well said brother! Bongo we praise ujinga vya maana tunaacha ... wanaojua hawana majina, seems like hawana nyota, wakati Talent is a Star ... Kuna shida ya kiufahamu kwetu. The good thing ni kuwa Hawajakata tamaa, wanafanya kwa kadri ya walivyojaaliwa.
i broke up with my girlfriend months ago, i sent her this song and now we are about to get married... this is soo big brother, i love the song since day one. on repeat aaaaall daaaaay...
varse 1 mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu kwenye mvua metope si ndumba oh yasikufanye uchoke mchumba oh wanapanga maneno kama chati za kumi bora kuumpima upendo ni hatari chorus Mbele tunaona vita kipenda roho roho yangu nishike mkono kuyapita kipenda roho roho yangu tulishinde lengo lao lao lengo lao lao lisitimie… varse 2 ukitazama marengo haukosei, haupotei kwenye love wema huishi nao sweet my love, hati ya wawili kuitunza siri mchunga mbuzi hanuki hizi story, si za kweli babe angalau tone moja liende kumimina penzi sitarajii repeat chorus for the first time kusikia amani ndani ya maisha yangu your my (NGO) tusimame babe repeat chorus
Kipendacho Roho ni jina la wimbo wa R&B na soul na ballad uliotoka tarehe 28 Juni, 2016 kutoka kwa msanii wa muziki wa R&B na soul kutoka nchini Tanzania, Rama Dee . Wimbo umetungwa na Nikki wa Pili na kutayarishwa kwa ushikiano wa Elly Dabway, Vankuva na Rama Dee mwenyewe. Moja kati ya nyimbo kali za R&B kwa mwaka wa 2016. Rama Dee ameendeleza kuonesha uwezo wake kuimba R&B kwa kiasi cha juu sana. Jinsi alivyoimba huwezi jua kama Kiswahili. Kachukua muundo uleule wa utayarishaji na floo za mbele. Jinsi anavyoshuka na kupanda huku akisindikiza na piano yenye kutia huzuni kupita kiasi. Hadi sasa Rama Dee ndiye msanii pekee kwa Tanzania aliyeweza kuienzi R&B halisi tangu aanze. Katika wimbo, Rama Dee anamsihi mpenzi wake awe imara na asisikilize maneno ya watu. Katika mapenzi kuna milima na mabonde: Chombo kwenye maji/ lake jua yake mvua safari tu, Kwenye mvua metope / si ndumba oh Halafu anapanda juu sana kwa hisia kali sana katika daraja la kiitikio kwa kusema: Mbele tunaona vita, kipenda roho roho yangu Nishike mkono kuyapita, kipenda roho roho yangu Tulishinde lengo lao lao, Lengo lao lao lisitimie. Rama Dee anajaribu kumweleza mpenzi wake atazame lengo la penzi lao. Ukilitazama na kuelewa nini unachotaka, kamwe huwezi kupotea. Anasema: Ukitazama malengo haukosei, haupotei kwenye love. Huu ni mmoja kati ya wimbo mkali wenye video simpo hakuna mfano. Video imeongozwa na Pray G kwa kupitia kampuni ya iPen Media Tanzania. Tangu anaanza hadi anamaliza Rama Dee yupo kwenye piano na mtoto mzuri anayesindikiza milindimo ya sauti ya mahaba. Ucheshi mkali aliounesha malkia katika video hii umezidi kupendezesha. Video ina muundo wa kama black-and-white.
Rama D Usikate Tamaa Watanzania wengi tunajua uwezo wako. Kaza tu watakuona wenye mziki wao Hapa Bongo wengi Wachawi na wote Vibaraka tu hakuna mwenye Mziki. Mwenye Mziki akikuona Atakuita ila siku akikuita Ikumbuke Comment hii. Love your son very much Mr
mnyama rama dee dah mkuu we noma ingawa wanabana promo ila ndo tulivo wabongo na wanawasapoti ulio wa inspire hahaha wakina ben na jux hapa hawaingz mguuu media zinawabeba ila some how jux sio ben
Leo nimesikiliza hii nyimbo zaidi ya mara 41 yani i am so apsesssss na hii ngoma :) damn i love this f**ng song mate!! artist gani wa bongo alishawahi kufanya ngoma kama hioi tz?? NO ONE!!! hahahaaa
Bongo 👑 upo wewe peke yako na hajawai kutokea kabisa! Pia Kuna nuruel na Mr Paul, wakaja wakatokea nemo,makamua na qjay naimiss Sana hii depo💪 naumia Sana Basi tu
Ooooooh my God...Damn man, da way u roll on that chords...amazing. Kaka Salute kwako, salute kwa pianist.. ameua, ukazika. its more than a song, perfect video. In short bravooooooo
so sad kipaji kama hiki still no recognition...!inauma sana unajua bt wadau wa muziki wanaziba masikio kwako!rama dee ur de best artist in tz ever wengine ujanja tu ...
jamani hii ngoma inachoma moyo kichi wadau yani aichoshi asa kwasisi tunao jua music wa rnb mungu mtoe nahuyu RAMA DEE apate kufikisha ujumbe mbali mbali duniani
so refreshing music bro..u are one of the underrated tanzanian artists but men ur sound,lyrics is so breathtaking u deserve worldwide recognition maana we ni mkali..the best rnb artist from Tanzania
bongo media ndio zinazozingua wapandisha magarasa wanamziki wanawaacha hii video huyo video queen yuko vizuri xana ramadee usikae kimya sana tupia ngoma tu sisi tupo tunathamini kazi zako big up
Dunia tunakwama wapi kumrecognize Rama Dee as the best artist ever happened in Tanzania..au ni kwamba soko la aina ya nyimbo anazoimba Rama Dee zimedrop Africa!?? Binafsi yangu hii nyimbo inadeserve kuwa na viewers wengi sana..
Rama Dee is the best vocalist in Tanzania. Period!
No One Can Step On This Fire Men.
Marry me 🥺🥺 you look good in profile picture 🤣
For sure 😊
Mtaani huwa nawaambia watu kwa Tanzania, msanii bora wa RnB ni Rama dee, asante umethibitisha hilo.
Honestly speaking Rama Dee yuko so talented, ila sasa Tanzania sielewi tunavyowa-treat wanamuziki...yaani wasiojua ndo wanawekwa juu...upuuzi kabisa.
I like this guys music, with I could speak Tanzanian Swahili. I just know little Ki Swahili from Nairbi.
well said brother! Bongo we praise ujinga vya maana tunaacha ... wanaojua hawana majina, seems like hawana nyota, wakati Talent is a Star ... Kuna shida ya kiufahamu kwetu.
The good thing ni kuwa Hawajakata tamaa, wanafanya kwa kadri ya walivyojaaliwa.
Media braza zimeleta ushenzi sana, zimejaa watangazaji wapuuzi, wanapromote manyimbo ya kishenzi shenzi tu so painful😢
i broke up with my girlfriend months ago, i sent her this song and now we are about to get married... this is soo big brother, i love the song since day one. on repeat aaaaall daaaaay...
goshh
😍😍😍wooow
Motivated one. .but shoutout to nikkiwapili aliandika yeye hii kitu 🙌🏾🙌🏾
How is your marriage going?
SIJAPENDA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
varse 1
mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu
chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu
kwenye mvua metope si ndumba oh
yasikufanye uchoke mchumba oh
wanapanga maneno kama chati za kumi bora
kuumpima upendo ni hatari
chorus
Mbele tunaona vita kipenda roho roho yangu
nishike mkono kuyapita kipenda roho roho yangu
tulishinde lengo lao lao
lengo lao lao lisitimie…
varse 2
ukitazama marengo haukosei, haupotei kwenye love
wema huishi nao sweet my love, hati ya wawili
kuitunza siri
mchunga mbuzi hanuki hizi story, si za kweli babe
angalau tone moja liende kumimina penzi sitarajii
repeat chorus
for the first time kusikia amani ndani ya maisha
yangu
your my (NGO)
tusimame babe
repeat chorus
mwangu nakuku kubali sana sana yani ww ndio injinia wangu wa ARNB ww king akuna anae kupata ivo yan
Harmonize ndio amenileta hapaaaa
From 🇰🇪...Such an amazing song....Tembo the konde boy sent me hapa for a wedding song 🎵 😍
Kipendacho Roho ni jina la wimbo wa R&B na soul na ballad uliotoka tarehe 28 Juni, 2016 kutoka kwa msanii wa muziki wa R&B na soul kutoka nchini Tanzania, Rama Dee . Wimbo umetungwa na Nikki wa Pili na kutayarishwa kwa ushikiano wa Elly Dabway, Vankuva na Rama Dee mwenyewe. Moja kati ya nyimbo kali za R&B kwa mwaka wa 2016. Rama Dee ameendeleza kuonesha uwezo wake kuimba R&B kwa kiasi cha juu sana. Jinsi alivyoimba huwezi jua kama Kiswahili. Kachukua muundo uleule wa utayarishaji na floo za mbele. Jinsi anavyoshuka na kupanda huku akisindikiza na piano yenye kutia huzuni kupita kiasi. Hadi sasa Rama Dee ndiye msanii pekee kwa Tanzania aliyeweza kuienzi R&B halisi tangu aanze.
Katika wimbo, Rama Dee anamsihi mpenzi wake awe imara na asisikilize maneno ya watu. Katika mapenzi kuna milima na mabonde:
Chombo kwenye maji/ lake jua yake mvua safari tu, Kwenye mvua metope / si ndumba oh
Halafu anapanda juu sana kwa hisia kali sana katika daraja la kiitikio kwa kusema:
Mbele tunaona vita, kipenda roho roho yangu
Nishike mkono kuyapita, kipenda roho roho yangu
Tulishinde lengo lao lao, Lengo lao lao lisitimie.
Rama Dee anajaribu kumweleza mpenzi wake atazame lengo la penzi lao. Ukilitazama na kuelewa nini unachotaka, kamwe huwezi kupotea. Anasema:
Ukitazama malengo haukosei, haupotei kwenye love.
Huu ni mmoja kati ya wimbo mkali wenye video simpo hakuna mfano. Video imeongozwa na Pray G kwa kupitia kampuni ya iPen Media Tanzania. Tangu anaanza hadi anamaliza Rama Dee yupo kwenye piano na mtoto mzuri anayesindikiza milindimo ya sauti ya mahaba. Ucheshi mkali aliounesha malkia katika video hii umezidi kupendezesha. Video ina muundo wa kama black-and-white.
Huu wimbo ulipaswa kua na views zaidi ya 1M. Hatujautendea haki watu
sauti,maneno, ala, mdundo.... utulivu masikioni......daaaam this is what i call MUSIC......
Nimeisikiliza na nimemkumbuka mke angu, mama alvin , this was one of her best track.😀❤
moja ya wimbo bora hunipa faraja na burudan isiyomithilika why!!! hawakujui brother... hongera nyingi kwako.
Mentor 🔥🔥🇹🇿🙏🏿🙏🏿
Rama D Usikate Tamaa Watanzania wengi tunajua uwezo wako. Kaza tu watakuona wenye mziki wao Hapa Bongo wengi Wachawi na wote Vibaraka tu hakuna mwenye Mziki. Mwenye Mziki akikuona Atakuita ila siku akikuita Ikumbuke Comment hii. Love your son very much Mr
Kihanda 255 One of the deepest fan to artist message you’ll see. In fact this is a letter, a powerful one. 👍🏽👍🏽👍🏽
Tangu nasoma chuo mpwapwa kuna watu nilikuwa nawaambia hakuna best r&b kama wewe rama dee ila naamini wanaokumbuka maneno yangu watakuwa wananielewa
Kwel
Kwahiyo mwalimu ulikua husomi ma curriculum , ma methodology ulikua unawashawishi wenzako kuhusu rama d
Team mpwampwa sec
Anajua tena anajua Sana!
Mashairi ni mazuri mno.
Am here after harmo post.. nyimbo nzuri mashaallah ❤️💯🎯
kaka rama wew ni motonaskilizampk leo
ilikua nyimbo pendwa ya Mchumba wangu nlietarajia kumuoa..2020 aliskiliza sana hii..endelea kupumzika my G💔
Kondeboy sent me here🤣🤣 ngoma kali
Nakupenda we mkaka Mimi😭😭💕💕
mnyama rama dee dah mkuu we noma ingawa wanabana promo ila ndo tulivo wabongo na wanawasapoti ulio wa inspire hahaha wakina ben na jux hapa hawaingz mguuu media zinawabeba ila some how jux sio ben
There is no ARTIST like rama hapa Tanzania..i swear to god! safi dude..
kweli
By a far..
True
Who’s here after Harmonize played it 🙌🏻 the vocals men!!
Leo nimesikiliza hii nyimbo zaidi ya mara 41 yani i am so apsesssss na hii ngoma :) damn i love this f**ng song mate!! artist gani wa bongo alishawahi kufanya ngoma kama hioi tz?? NO ONE!!! hahahaaa
Nzuri sana Rama Dee Tz
sijapata kuona mtu anaimba tanzania yani kuimba tu kupita wewe neveeeeeer
You have gain a subsciber from konde boy❤💯💯
io sono Tanzania mio paese ma mi piace ramadee perche' grande artist bellissimo ciao ,ciao ( wewe ndio msanii ambayo nakukuberi xana tz yetu
Duuu!!!!!😢😢😢😢 mshkaji wangu anaipenda kinoma saana
Sichoki kusikiliza nyimbo hii na tungo zako Brother,wewe unajua!
Hatari sana duuuh tunaojua mziki tunajua
Bongo 👑 upo wewe peke yako na hajawai kutokea kabisa! Pia Kuna nuruel na Mr Paul, wakaja wakatokea nemo,makamua na qjay naimiss Sana hii depo💪 naumia Sana Basi tu
Nice song broo,Salute
U deserve to b known as king of rnb Bongo!!🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2024 who is feeling this😢😢😢
Nipo hapa 2025
this deserves a million views...but sadly people got no eye for such talent....bless up bro,unajua sana.
Nakubali sana huyu jamaa
my best r&b singer in east Africa ever!!!
One of the swahili RnB singer❤
Ooooooh my God...Damn man, da way u roll on that chords...amazing. Kaka Salute kwako, salute kwa pianist.. ameua, ukazika. its more than a song, perfect video. In short bravooooooo
Harmonize ndo ashawajibu😂😂😂konde boy for everybody🐘🐘🐘
Rama Dee Rudi nyumbani kumenoga kule mtwara tumewasha mambo ni moto mambo ni fire..
aisee wewe ndo king of Rnb big up bro nimeisikiliza hii nyimbo zaid ya mara 20 kideo kumetulia kipo simple
kikao cha family usjali mpenz daah acha tuu big up najua toka enzi zile
nice music ......nice video....big up..youkilnit...fundi mku
Jamaa anajua nn anafanya hafanyi fanyi ingawa media zinamuangusha ila yuko poa sana good kaka
Love your muziki man 100% no vocalist like you in TZ endeleza muzlki wako huku ulipo Tz naona muziki mzuri bado hatuuthamini
Kazi nzuri, kaka.
Hongra Rama dee'kumaliza tofauti na wale wadau,endelea kugonga kopy
mimi namba moja yangu bongo R&B ni wewe rama (japo wana bana one day mkia watafyata (one love brodah)
Yaani, hii hakuna tena.. Haijawahi kutokea mpaka sasa. Hizi vocal ndo umefanyaje kaka? Unajua unaweza kusema anayeimba Mzungu kumbe Mswahili.. Ulivyopandisha hakuna aliyewahi kupandisha vile.. Nimetesti kidogo nianguke.. Wewe sio mtu mzuri kabisa! Hongera sana.. Promo tu, kaka ili tuue mazima! Keep it up.. Say hello to Abigal!
Muddyb Mwanaharakati sure Brooo
Muddyb Mwanaharakati
2021 among of my favorite song
Ni wachache tunaojua mziki mzuri. Hakika bro rama dee we ni hazina ya taifa unajua sana ni basi tu figisu za Media baadhi kukubania
Rama dee hata kama wakikubania vipi bado hamna kama wewe kwenye R&B ya kibongo ila ifanyie promo hii nyimbo na fanya shows za kutosha tuje kukusupport
Siishiw Ham kuskia hii ngoma maskion mwangu.. Akhsante brother rama.
Ww nifundi milele
Who listen This Song in November 2020...Naipenda Tañzania #From USA
so sad kipaji kama hiki still no recognition...!inauma sana unajua bt wadau wa muziki wanaziba masikio kwako!rama dee ur de best artist in tz ever wengine ujanja tu ...
duuuuuuuu nzuri sanaaaaaaa
Daah brother we ni mkali xn cjuy wabongo tunakwama WAP kua proud na mtu Kama ww
kaka unajua sana nannkukbal sanaaa hususan hii ngoma huaga naiweka wakt wakulala aise yan usngz unakuja kiulainiiiii
Still watching 2025, who else watching this song? 🔥 🔥
Mr nakubari sana kwakila kitu kizuri unacho Fanya endelea kukaza one day yes good
Best song of the year bt cjui kwann haina viewers wengi
Watu hawajui mziki mzuri washamba wanajua ngololo tu na sinderela sasa huu ndio mziki wetu.
Clause
Media walimwuaaa
Kazi nzuri @Rama Dee
poa sana ,zee D, we jamaa ni noma sana kwa vichupa vya gafla nimeielewa sana hii ngoma
jamani hii ngoma inachoma moyo kichi wadau yani aichoshi asa kwasisi tunao jua music wa rnb mungu mtoe nahuyu RAMA DEE apate kufikisha ujumbe mbali mbali duniani
Mpk machoz yamenitoka,nasisimka mwili mzima..sauti yko..the way unavoimba km mbele vile😍...I'm so proud of you.brother...
Konde boy for everybody❤
rama dee,wewe unaweza ndugu,ila media ndio tatizo sana bongo. Nyimbo mbovu wanazipa nafasi,For me this is my best song.
so refreshing music bro..u are one of the underrated tanzanian artists but men ur sound,lyrics is so breathtaking u deserve worldwide recognition maana we ni mkali..the best rnb artist from Tanzania
This is music... but ndo hivyo upo so underrated... tz tunapoteza sana iconic musicians
Daaa penda sana huu wimbo jamon mpka naumwaaaa
bongo media ndio zinazozingua wapandisha magarasa wanamziki wanawaacha hii video huyo video queen yuko vizuri xana ramadee usikae kimya sana tupia ngoma tu sisi tupo tunathamini kazi zako big up
Dunia tunakwama wapi kumrecognize Rama Dee as the best artist ever happened in Tanzania..au ni kwamba soko la aina ya nyimbo anazoimba Rama Dee zimedrop Africa!?? Binafsi yangu hii nyimbo inadeserve kuwa na viewers wengi sana..
Unaimba sana sana paka basi💯✔🙌🙌
My all time song❤who is feeling this 2024
Haipiti siku mbili bila ya kupita humu
Wajina you're the best
Nyimbo za maan kama hiz bongo zimefichwa na manyimbo ya ajabu
aisee hii nyimbo ni Super sana ofcoz Ramadee ni Next Level
Rnb Rama dee Unajua Ila wengi Hawajui kama unajua
umetish kk, nadhan wangejua ubora wako!!!!!! mmmmhhh lkin watakuelew tu,
unajua mbaka unaniudhi we nomaa!
kazi nzuri vibaya..... one love broo!
Daah aisee kunawatu wanavipaji hii dunia
Series ya Danga imefanya nitafute hiii wimbo nice song
That's Rnb..Good brother
dah..nilizimiss sana hizi mambo...aise kudos..big up Rama Dee..Tz
So gud broh kaz nzur
Rama dee is the King of RNB bongo,yan ana vocal,si kwa uwezo huu
good rama d,bonge la vocal ,mtundo na kinanda kwa mbali, kazi nzuri sana
Still watching 2024🔥🔥 who else watching this song
What more to say bro..This is the song which made my life better till now..God bless you.
Daaaaa sijui ht nisemeje hz ndio ngoma ht zikipgwa wala hujutii mda ulioupoteza kuwekeza hazinq mana ni mziki unaoishi
huu ndio mziki kuna baadhi ya wanamuziki ata ukimuuliza unaimbia key gan hajui...uko vzr kaka
jombaaa the song is so delicious yam yam, umetisha sana erooo
iko poa XNA
dee uko fresh kwenye code
Broo rama ww ni mkali sana tena zaidiii
Who is still here listening to this masterpc in january 2022?🙌
Me 💕
I'm still here in 2023
Same here 💕
i am here on March, 2023
Im still here in 2024, this song is timeless
Msaani wangu pendwa Tanzania keep it up bro,tunaojua mziki tunaelewa kipaji chako
Kaz Nzuri Kinyamaa Broo
Kama ushawahi sikia mziiki ni dawa ya stress ndio kama huu unapenya mpaka kwa ubongo makofi kwako ramadee
tulishinde lengo lao lao lengo lao lao ,mind therapy !!!
Nimeipendaaaaaa huyu jamaa mkali