SI UCHAGUZI, NI OPERESHENI NYAKUA MADARAKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 208

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 дня назад +32

    Siijutii kumsikiliza huyu mwamba hata CK moja❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @salama1113
    @salama1113 2 дня назад +22

    Tene kwa HERUFI KUBWA UPORAJI WAMADARAKA😢😢😢

  • @josephatkajange-zx2tl
    @josephatkajange-zx2tl 2 дня назад +16

    Ngurumo is a man with big brain!

  • @MethodJulius-fu9hf
    @MethodJulius-fu9hf 2 дня назад +15

    Kwakifupi CCM inajitambua kuwa imeshapoteza mvuto.

  • @Ahwgsvsb
    @Ahwgsvsb 2 дня назад +12

    7:50 "Ndio upinzani hamna majeshi lakini mna watu, mna hoja, mna Mungu hizo ndio silaha zenu zitumieni kwa ubunifu wa hali ya juu, kushinda kunawezekana kama sio leo kesho."
    ~Ansbert Ngurumo.

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дня назад

      😂😂Wakishindwa maana yake imeshindwa akili yao na Mungu wao kashindwa au???Acheni kumchanganya Mungu na haya mambo...Kwa sababu wanasiasa wote ni wahuni..CCM wakiuwa watu kumi wa Chadema na Chadema wakauwa mmoja wa CCM,,,hawa wote ni wauwaji hawatufai..Mungu hawezi kutusikiliza,, sababu tumeuwana sana..

    • @sammykateregga6238
      @sammykateregga6238 День назад +1

      Nadhani bado hujamuelewa mchambuzi Ngurumo pata muda tena msikilize kwa makini utapata la kushauri au faida yako. ​@@LucasGoliath

  • @Miriam-m2b
    @Miriam-m2b 2 дня назад +11

    Mauwa yako brother 🎉🎉🎉🎉 hakika mimi huwa nakuelewa sana

  • @rastheunique
    @rastheunique 2 дня назад +10

    Wewe ni mshauri bora sana Mzee wangu 😢😢

  • @PasiweloMpembe-r4l
    @PasiweloMpembe-r4l 2 дня назад +12

    Nakupenda baba maana unasemaga ukweli

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 дня назад +1

    Bold,Short .powerful, effective Straight forward, and so clear to the point.

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y День назад +2

    Mama samiaaa kumbukaaa wewee muisramm keahooo kunaaa motooo usirewee madarakaaa yanamwishooo mama

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 2 дня назад +4

    Nimekuelewa sana kwamba ziko njia nyingine nyingi za kutafuta haki si lazima iwe kwa njia ya uchaguzi tu.

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale 2 дня назад +5

    safi sana baba nyakuwa madaraka

  • @LucasKiboi
    @LucasKiboi 2 дня назад +6

    Huyu jamaa anakitu katika bongo yake. Fact mjomba

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 2 дня назад +11

    Kweli kabisa Wapinzani walikuwa wanatafiti

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 дня назад +7

    Jamaa ni hatari kwa uchambuz

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 2 дня назад +2

    Mama hapa uliteleza,unashautiwa vibaya na unajazwa hofu bila sababu ya msingi, anashsngaza sana

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 2 дня назад +4

    Powerful massage

  • @joejosca7594
    @joejosca7594 День назад +1

    Kaka safi sana inasikitisha muno, inashangaza sana sanaa mtu anasimama eti anashauri CDM ikae upya ijipange!🤭ikae wapi ipange nini mbele ya mitutu ya bunduki, polisi etc 😢😢😢tuna kwama wapi kujua choko choko yoyote ndani ya CDM nyuma yake ni CCM wanao ogopa haki ya ushindani wa wazi, anguko la CCM siku zaja ni baya kuliko wanavyo waza, Mungu atuweke hai, poleni wote kwa mateso, vifo vya ndugu zetu 😢😢😢

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 11 часов назад

    Safi sana tubadili njia kwa hii nilivyoona vituo vyakupiga kura wanavyo saidiana wakurugenzi na polisi kupokonya haki ya alieshinda siwaamini tena polisi na wasimamisi

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 2 дня назад +7

    Ngurumo uko sahihi na jina Hilo ni sahihi pia!

  • @YosephatMasanyiwa
    @YosephatMasanyiwa 2 дня назад +4

    OPERATION NYAKUA MADARAKA VS OPERATION UTAFITI

  • @bensonkaduvage9549
    @bensonkaduvage9549 2 дня назад +1

    Comrade Ngurumo: You have read our Minds and Summarized what people who Love & Wish our Beloved Tanganyika not to head for a disastrous future which CCM is trying to do due to their Greed for Power & Mali Haramu. Wananchi wote tunapadhwa kuungana pamoja na Vyama vya Siasa na Wana Harakati kama wewe kuipinga na kuiondoa CCM kutoka kwenye Madaraka kabla hawaja itumbukiza nchi yetu kwenye moto wa jehanam. Mungu wetu atuongoze katika Vita hii!!

  • @JamaliAlly-zy1ff
    @JamaliAlly-zy1ff 2 дня назад +3

    Nakubal kaka

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 2 дня назад +7

    MAGU NDIYE ALIYELETA HAYA YOTE .
    KUFA TENA MAGU

    • @rommyshabby3959
      @rommyshabby3959 2 дня назад +2

      Umesahau ya mkapa 2021 zanzibar hadi leo watu wapo ukimbizini, yeye mwenyew hadi anakufa alijuta

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дня назад

      ​@@rommyshabby3959Siyo 2021,,,Ni 2001

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 10 часов назад +1

    Tunae Rais bora Africa na simwingine zaidi ya SAMIA HASSAN SURUHUHISHO YA MATATIZO YA WATANZANIA

  • @EmmanuelCharles-mn8yv
    @EmmanuelCharles-mn8yv День назад

    Mchambuzi uko vizuri sana .
    Kikubwa msije mkaiweka nchi kwenye machafuko maana ninyi ndio kioo cha jamii inayo wafuatilieni ninyi
    Maana nchi ikiingia kwenye machafuko nikazi kuirudisha kwenye Muhimili wake.
    Siasa ni mchezo wa hatari

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER День назад +1

    Hata kule zanzibar ccm ingeng.ania kura ya siku mbili ili ifanye operesheni nyakuwa madaraka

  • @YosephatMasanyiwa
    @YosephatMasanyiwa 2 дня назад +6

    Tunaomba namba zako Mr Ngurumo

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 2 дня назад +2

    From 🇧🇮😂mu Zanzibar iko tayari muuwane wa tanzania kuweni makini😂afazali muuwane wa tanzania ku wa tanzania 😂

  • @fabby1181
    @fabby1181 День назад +1

    Ngoja tuje tuone twit ya pole au sauti/ukimya WA mama yetu mpendwa kuhusu misiba na tambo za ushindi UCHAGUZI huu.

  • @Worldunite
    @Worldunite День назад

    Sikuhizi ameanza kuelewa huyu mwamba,sbb mwanzoni alimnanga sana hayati JPM,naona sasa ameanza kumuelewa, big up Ansbert Ngurumo 2:13

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER День назад +1

    Dahh kaka chukua maua yako maneno kama msumari

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 2 дня назад

    Brilliant analysis by Gurumo,

  • @JovinMaftah
    @JovinMaftah 23 часа назад

    Hongela kwa uchambuzi mzuri

  • @HezronKaaya
    @HezronKaaya День назад

    Hivi kumbe kulikuwa na hotuba hii ya Rais kuagiza jeshi la wananchi kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa,Uchaguzi mkuu mwakani itakuwaje.Mungu wetu na Baba yetu nusuru Taifa letu.Amina.

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 2 дня назад +1

    Ukweli nikwamba CCM wanajua kuwa hawaaminiki na kukubarika tena na wananchi watanzania wengi wanajua bila majeshi CCM haina chao ila wanazidi kuamsha hisia za wananchi

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 2 дня назад +1

    ILIVYO BAHATI MBAYA SANA KIONGOZI HANA HEKIMA KABISA!!! KOSA MALI UPATE HEKIMA.

  • @isaya9613
    @isaya9613 День назад

    Nikweli kabisa. Hamna demoksia hapa niuhuni tu

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 День назад

    Vyama vya upinzani Tanzania ni vya harakati tu. Lowasa na Sumaye waliwashauri Chadema watengeneze chama Cha siasa badala ya chama Cha wanaharakati. Wakikataa kwani wengi hawaelewi tofauti. Nchi nyingi walizoshinda wanaharakati nchi wameziharibu. Nyerere alisema ,kutakuwa na upinzani wa kweli endapo CCM itabomoka. Hivi vyama ni pressure groups, zinasaidia lakini si vya kupewa kuendesha nchi.

  • @ShehaHassan-ev7st
    @ShehaHassan-ev7st 2 дня назад +1

    Magufuli alikosea sana kumchagua huyu mamaake Abduli kua makamu wa rais maana hajui ata machungu wanayopitia wananchi wake

  • @MagakaManyanya
    @MagakaManyanya 2 дня назад +3

    Samia sulu hassan has succeeded the brutality ever witnessed in this country. I just want to remind samia in this regime. Bashir had very strong and feared army in africa he failed. Egypt was almost the police state and very militarised regime but failed. No one successed against the will of people. Is not the question of if is just the question of when

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 12 часов назад

    CCM maisha hawatafanya uchaguzi wa haki na wa uwazi,badala yake ni wizi wa kura,kupiga wapinzani na hata kuwauwa

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 2 дня назад +6

    CCM hawajiamini kwenye uchaguzi maana watu wamewachoka kweli haki hakuna Tanzania polisi wanatumika kusaidia CCM wapinzani wanajitahidi sana ila wanaumizwa sana Mungu awasimamie Mungu awape Subra ipo siku mtashinda inshaallah

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 2 дня назад +1

      Ulichoka wewe Tu yakikishinda Hama nchi😅😅😅

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 дня назад

      ​@@adiaygo8546hama wewe na familia yako 😮

    • @MesiakiKayan-qm7tv
      @MesiakiKayan-qm7tv День назад

      KAuli ya ccm ​@@adiaygo8546

  • @AmosChristian-e4x
    @AmosChristian-e4x 2 дня назад +1

    Hata Mugabe hakuondolewa n̈a wananchi kwa katiba hii ccm miaka 200

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 5 часов назад

    Mimi naona kabisa kuwa bila tume huru na Katiba mpya tuache kabisa kuenda kupiga kura

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 8 часов назад

    Kwamba wanawafuasi milioni 70 nchi nzima

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 День назад

    Rais wetu,Usitudanganye,
    Viama vingi vienye nia tofauti ipi?
    Sirikali inaingiza ubagusi wa wazi kisiasa,af unasema cjui nini,cjui nini!
    Kwani ccem inaogopa kushinda?

  • @maisomtimbuka4743
    @maisomtimbuka4743 День назад

    Mzee unafaa kuwa mshauli kwa serikali huwa nakuelewa sana

  • @josephkanyumi4985
    @josephkanyumi4985 День назад

    CCM imefanya hivyo na itafanya hivyo kwasababu ni chama cha mapi
    nduzi. Bila kukipundua hakutakuwa na mabadiliko. Kidumu chama cha Mapinduzi!

  • @protusbishanje872
    @protusbishanje872 День назад

    Baba nakuomba sana uje kugombea ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 9 часов назад

    NYAKUA NYAKUA😂

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 День назад

    Wanaishabikia ushindi wa ccm kwa uchafuzi huu, nao wanashiriki uhalifu.

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz День назад

    Kuna ki2 niseme wazungu wanachangia sn ccm kuwepo madarakani kwasababu wao ndo wenye democracy wakiamua wao kufatulia bc ccm ataondoka madarakani 2kubali kuwa wazungu ndo wanao waweka ccm madarakani

  • @Abbas-fp5mc
    @Abbas-fp5mc День назад

    Tulikuwa na vituo 15 kwenye Kata yetu. Ofisi ya Msimamizi akaruhusu tuwe na Mwakala 5 tu na wenzetu wa Chama Tawala wakaruhusiwa Mawakala 15.Hiyo ni Democracy Tanzania Style. Ameeeen.

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 8 часов назад

    Hakuna anataka kuharibiwa ulaji😅

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 6 часов назад

    Ccm haitakiwi na mtu yyt yule ila wameekekeza nguvu zao kwa vyombo vya ulinzi😮sasa kama hawawezi kutulinda bora tujilinde wenyewe nguvu kwa nguvu tumalizane

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j День назад

    Mkwe na mkwewe wanashiriki mvinyo wa uhaini na uporaji na uchafuzi ...Playbook ya mwendazake ila Mungu atawalipia wapenda demokrasia

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 8 часов назад

    chadema hawana ushawishi watu wanaangalia sera zinazo husu matumbo ,sio ujinga katiba na bandari

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 дня назад +1

    Kwa kweli Ngurumo mzalendo wa kweli Mtanganyika umesema sawa wamechukua kimabavu hadi kuua kuteka nk anatumia vikundi vya usalama Du ingefaa huyu mwanamke wanaemwita mama aondolewe inatosha ukatili huu umezidi 😢😢😢

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 дня назад

      Si tu aondolewe madarakani, awajibishwe, kichaka cha katiba kuwataka kutowajibika haliko juu ya maamuzi ya walioitengeneza.
      We have no more time to waste

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 2 дня назад

    Huyu mwanamke hana maana yoyote, ayasemayo huwa hayafanani na anayoyakusudia! Anazungumzia 4R lakini anayoyakusudia huwa ni maovu matupu! Ni uongozi wa kipuuzi kabisa!

  • @andronicomanasemkuyu5333
    @andronicomanasemkuyu5333 День назад

    Hayo mambo yanayoenda kutokea. Ni mambo gani? Bila shaka labda ni mauaji.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 День назад

    Usilinganishe miaka 5 ilopita na hii mzee , hii ni mmmmmmmmm , wengi wamekaa nyumban na hawakujitokeza kabisaaa kwani wananchi ndo hawana cha kupigia kabisaa wakaamua kuwaacha waamue wenyewe

  • @nwntz
    @nwntz День назад

    Jesho letu linatumika vibaya mno

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 2 дня назад

    Kwa hili SK!! Litawaunganisha vyama vya Siasa zidi ya chama Dolaccm.

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 2 дня назад

    Mimi nataka nimshauli uyu mama raisi kuwa hao hao anaowapa mapesa na mishaara minono pale wanapotesa wapinzani na kutoeshim watanzania wanapochagua viongozi .. mwanadam uwa ana tabia ya kutokuridhika siku Moja wataitaji Iko kiti na watakutoa madarakani Kwa mtutu wa bunduki usifikili wenyewe awapendi kuwa maraisi shauli Yako ......

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. День назад

    Tupate wapi wazee kama hawa 😢

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 22 часа назад

    Sasa ww unawataja makamanda wawe tayal kukabiliana na uchaguz kwan kaz ya police ni kukabiana na uchaguz au kuweka ulinz tu ktk uchaguz ili yasifnyike ya hovyo, huon kama uliyoyasema ndio haya tunayoyaona yamefnyika ktk uchaguz wao police wametumika kuchafua uchaguz

  • @christosiadanieli6512
    @christosiadanieli6512 День назад

    washa gaeni wanaova nguo za rangi ya kijani Kama ushindi ni aibu acheni kujiaibisha

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi День назад

    Huu uchafuzi umedhihirisha hili 👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi!✍️🏿

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 2 дня назад

    Silaha za wapinzani ni watu na mungu na umoja wenu

  • @elibarikimeela2761
    @elibarikimeela2761 2 дня назад

    Kweli na amini.
    Mungu yuko.

  • @HurukaMwinyigogo
    @HurukaMwinyigogo 2 дня назад

    Utapataje ushindi wkt msimamizi wa uchagizi naye ni mgombea na anataka kushinda.

  • @bensonkaduvage9549
    @bensonkaduvage9549 2 дня назад

    Unajua, mimi nilishiriki katika kusherehekea Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, sikutegemea kwamba itakuwa siku viongozi wa Serikali iliyoko Madarakani itawageuka Watanganyika na kuwaua kama walivyo tufanyia Wakoloni enzi zile. Inatisha, inaogopesha, inatia simanzi kwani kusema kweli binafsi sijui hawa watu wa TANU/CCM wameingiwa na mdudu gani kilicho wafanya watugeuzie Watanganyika Mtutu wa bunduki na kutuua!!!!???
    Mungu tusaidie, kwani inaonekana Watanganyika tumuishiwa nguvu na maarifa.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 День назад

      Kumbe 1961 ulikua katika sherehe, basi sasa unapaswa kumuandikia barua rais umkumbushe, mbona hivi.
      Mkapa alianza kupiga na kuuwa watu weusi wenziwe, Zanzibar mara nyingi. Kasema kajuta. Kikwete naye maumivu kwa watu weusi wenziwe Zanzibar. Magu ndio balaa, kipigo Zanzibar na Tanganyika. Kafa katuwacha tuliobaki.
      Sasa itakupasa umfike mama, mkumbushe watu weusi wasiuwane kisa madaraka. Umpe nasaha asilete jeshi Zanzibar kutupiga ili chama chake kishinde, atupe mamlaka yetu ijapokua watanganyika hicho hamtaki kukisikia hata iweje.
      Asikie mama na tushi Salama, iwe kuondoka mkoloni mweupe isiwe kuna wakoloni weusi wakiwatesa weusi wenzao, kisa madaraka na kutawalana. Mfike mama umkumbushe tafadhali.

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba 2 дня назад

    Akuna uchaguzi uliwambia waporeee wamishaporaaa wapinzani. Wakae kandoo. Ulivyoagiza vyombo. Via ulinzi

  • @user-KASSIM
    @user-KASSIM 22 часа назад

    Wee jamaa mjinga sana

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 дня назад +1

    CCM siyo ya leo, ccm kiundani haina mwenyewe , vyama vya wafanyakazi + vyama vya wakulima = TANU mwaka 1954 , vile vile Afro shiraz party, unaunganisha hivo vyma (TANU + ASP ) unapata CCM mwaka 1975 , ukichukua wajumbe wa ccm tu kwenye ngazi za shina ambao ni wengi wanatosha ipa ushindi CCM , tuache lawama twende na uharisia

    • @rommyshabby3959
      @rommyshabby3959 2 дня назад +1

      Umemaliza kaka

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 2 дня назад +1

      Mbaka CCM inafikia hapa Chadema wamechangia asilimia kubwa.. Chadema wanaendesha siasa kihuni sasa hii imepelekea CCM nao kuwa wahuni...Huwezi kuwa kiongozi unayetaka mabadiliko unapanda jukwaani unakisema chama fulani mbaka unashuka jukwaani hujatoa hata sela moja

  • @damiansagara842
    @damiansagara842 День назад

    Kweli Ngurumo.

  • @MtumishiWaMungu-c6m
    @MtumishiWaMungu-c6m 2 дня назад

    Mwenge uwo mwenge!mbiombio¶mwenge tunaukimbiza¶,mbiombio ¶,mpaka makao makuu mbiombio.umewadhuru mpaka JWTZ.ushirikina

  • @omaribrahim1087
    @omaribrahim1087 2 дня назад

    Analiweka jeshi alert ili iweje kwani wapinzani wameagiza jeshi kuja kupindua

  • @Kisigino
    @Kisigino 2 дня назад

    Cku zote baba ukichapa watoto kila mda hakika watakuchukuia na hawa CCM wanatumia nguvu nyingi mpaka imesababisha watu hukichukia chama cha hichi na kuchukia viongozi wa CCM

  • @fabby1181
    @fabby1181 День назад

    Nikiona online tube ya huyu Mwamba huwa natafuta bando hata kwa kukopa ili kupata busara na mitazamo yake. CHUKIA Maua yako kaka.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 День назад

    💯

  • @sylvanusfelix6998
    @sylvanusfelix6998 2 дня назад

    Very true

  • @nicolausmollel6212
    @nicolausmollel6212 2 дня назад

    Ingependeza ungesema pia na wananch unamkuta mtu kazeeka bado wanaangaika na ccm

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 дня назад

    NI KWELI KABISA WAPINZANI WANATAKIWA KUPONGEZWA SANA

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 День назад

    Ndg Ngurumo nimeunga mkono uchambuzi wako mfupi lakini wenye hoja nzito na pia umeniimarisha

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle День назад

    Mama haijawa hivyo kama ulivyosema

  • @MagakaManyanya
    @MagakaManyanya 2 дня назад

    Siasa mbaya hupelekea ufisadi na maendeleo duni. Na hii ndo inatokea tanzania

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 2 дня назад

    Binafsi sijaona ajabu yeyote. Yaani hawa watawala wako VERY OPEN: hawataki katiba mpya, hawataki Tume Huru ya Uchaguzi, wanawatoa wagombea wa upinzani kwa nguvu na jeuri. Kinachonishangaza ni wapinzani kuingia kwenye uchaguzi wakitegemea mabadiliko...simu haijaribiwi kwa kuonja. Iwapo unataka tuwape moyo ili waendelee na hili la kuonja sumu... nadhani imefika wakati waambiwe ukweli...huhitaji majeshi kupigania katiba bora ambayo itazaa Tume huru ya uchaguzi. Waache kwanza kuingia kwenye uchaguzi unaosimamiwa na CCM na kisha kulalamika wameonewa wakati hata kabla ya uchaguzi walijua haki haitatendeka na majeshi yamewekwa tayari

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 дня назад

      Una maoni mazuri. Lakini bado huna solution. Tuendelee kufikiri.

    • @kibbysaidi7813
      @kibbysaidi7813 День назад

      @AnsbertNgurumo ofcourse solution ni kuacha porojo na kusimamia democracy ya kweli. Hii inapatikana kwa kuwa na katiba nzuri itakayotupatia Tume Huru ya Uchaguzi. Wapinzani wote wimbo uwe mmoja tu... KATIBA... bila hiyo hakuna kuingia kwenye uchaguzi wowote

  • @AllyFaki-w6b
    @AllyFaki-w6b 2 часа назад

    mzeee wangu Kwan ww upo wap Tanzania au vp mana nakufutilia ila sjakupata

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 День назад

    Unanguruma ukiwa wapo wapi?

  • @HawaOman
    @HawaOman 2 дня назад

    Hujiamini ndio maana acheni mauuaji tumewachoka ndundu zwtu wanatekwa kila wakati ahaa tumechoka

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 дня назад

    HAKUNA KUKATA TAMAA NI ALUTA TO GONTINUE PERIOD

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 2 дня назад

    Sasa jeshi linahusikaje kwenye uchaguzi,kumbe hapa ndipo maelekezo ya wizi wa kura yalianzia.

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 2 дня назад

    Majeshi yanahusikaje na uchaguzi?

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 10 часов назад

    Huo ni mtizamo wako na mawazo yako ndio umejifunga ktk muono finyu

  • @adenmayala9298
    @adenmayala9298 2 дня назад

    CCM ilisha kufa siku nyingi sana kwa sasa hatushindani na CCM kabisa ila ni ushindani kati ya Dola na upinzani

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 2 дня назад

    Ni kwel kabsa Kuna jamaangu kapata uenyekit hajui kusoma Wala kuandika anapesa za urth ndo zmempa uenyekit

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 8 часов назад

    Hatutaki democrasia ni uhuni. Tuwe kama china na urusi. Ndo tutaendelea sio kila mtu akakae ikulu

  • @abassjuma6248
    @abassjuma6248 2 дня назад

    I've unaweza kufika mahala ukakubali kwamba uchaguzi ulikua wa haki?