
Nakukubali mzeebaba
Sipati picha ungefanya track kama kumi hivi na huyo producer wa hii ngoma na ya Sarah! Alikupatia sana track mpaka mixing, kuna ngoma yako moja ya zamani siioni, nikiikumbuka ntaisema hapa
It's 2022... God bless Tanzania. God bless Rama Dee
Hizi ndio r&b old z gold -2024.❤
Nice namkubali Sana Rama d
Dah, nakumbuka mbali sana...fredwaa rest in peace
Who still listening 2020🔥🔥
Mi 2021
2022 still hot
music well crafted by the underrated music genius
Mzeebaba hili song linaish miaka buku
I still love this song today 2021...
Proudly Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😊
25 December,2022 still listening to this masterpiece.
@@detlantamarooned1809 awesome
@@mariamkizango6421 That's the time when music was music
Achana na hizi bubble gum za sasa hivi
@@detlantamarooned1809 kweli hujakosea aisee, different times, different flavours
Kikao cha family nouma kinomaaaa naikubali till i die.
daah..unanikosha sana na hii ngomA
Kipindi hicho nauza duka maeneo ya tumbaku mskiti wa mungu mmoja dini moja Moro town
Enzi hizo Tripple A Fm Arusha Hii ngoma 2010 Ilikuwa Inapigwa balaa Mpk leo Iko so Hot
Daaaa unanikumbusha mbali enz za kina edina peter,Sam chomola,tira Philip
Music huu tunahuhitaji sana music wa Sasa unatuumiza maskio
Amba producer mkali
since2005 now 2018..bado una bak kuwa mzk mzur ##those days rnb
Naitwa msafiri madudya kutoka dodo kiukweri nyimbo hii inani kumbusha kipindi nipo arusha na ludi kongwa huwa inani kumbusa sna hii nyimbo
Tupo nyumbani usijali mpenzi,Kuna kikao cha family wivu usiwe Mwingi 2020
Hakuna r&b singer tz kama rama basi tu
Huyu Rama D na Q jay pamoja na MB Dog ndio wasanii wanaijua True Tastle ya muziki wa R&B nahawawez fananishwa na msanii yeyote hapa Tz kwa huwezo wao..lakini ndio hivyo warukaji rukaji na wasoujua mziki wa kweli wanajipa Promo kwa kuwa wanamihela nakujifanya eti wsnasapoti wasanii sasa embu wawasapoti vichwa kama hivi tuone kama kweli wanania njema nao... Wanajua mauwezo yao ni makaki sana na wanazid kuwapotezea
Bila kumsahau stive Rnb
Mb dog tena😂😂, nemo, steve, Damian soul, rama d, nuruel, wakali kwanza, tid wa zamani enzi za rahisa,
@@jannelejane9434 +Yeah Steve ni balaa namwita New Master RnB bongo😊😊😊
Kikao cha famili itabaki kuwa the best song
Nan yupo nami 2019
Bloo unaweza
Dah bro nashindwa hata la kusema tangu 2005 mpaka 2017 ngoma bado ina mvuto kinoma
Daah! Bonge LA ngoma
Rama Dee anajuwa cyo kitoto
Rama dee daaaaah!
ONE OF THE BEST SONG EVER........LEGENDS WENZANGU LIKE HAPAAAAAA 🎧🎤🎵🎶🎙🎚🎛
2024 tap here
Nyimbo bora ya RnB ya muda wote
Iringa iz my hood hii ngoma
duuu bonge ya ngoma uliifanyia video hii kazi fanya hivyo kaka
Still here 2024
4th oct 2019 still rocking 👌🏿
Still on it 2023.thanks to God
2021 wote dondosha like apa
my best R&B song ever
its true bro
Rama Dee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
nakumbuk mbali
Where is Amba 😢
Hii ngoma na ile ya sara mbona kama hatuzipati kwenye platform kama Spotify hiv mzee..😟😟
Bro 2023, the hit song
The best rnb single
who is here with me 2k19
Kaka upo kimya mno hebu tupe kitu
Dah!
Imagine RnB ya bongo bila Rama Dee , kipaji cha kweli
ft emax dahh kitambo sana
Who with me here 2030 😊
nice song,remind me those days
What a song
stil trending in 2019
2023❤❤ 🎻🔥
Brother upload,USIHOFIE WACHAGA
Ile ngoma kali
I really appreciate you Bro#never ever like you
2020 NASIKILIZA HII NGOMA
Mkuu nini kimekufanya uje uckilze hii ngoma
Umeutendea haki
yuko nje siku hizi anakula bata
Msanii ana song Kali lakin havumi aisee n hatar
Kipaji km hiki jamn kinapotea hv hv kizembe,Watanzania tunaferi wap kusaport vya kwetu!!??
2019 still am here
Kazi nzur
naikubali sana 2019
Toa bx video ya hii ngoma na nyingine kama, Sara
Best Rnb
Sidhan Kama umewahi kutoa ngoma ilotulia kwa kila kitu Kama hii halafu inafuatiwa na Sarah kiukweli hapo wewe na producer wako mlitulia kufanya kazi
I always love this song
2020 Rama we miss you brother
Nov 2021 still on it
Nice song
Classic bongo flavor
Listening in December 2018... still on fireee
Sawa
🔥