Wow I have the discussion Steve Nyerere has gone through alot . I will make a contribution for that child who has the disability when I will be in Dar on Tuesday. I'm from 🇲🇼 Malawi
This show has a perfect cast. I am partial to FID Q because i fux with his music & lived a similarly cosmopolitan life. Nonetheless, I respect the perspective of Sallam and AY, who is very economical with his words. I do think, however, the show needs a singular guest or they need to stretch the show into 2 hours so the conversations can flow until their natural end. Big ups from Cali!
Germany iwe shule au duka au restaurant usipokuwa na facility ya choo cha walemavu hata kibali cha kujenga hautapewa, serikali ya Tz inatakiwa kuliangalia kwa undani hili na inabidi Ay umfikishie FA hilo na wengine waliongelee bungeni wajuwe wanaweka sheria gani, vyenginevyo kila siku mtachangia walemavu ila mujuwe kuwa sio kila mlemavu ana msemaji kama Madam Rita na The Joint
Binadamu tupo duniani kwa kusudi na hilo kusudi la kuwepo kwako ndo Kazi yako, Kimantiki kazi ni kitu unazaliwa kufanya ni maono ya ndani, na maono yatakupa vitu vitatu 1. Dhamira utajisikia msukumo wa ndani wa kufanya jambo 2. Ulidhisho utasikia tu sauti ya ndani inakuambia hapa ndo ulipokusudiwa kuwepo 3. Utajiona mbali kwenye hicho unafanya, kama ujaona hivyo vitu hupo kwenye ajira, ajira ni kitu unafanya ili ujipatie kipato au ujifunze kitu ili kwenda kwenye kazi yako..
KAzi unayofanya unaweza jua kama inakufaa kama inabalance ya vitu vitatu: Kiasi flani cha uhuru wa kufanya maamuzi, Malipo yanayoendana na juhudi zako (you are not exploited/ you are not exploiting) na kiasi flani cha changamoto mpya kila siku.
Kweli kabisa wakati mwingine matatizo yanaweza kukuhamasisha. Hata mm njaa ndio ilionipelekea kujifunza kunyoa mpaka na kuipenda kazi hiyo . Matatizo ni fursa
Hamjiachiii mnaenda kinyume na taratibu za joint Bado hamuonyeshi ubora wa kipindi .fanyeni kipindi kiwe bora tunaangalia tukiwa nje ya nchi tunaka ubora.sasa hapo tokea muanze baba levo alisema ukweli kuhusu maisha yake wengine mnaficha. Fid q uliishi Tabata kabla hujatoka chunusi kibao mbona huelewi mastori tokea huko.
Stv nakukubali baba Duniani huwezi kubaliwa na kila mtu,na mbaya Zaidi kwa Africa mtu hukumbukwa mema yake anapokufa,akiwa hai umhimu/ mema yake hayaonekan wala kuongelewa badala yake huongelewa mabaya pole stive usikate tamaa kama ulivosema usiwape nafasi yakukuvunja moyo yakufanya mambo yako yenye maendeleo yako.
NIMEFUATILIA KIPINDI CHENU HAKIKA MMEJIPANGA SANA MAANA HATA GUEST WENU MNALETA WENYE UTOFAUTI MFANO MMOJA ANAKUWA SERIOUS MWNGINE ANAKUWA MCHANGAMFU TU MUONGEAJI ILI KIPINDI KISIPOE SAFI SANA......
Nilisoma kitabu kinaitwa mind nilichojifunza njisi mwanadamu anavyojishikiza na maisha yake yaliyopita anavyoishi leo iliyotawaliwa na juzi jana na kesho anaumia leo kutokana na jambo iliyotokea myaka mitatu iliyopita
Mbona mnatoa story za maisha yenu hamjibu swali husika mtu anaongelea maisha yake na hayaendani na swali au hayo maswali yanakuwepo kama kivuli ili mpate pa kuanzia story
FID Q is always the most matured one in these settings. He is composed analytical and full of wisdom... got to love his swag
He has studied alot, while Sallam he is just a ghetto king 🤴
@Malik Awadh I will go with this one
Wow I have the discussion Steve Nyerere has gone through alot . I will make a contribution for that child who has the disability when I will be in Dar on Tuesday. I'm from 🇲🇼 Malawi
Asante kwa support
Big up to #TheJoint we need more shows like this in TZ
Currently, the best East Africa talk show
Very nice and emotional keep up Steve ipo siku utakumbukwa kwa kile unachokifanya.
All the episodes in the bag it’s lit 🔥... all the way from Manchester 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
STEVE IS CRAZY AISEE...KACHANGAMSHA SHOW SANA.....
This show has a perfect cast. I am partial to FID Q because i fux with his music & lived a similarly cosmopolitan life. Nonetheless, I respect the perspective of Sallam and AY, who is very economical with his words. I do think, however, the show needs a singular guest or they need to stretch the show into 2 hours so the conversations can flow until their natural end. Big ups from Cali!
Steve emotional /one day you will be the best
Fidq is the smartest of all ✌️✌️✌️
AY comes next! Yes.. Fid the coolest.
Steve nyerere the dumbest
(tho he passed thru alot)b.t.w. who hasn't!)
@@timmztimam3990 the dumbest 😂
Big up mungu awazidishie sana ni kitu kikubwa sna hiki
I love this discussion
Tunataka podcast ya hii show! Will be cool.
Congrats 👏👏 leo kipindi 🔥🔥🔥time yakujibu maswali iko poa
Germany iwe shule au duka au restaurant usipokuwa na facility ya choo cha walemavu hata kibali cha kujenga hautapewa, serikali ya Tz inatakiwa kuliangalia kwa undani hili na inabidi Ay umfikishie FA hilo na wengine waliongelee bungeni wajuwe wanaweka sheria gani, vyenginevyo kila siku mtachangia walemavu ila mujuwe kuwa sio kila mlemavu ana msemaji kama Madam Rita na The Joint
Mualikine kiba na mond show itakuwa karii sanaaaa
The show is Lit... Enh bhana steve katisha sana.
Historia ya nyerere nmeielewa
Thanks The Joint kwa kipindi kizuri sanaa
Steve full of Gems..!
Nainjoy show...!!
Lep nimemkubali Steve Nyerere
Shoo ipo Kali sana yaani najifunza huku nacheka,inafirahisha huku inafundisha sana
Bonge la kipindi watu wapo comfortable and free kujielezea no kuoangiwa.
Binadamu tupo duniani kwa kusudi na hilo kusudi la kuwepo kwako ndo Kazi yako, Kimantiki kazi ni kitu unazaliwa kufanya ni maono ya ndani, na maono yatakupa vitu vitatu 1. Dhamira utajisikia msukumo wa ndani wa kufanya jambo 2. Ulidhisho utasikia tu sauti ya ndani inakuambia hapa ndo ulipokusudiwa kuwepo 3. Utajiona mbali kwenye hicho unafanya, kama ujaona hivyo vitu hupo kwenye ajira, ajira ni kitu unafanya ili ujipatie kipato au ujifunze kitu ili kwenda kwenye kazi yako..
KAzi unayofanya unaweza jua kama inakufaa kama inabalance ya vitu vitatu: Kiasi flani cha uhuru wa kufanya maamuzi, Malipo yanayoendana na juhudi zako (you are not exploited/ you are not exploiting) na kiasi flani cha changamoto mpya kila siku.
Unaweza juwa kama kazi unayofanya inakufaa kama inakunufaisha(paying off)
@@familygaspar Kama kazi ninayoifanya inahivyo vitu vitatu hapo juu then yah its quite a paying off job to me.
Big up my brothers very interactive
Big show ever.... Salute u guys 🔥🔥🔥💯
What a show! Big up Sana wazee
Kweli kabisa wakati mwingine matatizo yanaweza kukuhamasisha. Hata mm njaa ndio ilionipelekea kujifunza kunyoa mpaka na kuipenda kazi hiyo . Matatizo ni fursa
Hhhhhhh
Huyu nyerere msimuite tena 🤣🤣🤣anaujinga sana
James Hadley Chase, mnyama kabisa yule jamaa🙌
I always follow the show coz of philosopher Ngosha
Salam anaharibu kuropoka kwingi
steve kakaaaaa kwenye kiti miguu haifiki chini
Kuanzia the joint ianze leo nimeielewa zaidi kwa msoto wa maisha mpaka kufanikiwa
Chama limetimia wote🔥bt Steve leo🔥🔥
Muda kama hautosh hiv... big up sana
Fantastic discussion I like it big up my broda
Uyo Madam Rita kaeka 4 anataka kutuonesha nini sasa sisi wanae
the 4 agreements by Don Miguel, #Kiberiti #KitaaOLOJIA
Tunaomba salama Jaber banaaa
Steve nakupenda bureeee
Salama na ngosha mnatisha mzee wakomesho over padri metetisha sana
Nakubali fid Q
Mm sina cha kusema inanibidi nieme chochote kwakweli akili inatumika big up kwa alitoa wazo la kuandaa hikk kipindi na kuweka hawa watu....
KIBERITI IS MY TUNE SINCE DAY ONE...
Hamjiachiii mnaenda kinyume na taratibu za joint Bado hamuonyeshi ubora wa kipindi .fanyeni kipindi kiwe bora tunaangalia tukiwa nje ya nchi tunaka ubora.sasa hapo tokea muanze baba levo alisema ukweli kuhusu maisha yake wengine mnaficha. Fid q uliishi Tabata kabla hujatoka chunusi kibao mbona huelewi mastori tokea huko.
Stv nakukubali baba Duniani huwezi kubaliwa na kila mtu,na mbaya Zaidi kwa Africa mtu hukumbukwa mema yake anapokufa,akiwa hai umhimu/ mema yake hayaonekan wala kuongelewa badala yake huongelewa mabaya pole stive usikate tamaa kama ulivosema usiwape nafasi yakukuvunja moyo yakufanya mambo yako yenye maendeleo yako.
Kama kazi inakufaa. Utajisikia furaha ukiwa unafanya "Tu prends du plaisir en faisant ce travail "
Will Gamba, tutaludi na Roho zetu, hichikitabu nilikuwa nasimuliwa na Broo wangu dah (Big up AY)
Mm niko Mozambique 🇲🇿 nawafatilia sana hichi kipindi tuko pamoja ❤️😘
Love u guys❤
Nan kaona paja LA MTU fulan
Respect guys 👋
Steve Nyerere umekaa miguu haigusi chini hahaha
Nasikia mjomba wake G wa Mwanza hotel anampenda sana
Jaman mbona mnachelewa kutoa kipindi jitahidi kuwa mnatoa mara kwa Mara mnatukosha mnooo
I like the discussion going on🔥🔥
I like
Big Steve
NIMEFUATILIA KIPINDI CHENU HAKIKA MMEJIPANGA SANA MAANA HATA GUEST WENU MNALETA WENYE UTOFAUTI MFANO MMOJA ANAKUWA SERIOUS MWNGINE ANAKUWA MCHANGAMFU TU MUONGEAJI ILI KIPINDI KISIPOE SAFI SANA......
🔥🔥🔥pindi langu la mwaka #thejoint #naenjoy
Kwa wenye english yao nataka kujuwa icho kitabo alicho sema Madam Ritah akimwambiya Sallam akikisoma kutokana na gisi anavyopenda hela
Kinaitwa The Secret by Rhonda Byrne
Kipindi kizuri ila sallam analeta uswahili sana kama yuko kijiweni kw kukatisha mada anaongoza
True bro, anapenda kuprovoke
Hili pindi kubwa Sana....💪
Nilisoma kitabu kinaitwa mind nilichojifunza njisi mwanadamu anavyojishikiza na maisha yake yaliyopita anavyoishi leo iliyotawaliwa na juzi jana na kesho anaumia leo kutokana na jambo iliyotokea myaka mitatu iliyopita
Pamoko sana
Kenya 🇰🇪 .. show tunaipenda, fucka SK na wengineo heshima 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸
Wanya mwezz zkumamaameeeeww mpkaaaaa laaa uish ama kuwachek awa ndo wanya mwez bwnaa bongo
Stive nimekupenda bure masikini japo maneno yako yameniliza yamenikumbusha mbali kwa mtazamo wangu utafika mbali
Ila steve bhana daaah hatar sana
Kipindi kizurii sana 🇹🇿🇹🇿🥂🥂
Iko kitabu alichokisoma Steve hata mimi nimekisoma 🤣🙌
Hahaha pindi tamu sana aisee unafurahi na kuelimika
Don't cry bro
Tangu nimjue Stive Leo kaongea point nilikua nakachukia kativo
Kipindi kikali sana leo kimechangamka sana
Kweli stive leo umeongea mafanikio yanachangamoto
The Joint ni tiba kwa sababu kuna watu tunapona mambo mbalimbali kuptia experience znazotolewa.Mungu awajalie afya na uzima na huduma iendele
I love joint plan
Nani macho yake ameangalia saana paja za madamu kama mimi🤣🤣like hapa
Acha umalaya kijana 🤣🤣🤣🤣
Utajuwa kama kazi unayoifanya inakufa kama inakunufaisha(paying off)
Madam history yako ya kulipwa elfu 6 kwamwezi huku unamnunulia lunch ya elfu kila siku anaekusaidia kutuma fax umetuingiza chakike apo 🤣🤣🤣
Steve kinywaji kimemnogea hahaha
Now this is a Talk ....
Steve ana mihemuko hadi anaharibu
47:45 muone alivokaa HAHAHAH!!!!
Steve anaongea sana!! 🌚
Madam Rita umetisha
Salam Sk 10:40 kawa mpuuzi Sana😂😂😂😂
Young people should watch this
#The_joint ya wenyewe
Nawakubal broo
Mbona mnatoa story za maisha yenu hamjibu swali husika mtu anaongelea maisha yake na hayaendani na swali au hayo maswali yanakuwepo kama kivuli ili mpate pa kuanzia story
Safiiiiiiii
kipindi kizuri...kinachelewa sana kupanda RUclips from Tuesday up to Saturday not really....nice session appreciate
From thursday
Kipindi kizuri sana
Vingereza vya nini? 😂😂😂😂@steve
😂😂😂😂 Ila Steve balaa
I love the show today.hawa ndo watu wakuleta kwenye show❤❤