MAKONDA AMVAA TUNDU LISSU na MBOWE, ATANGAZA VITA - ''TUTAMPIGA KILA KONA''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 окт 2023
  • MAKONDA AMVAA TUNDU LISSU na MBOWE, ATANGAZA VITA - ''TUTAMPIGA KILA KONA''...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 44

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 7 месяцев назад +1

    Aina yoyote 😊😊😊😊 huna rudi kuja kuhuwa watu na kupiga masase watu...

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 7 месяцев назад +1

    Usije Zanzibar kenge wewe tumewachoka maadui kama wewe Allah akushinde na nia yako mbaya hasbiallah

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 7 месяцев назад

    Mungu akulindea makonda

  • @KuyelaPeter
    @KuyelaPeter 6 месяцев назад

    Safi sana makonda😂😂😂😂

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 6 месяцев назад

    Maji na Umeme in
    Tatizo.nchini
    .

  • @ndemabhwila
    @ndemabhwila 7 месяцев назад

    Bora umeludishwa chadema imefanya ghalama ya mafuta kupanda

  • @karushakamusa5525
    @karushakamusa5525 7 месяцев назад +2

    Unamsema mtu sema mliyo yafanya

  • @JustinMbilinyi-vz8ud
    @JustinMbilinyi-vz8ud Месяц назад

    Daaah babake 2025 inabd tuwapige chini

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 7 месяцев назад +1

    Ole wako uwalete wasiojulikana mungu atakuonyesha shoo

    • @samuelmakara
      @samuelmakara 7 месяцев назад

      Kiburi hutangulia anguko

    • @jdanny497
      @jdanny497 7 месяцев назад

      Eti nakuombea mafuta kwa budget ipi..hela zinatok kwapi..Police na wakurugenzi wakikaa mbali CCM haifiki saa 4 chali

  • @eliakazoo6385
    @eliakazoo6385 7 месяцев назад +1

    Ww ng'ombe kweli

  • @user-bs2nr7gz5p
    @user-bs2nr7gz5p 7 месяцев назад

    Akiwa chini nenda nae akiruka ruka nae tunakuamini kijana wetu makonda

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 7 месяцев назад +2

    wanataka mwenezi muuaji ndiomaana wamekuteua wewe uwa watu itayapata uyatendayo

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 7 месяцев назад

    Mda mwingi kusema watu tuuuuu...unatusahaiiii tulokuweka hapo SIsi masikini

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 7 месяцев назад

    WEWE MAKONDA USIFIKIRI UNAVYOROPOKA BASI WATU WATAOGOPA VITISHO VYAKO,KAMA NI KUFA WOTE TUTAKUFA,KWA HIYO USIONGEE HOVYO KWA SABABU UMEPEWA CHEO CHA KUONGEA POROJO SISI TUMESHAICHOKA CCM AMBAYO IMESHINDWA KUIONGOZA NCHI HII YA TZ.

  • @user-bd7os7mi8d
    @user-bd7os7mi8d 6 месяцев назад

    Hoja dhaifu

  • @eliakazoo6385
    @eliakazoo6385 7 месяцев назад

    Shida nimbaya sana jamaa alipoa kama maji yamtungi.

  • @iddynjonjo
    @iddynjonjo 7 месяцев назад

    Hiyo hoja nimuf elim Bure tumeanza kuisikia huu mwaka wa 10

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 7 месяцев назад +1

    Karejeshwa fitna 😳

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 месяцев назад +1

      Kauli zake ni hatarishi sana, ametuletea kigugumizi .Ni mda tu tutajionea cha mtema kuni .Nawaangalia hao waliopo pembeni yake wanatia huruma kabisa na vikofia vyao

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 7 месяцев назад

    Sasa huyu ana nguvu ya kupamba a na Mbowe??

  • @godfreytarimo4296
    @godfreytarimo4296 7 месяцев назад

    Una akili sis wananch tunaon ujitambui wee makond

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 7 месяцев назад

    Ety wanataka mwenezi wa aina Gani!mkisasi huyu

  • @user-bt3cs6jp4f
    @user-bt3cs6jp4f 6 месяцев назад

    Mizani ipelekwe kuthibiti ubora

  • @iddynjonjo
    @iddynjonjo 7 месяцев назад

    Haya ngoja tuone wakubwa zako wameshindwa ww utaweza au utatumia kama zamani Yale yailaud redio

  • @marthadominick2212
    @marthadominick2212 7 месяцев назад

    Mhh kwani wao wamemfanyaje au wamemzuia nn

  • @calvinlema6107
    @calvinlema6107 7 месяцев назад

    Tunataka hoja

  • @meresoolesiata6952
    @meresoolesiata6952 7 месяцев назад

    Mwaa acheni lisu aende ngorongoro

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 7 месяцев назад

    Ku'nguta vumbi kbsa

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 7 месяцев назад

    Fata yako acha unyoko😏

  • @BahatiYenzela-kj6jq
    @BahatiYenzela-kj6jq 7 месяцев назад

    Fisi ni fisi tu

  • @user-bs2nr7gz5p
    @user-bs2nr7gz5p 7 месяцев назад

    Ruka nae popote alipo

  • @user-ht6wt6kt5f
    @user-ht6wt6kt5f 7 месяцев назад

    Sjui wanaongea nn yaani ni mbowe sasa mbowe ni nani tunataka maendeleo sio mambo ya mbowe

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 7 месяцев назад

    Sugu uko wapii Luka naye chadema Hana Sela tume hulu

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi 7 месяцев назад

    Huyu mpumbavu amerudi tena umeanza kumchokonoa tundu lisu tena

    • @sss3s867
      @sss3s867 7 месяцев назад

      😂😮

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 7 месяцев назад

    makonda wewe achana na tundu lisu yeye sio size yako wewe mweche ccm hatuitaki

  • @LemayanOlesenet-mq2yl
    @LemayanOlesenet-mq2yl 7 месяцев назад

    Huna lolote

  • @user-ht6wt6kt5f
    @user-ht6wt6kt5f 7 месяцев назад +2

    Haelewek anaongea nn yaani hana hoja kabisa naona uchawa tu

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 7 месяцев назад

      Sanaaa yani kaja na MIHEMUKO Kama yote

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 7 месяцев назад

    Mda mwingi kusema watu tuuuuu...unatusahaiiii tulokuweka hapo SIsi masikini