Mkasi | S13E13 with Martin Chegere Extended version

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025
  • Mkasi | S13E13 with Martin Chegere Extended version

Комментарии • 17

  • @juliasjohn9110
    @juliasjohn9110 6 лет назад

    truly speaking huyu mshkaj anajua koz ameniinspire sana kufika mbali nampa hongera kuwa t.o primary secondary advance chuo
    kiukweli serikali libidi impe tuzo ya heshima... jamaa angekuwa mmarekani angepewatuzo na rekodi pia angeshikilia ..... aaacheni jokes kuwa beat student level zote sio ki2 cha jokes
    .........one day I will meet with you.....blessed another t.o nshi.yeimana John acsee2020 makongo thank u

  • @kinyogodingubita371
    @kinyogodingubita371 9 лет назад +1

    katika show zote za mkasi .....hii ndo best show

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be 8 лет назад +1

    Genius Martin Chegere 2004 uliweka history ukairudia 2007

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 8 лет назад +1

    Yani nimependa this episode ya maswala ya mfumo wa Elimu Tanzania.
    nimebahatika kusoma international school(igcse and alevels) na private (necta) primary. nimeweza kukucompare na nimeona cha msingi ni incentives kwa walimu. lazima wawe motivated. mwalimu wa international school analipwa vizuri mno na malupolupo kibao. mfumo wa igcse unakufanya uweze kuwaza kimwenyewe mwenyewe kama mwanafunzi. sasa necta is the opposite. kama mimi nilikuwa wa kawaida mno primary -top 5 nipo.... ila nilivyoenda secondary igcse uwezo wa kujieleza na kufikiria na inasaidia mno kwenye kujibu maswali ya mtihani mpaka top in Tanzania (business studies). anyways, mfumo ubadilishwe na ofcourse utendaji.
    Elimu ni muhimu sana.
    I love mkasi very eye opening!

  • @saumusalimuhassan772
    @saumusalimuhassan772 8 лет назад

    kijana yuko vizur sana, big up sana kwa kipindi chako.

  • @cathmariki2344
    @cathmariki2344 9 лет назад

    napenda sana kipindi chenu cha mkasi because I have learnt a lot since nimeanza kuangalia hiki kipendi, ila as they said others, mboreshe mpangilio wa maswali na pia salama please please, naomba uwafundishe vijana wako a polite language! kwasababu they are not polite at all while asking questions. izo "nataka uniambie" wakati wanauliza maswali serious zinaboa kwa mimi kama mtazamaji, sijui kwahao wanaoulizwa inakuaje. After all napenda sana kipindi chenu.!

  • @saidalzakwani8402
    @saidalzakwani8402 9 лет назад

    Ndugu yangu Salama vaa vizuri waharibu jina lako.

  • @khuuaisha4851
    @khuuaisha4851 9 лет назад

    salama sio ulaya tu ata Kenya kuko na hio system na imagine bado ni east Africa

  • @emanuelbelato2655
    @emanuelbelato2655 9 лет назад +1

    Elimu ya nchii tutasubiri xana

  • @kipolaina
    @kipolaina 9 лет назад +1

    Ni utendaji wa serikali ni mbovu hauna usimamizi or responsibility and accountability

  • @mjombajomba2937
    @mjombajomba2937 9 лет назад +2

    I have to dislike this interview, but I appreciate this guy's intellectual ability.
    Mkasi kila nikijaribu kuangalia video zenu nazidi kuwa disappointed, badala ya kwenda mbele mnarudi nyuma. Mwishowe sitakua na budi ila kuacha kuangalia hiki kipindi.
    Matatizo yale yale kila siku, mpangilio wa maswali, kuingiliana kwa waulizaji na kumuingilia anaehojiwa. Hii inatutoa watazamaji nje ya hamu ya kuendelea kuangalia kipindi
    Hamtoi utambulisho wa kutosha kuhusu wageni, mfano huyu jamaa yawezekana wengi wanamjua ila naamini tuliowengi hatumjui. Kama ni uwezo wake kielimu ilibidi mtoe utambulisho wa kina ili muweze kwenda sambasamba na watazamaji. Ilibidi aulizwe alama zake ili watu wajue uwezo wa jamaa
    Mpangilio wa maswali yenu ni hovyo sana yani mnauliza hili mnaenda huku mnarudi kule mnaruka tena sijui mnatumia mfumo gani wa kuuliza maswali. Pamoja na kwamba theme ya kipindi ni kimtaa/kijiweni/maskani zaidi ila professionalism lazima izingatiwe since mnarusha kwa TV.
    Nipende kutoa rai pia uzito wa maswali uongezwe hasa kwa watu wa namna ya Chegere, wanasiasa na wageni wote. Mtu kama huyu inabidid aulizwe maswali mazito kidogo sio maswali ya mepesi mepesi as if mnapiga story ili maisha ya ndani ya jamaa yafahamike bila kuacha mchango wake kwa jamii. Boresheni maswali yenu. Sio mbaya kama mtakua mnafanya research kidogo kabla hamjawahoji wageni wenu
    I wonder kama hii ni extended version hiyo short version kwenye runinga sijui ilikuaje smh

    • @Gwiji83
      @Gwiji83 9 лет назад

      +Mjomba jomba Nakubaliana na wewe sana kwenye kuingiliana kuuliza maswali hakuna mpangilio mzuri kuhusu utambulisho wa mgeni na huwa wanatoa utambulisho wa kutosha kwenye page yao ya Twitter

  • @rashidmwakisombole3290
    @rashidmwakisombole3290 8 лет назад +1

    martin kanifunza ki2 this guy was very very genous

  • @ismaelaruna1226
    @ismaelaruna1226 9 лет назад +1

    huyu jamaa nimesoma naye ukonga ........

  • @salimsalmy2045
    @salimsalmy2045 9 лет назад

    Matatizo kila siku, mpangilio wa maswali, kuingiliana kwa waulizaji na kumuingilia anaehojiwa.