Nilikuwa kwenye gari ya Mchungaji mmoja Leo muda mfupi uliopita nikawa nimesikia huu wimbo unaimba nilisikia nguvu za MUNGU ndani yangu natamani kuomba tuu ghafla nikaangalia pale kwenye gari huu ni wimbo wa nani unaitwaje theni nikasema nikishuka tu kwenye gari nitakutafuta...hakika HAKUNAA KAMA MUNGU... Umebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu Boazi Danken...
2024 bado wimbo unanguvu hakika Mungu ni mkuu kuliko vitu vyote mtumishi Mungu akubariki sana kupitia nyimbo zako unabariki watu wengi na kubadilisha maisha ya watu
Hivi ni Nani Kama wewe bwana ,tazama mataifa nikama tone la maji katika ndoo tumehesabiwa si kitu mbele za mungu kweli hakuna mwenye ukuu zaidi yako mungu
Hakika hakuna kama wewe Bwana Mungu wetu....ulienivusha katika kile kipindi kigumu ambacho adui walinihesabia siku zangu asante baba Kwa kunivusha salama
Sio mojatu zote zinaujumbe nazinaskilizwa na mamilion ya watu,nawana endelea kusaport kina la mungu wetu alie tuumba,Amina,Mungu akutunze mtumishi .kwani wasikilizaji wengi wa hizi nyimbo zako tunapo ckiliza zinatu badilisha
Ubarikiwe Bwana Mungu wetu, Roho Mtakatifu Ahsante kwa huu wimbo, umekuwa wimbo bora kwangu kwa wakati wote, ninaposikiliza na kuimba wingu la uwepo wako hunifunika, Ubarikiwe ee Bwana Yesu hakuna kama wewe
Huu wimbo sichoki kuusikiliza unanipa kutafakari sana Ukuu wa Mungu juu ya maisha yangu.Nabaki tu machozi yananitoka.Uendelee kubarikiwa Mtumishi wa Mungu
Nakuabudu Mungu wangu kwa wema wako na Fadhili zako maishani mwangu. Nakupenda baba yangu.Hakuna mwingine kama wewe Mungu muumba vyote.Jina lako lihimidiwe milele na milele.Amina
MUNGU AMEKWITIKA MZIGO MWEPEZI NA LAINI, BEBA HUO MZIGO......MFANYE MUNGU WETU AJULIKANE NAWE KUPUNGUA ZAIDI....ILI PIA MIMI NIWEZE KUBARIKIWA NA HII HUDUMA YAKO.....AM REALLY BLESSED BY THIS WONDERFUL SONG......NAJIULIZA SWALI? NANI KAMA WEWE BWANA MUNGU WETU......HAKUNA HAKUNA MWINGINE KAMA WEWE
Surely none can compare to God our Heavenly Father, Creator of all the Earth, Ancient of days! He is God above all else. Wonderful worship... beautiful voices... Glory to God. May God lift you to greater heights of worship.
Hii song imenigunza kilidi cha moyo wangu n imenifanya nimpende mungu zaidi ubarkiwe sana MTU wa mungu na ninaomba hyo neema ya kuabudu hvyo ijae maishani mwangu
Didn't know words except ...nani kama wewe and the voice. Didn't know who sang this song. I woke singing and knew was holy spirit guiding this. Getting you here early morning was followed by singing loudly and a cry. Mungu akubariki sana Danken. You're a blessing with all your songs. You sing in spirit.
Huu wimbo nausikiliza na kuusikiliza na kuusikiliza naurudia rudia mara mbili mbili wala hauniishi hamu. Hakika hakuna kama wewe. Ubarikiwe Boaz Danken
amen amen Mungu wetu ni mkubwa na mkuu mno ubarikiwe kaka kwa wimbo huu ,Mungu wa mbinguni akuinue zaidi katika viwango vya kumjua yeye na roho mtakatifu akutumie kwa mafuta mengi katika huduma yako na ukaguse mioyo ya watu.

Kama bado tupo pamoja tunamwabudu mungu gonga like hapa
Tukopaja ubalikiwe
Nkwl Akn kama wewe bwana nakupenda sana
Haluyaa
🎉
Amen 🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Kama bado tupo pamoja katika 2020 gonga like tuende mbele 🙏🙏
Kaka mungu akuinue
Asante Utukufu kwa Mungu wetu
BOAZ DANKEN Be blessed kaka👏👏👏👏👏👏👏👏
BOAZ DANKEN
Nahitaji cd yako boazi nipo mbeya
Amina
Ubarikiwe mno mno! Napenda huduma yako! Utukufu kwa Yesu! Siku moja uje Lindi tutafurahi
Hakika hakuna wewe Bwana Mungu wetu kama bado huko hai muda huu gonga like 🥰🥰
Ambao bado tunasikiliza huu 2020 like zenu jamaa naupenda sana huu wimbo
Nakupenda pi
2024 again is my worship one song
Boaz Danken, I used to be your fan, but after watching this video, I am now officially your air conditioner
Nani kama ww Bwana Mungu wetu mm ninacho furahi unaimba ktk roho Mungu akubariki sana
This song deserve a thousand million views
Hivi ni Nani Kama wewe bwana ,tazama mataifa nikama tone la maji katika ndoo tumehesabiwa si kitu mbele za mungu kweli hakuna mwenye ukuu zaidi yako mungu
Nasikia kububujika kila niusikilizapo huu wimbo, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Sisi Tuitwae Kwa JINA LA CHRISTO hatuna budi Kumwabudu
Hakika hakuna kama wewe Bwana Mungu wetu....ulienivusha katika kile kipindi kigumu ambacho adui walinihesabia siku zangu asante baba Kwa kunivusha salama
Amen amen Yuko pekee yake daima Amen Amen🙏
Sio mojatu zote zinaujumbe nazinaskilizwa na mamilion ya watu,nawana endelea kusaport kina la mungu wetu alie tuumba,Amina,Mungu akutunze mtumishi .kwani wasikilizaji wengi wa hizi nyimbo zako tunapo ckiliza zinatu badilisha
NINAPO SIKILIZA WIMBO HUU NASIKIA UWEPO WA MUNGU. HAKIKA!!!!! BARIKIWA KAKA DUNKEN
Barkiwa sana kaka kea wimbop
Barikiwa sanaaa mungu apewe sifa
Tumpe Ngala mung akubarik sana kaka yang unatubariki sana
Ubarikiwe Bwana Mungu wetu, Roho Mtakatifu Ahsante kwa huu wimbo, umekuwa wimbo bora kwangu kwa wakati wote, ninaposikiliza na kuimba wingu la uwepo wako hunifunika, Ubarikiwe ee Bwana Yesu hakuna kama wewe
🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
VLC❤
Huu wimbo nimeutafuta mda mrefu,leo nimeupata. Unanibariki Sana, Boaz huu wimbo uliutendea haki. Mungu azidi kukujaza mtumishi
Huu wimbo sichoki kuusikiliza unanipa kutafakari sana Ukuu wa Mungu juu ya maisha yangu.Nabaki tu machozi yananitoka.Uendelee kubarikiwa Mtumishi wa Mungu
Nahisi kujazwa na nguvu za Mungu kila ninaposikiliza huu wimbo
Yani kaka una Huduma nzuri sana kila nikisikilaza nyimbo zako najisikia tofaut sanaa, Barikiwa sanaa
In 2025 still worshipping God in Spirit🙏🙏
Amen MTUMISHI huu wimbo ya najiuna kama mtu wa tofauti Sana napo sikiliza Ee MUNGU kama sio ww ningekuwa wapi mm asanteeee bwana wangu amen
Boaz may the good God bless you abundantly.Akuinue zaidi ili uzidi kutubariki kupitia nyimbo zako
Ni mara ya kwanza kuuskiza wimbo huu. I am more than blessed. Bwana akutilie mafuta zaidi
Nani kama wewe...enjoying the worship
Ubalikiwe Mtumishi wa Mungu Nyimbo zako zinanibariki sanaa Uinuliwe Boaz uko rohoni
Uinuliwe MUNGU wetu. Gonga like hapa kama umeguswa na wimbo huu kama Mimi.
Nani kama Wewe Bwana , MUNGU Wetu.
Barikiwa Boaz Danken.Kenya twakupenda.u.s.a twakupenda.Likes2020 April💞
This has become my daily morning song.There is no one like you my Lord God.🙌🙌🙌🙌🙏💯
So powerful and timeless... Thank you Boaz for your commitment to the gospel of Jesus Christ
Nakuabudu Mungu wangu kwa wema wako na Fadhili zako maishani mwangu. Nakupenda baba yangu.Hakuna mwingine kama wewe Mungu muumba vyote.Jina lako lihimidiwe milele na milele.Amina
E
Very powerful spiritual worship I'm blessed and may our almighty God continue to increase you
Ubarikiwe Sana kwa wimbo mzuri,ujumbe mzuri,Mungu akuinue zaidi
Kwa kweli natafuta cha kuandika nakosa wanaojua kuabudu katika roho na kweli wanamuelewa sana huyu kaka
Huu wimbo umejaa Roho Mt.napo usikiliza najiona naelea uweponi mwake kamwe sintaacha kuusikiliza
MUNGU AMEKWITIKA MZIGO MWEPEZI NA LAINI, BEBA HUO MZIGO......MFANYE MUNGU WETU AJULIKANE NAWE KUPUNGUA ZAIDI....ILI PIA MIMI NIWEZE KUBARIKIWA NA HII HUDUMA YAKO.....AM REALLY BLESSED BY THIS WONDERFUL SONG......NAJIULIZA SWALI? NANI KAMA WEWE BWANA MUNGU WETU......HAKUNA HAKUNA MWINGINE KAMA WEWE
Siwezi kuuangalia au kuusikiliza uhu wimbo bila kutoa machozi😢😢. Hakika hakuna kama wewe Mungu wetu
Sasa ni nan Kama we MUNGU ulieniamsha asbh ukanileta hapa kwa huu wimbo
Nani kama wewe Mungu Unayenivusha katika Nyakati zote Hakika Nani kama wewe.
Hakuna mwingine kama wewe jehova wetu, ubarikiwe sana baoz
Surely none can compare to God our Heavenly Father, Creator of all the Earth, Ancient of days! He is God above all else. Wonderful worship... beautiful voices... Glory to God. May God lift you to greater heights of worship.
Naflai caaana na myimbo za boazi mungu akubaliki sana
Amina huu wimbo unaniinua kiroho hakika hakuna kama Mungu wetu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Indeed their is none like you God,
Kama sio wewe ningekua wapi mungu wangu?
Kaka MUNGU amekupa kipawa kikubwa Sana ambacho hakina kipingamizi endelea hivyo hivyo
hakuna kama wewe Bwana Mungu wetu. Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi. Mungu azidi kukutumia
Hii song imenigunza kilidi cha moyo wangu n imenifanya nimpende mungu zaidi ubarkiwe sana MTU wa mungu na ninaomba hyo neema ya kuabudu hvyo ijae maishani mwangu
Hakana kama wewe bwana ...will praise you forever
Mungu aliye umba mbingu na ichi akuinue zaidi na zaidi
Nashukuru mungu kwa hii wimbo,mungu mbariki mtumishi wako mwenye ameuimba wimbo huu🙏
I feel the presence of God in the song. May God lift you to the next level
Glory to the most high... May God preserve you garment as white as snow
Didn't know words except ...nani kama wewe and the voice. Didn't know who sang this song. I woke singing and knew was holy spirit guiding this. Getting you here early morning was followed by singing loudly and a cry. Mungu akubariki sana Danken. You're a blessing with all your songs. You sing in spirit.
Huu wimbo nausikiliza na kuusikiliza na kuusikiliza naurudia rudia mara mbili mbili wala hauniishi hamu. Hakika hakuna kama wewe. Ubarikiwe Boaz Danken
amen amen Mungu wetu ni mkubwa na mkuu mno ubarikiwe kaka kwa wimbo huu ,Mungu wa mbinguni akuinue zaidi katika viwango vya kumjua yeye na roho mtakatifu akutumie kwa mafuta mengi katika huduma yako na ukaguse mioyo ya watu.
Nani kama wewe Bwana....inainua moyo Wa ibada
Ubarikiwe mtumishi nabarikiwa xana nyimbo zako
Mzee wangu YESU akutunze sana umeipiga vilivyo isaya 40:10........
Hello kaka
inbox
Wamwabuduo halisi na tumwabudu baba katika roho na kweli
2024 still in my Favorite list😢
Roho yangu na umuabudu bwana!!!🤲
Barikiwa saana mtumishi wimbo unabariki saana
Hearing this song for the first time and am down in tears 😭😭😭😭😭 for sure hakuna kama yeye
Hallelujah Ooh Mungu wangu nope moyo.ulio pondeka uliojawa na unyenyekevu wako.Mungu wangu
Nabarikiwa sana na wimbo huu.. MUNGU akubariki sana kaka Boaz🙏
Man of God nakumbuka kuna siku ulikuja dodoma kwaajili ya kongamano la watoto wawachungaji that day was sooooo powerful Be blessed😊
Wimbo mzuri sana. Najiskia kubarikiwa
Nani kama wewe ni WA milele ❤
Naupenda Sana wimbo huu,barikiwa.
Namshukuru MUNGU wimbo umenibariki saana
Hakuna aliye kama huyu Yesu ni mkuu sana
@ 2024 Dec..........Bado twauliza Je ninani kama Mungu wetu???????????????????????????
Hakika hakuna kama yesu nakupenda yesu wangu
Una nigusa nyimbo zako balikiwa sanaa
Hakika nyimbo zako zinanibariki sana Mungu akuinue zaidi ya hapo kaka!
Mungu akubariki sana mtumishi🔥
Naupakuaje huu wimbo anaejua anisaidie
Nyimbo safi ya kuabudiwa
Barikiwa mtumishi
Kiukweli Unanibariki Sanaa Wimbo huu. Yesu Akutunze kaka Yangu.
Hakuna kama wewe MUNGU wetu❤
Najikutaga nalia tu. Barikiwa kaka yangu👏
I am so much blessed by your songs,,,,zote zina upako. Mungu akubariki sana na akatimize haja ya moyo wako
Inaniguza saana
Barikiwa 🙏🔥
Ni nani kama wewe Bwana Mungu wetu..hakuna kama wewe mlinzi wa roho zetu..uimidiwe aubudiwe ushukuliwa Yesu wetu
Hallelujah utukufu kwa Mungu hakuna kama Yeye, Boaz DanKen Mweyezi Mungu akuzidishie neema yake.
hapa kwa huu wimbo nakusaluti
The time I'm down, I just listen to your songs, nikitoka hapo nakuaga nimejazwa kwa nguvu mpya,
Sijaona Mungu mwingine Kama Baba wa Mbinguni hakika Mungu akubariki Sana wimbo mzuri sana
Wonderful wonderful wonderful...
Who is like you my God
Glory to God forever
Nimebarikiwa sana😊😢
Nasikia nguvu za Mungu kuu sana. Ubarikiwe mtumishi
Ni nani angenisamehe maovu yangu kama sio ww yesu ohh Jesus we love you
Barikiwa Sana Sana Sana mtu wa Mungu
Keep the ball rolling,am bless bro
hakuna kama Mungu yeye pekee anastahili utukufu