Nice show, Nimepata vitu vingi sana... Kwa issue ya sky na kitabu cha Jay Z, nadhani ilikuwa ni rahisi sana kwake kufanya kitabu cha Jay z kwa sababu information nyingi zinazomuhusu Jay z zilipatikana kirahisi, *Ukija kwa wasanii wa Nyumbani* they are not clear with the information they provide about them... so unaweza kuandika kitabu, mwisho ukakuta kuna uongo mwingi kuliko ukweli. Hongera sana *SKY* , Kongole pia kwa *THE JOINT*, this thing ni tight!
Hii show umekuwa darasa saana kwangu, katika hii nimependa Mr Laurence alivyo flexible lakini pia Mr Bundala alivyokuwa mkweli kwamba alifeli ili kushinda. Classy
Me nitaomba show nyenginezo mumlete joti na wema sepetu.. sikosi kuangalia show zenu THE JOINT BIG UP 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nashaka kipindi mtuengezee mda mana kuna mambo mengi hamuyaongei kwa mujibu wa time mlizoweka ila hatuchoki kufatilia show na ikifikia mwisho wa show kama tunakataa kwanini inamalizika haraka😢😢
So far nafatatilia hichi kipindi it's the best and tunafaidika Sanaa but ushauri "Salam awape nafasi wageni wa kipindi waongee wakifikia kwenye kipenegele cha kujibu na Kueleza asiwakatishe coz wanakuwa hawamalizi point zao at the end of the day it will be hard to understand there thought and point of their view
Vijana wanapenda pesa kuliko utu ukimpa pesa kasaliti.ona Hawa wachinjaji wanachukua makundi ya vijana na kutoa mkwanja mrefu kesho anakiwasha. Kiukweli vijana kuwaaamini bila usimamizi ni kutoa boko
Kipind kitamu, sky is the best presenter of all the time
Kabisa namkubali sana
Sikupingi
This is what i call the joint the best episode so far ... 🇬🇧🇬🇧❤️❤️
This is one of the best online show which have content to teach both races means from youth to adulthood.keep up guys
My top ranked best presenter in Tanzania ,the GOAT Skywalker 🥰
Anatangaza wap?? 😎
@@barakaekuro SNS simulizi na sauti
Good to see you on a different forum SKY, keep focused young man.
namkubali sana bundala... mi pia najutia kuchelewa kuja dar.
Nice show, Nimepata vitu vingi sana... Kwa issue ya sky na kitabu cha Jay Z, nadhani ilikuwa ni rahisi sana kwake kufanya kitabu cha Jay z kwa sababu information nyingi zinazomuhusu Jay z zilipatikana kirahisi,
*Ukija kwa wasanii wa Nyumbani* they are not clear with the information they provide about them... so unaweza kuandika kitabu, mwisho ukakuta kuna uongo mwingi kuliko ukweli.
Hongera sana *SKY* , Kongole pia kwa *THE JOINT*, this thing ni tight!
Safi sana Am here for Sky Walker(Frederick Bundala)
All the way from Lancaster United Kingdom 🇬🇧❤️❤️❤️ I love the show never miss the episodes 💪❤️❤️
Harry silver man very True 👍. Show ya kibabe .All the way from Leeds
@@delilahbutterwick9789 my neighbour I love the show big time . 🔥
Hii show umekuwa darasa saana kwangu, katika hii nimependa Mr Laurence alivyo flexible lakini pia Mr Bundala alivyokuwa mkweli kwamba alifeli ili kushinda. Classy
Best inspirational interview today, 5 Gurus in under one roof Like, PENTAGON OR NATO👏👏👏
KIINDI BORA KIKUBWA CHA KIKUBWA KINACHOTUFANYA AKILI ZETU ZIWE KUBWA, Big up brotherz
Aisee nimejifunza hpo kuheshim pesa,hata iwe ndogo 👏👏na kuhusu biashara,asanten sana,M'barikiwe
Each point worth the time🙌🏾
This show always makes my day. Keep up the good work.
Nawakubali sana the joint huwa hainipiti kabisa...mnamadini
Sky i respect you so much yani uko na heshima sanaaaaa hekima sanaaaaa hukuruouki you are the best my Brother from another Mather ❤
Salam uwelewa mdogo sana mazungumzo yake
Kipindi kizuri mno! I would love to see you all discuss how the African creatives could change the African narrative.
The best show in town yooh
#Thejoint 🔥🔥 fully knowledge na enjoy
That's true Fid Q,amapiano inataka kutawala TZ...
Fid you deserve the best unajua kuhongeyaa kwa kila swaliiiii respect my l m from USA just watching this of you
nimependa connection yenu Fid q Ay Sallam sk guests wanavodeliver the whole interview is very good keep moving you guys 💪
Fid q ur a really philosopher aseee
Wasukuma tujuane
Yeey alipo Sky me nipo🔥
Nakupenda sana sky
Sky is one of the best interviewer akifata Millard ayo hope atakuja pia
Muheshimiwa Kama kaonja🤣
wana tushishinda kiingereza, nigeria na south africa, tuache hilo mpaka watoto wetu watoke shule waingie kwenye fani
All the way from Denver Colorado 👊🏿
Acha uongo bro 😂😂
@@barakaekuro hahahahaha
@@barakaekuro hahahahaha
Jamaniii nime enjoy SAANA sababu maswali mazungumzo ya mualikwa tunakua hatujawahi sikiliza popote. please Chidibez mualikeni.
Mwenzako kiongozi na ww mpaka apigiwe hodi heeeee na ww sallam🤣🤣🤣🤣
this is the best online show shout to Salam sk , Fid Q and AY you guys are amazing
Me nitaomba show nyenginezo mumlete joti na wema sepetu.. sikosi kuangalia show zenu THE JOINT BIG UP 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nashaka kipindi mtuengezee mda mana kuna mambo mengi hamuyaongei kwa mujibu wa time mlizoweka ila hatuchoki kufatilia show na ikifikia mwisho wa show kama tunakataa kwanini inamalizika haraka😢😢
So far nafatatilia hichi kipindi it's the best and tunafaidika Sanaa but ushauri "Salam awape nafasi wageni wa kipindi waongee wakifikia kwenye kipenegele cha kujibu na Kueleza asiwakatishe coz wanakuwa hawamalizi point zao at the end of the day it will be hard to understand there thought and point of their view
Best Interview Ever 🙌 👌 Masha + sky ! hawa watu ni akili kubwaz ,wanazungumza unaona kabisa wanatumia akili,hawakurupuki! kudos💯🔥🔥
Pindi la kweli
perfect conversation.
Rama my brother, Fid Q Mada respect for the hommie's shout out champ!
Nimeanza kuyaona yale mahono ya the joint,,,nimemkubari Sk
Kipindi kizuri sana 👍👍
Jua halihusiki bhana kwenye haya mambo 😄😄😄
I'm so happy kumuona Sky muhu ndani....
Kipindi kizuri sana
Munachukua mda mfupi kujadili swali mtazamaji alilowauliza kulijadili then mwajadili swala jengine but this show is so good keep it up guz
Toka muanzishe kipindi Leo nimefurahia sana
Chama langu
Sky my Best Presenter 🇹🇿
Nampenda sky anajielewa sana
Im here for Sky
fid Q 🙌🙌🙌
Mzinza n Jamii ya msukuma
Hapana, jamii ya mkerewe
This is huge show
You guys try to put it on Spotify as podcasts
This show always has an hour and few minutes.
Spotify would be better for it
Fid q hati mmmmmh hakuna kitu nunajutia hata kitabu chako😀😃😄
Masha anaonekana kabisa yuko vyombo apo 🍺🍻😂😂🤣
Sky anakuwaga Akili sana leo kulikuwa vichwa akuna utani ni maneno ya Hekima na Akili tupu.
Nakubali salam kwel jamii haituamin vijana hasa sisi madaktar vijana😥😥
Sky✨✨✨✨
nlikua miongoni mwa subscribers 100 wa kwanza wa sns🔥🔥🤝
Kipengeleeeee cha live band mumetisha ndo naona mara kwanza bongo sijawai kosa hata epsode hata moja
Interview zenu Zina mafunzo sana dizzim tv ije dstv sasa
Mtu anayekufananisha na Millard bro sky huyo msamehe bure! Ni limbukeni wa tasnia hii ya habari! Kwa ufupi hakuna anachokijua kuhusu tasnia ya habari
Fid q kwann hilo shati unalipend xn? The joint episode 1 season 01 ulilivaa Leo tena? Vp
Its very nice kipindi
Fid Q kachangamka sana kuliko salam but show imekua nzur
Faridi AY na salama napendaga sana utani wenu sasa mlivohuwa kumleta sky na Mweshimiwa politician.
From Planet Mars watching the show
salam bwana unamaswal shallow sana , waachie kina kubanda na Ay sometimes
Fid u have touched of RELATIVISM
Nashauli ndugu zangu salam na fid wapeni mda wageni wenu watu tunahitaji kuwasikia zaidi kwa kilie mumewalika kwao.
woyoooooo
Next episode naomba mzungumzie discipline ya pesa nd how it apply
SALLAM SK ANA CLAD ZA KIAMERICA
Mjamaa ana 💰
Fid Q unaongea sana
Umeongea maneno 7789 unawanyima nafasi wenzio na wageni pia.
Tuko pamoja mpaka south Africa!
Acha kukurupuka na maswali ya ovyo ovyo wewe salam
Hatareeee
Inakuaje kuaje Episode zaidi ya moja inakuwa Ep 09??
Salam nakuprove wrong hapo kwenye 4G Halotel wako vizuri zaidi.
Hii ni show ya dunia nzima
Lau Masha: "Sawa,Sawa,Sawa,Sawa"
Jamnii mie ushaurii wanguu nyinyii mliokaa hapoo watatuu muma mambo yaziaadaa ya kutufunzaa hasaa hiliii BICHWAA LA SALAMUU ANAMAMBO MINGII HUYUU MTUU NAMIE NTASHAURII ATUGUSEE WATUU TUSIO PENDA MZIKII YANII AFANYE MAMBO MENGII NJEE YA HUOO MZUKOO WA INTAER TEYMENT . HUOO NDIO USHAURII WANGUU
Diamond Platnumz 💎 When?
😃👏
Mazungumzo yaleonimazuli
Watu wanasifu kipindi. tuuuu... Hivi hamuoni jamaa kabla mtu hajajibu wameshaleta ujuaji. ...Masha maswali ya kwanza mawili hajajibu ujuaji ushaingia
Hivi ni mimi tu au na wengine mnaona kama wasukuma wanafananafanana
Fid d anatema nondo tupu pamoja san AY na Sarama
Sky na mkubali san
Urais ni miaka kuanzia 40
Masha tumpate tena huyoo na sky ,masha tumuulize maswali makumu huyu mtu muhimu sanaaaaa he is quite very nice man
naombi moja 2 uyo mkaka muhudumu abadilishwe tunataka mdada .Ndio mdada
mdada sio😂😂😂😂
kipindi kizuri sana, but mpeane mda wa kuongea, msikatishane
Salam wewe Hera tu ila point chenga
Sallam 😂😂😂
Salam mbishi🤣🤣🤣
Kipindi kizuri ubunifu wakutosha.
Fid apunguze munkari
Vijana wanapenda pesa kuliko utu ukimpa pesa kasaliti.ona Hawa wachinjaji wanachukua makundi ya vijana na kutoa mkwanja mrefu kesho anakiwasha. Kiukweli vijana kuwaaamini bila usimamizi ni kutoa boko