Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Usinipite Niko Tayari kupokea naomba Usinipite Bwana usilale. Juu y yangu ndowa iheshimike na wewe Bwana Umutowe kwenye njia ya uongo Umusafirishe Hadi niliopo Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Usitupite UNISAIDIYE AMINA
Bwana wetu niokoe unitie mkononi mwako unfundishe neno lako nakufanya ma ombi kwenye mulaini waheshima zako baba unisamhee unisaidiye unfundishe cocote nitakalo Fanya lifanyike kwajili Yako Asante baba Asante Sana mungu wangu kwa jina layesu mwenye uwezo amen
Bwana wa mabwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai nakuripotia magonjwa Yakurogwa na Wachawi Uwapige mishale ya moto wakate moto na wakufe ,ndoto mbaya ,Pepo za Aina mbalimbali zinazotusumbua, Vizuwizi vyote Vinavyo niwekea barrier Ili Nisiwasiliane Nawewe Hakikisha Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Uichome na mionzi ao mishale ya moto ikate moto na kufa, jioni zote,na Watesi Wote wanao Tusumbua Sumbua Wakate moto na wakufe Wote Ndo yangu ifunguliwe usafiri inikute tuwe pamoja Maombo Roho MTakatifu Anifunguwe , Ahksante Roho MTakatifu sumbua ,majini yasinisumbuwe tena, Uwasumbuwe Maadui Zangu wote Waondoke Wakate moto na wakufe Ktk Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Uliye Hai , Nizidishiye hata kipato,kazi, Na wanisbuwao Kwa Deni Zangu hizo zinazo Sumbawa mo iwasumbuwe moyo Wangu Bwana wa mabwa nifungue Nilipiwe Naomba riziki Zangu Kila siku Usiniache Naomba Roho MTakatifu niongoze Kupitiya Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Uliye Hai , Na Omba Eeewe Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Uliye Hai UNISAIDIYE, AMINA Yehova na Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Umubarikiye Mwalimu Rev, Pastor innocent mashauri Naomba Roho MTakatifu Amuongezeye Nguvu zakutulisha Neno lako Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Kwa Kila siku, Amina Amina Amina na Uhimidiwe Milele BWANA Wa Majeshi,Amina.
Mungu wangu usinipite acha mkono wako usogezwe katika maisha yangu , nisije haibika mble ya watesi wngu , nitowe katika family niwe na kwngu na kazi nzr . Niwe nasaidia Nami wengine ajili ya kukutolea shukrani 🙏🏼
Bwana Yesu naomba Neema yako isinipite naomba uponyaji wako wewe unajua haja ya moyo wangu,naomba nitembee jambo jipya kwenye Maisha yangu,niko tayari kupokea roho yako kila mahali kwenye maisha yangu.Asante Yesu kwa kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yangu na familia yangu
MUNGU. Nimechoka kukaa namanunguniko naomba niondoleee Haya manunguniko yangu baba Nipe furaha nipe Nuru baba kwenye maisha yangu baba Nipe mahusiano mazuri baba Nipe Mume sahihi mchamungu kila kilichofichwa baba adui yangu baba naomba niondoleee kilichofichwa baba na adui yangu
Amina sana mtumishi wa Mungu🙏 Mungu azidi kukubariki na kukupa kibali Cha kutulisha kondoo wake chakula kilicho Bora kutupelekea kwenye uzima wa milele!🙏🙏
Najitenganisaha nakila nila yeyote kupitia family zetu zote. Naunganisha family yangu naunganisha na Mume mtarajiwa ajae baba awe na idia nzuri awe na msimamo wakipekee baba🙏🙏
Asante mungu nashukuru kwa Jina lako mkombozo wa maisha yangu eee bwana komboa maisha yetu tuenue moyo yetu tutimize ndoto zetu katika familia yangu tuondolea matatizo yetu eee bwana utulinde tu saidia eee bwana bwana naomba roho mtakatifu ongoza watoto wangu pahali waliko wapee rehema zako 😭😭😭
Ewe mungu naomba uponyaji nomba uniepushe na wabaya wangu wote naomba shoti ilio tokea kazini naomba ilipwe na Cha wenyewe emungu usinipitekatika shida zangu
Mwenyezi mungu naomba fungua uchumi wangu fungua Ufahamu wa mtoto wangu joshua anapoenda kuingia mwaka huu basi ukamfungue apate kuelewa darasan naamini utatupigania
Eeeh. MUNGU wa Mbingu. Usiñipite msaada wa nguvu ya roho ya mbinguni Katika maisha yangu naomba niguse na Mimi kwenye mapito yangu baba gusa family yangu huko Tanzania mponye mamaangu Monica Karani na watoto wake wavuke salama mwaka 2023
Eeeehhh Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Uwapige maawadui Zangu Wote bila kuwataja maana Wote wawafahamu
Mungu azidi kutu honekania kwakila hatua zote za maisha yetu 🙏🕊️tupate kuongozwa na Roho mtakatifu🕊️👏🤲.
Amen 🙏 🕊️
Mungu naomba unipe guvu ya kuuwa wachawi na waganga wanae tesa family yangu na magojwa zigolewe katika jina la yesu
Asante yesu asante yesu asante yesu asante roho mtakatifu🙌🙌🙌♥️
Asante yesu Kwa kumtumia mtumishi hakika nimepokea uponyaji wa nafsi yangu ilioharibiwa vibaya Asante yesu.
Nachuku mungu kwayote unanitendeya endereya kunisayidiya kwabyote unajuwa miye nabatotoyangu amen 🙏
Amen Amen roho mtakatifu shuka utende mèma
Mungu nijaze roho mtakatfu naomba mme sahii atokaye kwko bwana
Asante bwana yesu🙌🙌 usinipite bwana nkumbuke yesu🙌
Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Usinipite Niko Tayari kupokea naomba Usinipite Bwana usilale. Juu y yangu ndowa iheshimike na wewe Bwana Umutowe kwenye njia ya uongo Umusafirishe Hadi niliopo Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Usitupite UNISAIDIYE AMINA
Ameen na ameen nampokea Roho Mtakatifu
Bwana wetu niokoe unitie mkononi mwako unfundishe neno lako nakufanya ma ombi kwenye mulaini waheshima zako baba unisamhee unisaidiye unfundishe cocote nitakalo Fanya lifanyike kwajili Yako Asante baba Asante Sana mungu wangu kwa jina layesu mwenye uwezo amen
Hakika atukuzwe Bwana wa majeshi,maana Hilo ndio jina lake lenye mamlaka,nguvu n uweza, Amen 🙏🙏🙏
Mungu funguwa familia yetu mamangu anakilio anapitia mengii Mungu nifanye kichwa katika familia yetu kwa jina laaa Yesu cristo
Amen...mtumishi Mungu akuongezee nguvu Na miaka ya Mingi ya kuwza kutusaidia kutuombea Kwa baba
Amina
Mungu nipe guvu niweze kushida adui zangu wote wanae tesa family yangu yesu
Mungu kubuka watoto wangu yesu naomba wafaulu kwa masomo yao yesu
Mungu fuguwa sharon kwa magojwa za tumbo yesu namini unaweza bwana yesu
Asante roho mtakatifu , asante romtakatifu
Yesu n fariji mwaka huu sina mwingine bali n ww yesu nioshe kwa damu yako roho wamungu nisaidie katika safari hii ya wokovu
Mungu nipe guvu niweze kushida mapago zao za giza katika jina la yesu
AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
Ameeni baba tengeneza udhaufu wangu baba Nipe mahusiano mapya baba
Tenda Bwana kwenye maisha yangu karibu roho wa Bwana kwenye familia yangu
Amen Amen nitafuka salama kwa jina la YESU
Asante baba wa mbinguni kwakua wewe unatuwazia mawazo mema kwenye maisha yetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏 🙌🔥😊
Eee mungu nakuomba usinipite unikumbuke uniepushe nakila roho za umaski uniokoe , ee bwana wa mjeshi , naufungua moyo wangu nakukaribisha ukae ndani yangu roho wako akaniongoze katika njia zako unipekibali mbele zako bwana wewe ndiwe nguvu yangu wokovu wangu, Amen
Bwana Yesu nakukabidhi haja ya moyo wangu nahitaji ndoa itokayo kwako eeh Bwana wangu
Bwana wa mabwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai nakuripotia magonjwa Yakurogwa na Wachawi Uwapige mishale ya moto wakate moto na wakufe ,ndoto mbaya ,Pepo za Aina mbalimbali zinazotusumbua, Vizuwizi vyote Vinavyo niwekea barrier Ili Nisiwasiliane Nawewe Hakikisha Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Uichome na mionzi ao mishale ya moto ikate moto na kufa, jioni zote,na Watesi Wote wanao Tusumbua Sumbua Wakate moto na wakufe Wote Ndo yangu ifunguliwe usafiri inikute tuwe pamoja Maombo Roho MTakatifu Anifunguwe , Ahksante Roho MTakatifu sumbua ,majini yasinisumbuwe tena, Uwasumbuwe Maadui Zangu wote Waondoke Wakate moto na wakufe Ktk Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Uliye Hai , Nizidishiye hata kipato,kazi, Na wanisbuwao Kwa Deni Zangu hizo zinazo Sumbawa mo iwasumbuwe moyo Wangu Bwana wa mabwa nifungue Nilipiwe Naomba riziki Zangu Kila siku Usiniache Naomba Roho MTakatifu niongoze Kupitiya Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Uliye Hai , Na Omba Eeewe Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Uliye Hai UNISAIDIYE, AMINA Yehova na Nguvu zako YESU CHRISTO WA NAZARETH Umubarikiye Mwalimu Rev, Pastor innocent mashauri Naomba Roho MTakatifu Amuongezeye Nguvu zakutulisha Neno lako Bwana Yesu christo wa Nazareth Uliye Hai Kwa Kila siku, Amina Amina Amina na Uhimidiwe Milele BWANA Wa Majeshi,Amina.
Mungu kubuka family yangu yesu wanateseka sana kwa sababu ya wachawi na waganga yesu nipe guvu niweze kushinda adui zangu wote katika jina la yesu
Nipo tayari kupokea muujiza wangu ohoooo asante yesu naamini utanipiganiq
Mungu wangu usinipite acha mkono wako usogezwe katika maisha yangu , nisije haibika mble ya watesi wngu , nitowe katika family niwe na kwngu na kazi nzr . Niwe nasaidia Nami wengine ajili ya kukutolea shukrani 🙏🏼
Ninaamini Leo nimeongezeka sitarudi nyuma tena kwenyemaisha yangu kwa Jina la YESU christ Amen
Mungu kubuka family yangu yesu wamechoka na magojwa kila siku bwana yesu
Mungu kubuka maisha yangu yesu nimechoka na mateso ya kila siku bwana yesu
Mungu fuguwa watoto wangu yesu
Bwana Yesu naomba Neema yako isinipite naomba uponyaji wako wewe unajua haja ya moyo wangu,naomba nitembee jambo jipya kwenye Maisha yangu,niko tayari kupokea roho yako kila mahali kwenye maisha yangu.Asante Yesu kwa kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yangu na familia yangu
Mungu kubuka mamangu amechoka na magojwa kila siku yesu naomba mama aishi siku zote bwana yesu
Asante Mungu kwanema na uaminifu wako kwangu amen
MUNGU. Nimechoka kukaa namanunguniko naomba niondoleee Haya manunguniko yangu baba Nipe furaha nipe Nuru baba kwenye maisha yangu baba Nipe mahusiano mazuri baba Nipe Mume sahihi mchamungu kila kilichofichwa baba adui yangu baba naomba niondoleee kilichofichwa baba na adui yangu
Ee MUNGU nirehemu Mimi na familia yangu 🙏🙏
Mungu nipe guvu niweze kushida shetani bwana yesu
Nisaidiye Mungu wa rehema Nisaidiye bwana wamajeshi
Mungu kubuka uzao wa tumbo langu yesu wangu tenda yesu
E MUNGU nilehemu kwa jina lako yesu
Amina sana mtumishi wa Mungu🙏 Mungu azidi kukubariki na kukupa kibali Cha kutulisha kondoo wake chakula kilicho Bora kutupelekea kwenye uzima wa milele!🙏🙏
Ahsante Yesu nimevuka🙏🏽🙏🏽
Roho wa Mungu aniongoze 🙏
Asante Mungu wetu tusikie na kutujibu haya maombi katika jina la Yesu Amen Amen 🙏🙌🙌
Nakukaribisha Roho Mtakatifu jitambulishe katikati ya dhiki yangu nisiaibike nisifedheheke
Mungu nimechoka na waganga na wachawi wafe wote tumechoka na wao hatuwezi kufaulu bila wewe bwana yesu
Roho mtakatifu naomba usinipitee nikujue vyema 🧎🤲🤲🙏🙏
Ndio yesu nkwa Neema yako bwana🙏
Mungu nisamehe dhambi na makosa.bwana yesu
Ubarikiwe mungu akuinuwe kwa huduma hii Ameeeni 🙏🥰🙏🙏
Asante roho Mtakatifu
Roho mtakatifu karibu kwangu niongoze kwenye maombi
Asante Mungu nashukuru kwa neema yako kwa kunifikisha wakati kaà huu kusikiliza sauti hii yako
Mungu kubuka sharon kila siku ni magojwa zenye hazieleweki yesu uko wapi nikuone kwa family yangu yesu
Nipe tumaini baba Nipe ndoa baba nioneshe mwanaume wakuwa nae maisha mwangu tufunge ndoa baba niguse moyo wangu 🙏🏼🙏🏼
Mungu nimeshoka na magojwa kila siku kwa uzao wa tumbo langu yesu nimechoka na magojwa kwa family yangu yesu uko wapi bwana yesu nikuone yesu
Mungu kubuka uzao wa tumbo langu yesu
Napokea nguvu Mpya kwa baba naomba ubebe nahitaji yangu 🙏🙏🙏
Usinipite Bwana Yesu
Mungu naomba unipe guvu amee👏👏👏
Niguse yesu asante ameeee 🙏
Mungu naomba unikumbuke mm na uzao wangu
Nisaidie unipe nguvu ya kuzidi katika maisha yangu
Napitia majarubu 😢mengiii sana mtumishii
Ameeni. Sitabaki kama nilivyo
Najitenganisaha nakila nila yeyote kupitia family zetu zote. Naunganisha family yangu naunganisha na Mume mtarajiwa ajae baba awe na idia nzuri awe na msimamo wakipekee baba🙏🙏
Asante yesu🙌❤️
Asante mungu nashukuru kwa Jina lako mkombozo wa maisha yangu eee bwana komboa maisha yetu tuenue moyo yetu tutimize ndoto zetu katika familia yangu tuondolea matatizo yetu eee bwana utulinde tu saidia eee bwana bwana naomba roho mtakatifu ongoza watoto wangu pahali waliko wapee rehema zako 😭😭😭
Nakukaribisha eehroho mutakatifu ukae ndani yangu
Usinipite bwana yesu nakupenda
Mungu asante kwa uzima na afiya bwana
Ameen MUNGU nisaidie
Mungu wangu nitie nguvu niweze kushinda vita
Nikumbuke Mungu wangu
Ameeen 😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu kubuka sharani na Melvin wafuguwe kwa magojwa zote za kila aina yesu namini unaweza mambo yote yesu wangu tenda yesu
Ewe mungu naomba uponyaji nomba uniepushe na wabaya wangu wote naomba shoti ilio tokea kazini naomba ilipwe na Cha wenyewe emungu usinipitekatika shida zangu
Amém Amém 🇲🇿
Amen Amen Roho mtakatifu Amen Amen
Amen Amen
Asante Mungu
Mwenyezi mungu naomba fungua uchumi wangu fungua Ufahamu wa mtoto wangu joshua anapoenda kuingia mwaka huu basi ukamfungue apate kuelewa darasan naamini utatupigania
Asante yesu wangu kwa yote ambayo unaendelea kunitendea.
Amina yesu you mwema
Niko hapa mungu ukafanye Jambo jipya
Amen napokeya
Leo utakuwa Nuru Kwa ndoa yangu, Biashara yangu, kazi zangu zote
Nakukaribisha ehiroho ndan ya maisha yangu
Amen 🙏 🙏 🙏
Asante Mungu wangu
Mungu usiniachee nikachekwa na maduiiii...naonekaa sifaiii 😢
Amina
Eeeh. MUNGU wa Mbingu. Usiñipite msaada wa nguvu ya roho ya mbinguni Katika maisha yangu naomba niguse na Mimi kwenye mapito yangu baba gusa family yangu huko Tanzania mponye mamaangu Monica Karani na watoto wake wavuke salama mwaka 2023
Niko hapa Bwana Yesu
Ameen ameeeen